Search the region
22999 stories
Ruto Awards International Leadership University Charter, Calls for Global Standards in Higher Education
News · Quick read
RecentlyYas yaahidi kuendeleza ushirikiano na ZMBF kusogeza huduma za afya karibu na wananchi Zanzibar
Kampuni ya Mawasiliano - Yas Tanzania imeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) ili kuhakikisha wananchi wengi zaidi visiwani humo wanapata huduma za kibingwa kupitia kambi za afya zinazoratibiwa na taasisi ya ZMBF. Ahadi hiyo ilitolewa wakati wa ufunguzi wa kambi ya matibabu ya Afya Bora, Maisha Bora kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar huko Kinduni, Wilaya ya Kaskazini B chini ya udhamini wa Kampuni ya Mawasiliano ya Yas Tanzania. Kupitia kambi zake za afya, taasisi hiyo imefanikiwa kuwafikia zaidi ya watu 30,400 mpaka sasa. Wakazi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wanaweza kufanyiwa uchunguzi wa saratani ya matiti na ya shingo ya kizazi katika kambi hiyo, pamoja na kupata huduma za macho, kinywa, masikio, pua na koo. Pia wana fursa ya kuchangia damu kwa hiari. Akifungua kambi hiyo, Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, alisema kuwaleta wataalamu karibu na wananchi kunapunguza gharama ambazo familia zingetumia kusafiri kutafuta matibabu. Alisema kambi hizo pia zinawapa wananchi fursa ya kujua hali zao za afya na kupata ushauri wa kitaalam kwa wakati. Mazrui alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kuboresha majengo ya kutolea huduma za afya, vifaa tiba na mazingira ya kazi ya watumishi wa afya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Mngereza Mzee Miraji, alisema uwekezaji wa Serikali katika kipindi cha kwanza cha uongozi wa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi ulihusisha hospitali kumi za wilaya. Naye, Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora, Bi. Rehema Tukai, alisema Afya Bora, Maisha Bora ni kampeni endelevu na akiwahimiza wananchi kutumia huduma za kinga na tiba zinazotolewa kupitia kambi hizo. Kwa upande wake, Mkuu wa Yas Zanzibar, Ndugu Waqid Mohamed Waqid alisema, ni faraja kwa Kampuni ya Mawasiliano ya Yas kushiriki katika masuala ya kijamii nje ya kusogeza huduma za mawasiliano karibu kwa wakazi wa Zanzibar. "Tutaendelea kushirikiana na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ili wananchi wengi zaidi waweze kuonana na madaktari bingwa na kupata msaada wa kitaalam." Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Galos Casian Nyimbo, aliwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi ili wafanyiwe uchunguzi na kupata ushauri wa madaktari bingwa. Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kambi ya matibabu ya Afya Bora, Maisha Bora huko Kinduni, Wilaya ya Kaskazini B, Unguja. Anayeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Yas Zanzibar, Bw. Mohamed Waqid. Yas Tanzania imeahidi kuendelea kusaidia kambi za afya zinazoandaliwa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ili wakazi wengi zaidi Zanzibar wapate huduma za madaktari bingwa karibu na maeneo wanayoishi.
Thu, 05 Nov 2026 08:30:00 +0000Burundi / JOJ Dakar 2026 : Igiraneza Don de Dieu décroche le bronze en judo
Igiraneza Don de Dieu offre au Burundi le bronze olympique. Dakar , Sénégal ( BDIAGNEWS ), 05/11/2026 – Le judoka burundais Igiraneza Don de Dieu a remporté une médaille de bronze aux Jeux Olympiques de la Jeunesse de Dakar 2026, dans la catégorie...
Thu, 05 Nov 2026 11:03:16 +0000KTDA makes U-turn, reinstates Enos Njeru as chairman
“Further to our statement issued on November 3, 2026, we wish to clarify that Mr Enos Njeru, remains the substantive Chairman of the Board,” the agency said
RecentlyHalf of Kenyan women active sexually, but only 36pc using condoms
Latest · Capital Health
RecentlyFrance gears up for demos as unions vow national mobilisation
Authorities expect 500,000 to 700,000 demonstrators to join marches, with tens of thousands more in Paris alone
RecentlyVIWANJANI | Singida BS Kutumia dimba la Uhuru, Azam FC yajipanga kwa Makundi Kombe la Shirikisho.
VIWANJANI | ''sasa tunataka kwenda robo fainali '' Meneja Habari na Mawasiliano wa Singida BS, Hussein Masanza amesema klabu hiyo imetuma barua ya maombi ya kutaka kutumia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza mechi zake za nyumbani katika hatua ya makundi ya michuano ya kimataifa. Masanza amesema hatua hiyo imekuja kufuatia klabu hiyo kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi, huku wakitarajia kutumia dimba hilo kama uwanja wao wa nyumbani katika michezo hiyo.
2026-11-05T10:31:43+00:00Keemlyf Returns With “Take Me Back,” Set For Release On November 13
Latest · Entertainment
RecentlyFrance gears up for strikes and protests as unions promise national mobilisation
The protests began in September with high school students complaining about poor conditions and resources, but have spread to include yellow-vest workers
RecentlyAfter lengthy court battle, Tundu Lissu awaits High Court verdict in historic treason trial on November 6
Read the full report from the original source.
RecentlyPoland arrests four over alleged spying for Russia
Read the full report from the original source.
RecentlyNdindi Nyoro Says US Election Results Should Serve as Warning to Ruto Ahead of 2027 Polls
News · 5 hours ago
RecentlyGolfers set for crucial weekend as NCBA Series, KAGC matches Intensify
Latest · Golf
RecentlyThe Youth Business: How Gerontocrats and ‘Professional Youths’ Block Real Young People
Read the full report from the original source.
RecentlyHow School Gardens Are Contributing to Sustainable Feeding Programmes for Dar es Salaam Students
Read the full report from the original source.
RecentlyZuchu: Siri ya mafanikio ni kazi na Mungu mbele
Read the full report from the original source.
RecentlyMartha Karua: How I plan to tackle Kenya's growing debt burden
Karua says she would restructure legitimate loans, challenge debts she considers illegal and curb government borrowing if elected, as opposition parties negotiate their 2027 presidential flagbearer.
Thu, 05 Nov 2026 12:32:07 +0300Finland court jails captain and crew member over Baltic cable sabotage
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzanian lifts the lid on new constitution’s inclusion in CCM Election Manifesto
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto jokes about being called ‘Kasongo’
Ruto has previously acknowledged the nickname in public, at times turning it into a subject of humour while responding to his critics
RecentlyPage 376 of 1150 · 22999 stories