Search the region
22991 stories
Mulimu Sukali. A day at Uganda’s childhood cancer ward, where the child is still very much a child
Read the full report from the original source.
RecentlyCould 2026 be Sylvia Mulinge’s slowest year yet at MTN Uganda?
Read the full report from the original source.
RecentlyDo Walukuba Barbarians stand a chance of winning the Uganda Rugby Cup this time?
The Walukuba Barbarians blitzed through their round of 16 clash against fellow Jinja-based side, Kakira Simbas last weekend at the Ruck Yard, with a comfortable…
RecentlyLand prices lose momentum in Nairobi suburbs and satellite towns
Markets · 4 hours ago
RecentlyKNEC Digital Exams Face Questions After System Failure at Kigari College
Read the full report from the original source.
RecentlyMAVUNDE AFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI HUKU KAMPUNI YA SAUDI IKIPATA LESENI TISA ZA UTAFITI WA MADINI
Na Janeth Raphael - MichuziTv Serikali imeendelea kufungua milango kwa wawekezaji katika sekta ya madini baada ya Wizara ya Madini kutoa leseni tisa za utafiti wa madini kwa kampuni ya Saudi Gold Refinery kutoka Saudi Arabia, hatua inayotarajiwa kuchochea uwekezaji, kuongeza shughuli za utafiti na kufungua fursa mpya za uchimbaji nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema utoaji wa leseni hizo umetokana na nia ya kampuni hiyo kuwekeza nchini, kufuatia mkutano wa kibiashara kati ya Tanzania na Saudi Arabia uliofanyika jijini Dar es Salaam. Mavunde amesema katika mkutano huo, Saudi Gold Refinery ilionesha dhamira ya kuwekeza katika sekta ya madini, ambapo Serikali iliahidi kuwezesha upatikanaji wa leseni za awali ndani ya siku saba za kazi. Amesema ahadi hiyo imetekelezwa na kampuni hiyo imeendelea kuomba maeneo mengine ya kufanya utafiti kupitia Tume ya Madini. “Tuliwahakikishia wawekezaji hawa kwamba watapata leseni zao za awali ndani ya siku saba za kazi, na tumetekeleza ahadi hiyo. Baada ya hapo wameendelea kuomba maeneo mengine ya utafiti kupitia Tume ya Madini,” amesema Mavunde. Amesema Serikali imeamua kutoa fursa hiyo kwa kampuni hiyo kutokana na uwezo wake wa kifedha, teknolojia na utaalamu wa kufanya utafiti wa kina wa madini, sambamba na rekodi yake ya uwekezaji katika maeneo mbalimbali. Waziri Mavunde amesema Serikali pia inaendelea kupitia leseni za madini ambazo zimekuwa zikishikiliwa bila kufanyiwa kazi, akisisitiza kuwa maeneo yasiyotumika yatafutwa leseni na kutolewa kwa wawekezaji wenye uwezo na dhamira ya kuyaletea maendeleo. “Serikali haitaruhusu mwekezaji kushikilia eneo kubwa bila kulifanyia kazi. Tunataka wawekezaji wenye dhamira ya kweli ya kufanya utafiti na baadaye kuanzisha shughuli za uchimbaji,” amesema. Ameongeza kuwa baadhi ya maeneo yatakayorejeshwa Serikalini yatafungua fursa kwa wawekezaji wengine pamoja na wachimbaji wadogo kupitia programu ya Mining for Brighter Tomorrow, inayolenga kuwawezesha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kushiriki kikamilifu katika sekta ya madini. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Saudi Gold Refinery, Faisal Suleiman Aloithaim Mallim, amesema kampuni hiyo imepanga kuwekeza hadi dola milioni 10 za Marekani katika hatua za awali za utafiti wa madini nchini Tanzania, kwa lengo la kutathmini uwezo wa maeneo waliyopewa leseni na kubaini fursa zaidi za uchimbaji. Amesema uwekezaji huo utaanzia katika shughuli za utafiti na kuendelea hadi hatua ya upembuzi yakinifu, hatua ambayo inaweza kufungua milango ya uwekezaji mkubwa na wa muda mrefu katika sekta ya madini nchini. Mallim amesema kampuni hiyo imejipanga kutumia nguvu kazi ya Watanzania, pamoja na bidhaa na huduma zinazopatikana nchini, huku ikishirikiana na kampuni za ndani ili kuhakikisha uwekezaji wake unaleta manufaa mapana kwa uchumi wa Tanzania. “Tunapoingia katika nchi mpya, ni muhimu kuunga mkono uchumi wa nchi hiyo. Watu wa ndani wanapaswa kunufaika na biashara yetu; si kuingia na kuondoka bila kutoa manufaa kwa wenyeji,” amesema. Kwa mujibu wa Mavunde, utoaji wa leseni hizo tisa ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuvutia mitaji yenye tija katika sekta ya madini, kuongeza ajira na shughuli za kiuchumi, sambamba na kuimarisha mchango wa sekta hiyo katika mapato na maendeleo ya Taifa.
Thu, 05 Nov 2026 14:02:02 +0000Bayern Vs Ajax Nairobi Showdown: Tickets go on sale as prices start at Sh2,500
Latest · Football
RecentlyMP proposes parental consent for under-18s using social media
Read the full report from the original source.
RecentlyBurundi 2027: au-delà du vote, le pays à construire
Chaque semaine, une question essentielle pour l’économie, l’État et les générations futures. ARTICLE N° 6. POURQUOI VENDONS-NOUS PARFOIS BRUT CE QUE NOUS RACHETONS TRANSFORMÉ ? Le problème n’est pas d’échanger avec le monde. Il est de savoir quelle part de la valeur,...
Thu, 05 Nov 2026 13:53:08 +0000SERIKALI IRINGA YATAMBUA MCHANGO WA NGOs, YAHAIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO
NA DENIS MLOWE, IRINGA. SERIKALI mkoani Iringa imeahidi kuimarisha ushirikiano na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yanayotekeleza shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi, ikieleza kuwa mchango wa taasisi hizo ni muhimu katika kuharakisha maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi. Serikali imesema itaendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowezesha mashirika hayo kutekeleza miradi na programu zake kwa ufanisi, huku ikisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Serikali na wadau wa maendeleo katika kukabiliana na changamoto zinazowakabili wananchi. Ahadi hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo na vyeti vya utambuzi kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo ni wanachama wa Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO). Amesema Serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na mashirika hayo katika kusaidia utekelezaji wa shughuli za maendeleo, hususan katika maeneo ambayo yanahitaji nguvu ya pamoja ili kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wananchi. Ameongeza kuwa ushirikiano huo utaendelea kuzingatia sheria, taratibu na vipaumbele vya Serikali, ili kuhakikisha miradi inayotekelezwa inakuwa na tija na kuleta matokeo chanya kwa jamii. Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) mkoani Iringa, Fidelis Filipali, amesema mashirika hayo yana mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii, hususan katika kuwawezesha vijana kupata mafunzo na kuongeza ujuzi kupitia taasisi mbalimbali. Filipali amesema anajivunia kazi zinazofanywa na mashirika hayo na kuomba serikali kuyaunga mkono kwa kuyatambua na kuyatia moyo ili yaendelee kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Amesema kutolewa kwa tuzo na vyeti kwa mashirika 25 ni sehemu ya kutambua mchango wao na kuwahamasisha kuendelea kufanya vizuri katika maeneo yao ya utekelezaji. Ameongeza kuwa mashirika hayo yamekuwa mfano wa kuigwa, hivyo utambuzi huo unatarajiwa kuongeza ari kwa mashirika mengine kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi inayochangia kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Amesema hatua hiyo pia ni muhimu katika kujenga mazingira ya ushirikiano kati ya serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuongeza ufanisi katika kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Hatua hiyo inaonesha dhamira ya Serikali mkoani Iringa ya kuendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kujenga jamii yenye ustawi, kupanua huduma za kijamii na kiuchumi na kuharakisha utekelezaji wa ajenda za maendeleo endelevu.
Thu, 05 Nov 2026 13:52:22 +0000CCBA widens EDGE leadership programme to other Coca-Cola bottlers
Thirty-one senior managers from 12 African countries have completed a leadership programme run by Coca-Cola Beverages Africa (CCBA), the continent's largest Coca-Cola bottler. The group is the second to finish the...
RecentlyMuravuga aba FDLR? Sinzabambura intwaro ahubwo nzabimurira ahandi - Tshisekedi
Read the full report from the original source.
RecentlyEquity Group impact investments hit Ksh.99.5B in 2025 Sustainability Report
Read the full report from the original source.
RecentlyThe Kenyan creative turning tree roots into Sh3.3m collectible furniture
Read the full report from the original source.
RecentlySheria 10 za fedha za kuzijua kabla ya kufikisha miaka 40
Soma zaidi hapa...
RecentlyLes jeunes politiciens d'origine africaine qui marquent l'histoire des élections de mi-mandat aux États-Unis
Pour certains jeunes Africains, ces victoires offrent un aperçu de ce qu'une nouvelle génération d'électeurs pourrait accomplir dans leur pays.
RecentlyCan Gachagua be Raila’s political reincarnation?
Gachagua wants to build a powerful regional party like Raila’s ODM, but analysts say Mt Kenya’s fragmented politics and his political history pose major hurdles
RecentlyKRA hits Sh1 trillion revenue mark a month ahead of schedule
Read the full report from the original source.
RecentlyDR Congo locals in the dark over massive Lobito mineral railway plan
Read the full report from the original source.
RecentlyKenyan teen to make Rally Raid history alongside father
Latest · Motorsport
RecentlyPage 371 of 1150 · 22991 stories