Search the region
22866 stories
Lissu Appeals Incitement Conviction and Four-Year Sentence as Family Bids Farewell to Brother Alute
Read the full report from the original source.
RecentlyHakikisheni mnambana mkandarasi ili mradi wa umeme Songea – Masasi ukamilike kwa wakati – Ndejembi
Read the full report from the original source.
RecentlyMatukio katika picha
MATUKIO katika picha wakati wa hitimisho la ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma tarehe 11 Novemba 2026. Mhe. Daniel Chongolo (Mb), Waziri wa Kilimo anashiriki katika ziara hiyo akiambatana na viongozi mbalimbali wakiwemo Bi. Tagie Daisy, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya Kilimo; Dkt Andrew Komba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula (NFRA); Bw Joel Laurent, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA; Bw. Samwel Mshote, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) na aimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA) Mhandisi, Innocent Masaka.
Wed, 11 Nov 2026 16:38:19 +0000Shahidi aeleza jinsi Mwaipaya alivyotekwa Nairobi
Soma hapa...
RecentlyCOP31 : l'Afrique veut passer des promesses aux financements
Read the full report from the original source.
RecentlyL’Union Africaine reçoit le chef de la MONUSCO et l’Envoyé de l’ONU pour la région des Grands Lacs
Read the full report from the original source.
Recently'Only one person can occupy the seat': Uhuru challenges opposition leaders to unite
Read the full report from the original source.
RecentlyState targets LPG access for 10m homes by 2028
According to the 2022 Demographic and Health Survey (DHS), a significant proportion of Kenyan households still depend on traditional cooking fuels.
RecentlyMwisaba ibintu bimwe abantu batandukanye mu bumenyi n’ubushobozi-Umudepite ku bisabwa insengero
Abadepite n’abasenateri basabye Urwego rw’Igihugu rw’Imiyoborere, RGB, kongera gutekereza ku byo isaba amadini n’amatorero kugira ngo ashobore gukomeza gukora, kuko ngo usanga basabwa ibintu bimwe nyamara badakorera hamw
RecentlyURA Blames ‘Hired Disruptors’ for Breakdown of Traders’ Meeting
Read the full report from the original source.
RecentlyState targets LPG access for 10 million homes by 2028
According to the 2022 Demographic and Health Survey (DHS), a significant proportion of Kenyan households still depend on traditional cooking fuels.
RecentlyMKUU WA MKOA AZINDUA MAABARA YA TEHAMA YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 188 KIBAHA GIRLS
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Nyongo, amezindua maabara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaha, mradi uliogharimu jumla ya Shilingi milioni 188, uliotekelezwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Capitalpay Foundation. Akizungumza Novemba 11, 2026, wakati wa uzinduzi huo, Nyongo ameipongeza Capitalpay Foundation kwa kushirikiana na Serikali katika kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuimarisha matumizi ya teknolojia katika sekta ya elimu. Aidha, ametoa wito kwa taasisi na wadau wengine wa maendeleo mkoani Pwani kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kuchangia miradi ya maendeleo, hususan katika sekta ya elimu. Amesema katika kipindi cha mwaka 2021/22 hadi 2025/26, Mkoa wa Pwani ulipokea jumla ya Shilingi bilioni 118.31 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, ambapo utekelezaji wake umehusisha ujenzi wa shule mpya 75, zikiwemo shule 35 za Awali na Msingi na shule 40 za Sekondari. Shule hizo ni pamoja na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sayansi Bibi Titi Mohamed na Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Kanda Mkuranga Boys. Aidha, Serikali imejenga jumla ya vyumba vya madarasa 1,889, vikiwemo 64 vya Elimu ya Awali, 809 vya Elimu ya Msingi na 1,016 vya Elimu ya Sekondari, pamoja na matundu ya vyoo, maabara, maktaba, mabwalo, mabweni na majengo ya utawala, sambamba na ukarabati wa miundombinu ya shule. Mkuu wa Mkoa Pia amesisitiza umuhimu wa wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule wanandikishwa na wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2027 wanaripoti katika shule walizopangiwa. Kwa upande wake Katibu tawala Mkoa wa Pwani Richard Kayombo shule hiyo imepata nafasi ya kipekee na kuwataka wanafunzi kutumia maabara hiyo kama nyenzo muhimu katika kuongeza tija kwenye masuala ya teknolojia. Naye Mkurugenzi wa Taafisi ya Capital pay Foundation kwa upande wa Tanzania Isack Nchunda amesema maabara hiyo itawafanya wanafunzi kuwa wabuni katika teknologia za mifumo na kuahidi kuwa kwa wale watakaokuwa wabobezi wataweza kupata fursa za ajira katika taasisi hiyo. Uzinduzi wa maabara hiyo ni sehemu ya ushirikiano kati ya Serikali na wadau wa maendeleo katika kuimarisha elimu na kuwawezesha wanafunzi kupata maarifa na ujuzi wa TEHAMA.
Wed, 11 Nov 2026 16:29:07 +0000The 6pm service: Where worship in 17th century style still thrives
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda shares parliamentary oversight experience on turning natural resources into sustainable development
Read the full report from the original source.
RecentlyEbola: IOM urges wider surveillance beyond formal routes in DR Congo
Read the full report from the original source.
RecentlyBuxton estate tensions escalate after county officials attacked
At the heart of the dispute is a joint venture agreement between the county and the developer, which provides for the county to receive 10 per cent of all housing units.
Wed, 11 Nov 2026 19:07:35 +0300Kenya's last Ebola patient leaves hospital
Read the full report from the original source.
RecentlyKidnapper escapes from house arrest in Argentina
Leonardo Bertulazzi used a harness to abseil down from a fifth-floor balcony in the capital, Buenos Aires. He was awaiting extradition to Italy.
RecentlyTRA KUWAJENGEA UWEZO MADEREVA WA MIZIGO YA TRANSIT
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kutoa elimu kwa madereva wanaosafirisha mizigo ya mpito (transit) kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda nchi nyingine ili kuwajengea uelewa wa sheria na taratibu za forodha na kuhakikisha mizigo inafika katika nchi husika bila kukiuka masharti ya usafirishaji. Kaimu Naibu Kamishna wa Udhibiti na Ushurutishaji wa TRA, Anangisye Mtafya, amesema baadhi ya changamoto zinazojitokeza katika usafirishaji wa mizigo hiyo zinatokana na baadhi ya madereva kutofahamu taratibu wanazopaswa kuzifuata, hali inayoweza kusababisha mizigo kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Mtafya ameyasema hayo Novemba 11, 2026, wakati TRA ilipokutana na madereva wa magari yanayosafirisha mizigo ya transit jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwapatia elimu kuhusu sheria na taratibu za usafirishaji wa mizigo hiyo. Amesema kumekuwa na matukio ya baadhi ya madereva kushawishiwa na watu wasio waaminifu kumwaga mizigo ya transit ndani ya nchi badala ya kuipeleka katika nchi zilizokusudiwa, jambo linalosababisha changamoto kati ya madereva na waajiri wao. Amesema vitendo hivyo vina athari mbalimbali, ikiwemo kupoteza mapato ya Serikali kutokana na bidhaa kuingia nchini bila kulipiwa kodi, kuhatarisha afya za wananchi pale bidhaa kama chakula na dawa zinapoingia sokoni bila kupitia taasisi zinazohusika na udhibiti wake, pamoja na kuathiri ushindani wa kibiashara. Aidha, amesema uingizaji huo wa bidhaa unaweza kuhusishwa na vitendo vya utakatishaji fedha, hivyo ni muhimu kwa madereva kufahamu wajibu wao na kuzingatia taratibu za forodha katika safari zao. Akizungumzia umuhimu wa elimu hiyo, Mtafya amesema dereva atakayebainika kuhusika na kumwaga mzigo wa transit anaweza kuwajibishwa kwa kulipa faini, huku gari lililotumika kusafirisha mzigo huo likiwa katika hatari ya kutaifishwa kwa mujibu wa sheria. Pia, dereva anaweza kufikishwa mahakamani. Amesema utoaji wa elimu hiyo ni endelevu na TRA itaendelea kuwafikia madereva katika vituo mbalimbali vinavyopitisha mizigo ya transit nchini. Ametaja vituo hivyo kuwa ni pamoja na Rusumo, Mutukula na Kabanga, huku akieleza kuwa watarejea Tunduma kutokana na wingi wa mizigo inayopita katika kituo hicho. Aidha, TRA itaendelea kutumia vipeperushi kuwafikishia madereva na wadau wengine elimu kuhusu taratibu za usafirishaji. Kwa upande wake, dereva wa malori, Nelson Impinzile, amesema mafunzo hayo yamemsaidia kufahamu makosa ya kiforodha ambayo awali hakuwa na uelewa nayo, ikiwemo kuongeza mizigo kwenye mzigo wa transit na kushusha mizigo katika maeneo ambayo hayajaidhinishwa. Amesema elimu hiyo ni muhimu kwa kuwa makosa hayo yanaweza kusababisha madereva kulipa faini kubwa au kufungwa, hivyo ameiomba TRA kuendeleza mafunzo hayo mara kwa mara ili kuwajengea uelewa wa kutosha. Naye Mwenyekiti wa Madereva Wanawake Tanzania, Naetwe Ihema, amesema mafunzo hayo yamemsaidia kufahamu taratibu za usafirishaji, ikiwemo muda na mazingira yanayofaa kwa dereva kusimama au kuegesha gari wakati wa safari na umuhimu wa kuhakikisha nyaraka za gari zinaendana na taarifa zilizoandaliwa na mamlaka za forodha. Ihema, anayewakilisha madereva wanawake wa mabasi, malori, meli, SGR, pikipiki, mitambo na madereva wa viongozi, ameiomba TRA kuendeleza elimu hiyo kupitia redio, televisheni na magazeti ili kuwafikia madereva wengi zaidi. Amesema madereva wana muda mchache wa kupata taarifa sahihi kutokana na majukumu yao ya kila siku, hivyo utoaji wa elimu mara kwa mara utawasaidia kuongeza uelewa na kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria na taratibu.
Wed, 11 Nov 2026 16:20:43 +0000COP31 : l'Afrique veut passer des promesses aux financements
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 245 of 1144 · 22866 stories