Search the region
22489 stories
2% HIMS fee on SHA payments unconstitutional, court rules
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya Power: Why we conduct planned power cuts
-Kenya Power says maintenance helps upgrade ageing equipment, inspect power lines and improve electricity supply reliability
RecentlyBil 19/-zalipwa fidia wakazi Arusha
Read the full report from the original source.
RecentlyNatembeya calls for stronger child protection programmes
Governor Natembeya, who spoke yesterday alongside officials of the Judiciary and the Childrens Department, warned sex pests that their days are numbered.
Tue, 24 Nov 2026 16:57:00 +0300PBPA Yaunga mkono juhudi za Serikali kuchochea mageuzi ya nishati safi ya kupikia
Read the full report from the original source.
RecentlyPROF. SHEMDOE APIGA MSASA HALMASHAURI KUBORESHA LISHE NCHINI
Na Janeth Raphael -MichuziTv Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka halmashauri nchini kuongeza uwekezaji katika afua za lishe na kuimarisha ushirikiano wa sekta mbalimbali, akisisitiza kuwa lishe bora ni msingi wa afya ya wananchi na maendeleo ya taifa. Akizungumza katika Mkutano wa 10 wa Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma, Prof. Shemdoe amezitaka halmashauri ambazo hazijafikia viwango vilivyotarajiwa kuongeza juhudi, huku zilizofanya vizuri zikiendelea kuboresha utendaji. Amesema mapambano dhidi ya changamoto za lishe yanahitaji ushirikiano wa sekta za afya, kilimo, mifugo, uvuvi, elimu, maji na hifadhi ya jamii. Amesema tathmini imeonesha kuwa katika mwaka wa fedha 2025/2026, lengo lilikuwa kukusanya na kuelekeza Shilingi Bilioni 207.2 katika afua za lishe, lakini halmashauri zimefanikiwa kufikisha Shilingi Bilioni 70.8. Kutokana na hali hiyo, amewataka viongozi kuimarisha usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinatumika kulingana na mipango iliyowekwa. Pia amezihimiza halmashauri kutenga fedha kwa ajili ya tafiti za kiutendaji ili kubaini changamoto za lishe na kuweka mikakati inayozingatia mahitaji ya wananchi, akitolea mfano wa tafiti zilizoanza katika mikoa ya Mtwara, Njombe na Iringa. Katika mafanikio mengine, Prof. Shemdoe amebainisha kuimarika kwa matumizi ya mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji mapato katika halmashauri, ambapo kiwango cha mifumo iliyofungwa kimeongezeka kutoka asilimia nane mwaka uliopita hadi asilimia 92 katika mwaka wa tathmini. Amesema hatua hiyo imechangia kuongeza makusanyo kutoka chini ya Shilingi Bilioni Moja kwa wiki hadi kati ya Shilingi Bilioni 3.2 na 3.6 kwa wiki, akiwataka halmashauri zilizobaki kukamilisha zoezi hilo na kuhakikisha mifumo iliyofungwa inatumika ipasavyo. Aidha, amesisitiza kuendelea kuimarisha upatikanaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubisho, hususan katika shule, pamoja na usimamizi wa huduma za afya ya mama na mtoto. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo, amezitaka halmashauri kuongeza bajeti ya lishe katika maandalizi ya bajeti ya mwaka 2027, akisisitiza kuwa kiwango cha Shilingi 1,000 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano kinachotajwa katika mwongozo wa bajeti ni kiwango cha chini, hivyo halmashauri zinapaswa kutenga fedha zaidi kulingana na mahitaji na uwezo wao. Amesema uwekezaji huo ni muhimu katika kupunguza utapiamlo na kuboresha afya na ukuaji wa watoto. Kyombo amesema halmashauri zinapaswa kujipima na kuona uwezekano wa kuongeza kiwango hicho hadi Shilingi 1,200, 1,500 au 2,000 kwa kila mtoto, badala ya kuishia kwenye kiwango cha chini kilichowekwa. Ameongeza kuwa Kamati ya Bunge itaendelea kushirikiana na Wizara katika kusimamia na kuishauri Serikali kuhusu maboresho ya huduma za lishe, akieleza kuwa mikutano ya tathmini ni fursa muhimu ya kutambua mafanikio, kubaini mapungufu na kuweka mikakati mipya ya utekelezaji. Prof. Shemdoe amehitimisha kwa kuwataka wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi na watendaji wengine kuendelea kusimamia kwa karibu afua za lishe na kusikiliza changamoto za wananchi. Amesema Mkataba wa Lishe ulioanzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, umeimarisha mifumo ya usimamizi wa lishe nchini, hivyo ni muhimu kuendeleza dhamira na uwajibikaji katika kuhakikisha kila mtoto anapata lishe bora na jamii inakuwa na afya imara.
Tue, 24 Nov 2026 13:56:57 +0000Heavy fighting in Ituri traps DR Congo Ebola responders-WHO
Read the full report from the original source.
RecentlyUGX88.1 Billion At Stake! Parliament Moves To Investigate MTN And Airtel Over Deactivated SIM Cards, Missing Mobile Money Balances And Recycled Numbers
Read the full report from the original source.
RecentlyLaikipia Woman Rep: Why I will not join DCP
Kagiri said her decision was informed by her past political experiences and her commitment to securing development projects for Laikipia
RecentlyMbadi brokers deal to unlock Sh3.6bn Hustler pension savings
Read the full report from the original source.
RecentlyNyutu: Ruto's election proved Mt Kenya is not tribal
Nyutu said the region's decision to support Ruto despite Uhuru's position should be considered when discussing claims of ethnic division.
RecentlyTANESCO yatimiza ahadi, yafunga transfoma kuondoa kero ya umeme Katavi
Read the full report from the original source.
RecentlyNo late night calls! Gen Z draws the line on workplace loyalty
Read the full report from the original source.
RecentlyRDC : le bras de fer entre l'Église et le pouvoir s'intensifie
Read the full report from the original source.
RecentlyGerman FM Wadephul 'shocked' by Trump's Nvidia intervention
Read the full report from the original source.
RecentlyAfDB-funded project to bring clean water to one million people in north-west Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyLeaders Demand Bigger Share of Gorilla Tourism Revenue for Communities Around Bwindi
Read the full report from the original source.
RecentlySecurity Council LIVE: Winter attacks on Ukraine's power grid and Black Sea shipping threaten lives and global food supplies
Read the full report from the original source.
RecentlyLand mine deaths hit a five-year high, report says
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda, Ethiopia Prime Ministers discussed ways to strengthen bilateral relations
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 29 of 1125 · 22489 stories