Search the region
22892 stories
RAAWU waonywa rushwa kwenye uchaguzi
Read the full report from the original source.
RecentlyUingereza yatoa kauli hukumu ya Lissu
Soma hapa...
RecentlyLesotho to Buy 20 Kiira Motors Buses as Museveni Pledges Five More
Read the full report from the original source.
RecentlyChurch counts losses as fire razes buildings, kills 400 chickens
Read the full report from the original source.
RecentlyMuseveni Appoints 13 New Permanent Secretaries, Retires 11
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda Bets on Inland Water Transport to Cut Cargo Costs
Read the full report from the original source.
RecentlyUgandan Youth Activist Wins Global Sustainability Award
Read the full report from the original source.
RecentlyWajackoyah to revive bhang agenda in 2027 race
The Roots Party leader says voters misunderstood his 2022 proposals, insisting hemp commercialisation could transform Kenya's economy through agriculture.
RecentlyKenya Railways sets December deadline for Talanta Stadium rail link
The railway connection to Raila Odinga International Stadium (Talanta) comes ahead of the January 5, 2027, football match between Bayern Munich and Ajax FC.
RecentlyUZIO WA UMEME KUWAKOMESHA WANYAMA PORI WAKALI NA WAHARIBIFU
Wananchi wa kijiji cha Makhoromba wilayani Karatu hivi karibuni wanatarajiwa kupumua baada ya kumalizika kwa ujenzi wa uzio wa umeme unaofanywa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ambapo kwa sasa mradi huo umefikia asilimia 72 ili uweze kukamilika. Lengo la ujenzi wa uzio huo ni kuondoa migogoro baina ya wanyamapori wakali na waharibifu dhidi ya wananchi ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM inayosisitiza umuhimu wa wananchi kulindwa. Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Victoria Shayo, amesema ujenzi huo unafanyika ili wananchi katika eneo hilo na mali zao waweze kuwa salama. Ziara hiyo imehitimishwa kwa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro katika kulinda na kutunza mazingira pamoja na kuhakikisha mradi huo unakuwa endelevu kwani uwepo wake utawazuia wanyamapori wakali kutotoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro.
Wed, 11 Nov 2026 06:52:15 +0000India: CPCB addresses stark Delhi pollution data gap on Diwali night
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany's climate standing sinks to lowest level in years
Read the full report from the original source.
RecentlySTEVEN ARIONG: UPDF Should Take Over Kira Motors to Save Taxpayers’ Money
Read the full report from the original source.
RecentlyMAKAMU WA RAIS ATOA MAELEKEZO WIZARA YA KILIMO KUSHUGHULIKIA BEI YA MBOLEA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemwagiza Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, kuhakikisha mbolea ya ruzuku inapatikana kwa bei elekezi ya Serikali katika Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma, pamoja na maeneo mengine ya mkoa huo, kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya pembejeo hiyo muhimu. Makamu wa Rais ametoa agizo hilo, Novemba 10, 2026, wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Maji wa Mtyangimbole–Dabaga, wenye thamani ya shilingi bilioni 5.6, ambao umefikia asilimia 96 ya utekelezaji na unatarajiwa kuhudumia zaidi ya wananchi 19,000 katika vijiji vitatu. Katika ziara hiyo, amekagua matenki ya kuhifadhia maji na miundombinu mingine ya mradi, pamoja na kuzungumza na wananchi waliopata fursa ya kueleza changamoto zinazowakabili. Akizungumzia upatikanaji wa mbolea, Makamu wa Rais amesisitiza kuwa Serikali haiwezi kukubali wananchi kuuziwa mbolea ya ruzuku kwa bei inayozidi ile iliyoelekezwa, huku akimtaka Waziri wa Kilimo kufuatilia na kutoa taarifa kuhusu sababu za kupanda kwa bei hiyo. Amesisitiza kuwa bei elekezi ya Serikali lazima izingatiwe Madaba na maeneo mengine, ili wakulima wanufaike na ruzuku inayotolewa kwa lengo la kupunguza gharama za uzalishaji. Aidha, akizungumzia bei ya mahindi kwa mwaka 2026, Ndejembi amewahimiza wakulima kujiandaa na msimu ujao wa kilimo kwa kuongeza uzalishaji, akieleza dhamira ya Serikali ya kuhakikisha mbolea ya ruzuku inapatikana na changamoto za masoko na bei ya mahindi zinashughulikiwa ili wakulima wasipate hasara. Kuhusu Mradi wa Maji wa Mtangimbole–Dabaga, Makamu wa Rais amesema utekelezaji wake ni kielelezo cha namna Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inavyoendelea kupeleka huduma muhimu karibu na wananchi na kuboresha maisha yao. Amesema Serikali itaendelea kufanya kazi kwa juhudi ili kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi mmoja mmoja, hususan katika maeneo ya vijijini. Katika hatua nyingine, Makamu wa Rais amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira kwa kulinda misitu, kupunguza ukataji miti ovyo na kuhifadhi vyanzo vya maji, akionya kuwa uharibifu wa mazingira unachangia mabadiliko ya tabianchi, ukame na kupungua kwa upatikanaji wa maji. Ziara hiyo imeweka msisitizo katika dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya maendeleo inaleta matokeo yanayoonekana, huku changamoto zinazogusa maisha ya wananchi, hususan wakulima, zikishughulikiwa kwa wakati.
Wed, 11 Nov 2026 06:37:02 +0000Umukuka Heads to Ethiopia to Represent East Africa at African Kings and Traditional Leaders Conference
Read the full report from the original source.
RecentlyHow Dar es Salaam is tackling petty traders operating in road reserves
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy value addition is key to Tanzania unlocking $220 billion in exports
Read the full report from the original source.
RecentlySwaga nje, makonde mazito ndani ya ulingo
Read the full report from the original source.
RecentlyNintendo Ends Google and Apple Sign-Ins for Switch Accounts in January
Read the full report from the original source.
RecentlyTundu Lissu’s brother laid to rest amid tributes and calls for justice and democracy
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 261 of 1145 · 22892 stories