Unganishwa

Search the region

23011 stories

Uncategorized · Watchdog Uganda

KAZIBWE MUSA: The Defiant Art of Cultivating Peace in Everyday Life

We live in a world that rarely hits the pause button. Our days are filled with the constant buzz of smartphone notifications, the demanding rush of daily routines, and a…

Recently
Uncategorized · HabariLeo

CRDB yazindua kampeni kidijitali zaidi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

JAMBO LA HATARI KWA MNYAMA FARU

Waswahili husema Mchumia janga hula na wa kwao wakimaanisha unaweza sababisha hatari ya jambo kutokea na kudhuru wengine; Ndivyo ilivyo hatari ya kuwa karibu na faru ukiwa katika Hifadhi ya Ngorongoro hasa Kasoko ya Ngorongoro (Ngorongoro Crater) ambapo wanyama hao wamekuwa wakionekana kwa wingi na ukaribu usiozidi meter 150. Wageni mamia kwa maelfu  wanaotembelea hifadhi ya Ngorongoro ambayo ni urithi wa dunia huwa na mshawasha au shauku ya kuwasogelea faru hasa kwa karibu wakiongozwa na waongoza watalii. Jambo hili kisheria halikubaliki na kumsogelea Faru kwa ukaribu zaidi inapobainika  utapigwa faini kwani unaweza kusababisha usumbufu kwa mnyama, kumpa msongo wa mawazo na kusababisha maafa kwa wageni ambao wapo kwenye chombo cha usafiri hasa kutokana na tabia za faru za kutopenda usumbufu, bughdha au kelele Faru hasa F aru Mweusi akiwa amekasirika anaweza kupindua gari na kusababisha kuua wageni wote ndani ya gari na ndiyo maana imekuwa ikisisitizwa kwamba unapokuwa ndani ya hifadhi ya Ngorongoro ni muhimu kufuata sheria na taratibu za uhifadhi. Kitabia Faru ni miongoni mwa Wanyama wakali, wanahitaji eneo kubwa la malisho (home range), muda mwingi wa mchana anautumia kupumzika katika eneo ambalo ni tulivu lisilokuwa na wanyama wengi wasumbufu na mara nyingi kila eneo analopita huweka alama maalum ambazo kwake zinaashiria eneo la utawala. Faru hapendi Kelele au sauti zenye usumbufu mithili ya Kariakoo au Mbagala na ndiyo maana akisikia kelele husimama kwa uangalifu na kusikilizia harufu na sauti inapotoka, akigundua ulipo hapo ndipo mwisho wa maisha yako na msemo wa Mchumia  janga hula na wa kwao huwa umetimia.

Thu, 05 Nov 2026 09:02:16 +0000
Uncategorized · Kigali Today

Sena igiye kwegera WASAC n’izindi nzego zagaragayemo imicungire mibi y’imari ya Leta

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Chef fired after refusing to put pineapple on pizza

The Italian chef had refused to put pineapple on a pizza because it was an "insult to his culture".

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

TBS Yasisitiza Umuhimu wa Viwango Katika Maendeleo ya Viwanda

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

“Data is the collateral”: Sparkle CEO Uzoma Dozie on fixing Nigeria’s SME lending blind spot

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Manufacturers urge government to lower cost of doing business

Economy · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Milan Exits Dairyland After Four-and-a-Half Years of Brand Transformation

Latest · News

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Safaricom makes more from M-PESA overdrafts as borrower numbers surge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Pharmacists warn against using cetirizine for vaginal tightening

In a statement issued Thursday, the regulator cautioned that the misuse of cetirizine could cause irritation, tissue damage

Recently
Business · Capital FM

Illicit cigarette trade costs Kenya Sh47bn in lost tax revenue, study finds

Latest · News

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania seeks AfDB funding for 400kv  Kisongo-Same-Segera power line

DODOMA: THE Tanzania government, through the Ministry of Energy and Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), has held talks with a…

Recently
National · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUFUFUA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

Na Janeth Raphael - MichuziTv Bungeni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kulipa uzito mkubwa suala la Katiba Mpya, huku akisisitiza kuwa dhamira ya kufufua mchakato huo ipo. Dkt. Mwigulu amesema tayari Serikali imeweka wazi msimamo wake kuhusu umuhimu wa mchakato huo na mwongozo wa kuendeleza suala la Katiba Mpya umetolewa. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Mhe. Ado Shaibu, aliyetaka kufahamu ni lini mchakato wa kupata Katiba Mpya utaanza na utakuwa na sura gani. Akijibu hoja hiyo, Dkt. Mwigulu amesema suala la Katiba Mpya ni miongoni mwa masuala yenye umuhimu mkubwa kwa Watanzania, hivyo Serikali inalichukulia kwa uzito unaostahili. Amesema dhamira ya Serikali katika kufufua mchakato huo pia imeainishwa katika Ilani ya Uchaguzi, jambo linaloonesha msimamo wa Serikali wa kuhakikisha suala hilo linapatiwa kipaumbele. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Serikali inaendelea kufanyia kazi mwelekeo uliowekwa ili kuhakikisha mchakato huo unapoendelea unazingatia maslahi mapana ya Watanzania na matarajio yao kuhusu mustakabali wa Taifa. Kauli hiyo ya Waziri Mkuu imeweka msisitizo mpya kuhusu dhamira ya Serikali ya kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya, huku Watanzania wakisubiri hatua na maelekezo zaidi kuhusu namna na muda wa utekelezaji wa mchakato huo.

Thu, 05 Nov 2026 08:40:11 +0000
Uncategorized · DW Afrique

Près de 1500 déplacés de Kamanyola reçoivent une assistance

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Radio Publique Africaine

RDC : les réfugiés burundais de Lusenda retrouvent une aide du HCR après près de deux ans d’interruption

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Nile Post

Health Ministry Revives Push for National Health Insurance Scheme

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Man Arrested for Impersonating Police Officer, Extorting Public Along Jogoo Road

News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

DPP Opposes Bail for Dusit D2 Terror Attack Convict Pending Appeal

News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Battle of wits as law students face off in Moot Court Competition

Eighteen law schools are competing in a three-day contest centred on environmental justice, testing students' legal research, reasoning and courtroom skills

Recently

Page 380 of 1151 · 23011 stories