Search the region
22947 stories
STEVEN ARIONG: Managing Director and Her Entire Board at UEDCL Should Have Resigned Two Months Ago for Being Incompetent
Read the full report from the original source.
RecentlyDrama, teargas as FKF Special General Meeting erupts into chaos in Meru
Read the full report from the original source.
RecentlyDigital loans hit Sh154 billion amid borrowing frenzy
Read the full report from the original source.
RecentlySpurs' title ambition excites De Zerbi
Read the full report from the original source.
RecentlyWAJASIRIAMALI WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wajasiriamali nchini na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuongeza ubunifu, ubora na ushindani wa bidhaa zao ili kunufaika na fursa za masoko zinazotokana na ushirikiano wa kikanda. Sangu ametoa wito huo Novemba 6, 2026, jijini Kigali, Rwanda, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Tanzania katika Maonesho ya 26 ya Jua Kali yanayofanyika nchini humo. Amesema ubunifu ni nyenzo muhimu katika kukuza biashara na kuongeza ushindani wa bidhaa katika masoko ya ndani na kimataifa, huku akiwapongeza wajasiriamali wa Tanzania kwa kazi zao bunifu. Amesema maonesho hayo ni jukwaa muhimu la kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, kupanua masoko, kukuza biashara na kuongeza fursa za ajira kwa wananchi wa nchi wanachama wa EAC. Ameongeza kuwa maonesho hayo yamefanyika kwa mara ya 26 tangu kuanzishwa mwaka 1999 jijini Arusha, Tanzania, na mwaka huu yanashirikisha zaidi ya wajasiriamali 2,500 kutoka nchi wanachama, ikilinganishwa na 2,241 mwaka jana. Aidha, ametaja changamoto zinazokabili sekta hiyo kuwa ni pamoja na upatikanaji wa mitaji, maeneo ya biashara, masoko, elimu ya ujasiriamali na viwango vya ubora wa bidhaa, pamoja na mazingira yasiyo bora ya kufanyia kazi, akiahidi kuzifanyia kazi kupitia nchi wanachama. Maadhimisho ya Siku ya Tanzania yamepambwa na maonesho ya mavazi ya asili, ambapo wajasiriamali wameonesha bidhaa mbalimbali zikiwemo mavazi ya Kitenge na Batiki, mikoba na viatu vya ngozi pamoja na vyakula vya asili vya jamii za Tanzania.a
Sat, 07 Nov 2026 07:49:00 +0000Leaders pen heartfelt tributes to Charlene after wedding
In their messages, the leaders wished the newlyweds a happy marriage, praying for lasting love, understanding and God's blessings in their union.
RecentlyKAMATI YA URATIBU YA KITAIFA YA WATAALAMU WA MAANDALIZI YA AFCON 2027 YAPITIA TAARIFA ZA KAMATI NDOGO
KAMATI ya Uratibu ya Kitaifa ya Wataalamu wa Maandalizi ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) imekutana leo, Novemba 6, 2026, kupitia na kujadili taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Kamati Ndogo mbalimbali zinazohusika na maandalizi ya michuano hiyo. Katika kikao hicho, taarifa zilizowasilishwa zimehusu maeneo muhimu ya maandalizi, ikiwemo Miundombinu, Ulinzi na Usalama, Usafirishaji pamoja na Fursa za Kiuchumi, ambapo wajumbe wamejadili hatua zilizofikiwa, changamoto zilizopo na masuala mbalimbali yanayohitaji kupewa kipaumbele ili kuhakikisha maandalizi yanaendelea kwa kuzingatia mahitaji na viwango vya michuano hiyo. Aidha, kikao hicho kimejadili mikakati ya kuimarisha uratibu na ushirikiano baina ya wadau mbalimbali ili kuhakikisha maeneo yote muhimu yanakuwa katika hali ya utayari kuelekea AFCON 2027. Kesho, Novemba 7, 2026, Kamati hiyo inatarajiwa kufanya ziara ya kukagua hali ya utayari wa miundombinu na maeneo mbalimbali ya maandalizi ya AFCON 2027 jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo inalenga kujionea maendeleo ya maandalizi katika maeneo husika na kubaini hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuhakikisha Tanzania inakuwa tayari kushiriki katika maandalizi ya pamoja ya kuandaa michuano hiyo kwa mafanikio. AFCON 2027 inaandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda.
Sat, 07 Nov 2026 07:44:12 +0000Hundreds Turn Up for Free Medical Camp at Mityana's Kalangaalo Health Centre
Read the full report from the original source.
RecentlyBingwa Mpya Aweka Historia Kwenye Misheni Za Meridianbet, Azawadiwa Ps5 Na Jbl
NDOTO ya kumiliki vifaa cha kisasa kama PlayStation 5 sasa imetimia kwa Martin Ndunguru, ambaye amefanikiwa kukomboa zawadi hiyo pamoja na redio ya JBL kupitia Misheni za Meridianbet. Mafanikio haya yanakuja baada ya safari ya zaidi ya mwaka mmoja ya kujikusanyia pointi kupitia programu ya Loyalty. Martin amethibitisha kuwa ndani ya Meridianbet kuna zaidi ya burudani, kwani kupitia Misheni na duka la mtandaoni, pointi zinaweza kutumika kukomboa bidhaa mbalimbali zinazopatikana. Safari ya Martin imekuwa ya hatua kwa hatua, huku misheni za sloti kutoka Expanse zikichangia kwa kiasi kikubwa mafanikio yake. Kufikia Oktoba 28, 2026, alikuwa amekusanya jumla ya pointi 3,210,619. Kati ya hizo, pointi 3,189,619 zilitokana na misheni za sloti za Expanse, huku nyingine zikipatikana kupitia tiketi za misheni na zawadi maalumu ya kutimiza mwaka mmoja katika Misheni za Meridianbet . Hizi ni pointi nyingi zilizomuwezesha kufikia lengo lake la kukomboa bidhaa alizokuwa akizitamani. Mbali na idadi kubwa ya pointi alizokusanya, Martin pia amefanikiwa kuwa mwanachama wa daraja la Dhahabu, kiwango cha juu zaidi katika mfumo wa Misheni za Meridianbet . Mfumo huu una madaraja matatu ambayo ni Shaba, Fedha na Dhahabu. Shaba inaanzia pointi 0 hadi 260,000, Fedha ni pointi 260,001 hadi 650,000, huku Dhahabu likianzia pointi 650,001 na kuendelea. Tangu Novemba 11, 2025, Martin amekuwa sehemu ya kundi la wanachama wa daraja la Dhahabu. Hata baada ya kufikisha kiwango cha kukomboa PS5 mwezi Juni 2026, aliendelea kukusanya pointi hadi alipofanikiwa kupata JBL pia. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Mafanikio haya yanafungua ukurasa mpya wa msisimko kwa washiriki wa Misheni za Meridianbet . Duka la mtandaoni lina bidhaa mbalimbali zinazoweza kukombolewa kwa pointi, zikiwemo PlayStation 5, JBL, Hisense TV, iPhone na zawadi nyingine nyingi. Hii inakupa nafasi ya kuchagua bidhaa unayoipenda zaidi na kufuatilia mahitaji ya pointi kupitia akaunti yako. Martin amefanikiwa kupata bidhaa mbili, lakini bado kuna zawadi nyingine nyingi za kugundua ndani ya duka hilo. Je, ni bidhaa gani ungependa kuikomboa kupitia Misheni za Meridianbet ? Usibaki nje ya safari hii bila kufahamu namna mfumo wa Misheni na programu ya Loyalty unavyofanya kazi. Tembelea Meridianbet, ingia sehemu ya Misheni na uchunguze duka la mtandaoni ili kuona zawadi zinazopatikana na masharti ya kuzikomboa. Martin Ndunguru tayari amefurahia PS5 na JBL yake, nawe unaweza kuanza kwa kuweka malengo na kufuatilia pointi zako. Jisajili leo uungane na washindi wenzako.
Fri, 06 Nov 2026 07:39:00 +0000US: Giant pandas from China make public debut at Atlanta zoo
Read the full report from the original source.
RecentlyBurundi: Kubera iki urugero rw'amashure ayoberwa muri 'Exetat' rugenda rwiyongera?
Mu mashuri agera ku bice 37 kw'ijana (37%) mu yakoze, uwu mwaka, ikibazo ca reta kirangiza amashure yisumbuye kigatanga n'uburenganzira bwo kuja muri kaminuza (examen d'Etat), nta munyeshure n'umwe yashoboye kumenya.
RecentlyTuchel's 'up and down' relationship with Bellingham in a good place
Read the full report from the original source.
RecentlyCasino operators propose alternative to 15% withholding tax to safeguard jobs and government revenue
KAMPALA, UGANDA | 6 November 2026 – Licensed casino operators in Uganda are calling on the Government to reconsider the 15% withholding tax on winnings from land-based casinos, warning that difficulties...
RecentlyUK issues new travel warning for troubled Kenyan town as Ethiopia clashes escalates
Read the full report from the original source.
RecentlyMSHIKEMSHIKE - AZAM TV 06/11/2026
Azam TV
2026-11-07T05:44:28+00:00Man falls to death while installing billboard
The deceased, identified as Paul Katami, was mounting a billboard banner alongside a colleague when he reportedly slipped and fell.
RecentlySiri ya kambi hadi Pengo Makeke kupewa ubalozi
Soma hapa...
RecentlyIndia news: Vehicles major cause of Delhi pollution, top court says
Read the full report from the original source.
RecentlyBabu Owino names Kivutha Kibwana as The Mwananchi Party patron
Read the full report from the original source.
RecentlyHow Martha Karua, Matiang'i and Nyoro could split Opposition's vote in 2027
Fred Matiangi is estimated to have the potential to marshal more than 1.2 million votes, while Nyoro and Karua could each bring in their support.
Sat, 07 Nov 2026 10:00:00 +0300Page 335 of 1148 · 22947 stories