Search the region
22846 stories
“Nani kama Ruto?” KNUT boss Oyuu leads praise for President
Latest · News
RecentlyBURERA: Abantu 30 bafatanywe ibiyobyabwenge birimo litiro 700 za kanyanga
Abantu 30 bakekwaho kugira uruhare mu gutunda no gukwirakwiza ibiyobyabwenge bafatiwe mu mukwabu wakozwe mu ijoro ryo ku wa 12 Ugushyingo 2026, mu Mirenge ya Gatebe na Kivuye mu Karere ka Burera, hafatwamo ibiro 30 by’urumogi na litiro zisaga 700 za kanyanga.
Thu, 12 Nov 2026 10:52:29 +0200Lawyer Mbobu murder: Police inspector Sang pleads not guilty
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya to elevate its partnership with European Union, Ruto says
Kenya and the European Union (EU) have agreed to elevate their longstanding relationship to a comprehensive strategic partnership to deliver greater benefits to the people, President William Ruto has said.…
RecentlyZanzibar’s Spice Farms Turn Agricultural Heritage Into Jobs for Young People
Read the full report from the original source.
RecentlySamia Pushes Fair Carbon Returns as COP31 Confronts Finance Gap
Read the full report from the original source.
RecentlySalome atoa siku tano kwa ETDCO kukamilisha ujenzi kituo cha Kuboresha Hali ya Umeme Nanyumbu
Read the full report from the original source.
RecentlySportPesa Casino jackpots offer Tanzanian players a different experience beyond football predictions
SportPesa Casino jackpots offer Tanzanian players a different experience beyond football predictions Football jackpots depend on predicting results across selected matches, but casino jackpots operate differently. On SportPesa Tanzania, eligible casino games may include jackpot features governed by their own prize conditions, giving players a different format to understand beyond traditional football predictions. The online games are exciting, as the potential prizes. The game’s concept, prize feature, and qualifying outcome are what draw bettors looking at casino jackpot games . Because of this, the format is not the same as gathering football predictions and waiting for the final game to conclude. The experience is provided by one game, while the potential is defined by its own rules. How casino jackpots differ from football jackpots A football jackpot brings several matches into one entry and leaves the result tied to events across the fixture list. A casino game creates its own sequence, with its jackpot feature following the conditions attached to that particular game. The player chooses a game experience, and the eligible outcome determines whether its jackpot pays. SportPesa casino jackpots bring options into casino games that also include slots, table games and live online casino. Each format offers a different way to play in a session, from spinning to crash games to following a live dealer. A jackpot feature adds a possible prize outcome, but it does not establish improved overall winning probabilities. “Casino jackpots offer a different experience from traditional football jackpots because each eligible game has its own features, prize conditions and qualifying outcomes. At SportPesa Tanzania, we want customers to understand these differences clearly, explore the information available for each game and make informed choices while playing responsibly” said SportPesa Tanzania Head of Marketing Tracy Humplick Which SportPesa slot games feature jackpots? SportPesa Casino offers jackpot slot games with a grand Jackpot prize pool of more than TZS 264 million as of 11 November 2026. The jackpot feature has four prize tiers; Mini, Minor, Major and Grand, giving eligible players different jackpot prize levels depending on the qualifying outcome. Jackpot amounts change continuously, meaning the displayed prize pools may increase or change as players participate. Some of the featured titles in the SportPesa Casino Jackpots category include Wild Pure Ecstasy, Red Fate 10, Regal Spins 10, Fruit Attack 10, 40 Happy Seven and Robin Hoodwink. These games combine different slot themes and features with opportunities to qualify for jackpot prizes under their respective game rules. Players should review the applicable game rules, jackpot conditions and current prize amounts before playing. Accessing SportPesa Casino on mobile and desktop The mobile application can be used by players on their mobile phones or they can browse the casino games on desktop play offers another route to the same wider product range, and mobile access brings the virtual games to a familiar screen. Players can choose from a selection of experiences to review before joining a game. Each title has its own stake settings, features and qualifying conditions while playing through the official website or the online casino Tanzania . A clear view of the game allows players to see the prize information and check how much they are willing to bet before confirming. This forces the player to concentrate on the title and the specific session selected. Conclusion SportPesa Casino jackpots offer Tanzanian players a different experience from traditional football jackpots, with prize features determined by the rules of individual casino games rather than predictions across multiple football fixtures. Within eligible slot titles, jackpot conditions can vary, making it important for players to understand how a particular prize is triggered and how it differs from ordinary game payouts or bonus features. For SportPesa Tanzania, the distinction highlights the range of gaming formats available on its casino platform. Whether accessing games through a mobile device or desktop, eligible adults should review the individual game rules, understand the applicable stakes and prize conditions, and set responsible spending limits. Casino jackpots remain chance-based, and no prize outcome is guaranteed.
Thu, 12 Nov 2026 02:30:00 +0000NCMC attracts carbon business in investment interest in Tanzania
TURKEY: The National Carbon Monitoring Centre (NCMC) has pledged technical support to Carbon Bridge as the company explores investment opportunities…
RecentlyIcyorezo cya Ebola n’umutekano muke byakajije ikibazo cy’ibura ry’ibiribwa mu Burasirazuba bwa RDC
Ubushakashatsi bw’ishami ry’umuryango w’Abibumbye ryita ku biribwa n’ubuhinzi (FAO) bwagaragaje ko icyorezo cya Ebola n’umutekano muke byakajije ikibazo cy’ibura ry’ibiribwa, binahungabanya ubuhinzi n’ubworozi mu ntara za Ituri, Kivu y’Amajyaruguru na Kivu y’Amajyepfo muri Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo (RDC).
Thu, 12 Nov 2026 10:42:19 +0200BURERA: Abantu 30 bafashwe, hafatwa litiro zisaga 700 za Kanyanga n’ibiro 30 by’urumogi
Mu ijoro ryo ku wa 12 Ugushyingo 2026, Polisi y’u Rwanda ku bufatanye n’izindi nzego mu Mirenge ya Gatebe na Kivuye, mu Karere ka Burera, yafashe abantu 30 bakekwaho kugira uruhare mu gutunda no gukwirakwiza ibiyobyabwenge birimo urumogi na Kanyanga.
Thu, 12 Nov 2026 10:43:38 +0200Ruto, Sifuna tie at 31pc in latest TIFA presidential poll
Latest · Politics
RecentlyMNUNA ATAKA UDHIBITI WA EWURA ULETE MATOKEO CHANYA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Bw. Salum Mnuna,akizungumza wakati akifungua kikao cha kwanza cha Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo, mjini Singida. *Na Mwandishi Wetu-*Singida Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Bw. Salum Mnuna, amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuhakikisha wanaendelea kuwa chachu ya matokeo chanya katika utendaji na utoaji za kiudhibiti. Mnuna ametoa maelekezo hayo wakati akifungua kikao cha kwanza cha Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo, mjini Singida, leo 11 Novemba 2026. Amesisitiza kuwa, ili kufanikisha dhima hiyo, EWURA imeweka mazingira wezeshi yanayovutia sekta binafsi kushiriki kutoa huduma zinazodhibitiwa, imeongeza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia, kuimarisha utendaji wa mamlaka za maji nchinj sanjari na utekelezaji wa mpango kabambe wa kitaifa wa nishati. Aidha, ameeleza kuwa, EWURA tayari inatumia mbinu thabiti na zenye ufanisi zinazochagiza matumizi ya teknolojia katika utoaji huduma za kiudhibiti, uimarishaji wa mifumo ya kidijiti na kuendelea kulinda maslahi ya wawekezaji, watoa huduma, watumiaji.
Thu, 12 Nov 2026 08:43:11 +0000MKUYU AFRICA, DAMAC ZAUNGANA KUSAIDIA WATANZANIA KUMILIKI MAKAZI DUBAI
Kampuni ya Mkuyu Africa ya Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kibiashara na kampuni ya kimataifa ya uendelezaji wa majengo ya DAMAC Properties ya Dubai, kwa lengo la kuwawezesha Watanzania kupata fursa za kumiliki nyumba na apartments za kisasa jijini Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Ushirikiano huo unalenga kufungua milango ya uwekezaji wa kimataifa kwa wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania wengine wenye nia ya kuwekeza katika sekta ya nyumba na majengo nje ya nchi. Akizungumza mara baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Mkuyu Africa, Juneid Othman, alisema mpango huo utarahisisha upatikanaji wa nyumba Dubai kwa Watanzania bila kulazimika kusafiri kwenda nchini humo katika hatua za awali za ununuzi. Alisema kupitia ushirikiano huo, Mkuyu Africa itakuwa kiungo kati ya wanunuzi wa Tanzania na DAMAC Properties kwa kuwaonyesha miradi na nyumba zilizopo sokoni, kuwaelekeza katika taratibu za ununuzi na kuwawezesha kukamilisha malipo. “Tumekuwa tukishuhudia wawekezaji kutoka nchi za nje wakija kuwekeza Tanzania. Sasa kupitia ushirikiano huu kati ya Mkuyu Africa na DAMAC, Watanzania nao wanapata fursa ya kumiliki nyumba na apartments Dubai wakiwa hapa nchini,” alisema Juneid. Alifafanua kuwa mnunuzi anaweza kuanza mchakato wa kumiliki nyumba kwa kulipa asilimia tano ya thamani ya nyumba husika, huku malipo yaliyobaki yakikamilishwa kwa mujibu wa masharti na ratiba ya malipo iliyokubaliwa, hadi hatua ya kukabidhiwa nyumba pamoja na nyaraka za umiliki zinazotakiwa kisheria nchini Dubai. Juneid alisema lengo la mpango huo ni kupanua wigo wa Watanzania kushiriki katika uwekezaji wa kimataifa, hususan katika sekta ya nyumba na majengo, ambayo ni miongoni mwa maeneo yenye fursa za kukuza thamani ya mali na kupata mapato ya ziada. Aliongeza kuwa katika kuwarahisishia wanunuzi kupata uzoefu wa moja kwa moja, Mkuyu Africa kwa kushirikiana na DAMAC imeweka utaratibu wa kugharamia safari za wanunuzi kwenda Dubai ili kutembelea miradi, kuona nyumba wanazokusudia kununua na kushiriki katika hatua za makabidhiano kwa mujibu wa makubaliano ya ununuzi. Kwa upande wake, Meneja Mauzo na Mshauri wa Uwekezaji wa DAMAC Properties, Farah Al Hashimy, alisema kampuni hiyo ni miongoni mwa kampuni kubwa za uendelezaji wa majengo nchini Dubai, ikiwa na miradi mbalimbali ya makazi ya kisasa na ya kifahari, ikiwamo Chelsea Residences. Alisema ushirikiano huo utaongeza fursa kwa Watanzania kupata huduma na taarifa kuhusu miradi ya DAMAC, huku ukiimarisha mahusiano ya kibiashara kati ya kampuni hizo mbili. Aidha, ushirikiano huo unatarajiwa kuwa na manufaa ya pande mbili, kwa kuwa utarahisisha wawekezaji kutoka Dubai kuja kutafuta fursa za uwekezaji nchini Tanzania kupitia Mkuyu Africa, wakati Watanzania watapata fursa ya kuwekeza Dubai kupitia DAMAC Properties. Hatua hiyo inaonekana kuwa sehemu ya juhudi za kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya Tanzania na mataifa ya nje, sambamba na fursa zinazotokana na sera za Serikali za kufungua nchi na kuvutia mitaji pamoja na uwekezaji wa kimataifa. Meneja Mauzo na Mshauri wa Uwekezaji wa DAMAC Properties, Farah Al Hashimy, akizungumza wakati akiwaonyesha wandishi wa habari moja ya miradi ya kampuni hiyo nchini Dubai mara baada ya kusaini makubaliano ya kibiashara na mkurugenzi wa MKUYU Africa Juneid Othumani(kushoto) nchini Dubai hivi karibuni. Meneja Mauzo na Mshauri wa Uwekezaji wa DAMAC Properties, Farah Al Hashimy, akizungumza wakati akiwaonyesha wandishi wa habari moja ya miradi ya kampuni hiyo nchini Dubai mara baada ya kusaini makubaliano ya kibiashara na mkurugenzi wa MKUYU Africa Juneid Othumani(kushoto) nchini Dubai hivi karibuni.
Thu, 12 Nov 2026 08:44:58 +0000Ruto, Sifuna tie In 2027 presidential poll
President William Ruto and Nairobi Senator Edwin Sifuna have emerged as joint frontrunners in the 2027 presidential race
RecentlyKoome leads Supreme Court’s 2027 election readiness drive
Latest · Elections
RecentlyRAIS SAMIA KUHAMASISHA NA KUJENGA WODI ZA WATOTO NJITI BARANI AFRIKA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepanga kutumia uzoefu wa Tanzania katika kuimarisha huduma za watoto njiti kuhamasisha nchi nyingine za Afrika kuwekeza katika ujenzi wa wodi maalumu za watoto wachanga, huku akichangia ujenzi wa wodi hizo katika baadhi ya nchi za Bara la Afrika. Hayo yameelezwa Novemba 11, 2026, na Mshauri wa Rais wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto na Mkuu wa Sekretarieti ya Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, ambako amejionea mafanikio ya wodi maalumu ya watoto njiti. “Rais Dkt. Samia amepewa dhamana na Wakuu wa nchi 55 na Viongozi wanachama wa Umoja wa Afrika kuwa Kinara wa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto barani humo, amedhamiria kuendeleza uwekezaji katika huduma zinazookoa maisha ya wanawake na watoto, ndani na nje ya Tanzania” amesema Mhe. Ummy Mwalimu Amesema wodi hiyo ni mfano wa uwekezaji ambao Tanzania kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo ya Sekta ya Afya wanakusudia kuutumia kuhamasisha nchi nyingine za Afrika kuongeza uwekezaji katika huduma za kuokoa maisha ya watoto wachanga. Akifafanua namna uzoefu wa Kwimba utakavyotumika katika kuhamasisha nchi nyingine za Afrika, Mhe. Ummy amesema Tanzania itatumia mfumo wa kuhamasisha uwekezaji kwa vitendo, ambapo Rais Samia atatoa mchango wa kujenga wodi katika nchi nyingine pamoja na kusomesha wataalam wa Afya ya Mama na Mtoto huku akiendelea kuzihamasisha Serikali za. nchi husika kuongeza uwekezaji katika miundombinu na rasilimali watu. Katika hatua nyingine, Mhe. Ummy amebainisha kuwa Rais Dkt. Samia ametoa ahadi ya kuchangia Shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali hiyo ili kuendelea kuimarisha huduma za afya ya uzazi Wilayani Kwimba. Kwa upande wake, Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Watoto Wachanga, Watoto na Vijana kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Felix Bundala, amesema katika kipindi cha miezi tisa baada ya kuanzishwa kwa wodi hiyo katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba, idadi ya watoto waliopata huduma imeongezeka kutoka 183 hadi 542, huku rufaa zikipungua kwa asilimia 70 na vifo vya watoto waliolazwa vikishuka kutoka asilimia 34 hadi asilimia 12. Amesema mafanikio hayo yanaunga mkono mpango wa Serikali wa kujenga wodi maalumu za watoto njiti zisizopungua 60 ifikapo mwaka 2028, kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto wachanga na kufikia lengo la vifo 12 au chini ya hapo kwa kila vizazi hai 1,000 ifikapo mwaka 2030. “Uwekezaji huu ni sehemu ya utekelezaji wa ajenda ya Rais Samia, Kinara wa Umoja wa Afrika (AU) wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, inayolenga kufikia malengo makuu matatu ya sifuri: sifuri ya uzazi wa nyumbani, sifuri ya vifo vinavyoweza kuzuilika vya kina mama na watoto wachanga, na sifuri ya watoto wasiopata chanjo” amefafanua Dkt. Bundala. Wodi ya kwanza na ya kisasa nchini kwa ajili ya watoto njiti imejengwa na taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo ya Sekta ya Afya ni kielelezo hai cha namna ushirikiano kwenye maendeleo ya Sekta ya Afya unavyoweza kuleta tija katika upatikanaji wa Huduma za Afya.
Thu, 12 Nov 2026 08:34:42 +0000Kenya outperforms US, UK and South Africa in fixed internet latency ranking
Technology · Quick read
RecentlyPAPSS bets on local currencies to unlock Kenya’s Africa trade
Markets · 4 hours ago
RecentlyKenyan scholars urge Govt to borrow lessons from China’s anti-corruption model
News · 4 hours ago
RecentlyPage 231 of 1143 · 22846 stories