Unganishwa

Search the region

22498 stories

Uncategorized · KBC

Win for DPP as High Court rejects bid to declare life imprisonment unconstitutional

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Treizième Journée : Quand les collines du Burundi vibrent au rythme d’un roman de feu et de passion

Le championnat, ce vieux conteur aux mille visages, avait réservé pour sa treizième journée une page d'une splendeur presque cruelle, une page où la gloire et le désespoir se croisèrent, comme deux amants égarés, sous le ciel immense de Bujumbura et des provinces lointaines.

Tue, 24 Nov 2026 06:39:17 +0000
Uncategorized · Daily News

DSE shares gain despite thin trading as bonds surge

DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) ended the week to November 20, 2026, with higher share…

Recently
Uncategorized · Daily News

Poor customer service puts business growth at risk

DAR ES SALAAM: BUSINESSES spend millions of shillings attracting customers through advertising, promotions and expansion, but poor customer experiences can…

Recently
Uncategorized · The Citizen

Why food poisoning rises when temperatures climb

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

KRA announces 2027 internship and pupillage vacancies

KRA said the initiative was part of the government's efforts to develop young talent and equip graduates with practical skills needed in the labour market.

Recently
Uncategorized · Daily News

Explore earthquake risks before fiscal emergencies

TANZANIA: THE earthquake many Tanzanians recall as occurring on 9 or 10 November was recorded at 1:07 am Tanzania time…

Recently
Business · Daily News

Investors ready, SMEs lack business structures

DAR DES SALAAM: TANZANIAN Small and Medium-sized Enterprises (SMEs) could attract more investment from local and foreign investors if they…

Recently
Uncategorized · Daily News

Where does stormwater go in Dar es Salaam?

DAR ES SALAAM: WHEN heavy rain sweeps across Tanzania’s cities, roads become rivers, drainage channels overflow and homes are surrounded…

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI YAITAKA TUCTA KUTUMIA MAJADILIANO KUDHIBITI MIGOGORO YA KAZI.

Serikali imeitaka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) kuimarisha majadiliano ya pamoja kati ya waajiri na wafanyakazi ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima na kujenga mazingira bora ya kazi nchini. Wito huo umetolewa Novemba 23, 2026, na Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi Tanzania Bara, Vallensi Wambali, kwa niaba ya Kamishna wa Kazi, Suzan W. Mkangwa, wakati akifungua Baraza Kuu la TUCTA lililofanyika katika Ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma, ambapo amesisitiza kuwa majadiliano yanapaswa kuwa njia ya kutafuta suluhu na maelewano badala ya kuwa chanzo cha ushindani na migogoro kati ya pande hizo. Amesema Serikali inatambua umuhimu wa vyama vya wafanyakazi katika kulinda haki na maslahi ya wanachama wao, huku akibainisha kuwa Tanzania imeridhia mikataba nane ya msingi ya Shirika la Kazi Duniani (ILO), ikiwemo Mkataba Na. 98 unaohusu haki ya kujipanga na majadiliano ya pamoja. Aidha, amevitaka vyama hivyo kutumia uhuru viliopewa kwa uwajibikaji na kuendelea kutoa elimu ya sheria za kazi kwa wanachama wao kuhusu haki na wajibu wao. Wambali amesisitiza pia umuhimu wa waajiri na wafanyakazi kutumia mifumo ya ndani kutatua changamoto zinazojitokeza na pale zinaposhindikana kuziwasilisha katika Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) pamoja na vyombo vingine vya kisheria, akieleza kuwa ushirikiano kati ya Serikali, waajiri na wafanyakazi ni msingi wa kulinda haki, kuongeza tija na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa. Kwa upande wake, Wakili Noel Nchimbi Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini TUCTA, amesema mkutano huo ni halali kwa mujibu wa akidi iliyopo, na kimsingi uchaguzi utafanyika kuanzia tarehe 25 na 26 Novemba 2026, kufuatia upngozi wa TUCTA kuisha muda wake tangu tarehe 13 Novemba, hivyo matarajio ni kupata viongozi bora watakao rudisha mahusiano bora mahali pa kazi kwa kuzingatia umoja na mshikamano. Akizungumza Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TUCTA 2026, Aloysius Mapembe, amesema uchaguzi wa Shirikisho hilo utafanyika kwa tarehe iliyopangwa kwa mujibu wa Katiba ya TUCTA, akiwatoa hofu wafanyakazi kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo, amesema maandalizi yanaendelea na kuvihakikishia vyama vyote vinavyostahili kushiriki kuwa taratibu za uchaguzi zinafuatwa kwa kuzingatia Katiba, huku akiwataka wafanyakazi kujitokeza kushiriki.

Tue, 24 Nov 2026 06:23:52 +0000
Uncategorized · Daily News

DSE capitalisation rises 1.92pc despite declining turnover

DAR ES SALAAM: THE DSE recorded a mixed performance during the week ended 20th November this year, with trading liquidity…

Recently
Uncategorized · Daily News

From Tanzania to continent: Scaling up maternal health

ADDIS ABABA: ALL eyes were in Addis Ababa, Ethiopia yesterday as President Samia Suluhu Hassan launched a five-year continental maternal…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WASANII WATAKIWA KUWA MABALOZI WA ULINZI NA USALAMA WA WATOTO MTANDAONI

Na Farida Mangube Serikali imewataka wasanii kutumia nafasi na ushawishi walionao katika jamii kuwa mabalozi wa ulinzi na usalama wa watoto mtandaoni, kwa kuzingatia haki, maadili na ustawi wa watoto katika kazi mbalimbali za sanaa. Wito huo umetolewa    na Afisa Sanaa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Abel Ndaga, wakati wa mafunzo kwa wasanii kuhusu afua za ulinzi na usalama wa watoto mtandaoni yaliyolenga kuwajengea uelewa kuhusu wajibu wao katika kulinda haki na usalama wa watoto wanaposhirikishwa katika kazi za sanaa na maudhui yanayochapishwa kwenye majukwaa ya kidijitali. Ndaga amesema wasanii wanapaswa kuhakikisha kazi za sanaa zinazowashirikisha watoto zinazingatia usalama, haki na maadili, badala ya kuwatumia katika maudhui yanayolenga watu wazima. “Kumekuwa na matukio ya watoto kurekodiwa na wazazi wao na kutumiwa katika maudhui mbalimbali, wakati mwingine wakishirikishwa katika shughuli za kisanaa hadi nyakati za usiku, hali inayoweza kuathiri haki na ustawi wao, ni  muhimu kwa wasanii kutambua mipaka na wajibu wao wanapowashirikisha watoto katika kazi za sanaa ili kuhakikisha mazingira yanakuwa salama na rafiki kwa ukuaji na maendeleo yao. ”Amesema Ndaga Kwa upande wake, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Mwasiti, amesema mafunzo hayo yamewasaidia kutambua baadhi ya mambo ambayo hapo awali walikuwa wakiyachukulia kuwa ya kawaida katika sanaa, lakini yanaweza kuwa na athari kwa watoto na hata kuathiri kazi zao za kisanaa. Aidha, Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Joel Mwakapala, amesema wasanii wamehusishwa katika mafunzo hayo kutokana na nafasi zao kama wazazi na walezi, pamoja na ushawishi walionao katika jamii, ambao unaweza kutumika kueneza elimu kuhusu ulinzi na usalama wa watoto mtandaoni. Mwakapala amewataka wasanii kushirikiana na Serikali katika kuelimisha jamii kuhusu wajibu wa kila mmoja katika kuhakikisha watoto wanalindwa dhidi ya vitendo vinavyoweza kuhatarisha haki, usalama na ustawi wao wanapotumia teknolojia na kushiriki katika shughuli za sanaa.

Tue, 24 Nov 2026 06:16:15 +0000
Business · Issa Michuzi

Airtel Tanzania yaimarisha mawasiliano Kiranjeranje, wakazi na wafanyabiashara wanufaika

● Hatua hii inalenga kupunguza changamoto ya mtandao hafifu iliyokuwa ikiwalazimu wananchi kusafiri umbali wa kilomita nane hadi kumi kutafuta huduma za mawasiliano. LINDI, 16 Novemba 2026. Wakazi wa Kata ya Kiranjeranje, Mkoa wa Lindi, sasa wanaweza kupata huduma za mawasiliano kwa urahisi zaidi kufuatia uzinduzi wa mnara mpya wa Airtel Tanzania, unaolenga kupunguza changamoto ya mtandao hafifu iliyokuwa ikiwalazimu wananchi kusafiri umbali wa kilomita nane hadi kumi kutafuta huduma za mawasiliano. Mnara huo unatarajiwa kunufaisha takribani wakazi 6,800 katika vijiji vitatu vya Kiranjeranje, Mtandi na Mbwemkuru, kwa kuboresha upatikanaji wa huduma za simu na intaneti Kila Kona. Akizungumzia manufaa ya kiuchumi yanayotokana na kuimarika kwa mawasiliano katika eneo hilo, Saleh Safi, Meneja Biashara wa Airtel Mkoa wa Lindi, alisema uwepo wa mnara huo umechangia kufungua fursa za ujasiriamali kwa vijana na kuchochea shughuli za kiuchumi kijijini hapo. “Baadhi ya vijana wameanza kujipatia kipato kupitia shughuli zinazotegemea mawasiliano, zikiwemo huduma za bodaboda na usajili wa laini za simu, huku wengine ambao awali hawakuwa na ajira sasa wakipata kipato cha kila mwezi kupitia huduma za matandao wa simu wa Airtel” alisema. Safi aliongeza kuwa Kiranjeranje ni eneo lenye machimbo makubwa ya gypsum yanayovutia watu kutoka maeneo mbalimbali nchini. Na upatikanaji wa mtandao unarahisisha mawasiliano na matumizi ya huduma za kifedha kwa wageni, wafanyabiashara na wakazi, hivyo kusaidia shughuli za biashara na miamala kuendelea kwa urahisi zaidi. Akizungumzia mabadiliko yanayotarajiwa kutokana na uwekezaji huo, Ablemani Simba, Diwani wa Kata ya Kiranjeranje, alisema awali wakazi walikabiliwa na changamoto ya mtandao hafifu, hali iliyowalazimu kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma za mawasiliano. “Awali mtandao haukuwa mzuri na wananchi walilazimika kusafiri umbali wa kilomita nane hadi kumi kutafuta huduma za mawasiliano. Baada ya kufungwa kwa mnara huu, mawasiliano yameimarika na wananchi sasa wanaweza kupata huduma za mawasiliano na kifedha kwa urahisi zaidi” Mbali na hilo, Mnara huo unatarajia kunufaisha vijiji vitatu vya Kiranjeranje, Mtandi na Mbwemkuru, vyenye jumla ya wakazi takribani 6,800. Kwa upande wake, Lameck Darema, ambaye anatoa huduma za kifedha katika eneo hilo, alisema kabla ya mnara huo kujengwa, upatikanaji mdogo wa mtandao wa Airtel uliwafanya baadhi ya wakazi kutumia mitandao mingine kutuma na kutoa fedha, hali iliyopunguza idadi ya wateja na kamisheni kwa mawakala. Alisema hali imebadilika baada ya mnara huo kuanza kutoa huduma, huku upatikanaji bora wa mtandao ukisaidia kuvutia wateja wengi zaidi wa Airtel na kuongeza kipato cha mawakala kupitia kamisheni. Akielezea furaha ya wakazi kufuatia kuimarika kwa mawasiliano, Latifa Makele, mkazi wa Kijiji cha Kiranjeranje, alisema ujio wa mnara huo ni faraja kubwa kwa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya mawasiliano bila kuwa na uhakika wa lini wangepata suluhisho. “Ujio wa mnara huu ni zawadi kubwa kwetu wananchi. Tumekuwa tukikabiliwa na changamoto za mawasiliano kwa muda mrefu bila kujua ni lini hali ingebadilika. Tunaishukuru Airtel kwa hatua hii na tunafurahia kupatikana kwa huduma hizi katika eneo letu. Tuna matumaini kuwa tutaendelea kunufaika na maboresho ya mawasiliano,” alisema Makele. Ukuaji wa matumizi ya huduma za mawasiliano kwa njia ya simu nchini unaonesha umuhimu wa kuimarisha miundombinu ya mawasiliano katika jamii zilizo nje ya miji mikubwa. Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuwa idadi ya usajili wa laini za simu nchini ilifikia milioni 117 Juni 2026, ikiwakilisha ongezeko la asilimia 4.51 ikilinganishwa na Machi 2026. Uzinduzi wa mnara wa Airtel Kiranjeranje unaonesha dhamira ya Airtel Tanzania ya kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano na fursa za kidijitali kwa jamii nyingi zaidi nchini. Kupitia uwekezaji endelevu katika mtandao wake, Airtel Tanzania inaendelea kusogeza huduma za mawasiliano karibu na wananchi, wafanyabiashara na wajasiriamali Kila Kona.

Tue, 24 Nov 2026 06:19:43 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Bayern score 'own goal' as Musiala firestorm builds

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Magu records 98pc HIV treatment uptake

MWANZA: MAGU District Council in Mwanza Region has recorded 98 per cent uptake of antiretroviral (ARV) treatment among people diagnosed…

Recently
Uncategorized · Daily News

Experts:Dialogue key to healing emotional wounds

KILIMANJARO: MEMBERS of the public have been urged to embrace dialogue and share experiences of emotional and psychological wounds as…

Recently
National · Jamhuri Media

Spika Zungu akutana na Spika wa Bunge la Czesh

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Environmental health officers urged to uphold standards

DODOMA: ENVIRONMENTAL health practitioners have been urged to complete their professional registration and renew their practising licences to strengthen accountability…

Recently
Uncategorized · The Standard

Corruption haven: How Boda boda riders, mama mboga's lose daily earnings to bribes

Medium-sized businesses are hit hardest, with nearly half of them saying they are forced to pay bribes to get basic public services.

Tue, 24 Nov 2026 09:00:00 +0300

Page 40 of 1125 · 22498 stories