Search the region
22941 stories
Iran: Trump says strikes unlikely if peace talks keep moving
Read the full report from the original source.
RecentlyRaila’s deal with Ruto to develop Kenya made me cease criticism - Senator Olekina
Read the full report from the original source.
RecentlyDRC: 66 soldiers sentenced to death for cowardice
At least 66 soldiers of the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC) have been sentenced to death by the Goma Garrison Military…
RecentlyMuseveni drops Mwesige as Clerk to Parliament
President Yoweri Museveni has dropped the Clerk to Parliament Adolf Mwesige in a reshuffle that also names permanent secretaries for a string of key ministries…
RecentlyMCHENGERWA AFANYA ZIARA MUHIMBILI-MLOGANZILA: APONGEZA HUDUMA ZA KIBINGWA, ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, leo tarehe 08 Novemba 2026, amefanya ziara ya kikazi ya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila iliyopo jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kukagua utoaji wa huduma za matibabu pamoja na kuzungumza na wagonjwa na watumishi wa afya. Katika ziara hiyo, Mhe. Mchengerwa amepongeza uongozi wa hospitali hiyo kwa usimamizi mzuri wa hospitali na kwa ubora mkubwa wa huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa kwa wananchi na kubainisha kuwa Muhimbili-Mloganzila imekuwa nguzo muhimu na ya kimkakati katika sekta ya matibabu nchini. Pamoja na kutoa pongezi hizo, Waziri Mchengerwa ametumia fursa hiyo ya kipekee kuzungumza na wananchi waliofika kupata huduma. Mhe. Mchengerwa amesisitiza kuwa lengo kuu la ziara hiyo ni kujadili kwa pamoja namna ya kuimarisha mifumo ya utendaji kazi na kujenga misingi thabiti ya uwajibikaji wa pamoja na kuongeza kuwa ni lazima kila mtumishi ahakikishe wagonjwa wanapata huduma bora, zenye hadhi na heshima bila kukumbana na vikwazo vyovyote visivyo vya lazima. "Mifumo yetu ya utendaji kazi lazima iimarishwe ili kujenga misingi thabiti ya uwajibikaji. Tunataka wananchi wapate huduma bora na za heshima bila vikwazo," amesema Waziri Mchengerwa Hatua hii ya Waziri inakuja wakati Wizara ya Afya ikiwa imedhamiria katika kutekeleza mikakati endelevu inayolenga kuhakikisha Taasisi zote za Afya za Umma nchini zinajenga imani kubwa kwa wananchi kupitia utoaji wa huduma zenye kiwango na hadhi ya kitaifa na kimataifa.
Sun, 08 Nov 2026 19:53:01 +0000Germany news: Merz to nominate Aigner for president
Read the full report from the original source.
RecentlyEpisode 4 (9Th Nov 2026)
Read the full report from the original source.
RecentlyHow climate-resilient farming is shaping food production
Read the full report from the original source.
RecentlyDozens killed after migrant boat sinks off Senegal
Read the full report from the original source.
RecentlyProtest victims decry broken promises as scars of police brutality linger
Read the full report from the original source.
RecentlyPrésidence : des salaires amputés au profit du CNDD-FDD
Read the full report from the original source.
RecentlyIchung’wah: Gachagua is not my enemy
The Kikuyu MP says he has no personal differences with the former Deputy President or MP Nyoro
RecentlyTanzania reiterates on land and ethnic rights at UN
Read the full report from the original source.
RecentlyVideo — How a mine closure left Kenya's Maasai without water
To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyEgypt train crash leaves several dead, over 100 injured
Read the full report from the original source.
RecentlyMpimba : des détenus affamés lancent un appel à l’aide
Read the full report from the original source.
Recently'Wale nitawashughulikia,' Ruto chides fragmented opposition in Gusii tour
Read the full report from the original source.
RecentlySix killed in Makueni and Nakuru road accidents
Read the full report from the original source.
RecentlyAlute aagwa kwa ujumbe wa haki, Padri amwombea Lissu
Read the full report from the original source.
RecentlyMbadi seeks CBK truce on Sh10bn bank capital fallout
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 313 of 1148 · 22941 stories