Unganishwa

Search the region

23051 stories

Uncategorized · Rwanda News Agency

Une délégation irlandaise apprécie le rôle du Rwanda dans la réhabilitation des anciens membres des groupes armés

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Valverde blast snatches Real Madrid late win at AEK Athens

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Women challenged to seize available job opportunities

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Ethiopia expels Sudanese diplomats after fresh allegations of support for RSF

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WMA KUSIMAMIA USAHIHI WA VIPIMO KATIKA UZALISHAJI NA BIDHAA VIWANDANI.

Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) umeeleza kuwa unaendelea kuimarisha usimamizi na ukaguzi wa vipimo vinavyotumika viwandani na katika shughuli za biashara ili kuhakikisha wazalishaji na wafanyabiashara wanazingatia matakwa ya Sheria ya Vipimo, hatua inayolenga kulinda haki za wanunuzi na wauzaji pamoja na kujenga mazingira ya biashara yenye usawa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera ya Maendeleo ya Viwanda ya mwaka 2025 na sera ya jasiriamali ndogo na za kati Jijini Dodoma, Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA, Alban Kihulla, amesema wakala huo unashirikiana na viwanda na wajasiriamali kuhakikisha mizani ya kupimia inavyotumika katika shughuli zao inakaguliwa na kuhakikiwa kwa mujibu wa Sheria ya Vipimo, Sura ya 340. Amesema katika shughuli za viwandani, WMA itasimamia matumizi sahihi ya mizani mikubwa inayotumika kupimia malighafi, vifaa vya kupimia mafuta na pampu za mafuta ili kuhakikisha kiasi kinachopimwa kinaendana na kiwango halisi kinachotakiwa katika miamala ya kibiashara. Aidha, amesema wakala huo utaendelea kukagua bidhaa zilizofungashwa kwa kuzingatia matakwa ya kisheria kuhusu vipimo, ikiwemo kuhakikisha kiasi cha bidhaa kinachotajwa kwenye kifungashio kinaendana na uzito au ujazo halisi uliomo, pamoja na kusimamia vipimo vya urefu na vipimo vingine vinavyotumika katika biashara. Kwa upande wa wajasiriamali wadogo na wa kati, Kihulla amesema WMA imeongeza utoaji wa elimu kuhusu umuhimu wa kutumia mizani na vifaa vingine vya kupimia vilivyohakikiwa kisheria, akibainisha kuwa matumizi ya vipimo visivyo sahihi yanaweza kusababisha mmoja wa wahusika katika biashara kupata hasara na kuathiri uaminifu baina ya wafanyabiashara na wateja. Ameongeza kuwa matumizi ya vipimo sahihi ni muhimu katika kuweka mazingira ya ushindani wa haki, kulinda maslahi ya watumiaji na kuhakikisha wafanyabiashara wanapata stahiki zao kulingana na kiasi cha bidhaa wanachouza au kununua. Katika hatua nyingine, amesema WMA itaendelea kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuwawezesha vijana kutumia ujuzi wao kubuni na kutengeneza vifaa vya vipimo nchini, badala ya kutegemea kwa kiwango kikubwa vifaa vinavyoagizwa kutoka nje.

Wed, 04 Nov 2026 21:07:09 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Bavarian politician Hubert Aiwanger found dead in Berlin hotel

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Police Arrest 18 in Kampala Crackdown on Motor Vehicle Accessories Theft

Police have arrested 18 suspects in an intelligence-led operation targeting suspected networks involved in the theft and illegal trade of motor vehicle accessories in Kampala. The suspects, including two women,…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

NARO Explores Public-Private Partnerships to Boost Revenue and Sustain Agricultural Research

Speke Resort, Munyonyo, 4th November, 2026 - The National Agricultural Research Organisation (NARO) is exploring Public-Private Partnerships (PPPs) to unlock the commercial potential of its research infrastructure, incre

Recently
Uncategorized · The Standard

In Trump's shoes: How cost of living fuels fury among relentless voters

The honeymoon is over, and as it is with President William Rutos government in Kenya, Trump has been facing protests, with Americans complaining of the high cost of living.

Thu, 05 Nov 2026 00:00:00 +0300
Uncategorized · UN News Burundi

15 years of ‘almost no progress’ in getting young people moving: WHO

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Chinese experts urge BRI media reporting with national perspectives

FUZHOU: CHINESE experts have urged journalists from countries participating in the Belt and Road Initiative (BRI) to report on the…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Mother of Ghanaian teen killed in New York heads to US funeral after Trump grants visa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

'It's immoral and inhumane': Kang'ata says Duale ordered Murang'a health digital system be switched off

Read the full report from the original source.

Recently
World · Issa Michuzi

TANZANIA KUWASILISHA MAFANIKIO YAKE KATIKA ULINZI WA HAKI ZA BINADAMU JUKWAA LA UMOJA WA MATAIFA

GENEVA, Uswisi: Tanzania kesho, Novemba 5, 2026, itakuwa katika jukwaa la kimataifa la haki za binadamu jijini Geneva, itakapowasilisha mafanikio, mageuzi na hatua zilizotekelezwa katika kuimarisha utawala wa sheria, upatikanaji wa haki na ustawi wa wananchi, katika Mapitio ya Nne ya Hali ya Haki za Binadamu (Universal Periodic Review – UPR) ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa. Ushiriki huo unaipa Tanzania fursa ya kueleza mbele ya jumuiya ya kimataifa utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa katika mapitio yaliyopita, hatua zilizochukuliwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita na maeneo yanayoendelea kupewa kipaumbele katika kuimarisha mifumo ya ulinzi na utekelezaji wa haki za binadamu nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Geneva kuhusu ushiriki wa Tanzania katika mapitio hayo, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Abdallah Ulega, amesema Serikali inaendelea kuimarisha diplomasia, utawala bora na ulinzi wa haki za binadamu chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia falsafa ya Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga Upya (4Rs). Amesema mapitio hayo ni fursa muhimu kwa Tanzania kueleza mafanikio yaliyopatikana, hatua zilizochukuliwa kutekeleza mapendekezo yaliyokubaliwa katika duru zilizopita, pamoja na kuonesha dhamira ya kuendelea kuimarisha haki za binadamu na ustawi wa wananchi. Tanzania inashiriki katika duru ya nne ya UPR ikiwa tayari imeshiriki katika mapitio matatu yaliyotangulia mwaka 2011, 2016 na 2021. Katika duru ya tatu, iliyofanyika mwaka 2021, nchi ilipokea mapendekezo 252 kutoka kwa mataifa mbalimbali, ambapo iliridhia mapendekezo 187, yakiwemo 20 yaliyokubaliwa kwa sehemu, huku 65 yakikosa kuridhiwa. Tangu mapitio hayo, Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali katika maeneo yanayogusa ustawi wa wananchi, yakiwemo utawala wa sheria, upatikanaji wa haki, afya, elimu, upatikanaji wa maji na miundombinu. Hatua hizo ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mazingira ya haki, usawa wa fursa na maendeleo jumuishi. Maandalizi ya Taarifa ya Nne ya Kitaifa ya UPR yamehusisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa kushirikisha Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Mahakama, asasi za kiraia, taasisi za kidini, mashirika ya watu wenye ulemavu na wadau wengine wa haki za binadamu. Taarifa hiyo inaainisha mafanikio, mageuzi na hatua zilizochukuliwa katika kipindi cha mwaka 2021/22 hadi 2026, ikieleza juhudi za kuimarisha mifumo ya haki za binadamu kama msingi wa Maendeleo endelevu Ushiriki wa Tanzania katika mapitio hayo unaendana pia na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayolenga kujenga taifa lenye ustawi, haki, ujumuishi na uwezo wa kujitegemea. Dira hiyo inaweka utu wa binadamu, usawa wa fursa na maendeleo ya wananchi katika msingi wa mipango ya maendeleo ya Taifa. Kwa mantiki hiyo, ushiriki wa Tanzania katika UPR unaunganisha ajenda ya haki za binadamu na malengo mapana ya maendeleo ya Taifa, kwa kuzingatia kuwa upatikanaji wa haki, huduma muhimu na fursa za maendeleo ni mambo yanayochangia ustawi wa wananchi. UPR ni utaratibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa unaozipa nchi zote wanachama fursa ya kupitia hali ya haki za binadamu katika nchi zao kwa misingi ya usawa. Kupitia utaratibu huo, nchi huwasilisha taarifa kuhusu hatua zilizochukuliwa, mafanikio na changamoto zilizopo, huku mataifa mengine yakitoa mapendekezo yanayolenga kuimarisha zaidi utekelezaji wa haki za binadamu. Mapitio ya Nne ya Tanzania yanafanyika katika Kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha UPR kinachoendelea jijini Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026. Kupitia ushiriki huo, Tanzania inatarajia kuwasilisha hatua ilizochukua katika kipindi cha miaka mitano iliyopita na kuendeleza ushiriki wake katika juhudi za kimataifa za kukuza na kulinda haki za binadamu.

Wed, 04 Nov 2026 20:43:45 +0000
Uncategorized · The Nile Post

Premature Babies Face Risk of Blindness, Lifelong Health Complications

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Liverpool collapse to Champions League defeat at Fenerbahce

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Au Sénégal, l'exécutif et le parlement toujours à couteaux tirés

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

King Mohammed VI chairs Cabinet meeting, sets priorities for Morocco

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 04/11/2026

Azam TV

2026-11-04T19:57:01+00:00
Uncategorized · DW Afrique

Après la débâcle du camp Trump, l'Afrique se met à espérer

Read the full report from the original source.

Recently

Page 393 of 1153 · 23051 stories