Unganishwa

Search the region

22913 stories

Uncategorized · Chimpreports

25 Changemakers Set to Transform Communities as MTN Uganda Foundation Unveils Phase IV Beneficiaries

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Why US Embassy will remain closed on Wednesday

Normal operations will resume on Thursday, November 12, 2026.

Recently
Uncategorized · Daily News

103bn/- govt investment turns innovation into economic value

DODOMA: FROM agricultural technologies to digital education and biological crop protection, four decades of government investment in research and innovation…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: Presidential candidate Aigner makes case at Bundestag

Read the full report from the original source.

Recently
Health · Issa Michuzi

BABU TALE KUGARAMIA MATIBABU KWA WANANCHI NGERENGERE

Farida Mangube, Morogoro WANANCHI wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki wamenufaika na huduma za matibabu ya kibingwa bila gharama baada ya Mbunge wa jimbo hilo, Hamis Taletale maarufu Babu Tale  kugharamia vipimo, matibabu na dawa kwa wote watakaohudhuria kambi maalumu ya afya inayoendelea katika Tarafa ya Ngerengere. Kambi hiyo ya siku 10, imeanza Novemba 10 na kutarajiwa kuhitimishwa Novemba 20, 2026, imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Ofisi ya Mbunge na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi na kupunguza mzigo wa gharama za matibabu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga, Babu Tale amesema hakuna mwananchi atakayeshindwa kupata huduma kwa sababu ya kukosa fedha, akisisitiza kuwa gharama zote za matibabu kwa watakaohudhuria kambi hiyo zitagharamiwa. Amebainisha kuwa huduma zitakazotolewa bure ni pamoja na vipimo vya moyo kwa kutumia teknolojia za ECHO na ECG, uchunguzi wa afya, ushauri kutoka kwa madaktari bingwa, matibabu pamoja na dawa kulingana na mahitaji ya wagonjwa. Hatua hiyo inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo, ambayo yanahitaji utambuzi wa mapema na uangalizi wa kitaalamu ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza. Katika kuimarisha zaidi ustawi wa wananchi wenye hali ngumu kiuchumi, Babu Tale pia ametangaza mpango wa kutoa bima za afya bure kwa kaya maskini 150 zisizo na uwezo ndani ya jimbo hilo. Mpango huo unatajwa kuwa sehemu ya jitihada za kupunguza changamoto ya wananchi kushindwa kupata huduma za afya kutokana na gharama, huku ukilenga kuhakikisha familia zenye uhitaji zinapata fursa ya kupata matibabu bila kukabiliwa na vikwazo vya kifedha. Kambi hiyo ya matibabu ya kibingwa inatarajiwa kuwa mkombozi kwa wakazi wa Ngerengere na maeneo jirani, kwa kuwapa nafasi ya kupata huduma za kitaalamu ambazo kwa baadhi yao zimekuwa ngumu kuzipata kutokana na umbali na gharama za matibabu.

Tue, 10 Nov 2026 16:17:19 +0000
Uncategorized · Business Daily

Transport costs hit 8-year high on fuel subsidy halt

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Nile Post

Oboth Urges Male MPs to Undergo Health Screening at Parliament

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Recovering Kompany returns to Bayern training centre

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RC Sendiga azindua namba maalum ya wananchi ya kuwasilisha kero

Na FARIDA MANGUBE, MOROGORO MKUU wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Queen Sendiga, amezindua rasmi namba maalumu ya simu itakayotumika na wananchi kupiga na kutoa kero, changamoto na maoni yao ili yaweze kupatiwa ufumbuzi kwa haraka. Mhe. Sendiga amezindua huduma hiyo Novemba 9. 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Magadu, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Mkoani humo. Aidha amesema, hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuhakikisha kero za wananchi zinapatiwa ufumbuzi kwa wakati huku akisisitiza kuwa sasa ni wakati wa kuzifanyia kazi haraka changamoto zinazowakabili wananchi. Amebainisha kuwa namba yansimu watakayotumia wananchi kuwasilisha kero zao bila malipo ni 0800114045 huku akibainisha kuwa gharama za kupiga simu hiyo bure imegharimiwa na Serikali.

Tue, 10 Nov 2026 16:08:54 +0000
Business · Issa Michuzi

UWEKEZAJI WA VIWANDA VYA BIDHAA TIBA WAPIGA HATUA KONGANI YA MLOGANZILA

Kikosi Kazi cha Kitaifa cha Kuharakisha Uwekezaji katika Viwanda vya Bidhaa Tiba (PIAT) kimeridhishwa na hatua iliyofikiwa katika uanzishaji wa viwanda vya bidhaa tiba katika Kongani ya Viwanda ya Mloganzila, kufuatia ziara ya kikosi hicho iliyofanyika tarehe 8 Novemba 2026. Akizungumza wakati wa ziara hiyo iliyoongozwa na Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb), ilielezwa kuwa matunda ya uwekezaji huo yanatarajiwa kuanza kuonekana kuanzia Mei 2027, ambapo uzalishaji wa takribani asilimia 60 ya vifaa tiba unatarajiwa kuanza. Waziri wa Afya alisisitiza uwepo wa soko la uhakika kwa wawekezaji wa bidhaa tiba, siyo tu nchini Tanzania, bali pia katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika, akiwahimiza kutumia fursa zilizopo kuwekeza nchini. Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa Viwanda vya Dawa, Mhe. Emmanuel Tayari, alieleza kuwa eneo lote la kongani hiyo tayari limepata wawekezaji, ambao wamewasilisha mipango kazi yao. Aliongeza kuwa Kampuni ya Hongyu, yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha na kuuza vifaa tiba katika soko la Ulaya, inaendelea kukamilisha ujenzi wa majengo yatakayotumika kwa ajili ya kuanzisha viwanda vya vifaa tiba nchini. Kongani ya Viwanda ya Mloganzila, iliyopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, ilizinduliwa tarehe 8 Mei 2026 na ina ukubwa wa takribani ekari 450. Kongani hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali za kukuza uzalishaji wa ndani wa bidhaa tiba, kupunguza utegemezi wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje na kuimarisha upatikanaji wa bidhaa tiba nchini. PIAT inaundwa na wataalamu kutoka sekta za afya, viwanda na uwekezaji, chini ya usimamizi mkuu wa Wizara ya Afya, kwa lengo la kuratibu na kuharakisha uwekezaji katika viwanda vya bidhaa tiba nchini.

Tue, 10 Nov 2026 16:11:34 +0000
Uncategorized · Rwanda Inspirer

Don Bosco Urges Rwanda’s Industries to Join TVET Training Before Students Graduates

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

'Conman, mtu tapeli', Ruto tells Gachagua to stop tribal politics

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Iran denies role in French fridge cyberattack as Paris summons envoy

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Lesotho to purchase 20 Kiira Motors buses as Museveni pledges five more

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Gates Of Meridian Yafungua Milango Ya Furaha Na Ushindi Mkubwa

MASHABIKI wa michezo wanapenda mashindano yenye ushindani, msisimko na zawadi kubwa, lakini safari ya burudani haipaswi kuishia uwanjani pekee. Sasa Meridianbet imekuja na habari njema kwa wapenzi wa michezo ya kasino kupitia mchezo mpya wa Gates of Meridian, uliobuniwa na Expanse na kupatikana rasmi kuanzia Novemba 2, 2026. Huu ni mwanzo wa safari mpya yenye matukio ya kusisimua, ambapo kila hatua inaweza kufungua ukurasa mwingine wa burudani. Gates of Meridian unakukaribisha katika ulimwengu wa kipekee uliojaa fursa mbalimbali za kufurahia mchezo. Kama ilivyo katika mashindano makubwa ya soka, ambapo kila dakika inaweza kubadilisha matokeo, mchezo huu unakuja na vipengele vinavyoongeza msisimko katika kila hatua. Miongoni mwa vinavyokuvutia ni mizunguko ya bure, bet za bonasi ambazo zinaongeza ladha tofauti katika safari yako ya kucheza. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Lakini burudani haiishii hapo, Gates of Meridian pia unakuletea mashindano ya Tournaments, ambapo unaweza kushiriki katika ushindani pamoja na wachezaji wengine. Pia kuna Multi-Level Progressive Jackpots na Mystery Jackpot zinazoongeza mvuto wa mchezo. Hapa, kila mchezaji ana nafasi ya kufurahia safari yenye matukio mbalimbali, huku Happy Hour ikiweka ladha nyingine ya kipekee katika uzoefu wa mchezo. Kwa upande mwingine, Meridianbet imehakikisha kuwa wachezaji wanaendelea kupata uzoefu wenye manufaa. Hapa kuna vipengele vinavyoongeza chaguo za burudani na kufanya Gates of Meridian kuwa zaidi ya mchezo wa kawaida. Ni ulimwengu unaokupa sababu nyingine ya kufurahia kila hatua unapokuwa ndani ya mchezo huu mpya. Usibaki nyuma wakati milango ya burudani imefunguliwa. Gates of Meridian inapatikana kipekee kupitia Meridianbet tangu Novemba 2, 2026. Tembelea Meridianbet, jisajili , ingia kwenye ulimwengu huu mpya wa Expanse na ugundue vipengele vyake vya kusisimua. Meridianbet, burudani yako inaanza hapa.

Tue, 10 Nov 2026 06:00:00 +0000
Uncategorized · Business Daily

Tribunal upholds Sh1.7bn tax demand on Del Monte

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Keroche speaks after losing Senate leadership post

She reassured Nakuru residents that losing the influential parliamentary position would not affect her commitment to representing them.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Climate crisis could push 141 million more women into extreme poverty

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Usiku wa Mabingwa! Häcken Yakutana na Chelsea

MASHABIKI wa soka la wanawake wanatarajia kushuhudia burudani nyingine ya kuvutia katika michuano ya UEFA Women's Champions League, wakati BK Häcken ya Sweden itakapokuwa mwenyeji wa Chelsea Women ya England, Jumanne, Novemba 10, 2026, kuanzia saa 21:00 usiku. Ni mchezo unaobeba ushindani mkubwa huku kila upande ukiwa na dhamira ya kuonyesha ubora wake katika jukwaa kubwa la soka la wanawake barani Ulaya. Chelsea inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na hadhi ya moja ya timu zenye ushindani mkubwa katika soka la wanawake barani Ulaya. Kikosi hicho kinajivunia uzoefu wa kushiriki michezo mikubwa, uwezo wa kucheza kwa kasi na kutumia nafasi zinazopatikana, jambo linalokifanya kuwa mpinzani mgumu kwa Häcken. Kwa upande wa BK Häcken, kucheza nyumbani ni nafasi muhimu ya kuonyesha uwezo wao mbele ya mashabiki wao. Timu hiyo ya Sweden itahitaji kutumia vizuri mazingira ya nyumbani, kucheza kwa nidhamu na kutumia mashambulizi ya haraka ili kuisumbua safu ya ulinzi ya Chelsea. Katika hatua ya mashindano, Chelsea inaingia ikiwa na matokeo mazuri zaidi baada ya kukusanya pointi saba katika michezo yake mitatu ya mwanzo, ikishinda miwili na kutoka sare moja. Häcken , kwa upande mwingine, imekusanya pointi moja pekee baada ya kupoteza michezo miwili na kutoka sare moja, hivyo ushindi katika mchezo huu ni muhimu kwa matumaini yake ya kupanda kwenye msimamo wa ligi. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na vita kubwa ya kiufundi, hasa eneo la kiungo na safu za ushambuliaji. Chelsea itahitaji kutumia kasi na uzoefu wake kutengeneza nafasi za mabao, huku Häcken ikitarajiwa kupambana kwa nguvu, kulinda lango lake na kutumia kila nafasi itakayopata mbele ya mashabiki wake. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa hiyo, usikose kufuatilia dakika 90 za ushindani kati ya Häcken na Chelsea katika UEFA Women's Champions League. Je, Chelsea itaendeleza ubabe wake na kuondoka na pointi tatu au Häcken itatumia faida ya uwanja wa nyumbani kufanya maajabu? Jiandae kuwa mshindi kwenye mechi hii ndani ya Meridianbet leo na Jisajili sasa!

Tue, 10 Nov 2026 06:00:00 +0000
Uncategorized · The Standard

Government audits projects amid accountability pressure

Read the full report from the original source.

Recently

Page 273 of 1146 · 22913 stories