Unganishwa

Search the region

22949 stories

Uncategorized · Issa Michuzi

NINI KINAENDELEA MAKUYUNI? RC MAKALLA ATOA MWONGOZO WA KUMALIZA MGOGORO

. Asisitiza busara na utu, akipendekeza mwekezaji kuridhia kumega ekari 100 kwaajili ya Kitongoji cha Zaburi chenye usajili na miundombinu ya Msikiti, Kanisa, Maji, Umeme na chekechea . Eneo lingine la Ekari 100 lenye makazi ya kudumu nje ya Eneo  la Ekari 100 ya miundombinu ya jamii, Mwekezaji kukaa na wavamizi na kukubaliana - Awataka wananchi kuwa watulivu, kusitisha uvamizi na uendelezaji wa eneo hilo mpaka kukamilika kwa makubaliano - Baada ya makubaliano aitaka Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kupanga maeneo yatakayoachwa na Mwekezaji Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, leo Ijumaa, Novemba 6, 2026, ametatua mgogoro wa ardhi katika Kijiji cha Makuyuni, Wilaya ya Monduli, uliodumu kwa takribani miaka 20 baada ya wananchi kuvamia eneo la mwekezaji la ekari 200 na kufanya shughuli za uzalishaji na kuweka makazi. Akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Zaburi, Mhe. Makalla amebainisha kuwa kampuni ya Rhino Equipment & Transportation ndiyo mmiliki halali wa eneo hilo, huku Serikali ikipendekeza mwekezaji huyo aridhie kutenga ekari 100 kwa ajili ya kitongoji hicho ambacho tayari kimesajiliwa na kina miundombinu mbalimbali ya kijamii ikiwemo msikiti, kanisa, shule ya awali pamoja na huduma za maji na umeme. Katika maelekezo yake, Mhe. Makalla ameutaka uongozi wa Rhino Equipment & Transportation kukaa na kuzungumza na wananchi walioingia katika eneo lake lingine lenye ukubwa wa ekari 100 na kuweka makazi na kufanya shughuli mbalimbali ili kwa pamoja waweze kufikia makubaliano yatakayowezesha matumizi sahihi ya ardhi hiyo na kuondoa mgogoro. Mhe. Makalla kadhalika amewataka wananchi wa Kijiji hicho kuwa watulivu na kusitisha uvamizi na uendelezaji wa maeneo hayo hadi pale makubaliano yote yatakapokamilika suala ambalo limeungwa mkono na Uongozi wa eneo hilo, huku akiiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kusimamia utekelezaji wa maelekezo hayo na kuhakikisha kunakuwa na mpango mzuri wa matumizi ya ardhi itakayotengwa na mwekezaji kwa ajili ya wananchi hao.

Sat, 07 Nov 2026 06:02:48 +0000
Uncategorized · Business Daily

Carbacid ramps up solar projects to cut KPLC bills

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Hassan Ntahe : héritier d’une légende

Fils de la légende Canjo Amissi, Hassan Ntahe a grandi la musique dans la peau, sans toujours trouver les moyens de faire éclore son talent. Rêves brisés, perte de repères, passage par la case prison, renaissance (…), son parcours raconte […] L’article Hassan Ntahe : héritier d’une légende est apparu en premier sur Yaga Burundi .

Sat, 07 Nov 2026 06:00:14 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Dutch activists invade site of Microsoft's planned data centre

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Karua: Lissu's jail term is a travesty of justice

Karua said Lissu's acquittal on treason charges should have resulted in his release rather than a conviction on a lesser offence that would keep him jailed

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Paraguay's President Santiago impeached and arrested

Peña's impeachment passed with 44 out of 45 senators voting in favour of it. One lawmaker was absent.

Recently
Uncategorized · PML Daily

KCW SACCO Turns World Savings Day Run into Campaign for Financial Literacy

KAMPALA — Ugandans have been urged to embrace a culture of saving, exercise caution when investing and use emerging financial technologies responsibly as Kampala Corporate Women Cooperative Society (KCW SACCO) steps...

Recently
Uncategorized · KBC

KUTRRH nurses call off strike after signing agreement

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Paraguay's President Santiago impeached and arrested

Peña's impeachment passed with 44 out of 45 senators voting in favour of it. One lawmaker was absent.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Katwila: Geita Gold hatujakata tamaa

KOCHA wa Geita Gold, Zuberi Katwila amesema hawajakata tamaa licha ya timu hiyo kupitia kipindi kigumu cha matokeo mabaya Ligi Kuu Bara na kipaumbele chao kwa sasa ni kuwajenga kisaikolojia...

Recently
Uncategorized · PML Daily

MORRISON RWAKAKAMBA: The Kenya Pipeline Company and why Uganda’s $200 million profit is only the beginning

KAMPALA - In the breathless 24-hour news cycle, strategic statecraft rarely makes headlines. While political noise mostly dominates the agenda, a quiet financial masterstroke has been unfolding on the Nairobi Securities.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Abanyamakuru bahize abandi bahembwe

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Health experts raise alarm over misuse of e-pills

The health professionals say the growing tendency to rely on e-pills as a regular family planning method is alarming.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Makata abanwa na mawili Polisi

KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Mbwana Makata amebaini maeneo mawili yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa nguvu kubwa katika kikosi chake, licha ya timu hiyo kurejea kwenye ushindi katika mchezo wake...

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US asks China to uphold Busan trade deal commitments

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

AU calls for accountable political leadership at Addis Ababa Summit

The Chairperson of the African Union (AU) Commission, Mahmoud Ali Youssouf has called for greater accountability, transparency and inclusivity in African political parties to strengthen democratic governance and advance

Recently
National · The Star Kenya

Ongwae unveils new party ahead of 2027 elections

Ongwae, who will lead the party, said USAP was not merely being established to compete for political positions but to provide an alternative platform for Kenyan

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Tempted by snacks before bed? Here's why

Even after a substantial evening meal, foods rich in sugar, fat or salt can continue to activate reward pathways in the brain

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Wimbi la ‘Single Mothers’ linavyotikisa

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · The Citizen

Lissu: From treason to four-year sentence for incitement

Read the full report from the original source.

Recently

Page 337 of 1148 · 22949 stories