Unganishwa

Search the region

22495 stories

Uncategorized · Daily News

BoT highlights economic risks of forest destruction at COP31

ANTALYA: THE Bank of Tanzania (BoT) has called on central banks and financial institutions worldwide to recognise forest destruction and…

Recently
National · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU ATAKA UJENZI WA SHULE YA MISEGESE UKAMILIKE JANUARI 31

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi kuhakikisha ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Misegese, mkoani Morogoro, unakamilika ifikapo Januari 31, 2027, ili kupunguza adha ya wanafunzi kutembea umbali wa kilometa 11 hadi 15 kwenda shule. Ametoa maelekezo hayo leo, Jumanne, Novemba 24, 2026, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Toboatobo, wilayani Malinyi, baada ya kumhoji Mkurugenzi huyo kuhusu muda wa kukamilisha ujenzi wa shule hiyo. Akijibu swali la Waziri Mkuu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, Christopher Aloyce Sanga, amesema ujenzi utakamilika Januari 31, 2027, tarehe ambayo Dkt. Mwigulu ameikubali na kusisitiza shule ikamilike ili wanafunzi waanze masomo. Waziri Mkuu ametoa maelekezo hayo ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro, ambapo pia amekagua maendeleo ya ujenzi na kuweka jiwe la msingi la shule hiyo iliyopo Kijiji cha Misegese, Kata ya Malinyi. Dkt. Mwigulu amesisitiza matumizi sahihi ya fedha zilizotolewa na Serikali, akionya dhidi ya visingizio vya upungufu wa fedha na kuwataka wasimamizi wa mradi kutowasumbua wananchi katika utekelezaji wake. “Na sitaki kusikia pesa imepungua,” amesema Waziri Mkuu, akisisitiza kuwa fedha zilizotolewa zinapaswa kutumika kukamilisha mradi huo. Kwa mujibu wa taarifa ya utekelezaji wa mradi iliyowasilishwa kwa Waziri Mkuu, Serikali imetoa Sh. milioni 528.9 kupitia Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo, ambao umefikia takribani asilimia 60. Taarifa hiyo imeeleza kuwa mradi unahusisha ujenzi wa madarasa manane, ofisi mbili za walimu, jengo la utawala, maktaba, jengo la TEHAMA, maabara tatu za sayansi, vyoo na tenki la maji. Shule hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 320, huku ikitarajiwa kuanza kwa kupokea wanafunzi 80 wa kidato cha kwanza. Kukamilika kwa shule hiyo kutapunguza changamoto ya wanafunzi kutembea umbali wa kilometa 11 hadi 15 kwenda kupata elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Malinyi. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia amepanda mti wa mkongo katika eneo la shule ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira.

Tue, 24 Nov 2026 10:13:56 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

Pourquoi certaines personnes perdent-elles tout intérêt pour le sexe ?

Comprendre la racine de ce problème constitue la première étape pour trouver une solution et rétablir le bonheur et l’harmonie au sein du couple.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DODOMA YAFANYA UTAFITI MPYA KUBAINI HALI HALISI YA LISHE KWA WANANCHI

Na Janeth Raphael -MichuziTv Mkoa wa Dodoma umeanza kufanya utafiti mpya wa hali ya lishe katika wilaya zake zote kwa lengo la kupata takwimu za sasa zitakazosaidia kubaini ukubwa wa changamoto za lishe na kuweka mikakati madhubuti ya kukabiliana nazo. Utafiti huo unafanyika kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kufuatia takwimu zilizopo za mwaka 2022 ambazo zilionesha kuwepo kwa changamoto ya udumavu, ukondefu na uzito pungufu miongoni mwa wananchi, hususan watoto. Akizungumza leo, Novemba 24, 2026, katika Mkutano wa 10 wa Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema hatua hiyo inalenga kupata picha halisi ya hali ya lishe mkoani humo ili kurahisisha upangaji wa afua zinazohitajika. Senyamule amesema takwimu za mwaka 2022 zilionesha kuwa kiwango cha udumavu mkoani Dodoma kilikuwa asilimia 30.7, hali iliyokuwa karibu na kiwango cha kitaifa na juu ya kiwango kinachoshauriwa kimataifa. Ameeleza kuwa katika kipindi hicho, kiwango cha ukondefu kilikuwa asilimia 1.4, huku watoto wenye uzito pungufu wakifikia asilimia 11, viwango vilivyoonesha umuhimu wa kuendelea kuimarisha juhudi za kukabiliana na changamoto za lishe. Amesema pamoja na takwimu hizo, Serikali kwa kushirikiana na wadau imeendelea kutekeleza hatua mbalimbali za kuboresha lishe, hivyo ni muhimu kufanya utafiti mpya ili kubaini matokeo ya jitihada hizo na changamoto zilizopo kwa sasa. Ameongeza kuwa zoezi la utafiti huo tayari limeanza katika Wilaya za Chamwino na Dodoma, huku likitarajiwa kufanyika katika wilaya nyingine za mkoa huo ili kupata takwimu zitakazotumika kuimarisha mipango na mikakati ya kuboresha lishe na afya ya jamii.

Tue, 24 Nov 2026 10:02:47 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: Volkswagen begins wage talks with IG Metall union

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Stanbic, Pride Bank, Centenary Shine at 2026 Annual Bankers’ Awards

Stanbic Bank Uganda, Pride Bank and Centenary Bank were among the big winners at the 2026 Annual Bankers’ Awards, which recognised outstanding performance, innovation and leadership in Uganda’s banking and…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

93 Drivers Arrested in Kampala Drink-Driving Crackdown

Police have arrested and arraigned 93 drivers following a drink-driving operation conducted across Kampala Metropolitan Police (KMP) divisions as authorities intensify efforts to curb road accidents ahead of the festive…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

UJENZI WA UWANJA WA NDEGE KIKOBOGA WAFIKIA ASILIMIA 90.

Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kikoboga uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi umefikia asilimia 90, ukihusisha jengo lenye uwezo wa kuhudumia abiria 160 wanaowasili na wanaoondoka, njia ya kuruka na kutua ndege (Runway) yenye urefu wa kilomita 1.8, jengo la Zimamoto na Uokoaji, sehemu ya maegesho ya ndege na magari pamoja na kioski. Kukamilika kwa uwanja huo kunatarajiwa kuongeza idadi ya watalii, kukuza mapato kwa Taifa na kuchochea shughuli za kiuchumi kwa jamii inayozunguka hifadhi. Akikagua mradi huo Novemba 23, 2026, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) alimulekeza mkandarasi “China Henan International Cooperation, Group Co. LTD (CHICO)” kuhakikisha mradi huo unakamilika ifikapo Disemba 10, 2026  kama mkataba unavyoelekeza na kwa viwango vilivyokusudiwa ili kuleta tija kwa Taifa na jamii kwa ujumla. Aidha, ameitaka Menejimenti ya Hifadhi kusimamia miradi hiyo kwa ufanisi sambamba na kuimarisha utekelezaji wa shughuli za uhifadhi na utalii. Pia, Dkt. Kijaji alifanya ukaguzi wa barabara inayotokea lango la Kikoboga hadi lango la Chamgore yenye urefu wa kilometa 38, ambayo ukarabati wake umekamilika kwa asilimia 100. Ujenzi wa barabara hiyo umetekelezwa chini ya ufadhili wa fedha za Mfuko wa Kukuza Utalii Nchini (TDL) unaosimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii. Barabara hiyo itaunganisha Lango la Chamgore lililopo upande wa Kilosa linalotarajiwa kuanza kujengwa mwaka huu, hivyo itaongeza wigo mkubwa wa mtandao wa njia za utalii ndani ya hifadhi na kuwawezesha watalii watakaotumia treni ya SGR na kushuka Kilosa kuweza kuingia hifadhini kwa urahisi. Hifadhi ya Taifa Mikumi ni miongoni mwa hifadhi zinazovutia katika ukanda wa mashariki mwa Tanzania, ikifahamika kwa urahisi wa kufikika na fursa ya kuona wanyamapori katika mazingira yao ya asili. Miongoni mwa vivutio vyake ni pamoja na makundi ya tembo, nyati, pofu, simba na twiga, pamoja na mandhari ya kuvutia na fursa nzuri ya kufanya utalii wa ndege.

Tue, 24 Nov 2026 09:56:35 +0000
Sports · Azam TV Videos

Buku tano kuitazama Yanga SC vs MC Alger Ligi ya Mabingwa, tiketi dakika moja kwa simu ya kitochi.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akieleza viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Kwa mujibu wa Kamwe viingilio vitakuwa Shilingi 5,000 kwa majukwaa ya Saa na Obit, Shilingi 10,000 kwa Jukwaa la Urusi, Shilingi 20,000 kwa Wings na Shilingi 30,000 kwa VIP.

2026-11-24T09:38:18+00:00
Uncategorized · Rwanda Inspirer

62% of Rwandans report being targeted by digital fraud, TransUnion study finds

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Banks Urged to Expand Credit for Women as Uganda Launches WSME Data Dashboard

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya ranks 4th globally in top wildlife destinations

Kenya's fourth-place finish puts it ahead of Rwanda, which ranked fifth, Colombia (sixth), Costa Rica (seventh), Tanzania (eighth), Canada (ninth) and Indonesia

Recently
Uncategorized · KBC

China “deeply disappointed” as COP31 ends without deal, urges faith in multilateralism

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Istanbul 'lion hunt' ends after no big cat found after all

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · The Observer Uganda

Former Express CEO banned for life over football match-fixing

The former Express FC chief executive officer, Ashraf Miiro, has been banned for life from all football-related activities after being found involved in arrangements to…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua hands Methu key role in DCP

Gachagua welcomed Methu back to his official duties as the party’s secretary general-designate on Tuesday at his Wamunyoro home

Recently
Uncategorized · The Standard

Court to rule on Makenzi's child torture, radicalisation and manslaughter charges

Three courts in Mombasa are due to deliver rulings this week against convicted preacher Paul Mackenzie and his co-accused on child torture, radicalisation and manslaughter.

Tue, 24 Nov 2026 12:27:00 +0300
Uncategorized · DW Afrique

Niger-Bénin : à Gaya, le commerce s’adapte malgré la fermeture du pont

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Equity Bank Uganda Wins Bancassurance Excellence Award at 2026 Bankers’ Awards

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

dfcu Named SME Bank of the Year and Best Bank in Asset Financing at the Annual Bankers’ Awards 2026

Read the full report from the original source.

Recently

Page 35 of 1125 · 22495 stories