Unganishwa

Search the region

22344 stories

Uncategorized · The Star Kenya

NTSA announces four-hour system maintenance

Services will be unavailable from 8pm to midnight on Wednesday as the authority steps up festive-season road safety operations

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Minister Ogwang, Afcon is our meal, do not let it get lost in the mill

As much as this article is addressed to Peter Ograng, the state minister for sport, it is dedicated to Shadow Sports minister Zambali Bulasio Mukasa,…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA NISHATI –MHE. SALOME MAKAMBA

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Tanzania na Algeria zinaendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati kwa lengo la kukuza uwekezaji, kubadilishana uzoefu na kutekeleza miradi yenye manufaa kwa mataifa hayo mawili. Akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya miaka 72 ya Mapinduzi ya Uhuru wa Algeria, iliyofanyika Novemba 24, 2026, jijini Dar es Salaam, Mhe. Salome amesema sekta ya nishati ni miongoni mwa maeneo muhimu ya ushirikiano kati ya nchi hizo, akibainisha kuwa Tanzania inaendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta hiyo. Ameeleza kuwa uwekezaji huo unalenga kupanua upatikanaji wa nishati ya uhakika na nafuu kwa wananchi, kuendeleza matumizi ya nishati jadidifu pamoja na kuongeza matumizi ya suluhisho za nishati safi ya kupikia. Aidha, amesema ushirikiano wa Tanzania na Algeria katika sekta ya nishati unaendana na vipaumbele vya maendeleo ya Taifa, hivyo kuna fursa za kuuimarisha zaidi kupitia kubadilishana uzoefu na uwekezaji wenye manufaa kwa pande zote mbili. Katika hafla hiyo, Mhe. Salome pia aliwasilisha salamu na pongezi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Rais wa Algeria, Mhe. Abdelmadjid Tebboune, Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria. Kupitia salamu hizo, Rais Samia amewaasa wananchi wa Algeria kuendelea kudumisha amani, umoja, ustawi na maendeleo, huku akisisitiza dhamira ya Tanzania ya kuimarisha urafiki na ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili. Katika hafla hiyo, Mhe. Salome ameeleza kuwa vita vya ukombozi wa Algeria, vilivyoanza Novemba 1954, vilikuwa chanzo muhimu cha hamasa kwa mataifa mengi ya Afrika katika mapambano dhidi ya ukoloni na kudai uhuru. Amesisitiza kuwa historia hiyo inaendelea kuwa kumbukumbu muhimu ya mshikamano wa Afrika na umuhimu wa kuendeleza mahusiano ya kindugu, ushirikiano na maendeleo baina ya mataifa ya Afrika.

Wed, 25 Nov 2026 13:22:16 +0000
Uncategorized · Daily News

Tanzania, Nigeria join forces to advance women’s health across Africa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Spotify Streams for Sale: 4 Sites Worth Knowing in 2026

Read the full report from the original source.

Recently
National · Chimpreports

Activist Aloikin Opoloje Held at Entebbe Airport

ENTEBBE: Ugandan activist Aloikin Opoloje was held at Entebbe International Airport early Wednesday, Chimp Cor..

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Who speaks for Uganda? The ICC contradiction and cost of a divided gov’t

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

MTENDAJI MKUU WA TEMESA AKAGUA MAENDELEO YA MATENGENEZO YA KIVUKO CHA MV. MAGOGONI NCHINI KENYA

Na Mwandishi Wetu MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Bw. Kheri Mahimbali, amefanya ziara katika Jiji la Mombasa nchini Kenya kwa lengo la kukagua maendeleo ya matengenezo ya Kivuko cha MV. MAGOGONI kinachofanyiwa ukarabati jijini humo. Akiwa katika eneo la ukarabati, Bw. Mahimbali amekagua hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa ukarabati huo na kupata maelezo kutoka kwa wataalamu kuhusu maendeleo pamoja na kazi zilizobaki kukamilishwa kabla ya kivuko hicho kurejea katika utoaji wa huduma. Katika hatua nyingine, Mhandisi Mshauri wa mradi huo, Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), kwa kushirikiana na Mdhibiti wa safari kwa njia ya Maji, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), wamefanya ukaguzi wa pamoja kwa kukagua umbo la kivuko hicho kabla ya kurejeshwa majini kwa ajili ya kuanza majaribio ya mashine na mifumo mingine ya uendeshaji. Ukaguzi huo ulifanyika kuanzia tarehe 16 hadi 23 Novemba 2026. Akizungumzia maendeleo ya ukarabati huo, Mkurugenzi wa Uendeshaji na Ujenzi za Vivuko kutoka TEMESA, Mhandisi. Hassan Karonda, amesema kuwa kazi za ukarabati zinatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Desemba 2026 na baada ya hapo, kivuko hicho kitafanyiwa majaribio pamoja na ukaguzi wa mwisho utakaofanywa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kabla ya kurejea nchini mapema mwezi Januari 2027. “Tunatafajia kivuko hiki kirejee katika huduma zake mara tu ukarabati utakapokamilika mwezi Desemba 2027 na kuruhusu majaribio yatakayofanywa na wenzetu wa TASAC. Na baada ya hapo kivuko kitaanza kutoa huduma eneo la Magogoni Feri kama ilivyokuwa awali kwa ubora zaidi” amesema Mhandisi Karonda”. Kukamilika kwa matengenezo hayo na majaribio ya mifumo ya uendeshaji kutakuwa hatua muhimu katika kukiwezesha Kivuko cha MV. MAGOGONI kurejea nchini kikiwa katika hali nzuri ya kiutendaji na kuendelea kutekeleza jukumu lake la kutoa huduma za usafiri majini.

Wed, 25 Nov 2026 13:17:43 +0000
Uncategorized · The Standard

Wetang'ula: 'We saw an MP pocket a colleague's phone on CCTV'

Wetangula says CCTV footage showed an MP pocketing a colleagues phone during a clash in Parliament, but the lawmaker denied taking it when shown the recording. He urged MPs to act with integrity.

Wed, 25 Nov 2026 15:52:24 +0300
Uncategorized · BBC Afrique

Qu'est-ce qui peut entraîner une perte de cheveux chez les femmes ?

Il existe de nombreuses idées infondées concernant les causes de la perte de cheveux et la manière de traiter ce problème.

Recently
Uncategorized · Radio Publique Africaine

Budaketwa : l’engrais à 680 FBu de plus, les agriculteurs s’insurgent

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Power-sharing plan asks right question, gives wrong answer

The Consociational Democracy Agreement, unveiled to party leaders in Jinja recently, deserves credit for naming Uganda’s real disease; sectarianism, exclusion, regional marginalisation and recurring conflict…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua meets MP Ndindi Nyoro

After weeks of political hostilities, Gachagua and Nyoro's first public meeting sparks fresh intrigue over Mt Kenya's opposition politics.

Recently
National · Daily News

Zanzibar pledges to continue investing in education infrastructure, research, technological innovation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Endorphina – Reel Fortune Yatua Meridianbet, Milioni 4 Zasubiri Washindi 20!

WAPENZI wa michezo ya kasino ndani ya Meridianbet wanayo sababu nyingine ya kuongeza msisimko kupitia mashindano mapya ya Endorphina – Reel Fortune , yanayowapa wachezaji nafasi ya kuwania sehemu ya zawadi nono zenye jumla ya TZS 4,000,000. Mashindano haya yanaleta fursa ya kipekee kwa washiriki kupima bahati zao kupitia michezo ya slots huku wakifuatilia nafasi zao kwenye orodha ya washindani. Kupitia kampeni hii, jumla ya washindi 20 watajinyakulia zawadi kutoka kwenye mfuko wa TZS milioni 4,000,000, hivyo kuongeza ushindani na hamasa kwa washiriki. Kila mchezaji anapata nafasi ya kushiriki katika mbio hizi za Reel Fortune kwa kucheza michezo iliyochaguliwa kutoka kwa kampuni ya Endorphina. Mashindano haya yanahusisha jumla ya michezo 15 ya slots, yakitoa machaguo mbalimbali kwa wapenzi wa kasino wanaotaka kujiunga na kampeni hii. Ili kushiriki, mchezaji anatakiwa kuweka dau la kuanzia TZS 200 kwa kila mzunguko, kisha kufurahia michezo huku akifuatilia maendeleo yake katika msimamo wa mashindano. Endorphina – Reel Fortune yameanza Novemba 19 na yataendelea hadi Novemba 30, 2026, kipindi ambacho washiriki watakuwa na nafasi ya kushindana kuwania zawadi hizo. Kadri mchezaji anavyoshiriki katika michezo inayotambuliwa na mashindano, ndivyo anavyoweza kuongeza nafasi yake ya kupata pointi na kupanda kwenye orodha ya washindani, kwa mujibu wa kanuni za kampeni. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Meridianbet inaendelea kuwaletea wapenzi wa kasino kampeni mbalimbali zinazoongeza burudani na msisimko kupitia michezo kutoka kwa watengenezaji tofauti. Reel Fortune ni sehemu ya fursa hizo, ikiwaalika wachezaji kuingia kwenye ulimwengu wa slots za Endorphina na kushiriki katika mashindano yenye zawadi zinazovutia. Kwa hiyo, usipitwe na fursa hii inayofikia tamati Novemba 30! Tembelea kasino ya Meridianbet, chagua michezo 15 ya Endorphina inayoshiriki kwenye Reel Fortune na soma masharti ya kampeni kabla ya kushiriki. Zungusha, panda kileleni na uwanie sehemu ya TZS 4,000,000! Shiriki hapa .

Wed, 25 Nov 2026 09:00:00 +0000
Uncategorized · UBC

Hajji Yunus Kakande urges Teso RDCs to support Gen. Muhoozi’s presidential ambitions

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily Africa

Vodafone Group to set up data centres in Kenya

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Dau Dogo, Ushindi Mkubwa Sasa

KWA dau dogo tuu unaweza ukatengeneza zaidi ya Mamilioni kwenye mechi za UEFA leo. Mechi kibao za ushindi zipo kwaajili yako. Unasubiri nini sasa? Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi leo Tukianza na mechi ya Club Brugge wao watamleta Liverpool kwao huku wakionekana kuwa na kiwango kizuri, wakiwa hawajapoteza michezo sita iliyopita na wamefunga mabao 18 katika michezo hiyo. Ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya PSV na ule wa mabao 4-3 dhidi ya Inter unaonyesha kuwa wana uwezo wa kuziumiza timu kubwa. Huku Liverpool wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na morali baada ya kuichapa Manchester United mabao 4-0. Kikosi cha Andoni Iraola kina uwezo mkubwa wa kushambulia kupitia Florian Wirtz, Mohamed Salah na Dominik Szoboszlai. Hata hivyo, Liverpool wanahitaji kuboresha ulinzi wao, hasa wanapokuwa ugenini. Pia, kukosekana kwa Hugo Ekitiké, Cody Gakpo na Conor Bradley kunaweza kuathiri mipango yao ya mchezo. Suka jamvi hapa. Mshindo mkubwa upo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Bayern Munich atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Lille ambao wamekuwa hawana mwendelezo mzuri kwenye ligi na pia wametoka kupoteza mechi ya ligi iliyopita. Vijana wa Kompany wanaonekana kuwa na nafasi nzuri ya kushinda kutokana na ubora wa kikosi na uzoefu wao wa UEFA. Hata hivyo, Lille wana faida ya kucheza nyumbani na wanaweza kuwapa Wajerumani wakati mgumu. Lille wamekuwa na matokeo yasiyoridhisha katika UEFA, wakiwa na pointi moja pekee baada ya michezo minne. Changamoto yao kubwa imekuwa kutengeneza matokeo mazuri dhidi ya timu zenye ubora mkubwa. Bayern wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na wachezaji wengi ambao wapo majeruhi huku pia wakioneskana kumkosa mshambuliaji wao Harry Kane ambaye aliumia mechi ilitopita. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Bashiri hapa. Pia mechi nyingine ni hii ya PSG dhidi ya AS Roma ambayo imekuwa ya moto sana msimu huu wakiwa nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi wakiwa hawajapoteza mechi yoyote mpaka sasa. Ikumbukwe kuwa PSG ndio bingwa mtetezi wa michuano hii, huku pia wakiwa wao ndio vinara wa kwenye msimamo wa UEFA , kwahiyo hii ni mechi ambayo inazikutanisha timu ambazo zote zinafanya vyema kwenye ligi zao. Vijana wa Enrique wana wachezaji wengi ambao ni majeruhi huku Desire naye akiongezeka kwenye majeruhi hao. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Paris kutokana na faida ya kucheza nyumbani. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa. Na mechi ambayo itakuwa ikisubiriwa kwa hamu ni hii ya Sporting CP dhidi ya Manchester United ambapo wenyeji wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na matokeo mazuri, wakishinda michezo mitatu kati ya minne ya UEFA na kukusanya pointi tisa wakiwa na wachezaji muhimu akiwemo Luis Suarez kwenye eneo la ushambuliaji. Wakati huo huo Manchester United wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na presha kubwa baada ya kufungwa mabao 4-0 na Liverpool. Matokeo hayo yameonyesha changamoto zao katika safu ya ulinzi, ambayo imekuwa ikiruhusu mabao mengi. Hata hivyo, United wana wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo ya mchezo. Bruno Fernandes ndiye kiungo muhimu katika kutengeneza nafasi, huku Bryan Mbeumo na Amad Diallo wakitarajiwa kuongeza makali ya mashambulizi. Hii ni mechi ambayo Pochettino anatakiwa kuumiza kichwa kuwa atafanya nini ili aweze kuokoa jahazi. Je atananikiwa kufanya nini kule Lisbon?. Beti hapa.

Wed, 25 Nov 2026 08:30:00 +0000
Uncategorized · The Observer Uganda

Why are we not making more money from tourism?

My Nyamiyaga friends recently visited Arusha and the Ngorongoro Crater Conservation Area in Tanzania. When they returned, they shared stories of spectacular scenery, wildlife and…

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

End Of Kampala Traders’ Strike! Government Makes Fresh Promises As Businesses Prepare To Reopen

Read the full report from the original source.

Recently

Page 3 of 1118 · 22344 stories