Unganishwa

Search the region

22831 stories

Uncategorized · HabariLeo

RC Kigoma ageukia wazazi utoro wa wanafunzi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

JKT YAWAFUNGULIA MILANGO VIJANA WA TEHAMA NA UFUNDI, YAONYA MATAPELI

Na Janeth Raphael - MichuziTv JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana wenye elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) pamoja na fani mbalimbali za ufundi kujitokeza kuomba nafasi za kujiunga na mafunzo ya kujitolea kwa mwaka 2026/2027. Wito huo umetolewa leo, Novemba 12, 2026, jijini Dodoma na Mkuu wa Tawi la Utawala wa JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena, kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Nduka Mabele, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Jeshi hilo. Brigedia Jenerali Mabena amesema nafasi hizo zinawahusu wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Mitandao ya Kompyuta na Usalama wa Taarifa (Bachelor of Science in Computer Networks and Information Security), pamoja na walimu wa Elimu ya Ufundi na Mafunzo (VET) wenye utaalamu katika fani mbalimbali. Miongoni mwa fani zinazohitajika ni uchomeleaji, ufundi magari, umeme wa magari, ufundi bomba, ufundi rangi, uashi, teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA), ubunifu wa mavazi, ukarani, useremala, ushonaji pamoja na ufundi wa friji na viyoyozi. Amesema vijana wenye sifa zinazohitajika wanapaswa kuwasilisha maombi yao kupitia Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanakotoka, huku usaili kwa waombaji ukitarajiwa kuanza Novemba 16, 2026, katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Kwa mujibu wa Brigedia Jenerali Mabena, vijana watakaofaulu usaili huo na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo watatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT kuanzia Desemba 10 hadi 15, mwaka huu. Hata hivyo, JKT limeweka wazi kuwa mafunzo ya kujitolea si njia ya kupata ajira serikalini au katika taasisi nyingine, likisisitiza kuwa halitoi ajira wala halihusiki kuwatafutia vijana ajira katika asasi, vyombo vya ulinzi na usalama, mashirika ya serikali au yasiyo ya kiserikali. Badala yake, mafunzo hayo yanalenga kuwajengea vijana nidhamu, uzalendo na ujuzi mbalimbali utakaowawezesha kujitegemea na kujiajiri baada ya kumaliza mikataba yao ya kulitumikia jeshi hilo. Wakati huohuo, Brigedia Jenerali Mabena amewaonya vijana, wazazi na wananchi kwa ujumla kujihadhari na watu wanaoweza kujitokeza wakidai kuwa wanauza nafasi za kujiunga na JKT kwa kujitolea. Amesisitiza kuwa nafasi hizo haziuziwi na hakuna malipo yoyote yanayotakiwa kufanywa ili kupata nafasi, huku akiwataka wananchi kutokubali kushawishiwa na matapeli wanaotumia fursa ya matangazo ya kujiunga na jeshi hilo kujipatia fedha kwa njia zisizo halali. Aidha, wananchi wametakiwa kutoa taarifa kwa vyombo vya dola wanapokutana na watu wanaodai kuwa na uwezo wa kuwapatia vijana nafasi za JKT kwa malipo, ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya wanaojihusisha na vitendo hivyo. JKT limewahimiza vijana wenye sifa zinazohitajika kutumia fursa hiyo kwa kufuata taratibu rasmi zilizotolewa na kujitokeza kuomba nafasi za kushiriki mafunzo ya kujitolea kwa mwaka 2026/2027.

Thu, 12 Nov 2026 12:20:13 +0000
Uncategorized · UN News Burundi

Lebanon: After 48 years patrolling the Blue Line, UN peacekeepers prepare exit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

L'Eswatini donne 12 mois aux entreprises étrangères illégales pour quitter le pays

Cette loi fait suite à la croissance des entreprises à capitaux étrangers dans les zones rurales.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RC NYONGO AITAKA RUWASA PWANI KUIMARISHA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA

Na Victor Masangu, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, ameitaka RUWASA mkoani humo kuimarisha utoaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi, akisisitiza kuwa taasisi hiyo inapaswa kuweka mbele maslahi ya wananchi na kuhakikisha wanapata huduma hiyo kwa uhakika. Aidha, Nyongo ameitaka RUWASA kuwa wabunifu katika uendeshaji wa huduma za maji kwa kuweka mikakati ya kuongeza mapato na kujiendesha kibiashara badala ya kutegemea Serikali pekee kugharamia shughuli zake. Nyongo ametoa maelekezo hayo wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha mameneja wa RUWASA kutoka wilaya zote za Mkoa wa Pwani pamoja na viongozi wa mkoa, kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Amesema Mkoa wa Pwani una wawekezaji wengi wanaohitaji huduma ya maji safi na salama, ambao wanaweza kuwa sehemu ya kuongeza mapato ya taasisi hiyo kupitia utoaji wa huduma. Ameeleza kuwa pamoja na Serikali kuendelea kuwekeza katika miradi ya maji, mahitaji ya huduma hiyo bado ni makubwa, hivyo RUWASA inapaswa kuimarisha mikakati ya kuwahudumia wananchi na wawekezaji. Katika hatua nyingine, Nyongo amemtaka Meneja wa RUWASA Wilaya ya Mkuranga kutafuta suluhu ya changamoto za upatikanaji wa maji katika maeneo yake ili wananchi waondokane na utegemezi wa vyanzo vya maji visivyo salama. Kwa upande wake, Meneja wa RUWASA Mkoa wa Pwani, Upendo Lugongo, amesema upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa vijijini mkoani humo umefikia asilimia 84.3. Amesema RUWASA inaendelea kutekeleza Programu ya 1575 inayolenga kufikisha huduma ya maji katika vijiji 13 katika mwaka wa fedha 2026/2027, kati ya vijiji 22 vilivyo kwenye programu hiyo. Amevitaja vijiji hivyo kuwa katika Halmashauri za Rufiji (1), Kibiti (3), Kisarawe (3), Mkuranga (3) na Mafia (3). Aidha, amesema RUWASA inaendelea kutekeleza miradi 36 ya maji katika hatua mbalimbali, huku ikiandaa utekelezaji wa miradi mipya 24. Amebainisha kuwa katika mwaka wa fedha 2026/2027, RUWASA Mkoa wa Pwani imetengewa Sh bilioni 14.64, ambapo Sh bilioni 5.51 zitatumika kutekeleza miradi 36 inayoendelea na Sh bilioni 9.13 zitaelekezwa katika miradi mipya 24.

Thu, 12 Nov 2026 12:16:07 +0000
Uncategorized · Business Daily

From plastic toys to high-tech: The changing face of ‘Made in China’

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto orders review of school capitation

Ruto directed Ministry, TSC to submit a report on his desk by January 2027 to inform his decision

Recently
Uncategorized · Capital FM

Women deputy governors decry frustration by their county boss

Latest · Counties

Recently
Sports · Capital FM

Baragoi-born ‘hitman’ named FKF Premier League player of the month

Latest · Football

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Political parties leading in popularity

Tifa opinion poll as of November 2026

Recently
Uncategorized · Capital FM

Missing lawyer Abshir Abdi found in Isiolo, LSK family to issue statement

Latest · News

Recently
Uncategorized · Capital FM

15pc of Kenyans undecided on preferred 2027 presidential winner – TIFA

Latest · Politics

Recently
Uncategorized · Daily News

Ubungo DC: New facilities to improve learning at Mbezi School

DAR ES SALAAM: Ubungo District Commissioner Albert Msando has said that the provision of 90 desks, 30 computers and other…

Recently
Uncategorized · The Standard

No political campaigns in Catholic churches, bishops warn

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Shyam Tanna Puts Europe on the Spot Over Mineral Processing Plans as Africa Pushes for Value Addition

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

Rwanda Seeks $12bn to Cut Dangerous Emissions by Half

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Missing lawyer Abshir Abdi reportedly found in Marsabit

Kanjama informed the court that he had been shown a text message indicating that the lawyer had been found.

Thu, 12 Nov 2026 14:29:22 +0300
Uncategorized · The Citizen

Man who killed 'bodaboda' rider and buried his body in Mbeya given death sentence

Read the full report from the original source.

Recently
Health · DW Rwanda

Israel targets senior Hamas member in Gaza hospital strike

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

DPP orders release of granddaughter's boyfriend in Regina Re's mother's murder case

Read the full report from the original source.

Recently

Page 225 of 1142 · 22831 stories