Search the region
23007 stories
Court allows Gachagua to withdraw petitions challenging his impeachment
Gachagua opted to discontinue two impeachment-related cases after arguing that the High Court's substantive judgment had resolved the issues they raised
RecentlyPM orders NFRA to expedite procedures for selling agricultural produce
Read the full report from the original source.
RecentlyNARO turns to private investors as development funding declines
KAMPALA - The National Agricultural Research Organisation (NARO) is seeking private sector investors to commercialise some of its research facilities and assets as it looks to reduce dependence on government funding...
RecentlyFrance braces for fresh protests as unions strike over higher wages
Read the full report from the original source.
RecentlyFuel prices: Why developing economies are paying the most at pump
Developing economies are bearing a disproportionate burden of the global fuel price shock triggered by disruptions to shipping through the Strait of Hormuz. According to…
RecentlyPharmacy Board Warns Against Using Cetirizine for Vaginal Tightening, Dryness
News · 4 hours ago
RecentlyMpanzu, Barker wachomoza tuzo Oktoba
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania pledges to bolster social protection systems for older people
TUNDUMA: THE Tanzanian government has pledged to continue strengthening social protection systems and services aimed at improving the welfare of…
RecentlyDr Kijaji hails participation of 30 Tanzanian firms at WTM tourism exhibition in UK
LONDON: THE Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has visited Tanzania’s pavilion at the World Travel Market…
RecentlyDublin-Rome flight lands in France amid bomb threat
Read the full report from the original source.
RecentlyDebt fuelling the climate crisis – report
Read the full report from the original source.
RecentlyHow new school calendar will look like in 2027
The revised schedule introduces longer midterm and August breaks and shortens December holiday
RecentlyWATCH LIVE: Inter- Religious Council of Kenya State of Nation Address
Read the full report from the original source.
RecentlyWAZIRI MKUU AITAKA NFRA KUHARAKISHA MAUZO YA MAZAO
▪️︎ Ataka wakulima wapate masoko ya kudumu ▪️︎ Bei ya kununua mahindi yaongezwa hadi shilingi 500 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuharakisha taratibu za kuuza mazao pindi masoko yanapopatikana, ili kuepuka kupoteza fursa hizo kutokana na michakato mirefu. Vilevile, amezitaka taasisi zinazohusika kuendelea kutafuta masoko ya kudumu na kuwezesha uuzaji wa mazao nje ya nchi, huku akieleza kuwa bei ya kununua mahindi kupitia NFRA imeongezwa kutoka shilingi 450 hadi shilingi 500. Amesema hayo Bungeni, jijini Dodoma leo (Alhamisi, Novemba 05, 2026), wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, katika Mkutano wa Tano, Kikao cha Nane cha Bunge la 13. Alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Kongwa, Isaya Mngurumi Moses, aliyetaka kufahamu mikakati ya Serikali ya kutafuta masoko na kuboresha bei za mazao ili wakulima wanufaike na uzalishaji wao. Dkt. Mwigulu amesema NFRA inapopata masoko inapaswa kukamilisha taratibu za mauzo kwa wakati, kwa sababu ucheleweshaji unaweza kuwafanya wanunuzi kupata mazao katika masoko mengine yenye michakato mifupi zaidi. Amesema Serikali imekuwa ikitumia mazungumzo na viongozi wa mataifa mbalimbali kutafuta masoko ya mazao ya Tanzania na kupanua wigo wa biashara kwa wakulima. Kuhusu bei ya mahindi, Waziri Mkuu amesema amekutana na Wizara yenye dhamana ya kilimo mara kadhaa kujadili namna ya kuboresha bei ya ununuzi kupitia NFRA. Amesema bei hiyo iliongezwa kutoka shilingi 200 hadi shilingi 300, baadaye shilingi 450 na sasa shilingi 500. “Tulikaa tena kwa mara ya mwisho, tukashauriana kwamba kama bado wanaweza kwenda juu zaidi, wafanye hivyo, na tulikubaliana sasa watapeleka iwe shilingi 500,” amesema. Amewataka wakulima wenye mahindi wanayohitaji kuuza kufika katika ofisi za NFRA za mikoa na kanda ili kutumia fursa ya bei hiyo iliyoboreshwa. Hata hivyo, amesema NFRA huenda isiweze kununua mahindi yote, hivyo jitihada za kupanua masoko na kuwezesha mauzo nje ya nchi zinapaswa kuendelea. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuchukua hatua kali dhidi ya watu wanaopeleka mifugo katika mashamba ya wakulima bila ridhaa yao, akisisitiza kuwa Serikali haitakubali uvunjaji wa sheria wa makusudi. Akijibu swali la Mbunge wa Nachingwea, Fadhili Ally Liwaka, kuhusu migogoro ya wakulima na wafugaji, amesema hatua zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya mtu aliyefanya kosa, bila kugeuza tukio hilo kuwa mgogoro kati ya jamii. “Kama mmoja amefanya kosa hilo, achukuliwe hatua kali huyo huyo. Wala wakulima wasione wafugaji ni adui zao, na wala wafugaji wasione wakulima ni adui zao,” amesema. Amewataka wananchi kuepuka kujichukulia sheria mkononi na badala yake kutumia vyombo vya sheria kutafuta haki. Vilevile, amewaelekeza viongozi katika ngazi mbalimbali kuimarisha mipango ya matumizi bora ya ardhi na kusitisha ugawaji wa maeneo kinyemela. Amesema rushwa, matumizi mabaya ya ofisi na ugawaji wa ardhi usiofuata taratibu vinachochea migogoro katika jamii. Kuhusu huduma za afya, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uandikishaji wa awamu ya pili wa bima ya afya kwa wote ili kuendelea kuyafikia makundi ambayo bado hayajafikiwa. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Alex Ikupa, kuhusu matibabu kwa watu wenye ulemavu ambao bado hawajafikiwa na mpango huo, amezitaka taasisi za afya kuendelea kuwahudumia kupitia dirisha la msamaha wa matibabu. “Pasitokee mtu kukosa matibabu kwa sababu ya hali yake ya ulemavu ama hali yake ya kifedha,” amesema. Amewahimiza pia Watanzania kuendelea kujisajili katika mfumo wa bima ya afya kwa wote, akisisitiza kuwa mpango huo unalenga wananchi wote, wenye kipato na wasio na kipato.
Thu, 05 Nov 2026 09:09:26 +0000GEORGE MUBIRU: Busoga Betrayal of Solidarity 1981-1986
In the early 1980s, while the central and western corridors of Uganda burned in the fires of civil war, a…
RecentlyNo More Illegal Detentions: Minister Kamuntu Directs Security Agencies to Follow the Law
The Minister of Internal Affairs, Hon. Ephraim Kamuntu, has directed security agencies to ensure that all arrested suspects are detained in gazetted detention facilities and processed in accordance with the…
RecentlyKAZIBWE MUSA: The Defiant Art of Cultivating Peace in Everyday Life
We live in a world that rarely hits the pause button. Our days are filled with the constant buzz of smartphone notifications, the demanding rush of daily routines, and a…
RecentlyCRDB yazindua kampeni kidijitali zaidi
Read the full report from the original source.
RecentlyJAMBO LA HATARI KWA MNYAMA FARU
Waswahili husema Mchumia janga hula na wa kwao wakimaanisha unaweza sababisha hatari ya jambo kutokea na kudhuru wengine; Ndivyo ilivyo hatari ya kuwa karibu na faru ukiwa katika Hifadhi ya Ngorongoro hasa Kasoko ya Ngorongoro (Ngorongoro Crater) ambapo wanyama hao wamekuwa wakionekana kwa wingi na ukaribu usiozidi meter 150. Wageni mamia kwa maelfu wanaotembelea hifadhi ya Ngorongoro ambayo ni urithi wa dunia huwa na mshawasha au shauku ya kuwasogelea faru hasa kwa karibu wakiongozwa na waongoza watalii. Jambo hili kisheria halikubaliki na kumsogelea Faru kwa ukaribu zaidi inapobainika utapigwa faini kwani unaweza kusababisha usumbufu kwa mnyama, kumpa msongo wa mawazo na kusababisha maafa kwa wageni ambao wapo kwenye chombo cha usafiri hasa kutokana na tabia za faru za kutopenda usumbufu, bughdha au kelele Faru hasa F aru Mweusi akiwa amekasirika anaweza kupindua gari na kusababisha kuua wageni wote ndani ya gari na ndiyo maana imekuwa ikisisitizwa kwamba unapokuwa ndani ya hifadhi ya Ngorongoro ni muhimu kufuata sheria na taratibu za uhifadhi. Kitabia Faru ni miongoni mwa Wanyama wakali, wanahitaji eneo kubwa la malisho (home range), muda mwingi wa mchana anautumia kupumzika katika eneo ambalo ni tulivu lisilokuwa na wanyama wengi wasumbufu na mara nyingi kila eneo analopita huweka alama maalum ambazo kwake zinaashiria eneo la utawala. Faru hapendi Kelele au sauti zenye usumbufu mithili ya Kariakoo au Mbagala na ndiyo maana akisikia kelele husimama kwa uangalifu na kusikilizia harufu na sauti inapotoka, akigundua ulipo hapo ndipo mwisho wa maisha yako na msemo wa Mchumia janga hula na wa kwao huwa umetimia.
Thu, 05 Nov 2026 09:02:16 +0000Sena igiye kwegera WASAC n’izindi nzego zagaragayemo imicungire mibi y’imari ya Leta
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 379 of 1151 · 23007 stories