Search the region
22871 stories
Kenya protests 100 lashes for worker in Saudia
Sing'oei said Kenya would continue engaging Saudi authorities over the case and other complex issues involving the enforcement of judicial decisions affecting
RecentlyTanzania, Kenya explore PPP financing for Infrastructure projects
Read the full report from the original source.
RecentlyCOP31: Energy transition takes centre stage as countries map path beyond fossil fuels
Read the full report from the original source.
RecentlyPM to grace IQEC 2026
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba is expected to grace the second day of the Sixth International Quality…
RecentlyEbola: IOM urges wider surveillance beyond formal routes in DR Congo
Read the full report from the original source.
RecentlyRAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA COP31 NCHINI UTURUKI
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na viongozi mbalimbali katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali (Antalya Leaders’ Summit) kuhusu mabadiliko ya Tabianchi (COP31) uliofanyika kwenye ukumbi wa ANFAŞ Antalya Expo Center nchini Uturuki, tarehe 11 Novemba, 2026.
Wed, 11 Nov 2026 15:44:49 +0000MAMIA YA WAKAZI WA MIRERANI WAJITOKEZA KUMZIKA MKE WA KATIBU WA MAREMA
Na Mwandishi Wetu, Mirerani Mamia ya wakazi wa mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, wamejitokeza katika mazishi ya marehemu Laura Lawrence Massawe, aliyekuwa mke wa Katibu wa Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Manyara (MAREMA), Tariq James Kibwe. Mazishi hayo yalifanyika Mirerani, huku mwili wa marehemu ukizikwa katika eneo la Kia, Mkoa wa Kilimanjaro. Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Kimadini wa Mirerani (RMO), George Kaseza, aliongoza waombolezaji katika mazishi hayo na kutoa pole kwa Kibwe pamoja na familia yote kutokana na msiba huo. Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), Peter Kabepera, akimwakilisha Rais wa shirikisho hilo, John Bima, alitoa salamu za pole na rambirambi kwa familia ya marehemu. Alisema Rais Bima hakuweza kuhudhuria mazishi hayo kutokana na kuwa nje ya nchi, hivyo kumtuma kumwakilisha katika msiba huo. Naye Mwenyekiti wa MAREMA, Elisha Nelson Mnyawi, aliwapa pole wafiwa na kuwataka kuwa na moyo wa subira na kumtegemea Mungu katika kipindi hicho kigumu. Viongozi wengine waliotoa pole ni pamoja na Mwenyekiti Mstaafu wa MAREMA, Justin Nyari, na Diwani wa Kata ya Mirerani, Salome Nelson Mnyawi, ambaye aliwataka watoto wa marehemu kuendelea kumpenda, kumheshimu na kumthamini baba yao katika kipindi hiki cha majonzi. Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali, wadau wa sekta ya madini, ndugu, jamaa na wananchi wa maeneo mbalimbali.
Wed, 11 Nov 2026 15:46:35 +0000Airtel Money mobile-to-bank transfers open via Pesalink
Read the full report from the original source.
RecentlyMKENDA: Ubunifu Tanzania lazima uanze kuzalisha bidhaa na kufika sokoni
Read the full report from the original source.
RecentlyIndonesia's VP resigns over high school certificate
Gibran's resignation comes after Indonesia's Supreme Court ruled that a high-school certificate used during Gibran's 2024 election campaign was invalid.
RecentlyIQEC 2026 opens with call for sustainable education financing
DAR ES SALAAM: THE Sixth International Quality Education Conference (IQEC 2026) has officially opened in Dar es Salaam, bringing together…
RecentlyMinister Babalanda Launches Buganda Envoy’s Office, Warns Against Return to 2009 Kayunga Riots as She Calls for Stronger Government-Mengo Ties
Read the full report from the original source.
RecentlyCS orders police to flush out 'goons' from Ruiru estates
He also warned licensed firearm holders against misusing their weapons, saying possession of a firearm would not shield anyone from prosecution if found using i
RecentlyTakukuru yakamata nadumu 510 ya mafuta ya kula yaliyoingizwa kimagendo
Read the full report from the original source.
RecentlyKADOGOSA, WAZIRI WA FEDHA KENYA WAJADILI UWEKEZAJI MIRADI SEKTA YA MIUNDOMBINU
WAZIRI wa Ujenzi Masanja Kadogosa, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Baraza la Mawaziri anayesimamia Hazina ya Taifa nchini Kenya FCPA John Mbadi, jijini Nairobi nchini Kenya. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamejadili namna bora ya kutumia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika utekelezaji wa miradi ya barabara, hususan katika maeneo ya uwekezaji, upatikanaji wa fedha na ushirikiano wa sekta hizo katika kuendeleza miundombinu. Mazungumzo hayo pia yalihusisha kubadilishana uzoefu na maarifa kuhusu mbinu bora za kuandaa, kufadhili na kusimamia miradi mikubwa ya maendeleo, pamoja na mifumo ya ulipaji wa huduma za baadhi ya miundombinu kwa lengo la kuhakikisha miradi hiyo inaendelezwa kwa ufanisi na uendelevu. Mkutano huo ulihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Uwekezaji wa Umma na Usimamizi wa Rasilimali za Serikali, Bw. Cyrell Wagunda, pamoja na viongozi wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) nchini Kenya, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Mhandisi Kefa Seda. Mhe. Kadogosa na ujumbe wake wapo nchini Kenya kushiriki Mkutano wa 16 wa Afrika kuhusu Ufadhili, Uwekezaji na Ubia katika Miundombinu (Africa PPP 2026), unaofanyika jijini Nairobi na kukutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo, wawekezaji na taasisi za kifedha kujadili fursa na mikakati ya kuongeza uwekezaji katika miradi ya miundombinu barani Afrika.
Wed, 11 Nov 2026 15:26:14 +0000Magoli | Yanga Princess 0-1 JKT Queens | Ligi Kuu Wanawake 11/11/2026
#TWPL: Mfungaji ni Asha Rashid....! aliyewapeleka mapumziko kwa furaha. HT: Yanga Princess 0-1 JKT Queens LIVE #AzamSports1HD Nini kibadilike kipindi cha pili? #TWPL #WPL #TanzaniaWomenPremierLeague #LigiKuuWanawake #LigiYaWanawake #WomenFootball #WomenPremierLeague #YangaPrincess #JKTQueens
2026-11-11T15:09:39+00:00Brazil's electoral court fines Meta $1.3M for noncompliance
Read the full report from the original source.
RecentlyODM formally exits Azimio, announces major leadership changes
Read the full report from the original source.
RecentlyKAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA KUANZA NOVEMBA 16 HOSPITALI YA TUMBI
Na Victor Masangu, Pwani Madaktari bingwa kutoka hospitali mbalimbali nchini wanatarajia kutoa huduma za matibabu ya kibingwa na bobezi kwa wananchi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani ya Tumbi, kuanzia Novemba 16 hadi 20, 2026. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema kambi hiyo itakuwa maalumu kwa wananchi wa Mkoa wa Pwani na maeneo jirani kupata huduma za kibingwa bila malipo. Amesema huduma hizo zitatolewa kwa siku tano, kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni, huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kutumia fursa hiyo kupata uchunguzi na matibabu kutoka kwa madaktari bingwa. Kwa upande wake, Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani ya Tumbi, Dk. Silas Msangi, amesema maandalizi ya kambi hiyo yanaendelea vizuri na kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kupata huduma hizo. Ameeleza kuwa madaktari bingwa watakaoshiriki katika kambi hiyo wanatoka mikoa ya Singida, Iringa, Morogoro, Dodoma na Pwani. Kambi hiyo inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi bila gharama yoyote.
Wed, 11 Nov 2026 15:20:45 +0000Kdogosa, Waziri wa Fedha Kenya wajadili Uwekezaji wa miradi sekta ya Miundombinu
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 247 of 1144 · 22871 stories