Unganishwa

Search the region

22495 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Two killed in gas explosion at KPA food kiosk

Investigative agencies have since launched investigations to establish the circumstances surrounding the incident and determine what led to the explosion.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Un employé d'Anthropic affirme avoir peut-être trouvé la solution a un problème mathématique majeur

Un mathématicien d'Anthropic affirme avoir utilisé une IA pour prouver la célèbre hypothèse de Riemann, même si la vérification prendra du temps.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Coca-Cola returns as AFCON sponsor after 30 years

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Gov’t ordered to pay Shs 8.5bn for defying court orders

High Court judge Bonny Isaac Teko has ordered the government to pay Leads Insurance Limited Shs 8.46 billion in damages for failing to implement a…

Recently
National · KBC

Judiciary presents Ksh50.76B budget for 2027/28

The Judiciary is seeking an additional Ksh. 20.35 billion to support critical justice delivery priorities, including preparedness for the 2027 General Elections, recruitment of judicial officers and expansion of court…

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Want to Fix Poverty and Climate Change? Start With Power

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Samia Offers 60 Specialist Scholarships as Africa Launches 2026–2030 Maternal and Child Health Roadmap

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

As Trust in Africa’s Electoral Bodies Lags, Nchemba Makes the Case for Openness

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Ndejembi Bars Favouritism in Sh200 Billion Youth Fund, Demands Proof of Jobs Created

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Used electric vehicles with under 80% battery life barred from Kenya, KEBS says

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

High Court rejects bid to declare life imprisonment unconstitutional

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

EU YAVUTIWA NA FURSA ZA UWEKEZAJI TANGA

Na Oscar Assenga, Tanga MKOA wa Tanga umeibuka na fursa lukuki za uwekezaji katika sekta za kilimo, viwanda, uchumi wa buluu na miundombinu, huku Serikali ya Mkoa ikiwataka wawekezaji kutumia fursa hizo kuchochea uchumi na kutengeneza ajira kwa wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk. Batilda Burian, alisema hayo Novemba 23, 2026, wakati akipokea ujumbe wa Mabalozi wa Umoja wa Ulaya (EU) na nchi wanachama wake waliowasili mkoani humo kwa ziara ya siku tatu kutathmini fursa za uwekezaji na kuimarisha ushirikiano wa maendeleo. Alisema mkoa huo una uwezo mkubwa wa kuzalisha chakula, lakini bado kuna nafasi kubwa ya uwekezaji katika kuongeza thamani ya mazao, kuimarisha uzalishaji na kupanua masoko. Kwa mujibu wa takwimu za msimu wa kilimo zilizotajwa, Tanga imezalisha zaidi ya tani milioni 1.8 za chakula, wakati mahitaji ya mkoa huo ni takribani tani 621,000. Alisema tofauti hiyo inaonesha umuhimu wa kuwekeza katika viwanda vya kuchakata mazao ili kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa na kuwapatia wakulima masoko yenye uhakika. Dk. Burian alibainisha kuwa uwekezaji katika miundombinu ya umwagiliaji, pembejeo za kilimo na huduma za ugani umeanza kusaidia kuongeza uzalishaji na kuwawezesha wakulima kufanya kilimo cha kibiashara. Alitaja Mradi wa Umwagiliaji wa Mkomazi kuwa miongoni mwa miradi yenye uwezo wa kuongeza uzalishaji na kufungua fursa zaidi za kiuchumi. “Tunayo fursa kubwa ya kuongeza uzalishaji na kuimarisha uchumi kupitia uwekezaji katika kilimo, miundombinu na sekta nyingine, hivyo ushirikiano huu ni muhimu katika kufungua fursa zaidi kwa wananchi,” alisema. Kwa upande wake, Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Jean-Marc Pisani, alisema Tanga ina nafasi kubwa ya kuwa kitovu cha uwekezaji unaounganisha ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu. Alisema Umoja wa Ulaya unaunga mkono miradi inayolenga kulinda mazingira, kuimarisha ubunifu na kufungua fursa kwa jamii pamoja na wafanyabiashara. “Tanga inatoa fursa muhimu za kuonyesha jinsi maendeleo endelevu na ukuaji wa uchumi vinavyoweza kwenda sambamba. Kupitia ushirikiano wetu na Tanzania, tunasaidia miradi inayolinda maliasili, kuhimiza ubunifu na kuunda fursa kwa jamii na wafanyabiashara,” alisema. Pisani alisema ziara hiyo pia inalenga kusikiliza matarajio ya wadau na kubaini maeneo mapya ya ushirikiano yatakayozalisha matokeo ya kudumu. Alisema miradi ya miji ya kijani na uchumi wa buluu ni miongoni mwa maeneo yanayopata msukumo kupitia uwekezaji wa Team Europe. Wakati huo huo, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Viwanda Vidogo na Biashara (SIDO), Ahmed Kitara, alisema shirika hilo linaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo, akiwamo Enabel, kuwawezesha wanawake na vijana kiuchumi. Alisema ushirikiano huo unalenga kuwaendeleza wajasiriamali katika uzalishaji wa vyakula, ukaushaji wa mboga na bidhaa za baharini pamoja na kuimarisha viwanda vidogo. Alifafanua kuwa msaada wa mashine umewawezesha vijana kuongeza ubora wa bidhaa zao, kutumia ujuzi walionao na kuongeza uwezo wa uzalishaji. Aidha, alisema baadhi ya vijana wanaohitimu katika vyuo vya VETA wamepata nafasi ya kutumia maeneo hayo kuendeleza shughuli zao za uzalishaji na kujiajiri. Alisema hatua hizo ni sehemu ya juhudi za kuwawezesha wanawake na vijana kutumia rasilimali zinazopatikana Tanga kujenga uchumi wao na kuzalisha bidhaa zinazoweza kushindana sokoni. Ziara hiyo inayofanyika Novemba 23 hadi 25, 2026, inahusisha wawakilishi wa Umoja wa Ulaya na nchi 11 wanachama wake, huku ratiba yake ikijumuisha kutembelea miradi ya maendeleo ya miji, uhifadhi wa mazingira, huduma za maji, biashara za wenyeji na Bandari ya Tanga.

Tue, 24 Nov 2026 10:25:26 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Chadema yaweka masharti kushiriki maridhiano

Hatima ya ushiriki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika mchakato wa maridhiano ya kitaifa sasa inaonekana kutegemea masharti mawili ambayo chama hicho kimesema ni lazima...

Recently
Uncategorized · The Nile Post

KOFIH Uganda, Partners Share Busoga Wash Project Results

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ogamba sets 90-day deadline for school unrest reforms

He warned against producing another report that would remain unimplemented, saying the country already had considerable evidence on the causes of school unrest

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania releases 19bn/-for AFCON road compensation

ARUSHA: THE Tanzanian government has released 19bn/- to compensate residents whose properties and land have been affected by road construction…

Recently
Uncategorized · Business Daily

Discipline and curiosity, not place of birth, will make you a leader

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Pearl Bank MD Julius Kakeeto Named Banker of the Year at the 2026 Annual Bankers Awards

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

New 20-station computer lab opens at Cheberen VTC in Baringo

Read the full report from the original source.

Recently
National · Daily News

Mikumi Park eyes fortunes in its airport whose construction is 90 percent complete

MIKUMI: CONSTRUCTION of Kikoboga Airport inside Mikumi National Park has reached 90 per cent, with the project expected to boost…

Recently

Page 34 of 1125 · 22495 stories