Search the region
22494 stories
L’archevêque de l’archidiocèse de Bujumbura pose la première pierre de l’université catholique du Burundi
Read the full report from the original source.
RecentlyMakerere launches CEPI-funded project to strengthen Uganda’s preparedness for Bundibugyo Ebola virus
Read the full report from the original source.
RecentlyKenyan chef, South African golfer arrested at Lagos Airport over 50 kilograms of cannabis
Read the full report from the original source.
RecentlyKPA warns against false alarm after Monday fire that killed two
Read the full report from the original source.
RecentlyZawadi 135,000+ Kila Wiki, Msimu Mpya Wa Drops & Wins!
WAPENZI wa michezo ya kasino wana sababu nyingine ya kuongeza msisimko wa burudani zao kupitia Meridianbet, kufuatia kuwasili kwa awamu mpya ya promosheni ya Pragmatic Play Drops & Wins , inayowapa wachezaji wanaoshiriki nafasi ya kupata zawadi mbalimbali kupitia michezo maalumu kutoka Pragmatic Play. Kupitia promosheni hiyo, wachezaji wanaweza kushiriki kwa kuchagua michezo inayohusika, kujiunga na promosheni (Opt In) kupitia ujumbe maalumu unaojitokeza ndani ya mchezo na kuweka dau la pesa halisi. Kila dau linalokidhi masharti ya promosheni huwasaidia kukusanya vipande vitatu vinavyohitajika kufungua gurudumu la zawadi. Baada ya kukusanya vipande vyote vitatu, mchezaji hupata nafasi ya kufungua gurudumu hilo na kuingia kwenye droo ya zawadi zinazopatikana, zikiwemo zawadi za kuzidisha dau hadi mara 100,000 au Free Spins 10 katika mchezo husika, kulingana na zawadi itakayopatikana. Kinachofanya awamu hii kuwa ya kuvutia zaidi ni ukubwa wa zawadi zilizotangazwa. Kupitia Daily Tournaments, washindi 1,000 wanatarajiwa kupatikana kila siku, huku zawadi za pesa taslimu zikifikia hadi TZS 9,000,000 kwa siku, jambo linaloongeza msisimko kwa washiriki wa promosheni hiyo. Aidha, Pragmatic Play Drops & Wins imeweka mezani zaidi ya zawadi 135,000 kila wiki, ikiwemo zawadi za pesa taslimu, Free Spins na zawadi nyingine mbalimbali. Hii ni sehemu ya promosheni inayolenga kuwapa wachezaji wanaoshiriki fursa nyingi zaidi za kunufaika na burudani ya michezo ya kasino. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kupitia Meridianbet, wachezaji wanaweza kuchunguza michezo inayoshiriki, kujiunga na promosheni na kufuata hatua zilizowekwa ili kushiriki. Hata hivyo, ni muhimu kusoma na kuelewa masharti ya promosheni kabla ya kucheza. Pragmatic Play Drops & Wins inakupa sababu mpya ya kuchunguza burudani ya kasino ndani ya Meridianbet. Tembelea tovuti ya Meridianbet, chagua michezo inayoshiriki na ugundue msisimko wa awamu hii mpya ya promosheni. CHEZA SASA .
Tue, 24 Nov 2026 08:00:00 +0000VIWANJANI | Yanga yaweka wazi ilivyojipanga kuwabonda MC Alger
Azam TV
2026-11-24T10:46:22+00:002027 DP dilemma: Ruto's costly gamble as pressure mounts
A growing list of influential politicians is positioning itself for the powerful seat currently occupied by Deputy President Kithure Kindiki.
RecentlyTanzania joins OECD forum on Africa’s economic transformation
PARIS: FINANCE Minister Ambassador Khamis Mussa Omar has arrived in Paris, France, to lead Tanzania’s delegation to the 25th International…
RecentlyLa Russie va-t-elle stationner une bombe atomique dans l’espace ?
Read the full report from the original source.
RecentlyI Saw An International Publication Telling The Truth For Once! Gen Muhoozi Says He Is A Very Good Friend Of UAE Rulers, Vows No One Will Overthrow Them Because UPDF Is Behind Them
Read the full report from the original source.
RecentlyMKUTANO WA CEO KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NA UWEKEZAJi
Na Mwandishi Wetu MKUTANO wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Makampuni (CEOs) kutoka sehemu mbalimbali duniani, The World CEO Summit Africa 2026, unatarajiwa kuwa chachu ya kukuza uchumi wa Tanzania kupitia kubadilishana uzoefu, maarifa na fursa za uwekezaji. Mratibu wa mkutano huo, Deogratius Kilawe, amesema Tanzania itanufaika na mkutano huo kutokana na fursa ya kuwakutanisha viongozi wa makampuni na taasisi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kujadili mikakati ya kuboresha uendeshaji wa biashara na kukuza uchumi. Kilawe amesema hayo wakati akizungumzia maandalizi ya mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 26 na 27 katika Ukumbi wa Ocean View Arena Kawe jijini Dar es Salaam mwaka huu, Ameeleza kuwa kuwa washiriki watapata fursa ya kujifunza uzoefu wa makampuni ya kimataifa yaliyofanikiwa katika uendeshaji na usimamizi wa biashara. Amesema mkutano huo utakuwa jukwaa muhimu la kukutanisha wadau na watoa maamuzi kutoka sekta mbalimbali ili kujadili changamoto zinazokabili biashara na uwekezaji, pamoja na kutafuta suluhisho zitakazosaidia kuboresha mazingira ya biashara nchini. Aidha, amesema mkutano huo utatoa fursa kwa vijana na wanawake kujifunza kutoka kwa viongozi wenye uzoefu katika sekta mbalimbali, kupata maarifa na kutumia fursa zitakazojitokeza katika kujenga uwezo wao wa kiuchumi. Amehimiza wadau wa sekta binafsi na umma kutumia fursa ya mkutano huo kushiriki kikamilifu katika majadiliano yatakayochochea ukuaji wa biashara, uwekezaji na uchumi wa Tanzania.
Tue, 24 Nov 2026 10:49:42 +0000EU imposes import quotas for hybrid vehicles from China
Read the full report from the original source.
RecentlyGovernment intensifies security operations along Isiolo-Garissa border
Government resolves to intensify security operations along Isiolo-Garissa border following inter-communal violence
RecentlyCS Mbadi signals PAYE review, new tax reforms
Treasury is reviewing PAYE and preparing the 2027 Finance Bill, with Mbadi promising tax reforms that balance revenue needs with household and business interest
RecentlyNorway’s Equinor agrees to invest 42bn US dollars in Lindi LNG project
Read the full report from the original source.
RecentlyKAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MPANGO WA UUNGANISHAJI UMEME KWA WANANCHI KATI YA TANESCO NA BENKI YA CRDB.
*Yasema utachochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi. *Yasisitiza utekelezaji wa mpango huo kuleta matokeo Chanya kwa wananchi. Na. Mwandishi wetu, Dar Es Salaam KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya TANESCO na Benki ya CRDB, ukilenga kuwawezesha wananchi wa mijini na vijijini kupata huduma ya umeme kwa urahisi na kwa wakati, ili kuchochea fursa za maendeleo katika nyanja mbalimbali hapa nchini. Akizungumza leo, Novemba 23, 2026, Jijini Dar es Salaam, katika Kikao cha tathimini ya utekelezaji wa mpango huo mbele ya Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bi. Subira Mugalu amesema hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za kutekeleza Mpango wa Misheni 300, unaolenga kuhakikisha hadi kufikia mwaka 2030 wananchi milioni 300 barani Afrika wanafikiwa na Nishati ya umeme. Amesema jitihada hizo zilizofanywa na TANESCO kwa kushirikiana na Benki ya CRDB , kutasaidia wananchi kunufaika na utaratibu wa kugharamiwa gharama za uunganishaji wa umeme, hatua ambayo itaongeza kasi ya kuzifikia kaya takribani milioni 1.7 kwa mwaka, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa utekelezaji wa Mpango wa Kitaifa wa Nishati. “Ninaipongeza TANESCO na Benki ya CRDB kwa hatua hii muhimu ya kuanzisha ushirikiano unaolenga kumrahisishia mwananchi kupata huduma ya umeme Kwani Ushirikiano huu ni mfano bora wa namna taasisi za umma na sekta binafsi zinavyoweza kuunganisha nguvu na rasilimali ili kutatua changamoto kwa wananchi moja kwa moja,” amesema Bi. Subiria Mugalu. Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema kupitia ushirikiano huo kati ya Serikali na sekta binafsi, ni hatua muhimu kwa serikali katika kuhakikisha ya wananchi wote wanaendelea kufikiwa na huduma ya umeme bila kikwazo chochote. Amesema utekelezaji wa ushirikiano huo ni matokeo ya Serikali, chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuweka mazingira wezeshi ya kukuza fursa za kiuchumi na kijamii kupitia Nishati ya umeme. “Mpango huu ni muhimu sana kwa Wananchi unarahisisha kuwasogezea huduma muhimu ya Umeme Kwani kupitia ushirikiano huu utatuwezesha angalau wa Tanzania milioni 1.7 kwa mwaka wanafikiwa na huduma ya Umeme ili kuhakikisha Tanzania mafia malengo ya Moango wa Misheni 300 Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Abdulmajid Nsekela amesema benki hiyo ni mshirika wa maendelo hapa nchini na kuwekeza katika Nishati nikuwekeza katika mstakabali wa Uchumi kwa taifa kwani hatua hiyo inakwenda kuongeza watumiaji wa umeme hali itakayochochea ukuaji wa uchimi kwa wananchi. Nao baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wamepongeza juu ya Mpango huo huku wakisema wanakwenda kuwa mabalozi Wazuri katika kuwahamasisha na kuwapa elimu Wananchi katika majimbo Yao.
Tue, 24 Nov 2026 10:44:12 +0000VIWANJANI | Je, kocha Steve Barker atakuwa na mwarobaini kukosekana kwa Chilambo na Toure ???
Mchambuzi wa soka Juma Abdul amezungumzia majeraha ya nyota wa Simba SC, Nathaniel Chilambo na Ismael Toure amesema mashabiki wa Simba watakosa ladha ya kiuchezaji inayotokana na uwepo wa nyota hao. Ameeleza kwa upande mwingine hali hiyo itatoa nafasi kwa wachezaji wengine waliokuwa hawapati nafasi ya kutosha katika maeneo hayo kujidhihirisha na kuonesha uwezo wao. Kwa upande wa mchambuzi wa soka Hamisa Abdulrahman amesema ana imani na uwezo wa Barker wa kutengeneza wachezaji wake na kuwafanya waendane na mfumo wake, akitolea mfano wa namna alivyoweza kumtumia Chilambo katika nafasi tofauti na ile aliyokuwa akiicheza awali. #Viwanjani #AzamSports
2026-11-24T10:21:26+00:00Why Ministry of Agriculture Commissioners and Engineers Should Be Interdicted and Dismissed
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice arrest two notorious criminals in Tudor, Mombasa
Read the full report from the original source.
RecentlyTwo killed in gas explosion at KPA food kiosk
Investigative agencies have since launched investigations to establish the circumstances surrounding the incident and determine what led to the explosion.
RecentlyPage 33 of 1125 · 22494 stories