Search the region
22952 stories
Les habitants des collines Mudahandwa et Mugozi appelés à contribuer dans la construction du pont sur la rivière Siguvyaye
Read the full report from the original source.
RecentlyKIHONGOSI AWATAKA WANACCM KUJIVUNIA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka wanachama wa chama hicho kuendelea kujivunia mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kihongosi ameyasema hayo leo, Novemba 6, 2026, jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM waliojitokeza kumpokea baada ya kuteuliwa kuwa Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM. Amesema tangu kuasisiwa kwake mwaka 1977, CCM imekuwa na dhamira ya kuleta maendeleo ya Taifa, akieleza kuwa serikali zinazoongozwa na chama hicho zimeendelea kutekeleza miradi ya kimkakati na kuboresha huduma za kijamii katika sekta za miundombinu, elimu, afya na nishati. Akitaja baadhi ya mafanikio hayo, Kihongosi amesema ujenzi wa barabara, shule, vyuo vikuu na kuboreshwa kwa huduma za afya ni sehemu ya juhudi za Serikali ya CCM katika kuboresha maisha ya wananchi. “Ukiona miundombinu bora ya barabara nchi nzima, ni Serikali ya CCM. Ukiona miundombinu ya elimu, madarasa, vyuo vikuu na sekondari zinajengwa, ni kazi ya CCM,” amesema Kihongosi
Fri, 06 Nov 2026 15:35:37 +0000Wendi Ku Win Campaign to Reward Customers for Weekly Digital Transactions
Read the full report from the original source.
RecentlyTrump signs order to preserve Oval Office as national monument
American presidents currently have the power to make some changes to the White House but large projects require the permission of Congress.
RecentlyUS report raises alarm over alleged involvement of Kenyan officials in human trafficking
Read the full report from the original source.
RecentlyI Can’t Run Out Of Uganda Because Of Muhoozi, I Am On Official Parliament Duties And I’m Coming Back To Be Killed By Muhoozi – Ofwono Opondo
Read the full report from the original source.
RecentlyThe 576-day odyssey: Tundu Lissu’s legal journey
Read the full report from the original source.
RecentlyHeart Disease Burden Rises as 16,000 Babies Are Born With Defects Annually
Read the full report from the original source.
RecentlyMAHAKAMA YAMTIA HATIANI LISSU KWA KOSA LA UCHOCHEZI, JAMHURI YAOMBA ADHABU KALI
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV JAJI Dustan Ndunguru, akisoma uamuzi wa Mahakama leo Novemba 6, 2026, kwa niaba ya jopo la majaji, amesema Mahakama imeridhika kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alitenda kosa la uchochezi kwa mujibu wa Kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu, hivyo kumtia hatiani kwa kosa hilo. Jaji Ndunguru amesema Mahakama inaamini kuwa Lissu alikuwa na taarifa ya kosa dogo la uchochezi na alikuwa na nafasi ya kujitetea, huku ushahidi wote uliotolewa ukijikita katika suala la uchochezi na kauli za kumchochea umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo, upande wa mashtaka ulisimama kuwasilisha hoja kuhusu adhabu inayopaswa kutolewa dhidi ya mshtakiwa. Akizungumza kwa niaba ya Jamhuri, Katuga amesema kwa mujibu wa Kifungu cha 339 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), Mahakama inaweza kupokea ushahidi hadi kufikia hatua ya kutoa adhabu inayofaa. Amesema moja ya malengo ya adhabu ni kutoa onyo kwa mtu aliyepatikana na hatia ili asirudie kosa hilo au kutenda makosa mengine, pamoja na kuwa onyo kwa watu wengine wenye nia ya kutenda makosa kama hayo. Katuga amesema licha ya kutokuwepo kwa kumbukumbu za makosa ya awali dhidi ya mshtakiwa, taarifa zilizopo polisi zinaonyesha ongezeko kubwa la watu wanaotenda makosa ya kuchochea umma kwa maslahi yao binafsi ya kisiasa au kiuchumi.
Fri, 06 Nov 2026 10:00:00 +0000Claude Nahayo prend les fonctions d’administrateur communal de Ngozi
Read the full report from the original source.
RecentlyEquity Bank Rwanda Introduces EMMA to Turn Everyday Transactions into a Path to Credit
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy WHO must declare climate change a public health emergency
The world now faces an unprecedented El Niño season with a recent report forecasting 451,000 additional heat-related deaths from June 2026 to February 2027.
RecentlyTZ invests in health workforce to tackle rising diabetes, hypertension
DAR ES SALAAM: TANZANIA is stepping up efforts to prepare its health workforce to tackle rising cases of diabetes, hypertension…
RecentlyKMPDU chairman Abidan Mwachi secures admission to global surgical body
Read the full report from the original source.
RecentlyAbyei: Deadly drone strikes mark ‘new and concerning’ threat, UN peacekeeping chief warns
Read the full report from the original source.
RecentlyLes tambourinaires de Rugazi bénéficient des habits traditionnels de la part du natif de la zone
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya nears Ebola-free countdown after six recoveries, 18 days without new case
Read the full report from the original source.
RecentlyJAMHURI YAOMBA LISSU AFUNGWE MIAKA MITANO AU ALIPE FAINI KWA KOSA LA UCHOCHEZI
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania imhukumu kifungo cha miaka mitano jela au faini kubwa, ukidai kuwa kauli zake zimesababisha athari kubwa kiuchumi na kuleta hofu ya uvunjifu wa amani nchini. Ombi hilo limewasilishwa mbele ya Jaji Dustan Ndunguru leo Novemba 6, 2026, baada ya Mahakama kumtia hatiani Lissu kwa kosa la uchochezi kinyume na Kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu. Wakili wa Jamhuri, Katuga, akitumia mamlaka ya Kifungu cha 339 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), ameiomba Mahakama izingatie kuwa licha ya mshtakiwa kutokuwa na kumbukumbu za makosa ya awali, vitendo vya uchochezi vimekuwa vikiathiri kwa kiasi kikubwa amani na uchumi wa nchi. Jamhuri imesema vitendo hivyo vimekuwa vikisababisha uharibifu wa mali za umma na binafsi, huku wananchi wakiwa na hofu inayowazuia kufanya shughuli zao za kiuchumi. Katika kuimarisha hoja hiyo, upande wa mashtaka umeiomba Mahakama izingatie hotuba na taarifa rasmi ya Tume ya Jaji Chande, ambayo imeonyesha kuwa vurugu na changamoto zilizojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zilisababishwa na kauli za baadhi ya wanasiasa. Kutokana na athari hizo, Jamhuri imeiomba Mahakama itumie Kifungu cha 35 kinachoruhusu adhabu ya jumla ya kifungo cha miaka mitano jela, ili iwe fundisho na onyo kwa watu wengine wenye nia ya kutenda makosa yanayoweza kuhatarisha amani ya nchi. Baada ya kuwasilishwa kwa ombi hilo la adhabu, Jaji Ndunguru amempa mshtakiwa fursa ya kujitetea kabla ya kutolewa kwa hukumu ya adhabu. Lissu ameiomba Mahakama impe muda wa dakika tano ili kufanya mashauriano na mawakili wake kabla ya kuwasilisha maelezo yake ya kuomba nafuu ya adhabu (mitigation). Jaji Ndunguru amekubali ombi hilo na kutoa nafasi ya mapumziko mafupi kabla ya mchakato huo kuendelea.
Fri, 06 Nov 2026 10:00:00 +0000Family identifies two security officers involved in Abshir Abdi abduction
The family of Nairobi lawyer Abshir Ahmedsadak Abdi has identified two security officers alleged to have taken part in their kin's abduction.
Fri, 06 Nov 2026 18:00:00 +0300State to deploy more police, patrol boats on Lake Victoria
The move comes amid longstanding complaints by fishing communities over insecurity, particularly around Migingo Island and other disputed fishing areas.
RecentlyPage 344 of 1148 · 22952 stories