Search the region
23015 stories
Deux corps découverts près de la Mutsindozi, dont un décapité
Read the full report from the original source.
RecentlyWHO warns funding cuts threaten gains against neglected tropical diseases
Read the full report from the original source.
RecentlyMvua zimeanza, jamii, Serikali zichukue tahadhari
Read the full report from the original source.
RecentlyAccident vasculaire cérébral, AVC : Des familles aux prises avec de lourds sacrifices
Célébrée le 29 octobre, la Journée mondiale de l’AVC rappelle les dangers de cette maladie. Au Burundi, des familles qui ont des patients hospitalisés luttent pour financer les soins, parfois au prix de la vente de leurs biens tandis que d’autres voient leur quotidien et leurs études bouleversés.
Thu, 05 Nov 2026 07:57:49 +0000Audio — Info Matin 07:00 UTC (05.11.26)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyGuns were planted in Elwelu’s home – wife
Patricia Apolot, the wife of retired Lt Gen Peter Elwelu, has denied claims by security authorities that guns and ammunition were recovered from their home…
RecentlyMSD CHATO: UJENZI WA GHALA WAFIKIA ASILIMIA 97, HUDUMA KUNUFAISHA HALMASHAURI 17
Ujenzi wa Ghala Jipya la Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Kagera lililopo Chato, mkoani Geita, umefikia asilimia 97 ya utekelezaji, hatua inayotarajiwa kuongeza uwezo wa taasisi hiyo kuhifadhi bidhaa za afya kwa ufanisi zaidi katika mikoa ya Kagera, Geita na maeneo jirani pindi litakapoanza kutumika. Ghala hilo lenye ukubwa wa mita za mraba 4,800 na kugharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 19 linatarajiwa kuwa kitovu muhimu cha kuhifadhi na kusambaza bidhaa za afya, huku likiongeza wigo wa huduma kutoka halmashauri 11 zinazohudumiwa sasa hadi Halmashauri 17. Meneja wa MSD Kanda ya Kagera, Kalendero Masatu, amesema kukamilika kwa ghala hilo kutawawezesha kuongeza uwezo wa kuhifadhi bidhaa nyingi zaidi katika ubora unaohitajika na kupanua huduma kwa wateja wake. “Tunatoa huduma kutokea ofisi zetu zilizopo Wilaya ya Muleba, Mkoa wa Kagera katika mazingira magumu kutokana na ufinyu wa nafasi ya kuhifadhi bidhaa pamoja na changamoto za hali ya hewa, hususan mvua nyingi zinazonyesha katika eneo hilo” amesema Masatu. Ameeleza kuwa kupitia ghala jipya la Chato, Kanda hiyo itaongeza maeneo ya huduma kwa kujumuisha halmashauri zilizokuwa zikihudumiwa na Kanda ya Mwanza, pamoja na kuongeza halmashauri nyingine mbili kutoka Mkoa wa Kigoma, zilizokuwa zikihudumiwa na Kanda ya Tabora. “Kwa uwepo wa ghala hili sasa tunaenda kutunza mzigo mkubwa na hivyo tutaweza kuwahudumia wateja wetu kwa upana zaidi. Pia, maeneo haya yako karibu nasi, hivyo tutarahisisha usambazaji na kupunguza gharama ambazo taasisi ilikuwa ikitumia,” amesema Masatu. Kwa upande wa utekelezaji wa mradi, Mhandisi wa Kampuni ya HAINAN International Ltd, Patrick Laibo, amesema ujenzi ulianza Agosti 20, 2025 na ulipangwa kutekelezwa kwa kipindi cha miezi 14. Amesema kwa sasa jengo la ofisi limefikia asilimia 99 ya utekelezaji, ghala kuu likiwa katika asilimia 96 kutokana na kazi za mwisho za ufungaji na ukamilishaji wa mfumo wa viyoyozi (AC), huku miundombinu ya nje ikiwa karibu kukamilika kwa asilimia 100. Ameongeza kuwa kwa ujumla mradi umefikia asilimia 97 na kazi zilizobaki ni za ukamilishaji wa mifumo na maeneo machache ya mradi. Mbali na kuimarisha miundombinu ya MSD, mradi huo umekuwa chanzo cha ajira kwa wananchi wa Chato, ambapo zaidi ya vijana 100 wamepata fursa za ajira kupitia utekelezaji wake. Mhandisi Laibo amesema mradi huo umechangia pia kuwajengea vijana uwezo na uzoefu wa kitaalamu kupitia ushiriki wao katika shughuli mbalimbali za ujenzi. Akizungumzia mazingira ya kazi katika ghala hilo, Afisa Huduma kwa Wateja wa MSD Kagera, Julieth Msele, amesema jengo hilo lina nafasi kubwa na mazingira mazuri yatakayorahisisha utoaji wa huduma kwa wateja pamoja na uhifadhi wa bidhaa mbalimbali za afya. Naye Fundi wa Mifumo ya Njia ya Hewa, Joseph Mwatoine, amesema mradi huo umekuwa fursa muhimu kwa vijana kupata ajira, kujiongezea kipato na kupata uzoefu wa kitaalamu kupitia ushiriki wao katika utekelezaji wa kazi mbalimbali za ujenzi. Bi. Hellen Juma, mkazi wa Chato ameishukuru Serikali kwa kuleta mradi huo katika eneo hilo, akieleza kuwa mbali na kutoa ajira kwa wananchi, uwepo wa ghala hilo utarahisisha upatikanaji wa dawa kwa vituo vya kutolea huduma za afya vilivyopo maeneo ya jirani.
Thu, 05 Nov 2026 07:49:00 +0000Tanzania tech firm develops AI agent to transform business customer service
Read the full report from the original source.
RecentlyBank of Tanzania explains why lower benchmark rates may not mean cheaper loans
Read the full report from the original source.
RecentlyExperts divided over how US midterm election defeat will constrain Trump’s power
Read the full report from the original source.
RecentlyFinance Minister warns Tanzania’s rising youth population could become economic burden
Read the full report from the original source.
RecentlyManhunt launched for 5 suspects who escaped from Limuru police cells
The suspects reportedly escaped at around 11 pm after overpowering the night-shift report officer and the cell sentry
RecentlyIEBC CEO recruitment faces fresh legal hurdle
Dr Augustus Kyalo Muli is challenging the legality and constitutionality of the recruitment process, particularly the decision to engage a consultancy firm
RecentlyIEBC CEO recruitment faces fresh court challenge
Dr Augustus Kyalo Muli is challenging the legality and constitutionality of the recruitment process, particularly the decision to engage a consultancy firm
RecentlyMabao 44 yafungwa usiku mmoja UEFA, Como yaweka rekodi
USIKU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), umekuwa wa kipekee kufuatia matokeo ya kushangaza na rekodi zilizowekwa baada ya mabao 44 kupatikana katika mechi tisa zilizochezwa...
Recently‘Muujiza wa Istanbul’ waigeuka Liverpool
Liverpool ina historia kubwa ya matokeo ya kishujaa mjini Istanbul, lakini safari hii timu ya Andoni Iraola ilifanya comeback ya aina isiyohitajika.
RecentlySafaricom half-year profit up 72pc to Sh50bn
Read the full report from the original source.
RecentlyBalozi Omar: Uteuzi wa ubunge, uwaziri ulivyonipiga butwaa
Soma zaidi hapa...
RecentlyIndia: Several feared trapped as building collapses in Old Delhi
Read the full report from the original source.
RecentlyBillions pour into stadia
How EAC nations are investing for AFCON DAR ES SALAAM: TANZANIA, Kenya and Uganda are investing heavily in modern sports…
RecentlyPage 382 of 1151 · 23015 stories