Unganishwa

Search the region

22927 stories

Uncategorized · Watchdog Uganda

Gen. Muhoozi issues fresh warning over Vice President’s Office, vows military-style government

Gen. Muhoozi Kainerugaba has issued a fresh and pointed statement about the office of the Vice President, suggesting that whoever currently occupies the position should prepare to relinquish it, while…

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Soma Gazeti la Jamhuri la Novemba 10 – 16, 2026

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Umuntu yaranshatse ngo ampe inkunga barayiyobya ngo ndi umukire - Sherrie Silver yanditse ababaye

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Mocking the dead: Outrage as Mutua panel verifies one Gen Z death, faces kickback claims

Critics have accused the Panel of Experts of mocking Kenyans by verifying only one death from the 2024 Gen Z protests, as families claim they are being asked to pay bribes.

Tue, 10 Nov 2026 00:01:00 +0300
Uncategorized · The Standard

Forgiven, not jailed: Inside Kenya's quiet push for alternative justice

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Beyond the broken glass: The human cost of the 1938 November Pogrom

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Umuntu yaranshatse ngo ampe inkunga barayiyobya ngo ndi umukire - Sherie Silver yanditse ababaye

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Infantino re-election a 'foregone conclusion,' says AFC official

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Polo, style and rivalry take centre stage at Nairobi tournament

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US: Hegseth faces impeachment push from Massie over Iran war

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

James Gunn, producer Peter Safran out as DC Studios heads

Read the full report from the original source.

Recently
Entertainment · Citizen Digital

Spotify names Nigerian singer Ṣẹwà EQUAL Africa artist for November

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

The Road to November 6: Tundu Lissu’s Treason Trial in Dates

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

CHADEMA Accuses Police of Torturing Detained Members, Denying Bail and Lawyers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

When ‘Travelling Well’ Meets an African Passport: A KLM Passenger’s Schiphol Story

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DODOMA YAWEKA MIKAKATI KUVUTIA WAWEKEZAJI MRADI WA MJI WA KISASA HOMBOLO.

Jiji la Dodoma limetakiwa kuimarisha maandalizi ya ardhi, mifumo ya kiutawala na taratibu za utoaji wa huduma ili kuwezesha wawekezaji kupata maeneo na kuanza utekelezaji wa miradi katika ujenzi wa mji wa kisasa wa Hombolo. Wito huo umetolewa Novemba 9, 2026, na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba kati ya Jiji la Dodoma na kampuni ya kimataifa ya usanifu majengo na mipango miji ya Heerim Architects and Planners, kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu na kuandaa mpango kabambe wa mji huo. Senyamule amesema maandalizi yanapaswa kuanza mapema ili kuhakikisha maombi ya wawekezaji wanaohitaji maeneo yanashughulikiwa kwa haraka, akisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa timu maalumu itakayoratibu changamoto na kusimamia hatua mbalimbali za mradi. Amesema matarajio ni kuona mradi huo ukitekelezwa kwa vitendo na kuleta mabadiliko yanayoonekana kupitia majengo na miundombinu, badala ya kubaki katika mipango ya maandishi, huku akisisitiza utekelezaji wake kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri, amesema hakuna mpango wa sasa wa kutenga ardhi kwa matumizi mengine yanayoweza kuathiri maandalizi ya mradi huo, akisisitiza umuhimu wa kuwashirikisha wataalamu wa ardhi katika kupanga matumizi ya eneo hilo. Amehimiza wananchi na wadau wa maendeleo ya ardhi kufuata taratibu zilizowekwa na kutumia fursa zitakazojitokeza kupitia mradi huo kwa manufaa yao na kukuza uchumi. Naye Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko, amesema ushiriki wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha mradi huo, ambao unatarajiwa kuchangia kuipa Dodoma taswira mpya ya mji wa kisasa. Mwenyekiti wa Heerim Architects and Planners, Young-in Jung, amesema mpango huo unalenga kuendeleza mji wa kisasa, kijani na janja (Smart City), utakaokuwa na huduma na miundombinu ikiwemo viwanja vya ndege, vituo vya mikutano, hoteli, maeneo ya makazi na biashara, amesema hatua ya awali itahusisha upembuzi yakinifu na maandalizi ya mpango kabambe wa matumizi ya ardhi utakaoweka msingi wa utekelezaji.

Mon, 09 Nov 2026 20:04:05 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAJADILIANO YA MARIDHIANO ZANZIBAR

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha na Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kuhusu Maridhiano ya Zanzibar baada ya mazungumzo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kuhusu Maridhiano ya Zanzibar, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Novemba, 2026.

Mon, 09 Nov 2026 19:59:52 +0000
Business · Issa Michuzi

CRDB YATOA TRILIONI 4.3 KWA KILIMO, YASHIKILIA 45% YA MIKOPO YOTE NCHINI.

Na.Ashura Mohamed - Arusha Benki ya CRDB imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi trilioni 4.3 kwenye mazao ya horticulture ikiwa ndiyo mdhamini mkuu wa Maonyesho ya Kimataifa ya Bidhaa na Mazao ya Bustani, HortiLogistica Africa 2026. Benki hiyo imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha inachagiza uwekezaji kwenye sekta ya kilimo haswa mazao ya horticulture ambapo katika sekta kilimo fedha zilizotolewa zinafikiwa asilimia 45 ya uwezekezaji na mikopo yote ambayo inatolewa na taasisi za fedha hapa nchini. Akizungumza kando ya ufunguzi wa maonyesho hayo yanayofanyika Jijini Arusha, Mkuu wa Kitengo cha Kilimo Biashara kutoka Benki ya CRDB, Bw. Maregesi Shaabani, alisema benki hiyo imeamua kuwekeza kwa nguvu katika kilimo kwa sababu ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania. "Kupitia mikopo hii ya trilioni 4.3, tunawawezesha wakulima, wafugaji na wavuvi kupata pembejeo bora, teknolojia ya kisasa na mitaji ya kuongeza uzalishaji na thamani ya mazao yao," alisema Shaabani. Aliongeza kuwa benki hiyo imeweka mifumo ya kuhakikisha wakulima wanapata soko la uhakika baada ya kuvuna, kupitia Mkataba wa Pande Tatu unaosainiwa kati ya mkulima, benki na mnunuzi. "Kwa leo tumejumuika na wadau mbali mbali wakulima wawekezaji kwenye mnyororo wa thamani wa horticulture lakini pia wanunuzi wetu katika mazao yetu ya kilimo bila kusahau wadau muhimu serikalini wakiwemo wizara ya kilimo,wizara ya mifugo na uvuvi,wizara ya uchumi wa bluu kutoka kule zanzibar,wizara ya kilimo zanzibar ambapo serikali imeweka nguvu kubwa kuhakikisha kuwa taasisi binafsi kama CRDB zinashirikiana na wadau katika kuendeleza guridumu la Uwekezaji katika sekta ya kilimo"Alisisitiza Shaaban Aidha alisema kuwa CRDB kama mdhamini mkuu imeona mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya kilimo ikiwemo uchakataji mazao na uzalishaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na vifungashio tofauti na awali ambapo imejipanga kuendelea kuwekeza zaidi ili kuhakikisha kuwa uchumi wa wakulima unakua na nchi pia inapata mapato makubwa. Alisema kuwa benki hiyo ipo ndani ya Afrika na benki ya kikanda hivyo kutokana na hali hiyo wamejipanga kuhakikisha kuwa wanatoa elimu ya kutosha kwa wawekezaji kwa kuwa ubora wa benki hiyo umewezesha kupata idhibati ya mfuko wa umoja wa mataifa unaongalia uwekezaji himilivu,rafiki kwa mazingira mfuko wa Global Climate Fundi (GCF), ambapo ilipata dola za marekani milioni 200 ambazo zimewekezwa kwenye mazao ya chakula. Maonyesho ya HortiLogistica Africa 2026 yamewakutanisha wadau kutoka nchi zaidi ya 40, kwa lengo la kuunganisha wazalishaji wa mazao ya bustani na soko la kimataifa.

Mon, 09 Nov 2026 19:52:30 +0000
Uncategorized · Techweez

Lydia Chelagat Nominated as Kenya’s Data Commissioner to Succeed Immaculate Kassait

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI YAKIAGIZA CHUO CHA MIPANGO KUWA KITOVU CHA MAARIFA NA UBUNIFU KUELEKEA DIRA 2050

Na Farida Ramadhani na Abdul Iddy, WF – Dodoma. Serikali ameliagiza Baraza la 14 la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuhakikisha Chuo hicho kinakuwa kitovu cha maarifa, tafiti na utaalamu utakaosaidia kuchochea ukuaji wa uchumi na utekelezaji wa Dira 2050. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) katika uzinduzi rasmi wa Baraza hilo. Mhe. Luswetula alisema Chuo hicho kina nafasi muhimu katika kuandaa wataalamu wenye ujuzi wa kupanga na kusimamia maendeleo, hivyo kinapaswa kuhakikisha programu zake za mafunzo, tafiti na ubunifu zinaendana na mahitaji ya uchumi wa sasa na wa baadaye. Alisema Dira 2050 inatambua elimu na ujuzi kama msingi wa kujenga rasilimali watu yenye maarifa, umahiri na uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya kijamii, kiuchumi na kiteknolojia hivyo Baraza lihakikishe kuwa Dira hiyo inaakisiwa kikamilifu katika mipango, programu za mafunzo, tafiti na ushirikiano wa Chuo na wadau wake. “Baraza lina wajibu wa kuongeza msukumo na kuisimamia Menejimenti ili kuongeza uwekezaji katika utafiti na maendeleo (Research & Development), kuimarisha uwezo wa Chuo kufanya tafiti zenye tija na matokeo ya tafiti yanatumika kubuni teknolojia, kuboresha bidhaa na huduma, kuongeza tija na kutatua changamoto za kijamii na kiuchumi” alisisitiza Mhe. Luswetula Aidha Mhe. Luswetula, aliliagiza Baraza hilo pia kuhakikisha maagizo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, yanatekelezwa kwa vitendo na kuingizwa katika mipango, mikakati, bajeti na mifumo ya kupima utendaji wa Chuo. Alisema maagizo hayo yaliyotolewa kupitia Makamu wa Rais katika Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum 2026), kilichofanyika Arusha kuanzia Septemba 28 hadi 30, 2026, yanahusu utekelezaji wa Dira ya 2050, kuimarisha ufanisi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za umma, kuwekeza kwa vijana kupitia ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira na kuimarisha ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. “Isimamieni Menejimenti kuweka malengo yanayopimika, kutumia rasilimali kwa tija, kuimarisha matumizi ya teknolojia na ubunifu, na kupanua ushirikiano na sekta binafsi pale inapofaa. Vilevile, hakikisheni kuwa uwekezaji katika elimu na ujuzi unaendana na mahitaji halisi ya uchumi na soko la ajira”, aliagiza Mhe. Luswetula Alisisitiza umuhimu wa kuimarisha nidhamu ya bajeti, kuongeza ufanisi katika matumizi ya fedha, kudhibiti gharama zisizo za lazima, kuhakikisha thamani ya fedha inapatikana na mapato ya Chuo yanakusanywa na kusimamiwa ipasavyo. Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Prof. Joseph Kuzilwa aliahidi kuwa baraza hilo litakisimamia Chuo hicho kikamilifu kuhakikisha kinafikia malengo kusudiwa. Alisema mafanikio yaliyopatikana chuoni ni matokeo ya ushirikiano mzuri kati ya Baraza, Menejimenti, watumishi na wanafunzi. Awali akizungumzia mafanikio ya Chuo hicho, Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Prof. Hozen Mayaya alisema katika kipindi cha uongozi wa Baraza la 13, Chuo kimepiga hatua katika kuimarisha ubora wa elimu, tafiti na ubunifu. Alisema Chuo hicho kimeendelea kukuza ujasiriamali na ajira kwa vijana kupitia Kituo chake cha Kukuza Biashara na ubunifu, ambapo baadhi ya vijana walionufaika wameanzisha biashara na kuanza kuajiri vijana wengine. Prof. Mayaya alisema katika kuimarisha uwezo wa taasisi, Chuo kimepanua ushirikiano na taasisi za ndani na nje ya nchi kupitia mikataba ya makubaliano, ikiwemo kushirikiana na Wizara ya Fedha katika tafiti zinazosaidia kuboresha sera za bajeti na mipango ya Serikali. Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb) (katikati) akizindua Baraza la 14 la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), jijini Dodoma, akishuhudiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Prof. Joseph Kuzilwa (kushoto) na Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya. Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb) (katikati) akimkabidhi Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Prof. Joseph Kuzilwa nyenzo ya kufanyia kazi baada ya kuzindua Baraza la 14 la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), jijini Dodoma, kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya. ( Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Wizara ya Fedha - Dodoma )

Mon, 09 Nov 2026 19:37:32 +0000

Page 290 of 1147 · 22927 stories