Search the region
22961 stories
Pictures: President Ruto, First Lady Rachel in Tanzania for Charlene’s white wedding
President William Ruto and First Lady Rachel Ruto are in Mwanza, Tanzania for Charlene's wedding to Tanzanian enterpreneur Isaya Yunge. The wedding comes a few months after the traditional wedding,…
RecentlyEnvoy Chipeta hails Amsterdam’s Roundtable for cementing Tanzania-Netherlands economic ties
AMSTERDAM: TANZANIA’S Ambassador to the Netherlands, Caroline Kitana Chipeta,has participated in the Africa Expert Breakfast Roundtable on Tanzania, organised by…
RecentlySERIKALI INAENDELEA KUFANYIA KAZI MAPENDEKEZO YA CAG — DKT. MWIGULU
▪️︎ Asema hatua kali kuchukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya ubadhirifu WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo yote yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya ubadhirifu. Amesema hayo leo (Ijumaa, Novemba 6, 2026), wakati akiwasilisha hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13, Bungeni jijini Dodoma. Dkt. Mwigulu amewakumbusha Maafisa Masuuli na watendaji wote wa Serikali kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za matumizi ya fedha za umma kwa mujibu wa mipango na bajeti, ili kuepusha hoja za ukaguzi na upotevu wa fedha. “Niwakumbushe watumishi wote kuwa fedha za umma ni kodi za wananchi, na hivyo Serikali haitafumbia macho wale watakaobainika kufanya ubadhirifu,” amesema. Amesema Serikali itazingatia mapendekezo yote yaliyotolewa na Bunge kupitia maazimio na hoja zilizowasilishwa, pamoja na kufanyia kazi matokeo ya taarifa za ukaguzi. Vilevile, amelipongeza Bunge kwa kuchambua kwa kina hoja za ukaguzi kuhusu matumizi ya fedha za umma na kutoa maazimio ambayo ni maelekezo mahususi kwa Serikali. Amesema Wabunge wamechangia kwa hisia kubwa, wakionesha namna walivyo na uchungu na rasilimali za Taifa. “Wabunge katika Bunge lako Tukufu wanawawakilisha vyema wananchi wa Tanzania, hususan katika usimamizi wa rasilimali na kuisimamia Serikali,” amesema. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amezitaka wizara na taasisi zote kutekeleza maelekezo ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa wakati wa uzinduzi wa Mji wa Serikali, Mtumba, jijini Dodoma, tarehe 30 Oktoba, 2026. Amempongeza Mheshimiwa Rais kwa hatua hiyo, akisema tarehe hiyo itabaki kuwa ya kihistoria kwa Taifa. Dkt. Mwigulu ameelekeza shughuli za Serikali kufanyika Dodoma, Makao Makuu ya nchi, na kuacha kuendesha ofisi sambamba jijini Dodoma na Dar es Salaam kwa kuwa majengo ya ofisi yamekamilika. “Kwa kuwa ofisi zimeshakamilika, tuache kuendesha ofisi sambamba, ofisi za Dodoma na ofisi za Dar es Salaam. Makao Makuu ya nchi yetu ni Dodoma,” amesema. Vilevile, amezitaka wizara na taasisi kutumia majengo ya Mji wa Serikali na kuacha kuendelea kutumia majengo ya kukodi. Aidha, ameiagiza Halmashauri ya Jiji la Dodoma, kwa kushirikiana na wadau wa usafirishaji, kuhakikisha usafiri wa umma unapatikana kwenda Mji wa Serikali ili kuwawezesha wananchi kufika kupata huduma.
Fri, 06 Nov 2026 10:44:01 +0000Turkey: Ex-minister arrested in a major fund manipulation scandal
Read the full report from the original source.
RecentlyLissu aondoleweaa hatia ya uhaini, atiwa hatinia kwa uchochezi
Read the full report from the original source.
RecentlyLissu ahukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani
Read the full report from the original source.
RecentlyCinéma : « Agasobanuye », ces voix rwandaises qui séduisent les cinéphiles Burundais
À Bujumbura comme à l’intérieur du pays, de petites salles de quartier attirent des spectateurs avec des films interprétés en kinyarwanda par des traducteurs rwandais. Pour un petit billet, les jeunes viennent moins chercher une traduction parfaite qu’une manière différente […] L’article Cinéma : « Agasobanuye », ces voix rwandaises qui séduisent les cinéphiles Burundais est apparu en premier sur Yaga Burundi .
Fri, 06 Nov 2026 10:36:26 +0000Zungu hails Women MPs’ shared commitment to promote regional peace, security, development
DAR ES SALAAM: THE Speaker of the National Assembly, Mussa Azan Zungu, has commended the Forum of Parliaments of the…
RecentlyWadau wataka miongozo ya elimu ya ufundi kutekelezwa kwa vitendo
Read the full report from the original source.
RecentlyJamhuri yaomba Lissu apewe adhabu kali
Soma hapa...
RecentlyCharlene blossoms in breathtaking wedding gown
The daughter of President William Ruto married Tanzanian entrepreneur Isaya Yunge in an outdoor garden ceremony in Mwanza, Tanzania, on Friday.
RecentlyKenyan starvation cult leader faces death sentence over child murders
Read the full report from the original source.
RecentlyMalaysia: Ex-leader Najib seeks to leave prison for house arrest
Read the full report from the original source.
RecentlyRemembering George Mukasa, the giant that guided both SC Villa and Express to their firsts
The sheer mention of George Kyagaba Mukasa’s name in the local football fraternity evokes sharp memories of the no-nonsense giant goalkeeper, and a game legend…
RecentlyRDC : des inquiétudes suscités par des cas de choléra à Kinshasa
Read the full report from the original source.
RecentlyFrench bus carrying school children crashes, killing 2
Read the full report from the original source.
RecentlyOver 60 per cent of government land in Kabarole untitled as nationwide inventory begins
More than 60 per cent of government land in Kabarole District lacks proper titles, leaving schools, health centres and other public facilities exposed to encroachment and competing ownership claims, as the...
RecentlyUganda Cancer Institute Explores South Korea’s Human Resource Management Systems
Read the full report from the original source.
RecentlyHamilton frustrated by lack of Ferrari talks after Mexico clash
Read the full report from the original source.
RecentlyTwo new Ebola vaccines to enter clinical trial in DRC
Two experimental vaccines targeting the Bundibugyo virus will join an ongoing trial as research into Ebola treatments advances.
RecentlyPage 352 of 1149 · 22961 stories