Unganishwa

Search the region

22818 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Khalwale forced to withdraw 'Tiktoker" remark against Murkomen

Khalwale claimed that DP Kithure Kindiki had demonstrated an ability to contain insecurity during his tenure as Interior Cabinet Secretary

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

UAE lifts visa restrictions on Uganda

The United Arab Emirates (UAE) has lifted its suspension on issuing new visas to Ugandan nationals, easing travel restrictions imposed in June 2026 following concerns…

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Handball: Uganda’s Nile Queens end 10-year wait for Africa Zone V glory

Uganda’s national women’s handball team, the Nile Queens, ended a 10-year wait for regional glory after edging arch-rivals Kenya 29-28 to win the Women’s IHF…

Recently
Uncategorized · Business Daily

Ketraco to pay Ecobank Sh549m as Spanish firm claim blocked

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Qui est Wilson "Lanmò San Jou" Joseph, le puissant chef de gang haïtien dont Bukele affirme avoir détruit la maison ?

Un dirigeant de 400 Mawozo a été officiellement inculpé d'enlèvement par les autorités américaines. Par ailleurs, le FBI offre une récompense pouvant aller jusqu'à 1 million de dollars pour toute information permettant d

Recently
Uncategorized · Radio Publique Africaine

EAC : 25 ans de justice régionale, des arrêts encore difficilement appliqués au Burundi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Teso journalists condemn arrest and detention of NTV reporter

Journalists in the Teso sub-region have condemned the arrest and continued detention of NTV Uganda correspondent John Kenneth Odele, demanding that security agencies clarify the…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Tob Cohen murder: Police witnesses recount Wairimu's account of husband's disappearance

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DC MWAKIBETE AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA BARABARA, ATOA MILIONI MOJA UJENZI WA ZAHANATI

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Atupele F. Mwakibete, ameahidi kushirikiana na mamlaka za barabara kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya miundombinu ya barabara isiyopitika, huku akichangia Sh milioni moja kuunga mkono ujenzi wa zahanati katika Kijiji cha Mhanga, Kata ya Kimara. Mwakibete ametoa ahadi hiyo Novemba 11, 2026, wakati akiendelea na ziara ya kutembelea Kata za Kimara na Dabaga, ambapo pia amefanya mikutano ya hadhara kwa lengo la kusikiliza kero za wananchi na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazokwamisha maendeleo yao. Katika ziara hiyo, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Itonya, ambao unaendelea vizuri, huku shule hiyo ikitarajiwa kuanza kupokea wanafunzi wa Kidato cha Kwanza Januari 2027. Akizungumza na wananchi wa Vijiji vya Kidabaga na Mhanga, Mkuu huyo wa Wilaya amesisitiza umuhimu wa kudumisha umoja, mshikamano na ushirikiano katika kutekeleza shughuli za maendeleo, sambamba na kuwataka kuacha vitendo vya uchomaji moto misitu na badala yake kulinda mazingira. Kuhusu changamoto ya barabara, Mwakibete amesema atawasiliana na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ili kujadili na kutafuta suluhisho la barabara zinazokuwa hazipitiki, hasa wakati wa mvua, hali inayosababisha usumbufu katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Katika hatua nyingine, akijibu kilio cha wananchi wa Kijiji cha Mhanga kuhusu ukosefu wa zahanati, Mwakibete ametoa Sh milioni moja kusaidia ujenzi wa zahanati inayotekelezwa na Kanisa, hatua inayolenga kuongeza kasi ya mradi huo na kusogeza huduma za afya karibu na wananchi. Aidha, amewahimiza wananchi kujiunga na mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaogharimu Sh 150,000, akieleza kuwa usajili huo ni muhimu katika kuwawezesha kupata huduma za afya kwa uhakika na kupunguza changamoto za gharama za matibabu.

Thu, 12 Nov 2026 17:06:20 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Mercedes-Benz halts all further investment at German facilities

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Private investors line up Sh96bn for State projects

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

What do the talks in Abu Dhabi mean for Ukraine?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

NATCOM YASISITIZA UHIFADHI ENDELEVU WA HIFADHI YA BIOSPHERE YA RUMAKI

Tume ya Taifa ya UNESCO (NATCOM) imesisitiza umuhimu wa kuimarisha usimamizi shirikishi wa Hifadhi ya Biosphere ya Rufiji-Mafia-Kilwa-Kibiti (RUMAKI), kwa kuzingatia uwiano kati ya uhifadhi wa bioanuwai, maendeleo endelevu ya jamii na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na pwani. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mtendaji wa Programu wa Tume ya Taifa ya UNESCO, Dkt. Khamis Khalid Said, wakati wa kufungua rasmi Kikao cha Kitaalamu cha Kuhakiki Rasimu ya Mpango Mkuu wa Usimamizi (GMP) wa Hifadhi ya Biosphere ya RUMAKI kilichofanyika katika Ukumbi wa TUJIWAKI, Kilwa Masoko, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi. Kikao hiki kinalenga kupitia na kuboresha rasimu ya mpango huo ili kuhakikisha unazingatia changamoto zinazokabili mifumo ikolojia ya bahari na pwani, zikiwemo athari za mabadiliko ya tabianchi, uvuvi uliokithiri na uharibifu wa makazi ya viumbe vya baharini. Mpango huo unalenga kulinda mifumo muhimu ya ikolojia, ikiwemo misitu ya mikoko, miamba ya matumbawe na maeneo ya kutagia mayai ya kasa, sambamba na kuimarisha maisha ya jamii za pwani kupitia uvuvi endelevu, utalii wa kiikolojia na ufugaji endelevu wa viumbe vya majini. Kupitia Mpango wa UNESCO wa Binadamu na Hifadhi Hai (MAB), NATCOM inaendelea kuratibu na kusimamia juhudi za kuunganisha uhifadhi wa bioanuwai, utafiti wa kisayansi na maendeleo endelevu, kwa kuhakikisha kuwa uhifadhi wa mazingira unaenda sambamba na ustawi wa jamii na vizazi vijavyo. Uhifadhi wa mazingira ni uwekezaji katika maisha ya sasa na mustakabali wa vizazi vijavyo. #UNESCOTanzania #RUMAKI #MABProgramme #Biodiversity #SustainableDevelopment

Thu, 12 Nov 2026 16:52:06 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto alarmed by Grade 9 kids' poor literacy, numeracy skills

He cited the World Bank's estimate that nine out of 10 children in Sub-Saharan Africa cannot read and understand a simple text by the age of 10

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RC CHALAMILA: VETA SI KIMBILIO LA WALIOSHINDWA, NI TAASISI YENYE HESHIMA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameitaka jamii kuachana na dhana potofu kuwa Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni kwa ajili ya wanafunzi waliofeli, akisisitiza kuwa taasisi hiyo ina heshima kubwa na ni muhimu katika kujenga ujuzi na kukuza ajira nchini. Akizungumza leo, Novemba 12, 2026, katika mahafali ya 56 ya Chuo cha VETA Dar es Salaam, Chalamila amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua umuhimu wa elimu ya ufundi stadi, ndiyo maana amewekeza fedha nyingi katika ujenzi wa vyuo vya VETA nchini. Amesema Tanzania ina zaidi ya vyuo 80 vya VETA, huku Dar es Salaam pekee Rais Samia akijenga vyuo vitano, kila kimoja kikigharimu Sh bilioni 1.5. Amewataka wahitimu zaidi ya 400 waliohitimu katika chuo hicho kutumia ujuzi walioupata kujiajiri, kubuni fursa na kutafuta mitaji kupitia mikopo inayotolewa na halmashauri badala ya kusubiri ajira. Aidha, ameahidi kukutana na uongozi wa VETA kujadili namna ya kutatua changamoto za upungufu wa vifaa vya kufundishia na miundombinu. Kwa upande wake, Meneja wa VETA Kanda ya Dar es Salaam, Wilhard Soko, amesema uwezeshaji wa chuo hicho kwa vifaa vya kisasa, hususan katika fani ya udereva, utaongeza uwezo wake wa kujiendesha kupitia mapato yake. Naye Mkuu wa Chuo cha VETA Dar es Salaam, Abraham Mbuguni, amesema chuo hicho kilichoanzishwa mwaka 1994 kimeendelea kutoa wahitimu wanaopata fursa za ajira na kujiajiri, licha ya kukabiliwa na changamoto za uchache na uchakavu wa magari ya mafunzo, samani, madarasa na vifaa vya kisasa.

Thu, 12 Nov 2026 16:49:58 +0000
Uncategorized · Business Daily

Michael Mutiga’s journey across different worlds

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Sifuna consoles Gachagua after elder sister's death

The Nairobi senator visited the family at their Karen home, a day after other opposition leaders paid condolence visits.

Recently
Uncategorized · The Standard

21 years later, accident victims receive compensation

The companys liquidator, Kamal Bhatt, on Thursday issued cheques worth more than Sh38 million to 47 verified claimants, marking the first phase of a compensation exercise.

Thu, 12 Nov 2026 19:23:22 +0300
Health · The Nile Post

Health Ministry Mobilises Religious Leaders to Tackle Rising Disease Burden

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

I&M Bank Serena 63 Series Heads for Grand Finale as 141 Golfers Mark Competitive 2026 Season

Read the full report from the original source.

Recently

Page 216 of 1141 · 22818 stories