Unganishwa

Search the region

22917 stories

Uncategorized · The Star Kenya

KNH makes history with 2 pioneering nerve surgeries

Lesiyampe said the achievement demonstrated the hospital's growing capacity to undertake complex medical procedures locally

Recently
Health · The Citizen

How specialised healthcare is reshaping Tanzania’s medical tourism

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑻𝑨𝑲𝑨 𝑴𝑨𝑷𝑨𝑻𝑶 𝒀𝑨 𝑵𝑫𝑨𝑵𝑰 𝑲𝑼𝑯𝑨𝑹𝑨𝑲𝑰𝑺𝑯𝑨 𝑼𝑱𝑬𝑵𝒁𝑰 𝑾𝑨 𝑯𝑶𝑺𝑷𝑰𝑻𝑨𝑳𝑰 𝒀𝑨 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑮𝑨

Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mbinga wenye thamani ya Shilingi bilioni 3.7, ambapo majengo 15 kati ya 29 yamekamilika tangu mradi huo uanze mwaka 2021. Katika ziara hiyo, ameuagiza uongozi wa Halmashauri kutumia sehemu ya mapato yake ya ndani, yanayofikia wastani wa Shilingi bilioni 14.7 kwa mwaka, kuharakisha ukamilishaji wa baadhi ya  majengo hasa nyumba za wafanyakazi  badala ya kutegemea fedha za Serikali Kuu pekee. Aidha, amepongeza mafanikio katika kuboresha huduma za uzazi na kupunguza vifo vya mama na mtoto vilivyoripotiwa hospitalini hapo kutoka 550 Kabla ya ujenzi wa hospitali hiyo hadi 106 tangu hospitali ilipoanza kutoa huduma. Akieleza sababu za idadi ya Vifo, Mganga Mkuu katika hospitali hiyo amesema  idadi kubwa ya Vifo inatokana na wajawazito kujifungulia nyumbani. Akifikisha salamu za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wagonjwa, Makamu wa Rais amesisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kuimarisha miundombinu na huduma za afya ili kulinda maisha ya mama na mtoto.

Tue, 10 Nov 2026 12:56:15 +0000
Uncategorized · KBC

Seven killed in suspected Al-Shabaab attack in Mandera

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Coast tourism players urge leaders to tone down political rhetoric

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Une explosion dans une aciérie en Turquie a fait au moins 17 morts

Des témoins oculaires affirment que l'explosion a fait trembler le sol, l'un d'eux pensant même qu'un tremblement de terre s'était produit près de l'usine Habas Demir Celik à Aliaga.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU: MSIWATENGE WANANCHI KWA SABABU YA IMANI

▪️ Ataka walimu wawili waliojitolea kwa zaidi ya miaka mitano waajiriwe kutokana na mchango wao katika ufaulu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevitaka vikundi vya Sungusungu kutowatenga wananchi wala kuwalazimisha kushiriki taratibu zinazokinzana na imani zao, akionya kuwa vitendo hivyo vinaweza kusababisha mgawanyiko katika jamii. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumanne, Novemba 10, 2026), wakati akisikiliza kero za wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Singita, Kata ya Usanda, Jimbo la Itwangi, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. “Kama mtu imani yake haimruhusu kuchanja, kwa kweli tusimlazimishe. Na wala tusimtenge,” amesema. Maelekezo hayo yamefuatia malalamiko ya mwananchi, Simon John, aliyedai kuwa mchungaji wake ametengwa baada ya kukataa kushiriki baadhi ya taratibu za Sungusungu, huku waumini wakizuiwa kwenda kusali kwake. Akizungumza na kiongozi wa Sungusungu aliyekuwapo mkutanoni, Waziri Mkuu amemtaka kuhakikisha mchungaji huyo hatengwi na anaendelea kupewa ulinzi. “Msisumbuane na mchungaji mmoja huyo. Mpeni na ulinzi, wala msimtenge,” amesema. Dkt. Mwigulu ameelekeza vikundi vya Sungusungu kuwaruhusu waumini, wakiwemo wanachama wa vikundi hivyo, kwenda kusali kwa mchungaji huyo, huku akisisitiza umuhimu wa kuheshimu uhuru wa imani na ibada. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema atamwandikia Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ili walimu wawili wa kujitolea waliochangia Shule ya Msingi Masunula kushika nafasi ya pili kitaifa waajiriwe. Shule hiyo ipo Kijiji cha Masunula, Kata ya Usule, wilayani Shinyanga. Amesema ameelezwa kuwa walimu hao wamefundisha kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka mitano katika shule hiyo yenye walimu saba. “Hawa waajiriwe kwa sababu tumeona matokeo yake,” amesema. Amewapongeza walimu, wanafunzi na viongozi kwa mafanikio hayo, huku akielekeza tathmini ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye makazi ya walimu wawili ifanyike na kuwasilishwa kupitia Katibu Tawala wa Mkoa ili kupunguza changamoto ya makazi katika shule hiyo. Kuhusu huduma za afya, Waziri Mkuu amemwelekeza Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga kuwasilisha siku hiyo hiyo maombi maalumu ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata za Usule na Didia. Vilevile, ameahidi kutafuta shilingi milioni 76 za kukamilisha Zahanati ya Mwamkanga ili wananchi waanze kupata huduma.

Tue, 10 Nov 2026 12:45:13 +0000
Uncategorized · SoftPower News

Uganda Seeks Bigger Share of UK and Irish Coffee Markets

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

AUTOEXPO  to draw 150 exhibitors from 30 countries

DAR ES SALAAM: More than 150 exhibitors from over 30 countries are expected to showcase automotive products and technologies at…

Recently
Uncategorized · KBC

Kenya calls for action-oriented Africa-EU partnership

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Court rejects Coca-Cola bid to block workers’ strike

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

High Court rules police have case to answer over missing lawyer Abshir Abdi

High Court Judge Alexander Muteti said the disappearance of a Kenyan citizen cannot be left unresolved merely because security agencies deny having the person in their custody.

Tue, 10 Nov 2026 15:13:17 +0300
Business · Issa Michuzi

WAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA UZALISHAJI KUKIDHI MAHITAJI YA VIWANDA NA MASOKO YA NJE

Na Pamela Mollel, Arusha WAKULIMA wametakiwa kuongeza uzalishaji kwa wingi ili kukidhi mahitaji ya viwanda na masoko nje ya nchi kwani kuna fursa kubwa ya masoko kutokana na ongezeko la mahitaji kwa ajili ya usindikaji wa vyakula na upanuzi wa masoko ya ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa jijini Arusha leo na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Darsh Industries Limited inayozalisha bidhaa za vyakula kupitia chapa ya Red Gold ,Bhadresh Pandit wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya jukwaa la Kimataifa la Biashara na Uwekezaji wa Mazao ya Bustani, HortiLogistica Africa 2026, linalofanyika katika viwanja vya TGT jijini Arusha. Bhadresh amesema kampuni hiyo ina viwanda viwili vilivyopo Arusha na Iringa, vinavyoshirikiana kwa karibu na wakulima ili kupata mazao yanayotumika kuzalisha bidhaa mbalimbali za chakula. Ameongeza kuwa ,kampuni hiyo inahitaji mazao yakiwemo nyanya, pilipili mbuzi, pilipili mwendokasi, karanga na matunda mbalimbali kama machungwa, mananasi na matunda damu, ambayo hutumika kama malighafi katika uzalishaji. Ameeleza kuwa kupitia mazao hayo kampuni huzalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo michuzi (sauces), jam na bidhaa nyingine za vyakula, huku ikiendelea kuimarisha uzalishaji wa bidhaa zilizoandaliwa kwa matumizi ya moja kwa moja (Ready to Eat). "Moja ya malengo ya kushiriki maonesho hayo ni kutangaza bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo, pamoja na kukutana na wakulima ili kujenga ushirikiano utakaowawezesha kulima mazao yenye soko la uhakika."amesema Bhadresh. Amesisitiza kuwa kilimo kina fursa kubwa ya kibiashara, hivyo wakulima wanapaswa kuongeza uzalishaji ili kunufaika na mahitaji ya viwanda vinavyotegemea mazao ya ndani. Akizungumzia fursa za soko, amesema michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani inatarajiwa kuongeza idadi ya wageni watakaotembelea nchi na kutumia huduma mbalimbali ikiwemo hoteli, ambazo ni miongoni mwa maeneo yanayopatikana bidhaa za kampuni hiyo. Ameongeza kuwa, ongezeko la wageni na matumizi ya bidhaa hizo linaweza kuongeza mauzo ya kampuni, kupanua uzalishaji na kutoa nafasi ya kuongeza ajira kwa Watanzania. "Ukuaji wa biashara hiyo utaongeza pia manunuzi ya mazao kutoka kwa wakulima wa ndani na kuchangia mapato ya serikali kupitia ulipaji wa kodi."amesema Bhadresh. Aidha, ametoa wito kwa wananchi kutumia bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo kwa wingi ili kusaidia kukuza viwanda vya ndani, kuongeza ajira na kupanua soko la mazao yanayozalishwa na wakulima. Aidha ameiomba serikali kuendelea kuwawezesha wakulima na kutatua changamoto zinazowakabili ili waweze kuzalisha mazao kwa wingi na ubora unaohitajika na viwanda. Amesema kampuni hiyo tayari inauza bidhaa zake katika nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Malawi na Zambia, huku ikilenga kupanua zaidi masoko yake. Amesisitiza kuwa ili kufikia malengo hayo, ni muhimu kuimarisha ushirikiano kati ya wakulima, viwanda na serikali katika kuhakikisha upatikanaji wa malighafi za kutosha, kukuza uzalishaji wa ndani na kuongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya kimataifa. Amefafanua kuwa ,kiwanda hicho cha kusindika nyanya kilichopo mkoani Iringa kina uwezo wa kuchakata zaidi ya tani 250 za nyanya kwa siku, huku kikiendelea kupokea mazao kutoka kwa wakulima wanaotaka kuingia katika ushirikiano wa kibiashara na kampuni hiyo. Mkurugenzi wa masoko wa kampuni hiyo, Darsh Pandit amewahamasisha vijana nchini kuwekeza katika kilimo kwa kuwa ni sekta yenye fursa kubwa za kiuchumi, huku ikiwataka wakulima kutumia fursa ya kuuza mazao yao moja kwa moja viwandani. Pandit, amesema kampuni hiyo inajihusisha na usindikaji wa mboga na matunda kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali za chakula. "Kampuni hii inazalisha bidhaa zaidi ya 40, zikiwemo tomato paste, tomato sauce, pilipili na siagi ya karanga (peanut butter), huku bidhaa zake zikitambulika kupitia chapa ya Red Gold ambayo imepata hadhi ya Superbrand katika Afrika Mashariki."amesema Pandit. Amesema kampuni hiyo imewekeza katika viwango vya ubora kwa kupata vyeti vya TBS, ISO na Halal, hatua inayolenga kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa zinakidhi viwango vinavyotakiwa katika masoko ndani na nje ya nchi. "Kampuni yetu inashirikiana na wakulima zaidi ya 5,000 kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo Iringa, Morogoro na Arusha, ambapo hununua mazao moja kwa moja kutoka kwa wakulima ili kuhakikisha upatikanaji wa malighafi kwa ajili ya uzalishaji."amesema . Amefafanua kuwa, kiwanda chao cha kusindika nyanya kilichopo mkoani Iringa kina uwezo wa kuchakata zaidi ya tani 250 za nyanya kwa siku, huku kikiendelea kupokea mazao kutoka kwa wakulima wanaotaka kuingia katika ushirikiano wa kibiashara na kampuni hiyo. Ameongeza kuwa kiwanda kikuu cha kampuni hiyo, kipo eneo la Njiro jijini Arusha na kuwataka wakulima wenye mazao yanayohitajika kufika viwandani hapo ili kupata maelekezo kuhusu namna ya kuanzisha ushirikiano wa kibiashara. Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Darsh Industries Limited ,Bhadresh Pandit akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya jukwaa la Kimataifa la Biashara na Uwekezaji wa Mazao ya Bustani, HortiLogistica Africa 2026, linalofanyika katika viwanja vya TGT jijini Arusha.

Tue, 10 Nov 2026 12:25:18 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Complications from childbirth that never go away

Childbirth is risky and can lead to complications or worse, for mother and child. Luckily maternal deaths have become rarer in many parts of the world.

Recently
Uncategorized · KBC

KCA University unveils PhD programme to advance mental health research

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUJAZA NAFASI ZILIZO WAZI ZA WAJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI

Tue, 10 Nov 2026 12:17:42 +0000
Uncategorized · The Standard

Experts push for harmonised road safety standards to curb accidents

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

PM orders traditional guards to respect freedom of worship

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Equity turns to predictive analytics to stem staff exits

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

KQ falls to sixth in Africa as grounded planes hit capacity

Read the full report from the original source.

Recently

Page 277 of 1146 · 22917 stories