Search the region
22938 stories
Safaricom, Airtel face scrutiny over premature depletion of data bundles
Read the full report from the original source.
RecentlyEU seeks to pick new ECB head by year end: Eurogroup chief said
Read the full report from the original source.
RecentlyDKT. MWIGULU: TENGENI FEDHA ZA MAFUTA YA MAGARI YA WAGONJWA
▪️ Aonya watumishi wanaodai michango ya mafuta kwa wagonjwa wa dharura ▪️ Aagiza uchunguzi wa matumizi na upatikanaji wa dawa ▪️ Ataka maandalizi ya barabara za Solwa yaharakishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini kutenga fedha za mafuta ya magari ya kubebea wagonjwa katika bajeti za huduma za afya ili wagonjwa wanaohitaji rufaa za dharura wasicheleweshwe kwa kudaiwa michango ya mafuta. Ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Novemba 9, 2026), akizungumza na wananchi wa Iselamagazi, Jimbo la Solwa, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Shinyanga. “Tusichangishe mafuta kwenye ambulance. Ambulance ipeleke mgonjwa imharakishwe hospitalini. Ambulance sio daladala. Wala manesi wale sio makondakta wa kukusanya michango ya mafuta,” amesema. Amemwelekeza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kuhakikisha magari hayo yanakuwa na mafuta na yako tayari kuhudumia wagonjwa, huku akisisitiza fedha za mafuta zitengwe kwenye bajeti zinazoandaliwa. “Kama hamkuweka bajeti na sasa hivi mnaandaa bajeti, nataka ambulance zote ziwe standby mgonjwa ambaye anatakiwa kunusuriwa maisha yake asiombwe fedha ya mafuta,” amesema. Aidha, amewataka wananchi wanaodaiwa michango hiyo kutoa majina yote matatu ya watumishi wanaohusika na kuelekeza watumishi wanaochelewesha huduma kwa uzembe wafukuzwe kazi badala ya kuhamishwa vituo. Kuhusu huduma kwa wajawazito, amesema mama anayefika hospitalini akiwa na uchungu anapaswa kuhudumiwa haraka badala ya kucheleweshwa mapokezi kwa kudaiwa vifaa kama ndoo na mabeseni. “Tusifanye mazoea kuwa sheria,” amesisitiza. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia fedha zinazotolewa kwa ajili ya dawa, kuanzia ununuzi na usambazaji hadi upatikanaji wake kwa wagonjwa. Amesema haikubaliki kwa vituo vya afya kuripoti utoshelevu wa dawa wa zaidi ya asilimia 97, huku wagonjwa wakiendelea kuelekezwa kununua dawa kwenye maduka binafsi. “Fedha zimekuja kiasi gani? Dawa zimenunuliwa kiasi gani? Zimekwenda wapi na wapi na wananchi wanazipataje?” amehoji. Ameelekeza pia ununuzi wa dawa uzingatie mahitaji na aina ya magonjwa yanayojitokeza katika maeneo husika. Kuhusu kilimo, Dkt. Mwigulu amesema kuanzia msimu ujao wa mavuno ya pamba, Serikali itaruhusu wanunuzi wengi kushiriki katika ununuzi wa zao hilo badala ya kuwa na mnunuzi mmoja katika eneo husika, ili kuongeza ushindani wa bei na manufaa kwa wakulima. Amesema hatua hiyo inatokana na malalamiko ya wakulima aliyoyapokea akiwa mkoani Simiyu na maelekezo aliyoyatoa kwa Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao hilo. Kuhusu barabara, amemwelekeza Meneja wa TANROADS Mkoa wa Shinyanga kuhakikisha usanifu wa barabara zilizoombewa na Mbunge wa Solwa, Ahmed Ally Salum, unahuishwa pale inapohitajika ili ziwe tayari kuzingatiwa Serikali itakapoanza miradi mipya mwaka ujao wa fedha. Barabara hizo ni Old Shinyanga–Iselamagazi–Solwa–Salawe na Mwanangwa–Misasi–Salawe–Solwa–Kahama. Ameeleza kuwa Serikali imeanza kuelekeza fedha za barabara, maji na umeme moja kwa moja kwenye mifuko husika ili kuharakisha utekelezaji wa miradi, huku kipaumbele cha sasa kikiwa kukamilisha miradi iliyosimama na ile ambayo mikataba yake tayari imesainiwa. Kuhusu shughuli za kiuchumi, Waziri Mkuu amekemea utaratibu wa kushikilia pikipiki, bajaji na vitendea kazi vingine vya wananchi wanaojiajiri kutokana na makosa yanayostahili faini, akisisitiza wahusika watozwe faini kwa mujibu wa sheria bila kuzuiwa kuendelea na shughuli zao. Aidha, amesema Serikali imechukua hatua za kuondoa kodi kwenye malighafi za kutengeneza saruji ili kusaidia kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi. Kuhusu mgogoro wa mipaka ya hifadhi katika Jimbo la Solwa, ameahidi kufanya mawasiliano na wizara husika na kupitia mapendekezo yaliyowahi kutolewa ili kufikia uamuzi wa kudumu, huku akiwataka wananchi kuheshimu mipaka iliyopo wakati suala hilo likifanyiwa kazi.
Mon, 09 Nov 2026 09:20:54 +0000Kinara wa mtandao wa dawa za kulevya akamatwa Kenya
Soma hapa...
RecentlyCarrick expects to remain in charge of Man Utd
Read the full report from the original source.
RecentlyMchengerwa: Rejesheni matumaini kwa wagonjwa
Read the full report from the original source.
RecentlyHow the return of Toyota Celica will redefine the future of rally racing
Read the full report from the original source.
RecentlyBeatrice Soy: Leadership, sisterhood and the future of women’s golf
Read the full report from the original source.
RecentlyMTANZANIA ANAYENUNUAGA DAWA ZA KULEVYA MOJA KWA MOJA KUTOKA AFGHANSTAN HATIMAYE AKAMATWA
-Ni yule anayemiliki mali za mabilioni ya fedha Tanzania na Kenya,DCEA yatoa kauli nzito -Pia mbinu ya kutumia magari ya kifahari kusafirisha dawa za kulevya yabainika Na Said Mwishehe,Michuzi TV MTUHUMIWA wa dawa za kulevya ambaye ni Mtanzania anayeishi Mombasa nchini Kenya, Salehe Baseleman a.k.a Mbwiga anayenunua dawa za kulevya moja kwa moja kutoka nchini Afghanstan na kuzisafırisha katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania hatimaye amekamatwa na sasa anasubiri sheria ichukue mkondo wake Inadaiwa Mbwiga amekuwa akisafirisha dawa za kulevya kwa njia ya bahari mpaka katika fukwe za Mombasa, nchini Kenya, kabla ya kuzisambaza katika nchi mbalimbali. Mfanyabiashara huyo anaetuhumiwa na biashara ya dawa za kulevya ni miongoni kwa watuhumiwa saba waliokamatwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa Kulevya kupitia operesheni maalum iliyofanyika nchini. Akizungumza leo Novemba 9,2026 jijini Dar es Salaam Kamishina wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA)Aretas Lyimo amesema baadhi ya watuhumiwa waliokamata ni vinara wa mtandao wa kimataifa wa usafrishaji na usambazaji wa dawa za kulevya wanaofanya shughui zao katika nchi mbalimbali, zikiwemo Afghanistan, Afrika Kusini, Msumbiji, Zambia, Malawi, Uganda, Kenya, Tanzania na Dubai. “Mtuhumiwa huyu ambaye tunamshikilia pia anahusishwa na ukamataji wa dawa za kulevya tani 3.5 zilizokamatwa na DCEA Desemba mwaka 2023 eneo la Kigamboni, jijini Dar es Salaam na mkoni Iringa.” Akifafanua zaidi kuhusu operesheni iliyofanywa na Mamlaka hiyo amesema imewezesha pia kukamatwa jumla ya paketi 299 za dawa za kulevya, zikiwemo paketi 24 za heroin na paketi 275 za methamphetamine. Kamishina Lyimo amesema dawa hizo zilikamatwa zikiwa zimefichwa ndani ya magari mawili aina ya Ford Ranger yenye namba za usajili T.950 ERA na T.417 EJZ, ambayo pia yanashikiliwa kutokana na kuhusishwa na uhalifu huo. watuhumiwa wanne (4) walikamatwa katika operesheni hiyo. Amewataja watuhumiwa hao ni Juma Kisomeko(36), raia wa Uganda, dereva na mkazi wa Piji, nchini Uganda; Issa Nassoro(34), mfanyabiashara; Ibrahim Chembela(30), dereva; na Mohamed Shemtuu (45), dereva ambao hao ni wakazi wa Tabata, jjini Dar es Salaam. “Baada ya kukamatwa na kuhojiwa, watuhumiwa hao wameeleza kuwa, dawa hızo walizichukua Mombasa, Kenya na kuzisafirisha kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro mkoani Tanga. “Kutokana na maelezo hayo, Mamlaka iliwasiliana na mamlaka husika nchini Kenya na kushirikiana kiutendaji kwa lengo la kubaini chanzo, eneo lililotumika kuhifadhi dawa hizo, pamoja na kuwabaini wahusika wengine wa mandao huo.” Akieleza zaidi amesema kupitia ushirikiano huo, Novemba 7,2026, DCEA na Kitengo cha Kitaifa cha Kudhibiti Dawa za Kulevya chini Kenya (NANB) zilfanikisha ukamataji wa paketi 454 za dawa ya kulevya aina ya methamphetamine kutokana na operesheni liyoranyıka eneo la Kwale jini Mombasa, Kenya. Katika operesheni hiyo, watuhumiwa wengine watatu walikamatwa. Watuhumiwa hao ni Salehe Baseleman maarufu Mbwiga ambaye ni raia wa Tanzania, mfanyabiashara na mkazi wa Mombasa, nchini Kenya.Seif Hamadi maarufu Babu Seif ambaye ni raia wa Tanzania, mvuvi na mkazi wa Kinondo, Mombasa, chini Kenya na Zuraicah Hussein ambaye ni raia wa Uganda, mfanyabiashara na mkazi wa Shirazi, Mombasa, nchini Kenya. “Taratibu za kisheria kati ya Tanzania na Kenya zinaendelea ili kuhakikisha watuhumiwa wote wanafikishwa mbele ya vyombo vya sheria kwa hatua zaidi.Mafanikio yaliyopatikana katika operesheni hii yanaonesha umuhimu wa ushirikiano wa kitaifa, kikanda na kimataita katika kukabillana na dawa za kulevya Duniani. “Hivyo, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya inatoa mwito kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa kuhusu viashiria vya uwepo wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya,”amesema Kamishina Jenerali Lyimo.
Mon, 09 Nov 2026 11:42:36 +0000Name change request
Mon, 09 Nov 2026 13:37:41 +0200Name change request
Mon, 09 Nov 2026 13:39:56 +0200Freiburg third after beating Union, Leverkusen beat Cologne in derby
Read the full report from the original source.
RecentlyEmployer benefits for children
However, a significant portion of media professionals face a lack of corporate support. A striking 42 per cent of respondents reported receiving no benefits
RecentlyName change request
Mon, 09 Nov 2026 13:33:53 +0200Name change request
Mon, 09 Nov 2026 13:36:06 +0200Sudan’s suffering is plain for all to see say aid teams, as brutal war continues
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda and Uganda to conduct joint cross-border emergency response exercise
Read the full report from the original source.
RecentlyTriply introduces unified system to transform travel agency operations in Africa
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto fires back at Matiang’i over repeated projects
The President challenged Opposition leaders to familiarise themselves with development projects before making public statements
RecentlyBandari za ziw Tanganyika zavuka lengo la uhudumiaji wa shehena kwa asilimia 8,76
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 302 of 1147 · 22938 stories