Search the region
23065 stories
Cibitoke : les notables de Rukana accusés de politiser la justice de proximité
Read the full report from the original source.
RecentlyKAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAWAFIKIA WANANCHI ZAIDI YA 30,000 KIBAHA
Na Victor Masangu, Kibaha ZAIDI ya wananchi 30,000 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, mkoani Pwani, wamepatiwa huduma za msaada wa kisheria bila malipo kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, awamu ya pili. Huduma hizo zimewawezesha wananchi kupata usaidizi katika kutatua changamoto mbalimbali za kisheria, ikiwemo migogoro ya ardhi, ndoa, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto, pamoja na kupata elimu na ushauri kuhusu masuala ya kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa kampeni hiyo, Wakili wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Kasilida Chimagi, amesema mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa, huku wengi wakijitokeza kupata huduma hizo. Amesema katika zoezi la kusikiliza kero za wananchi, wamebaini changamoto mbalimbali, hususan migogoro ya ardhi, ambapo wamekuwa wakitoa ushauri na elimu ya kisheria ili kuwasaidia wananchi kupata ufumbuzi wa matatizo yao. "Tangu tuanze kampeni hii ya msaada wa kisheria, tunaendelea vizuri na tumefanikiwa kuwapatia huduma zaidi ya wananchi 30,000 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha," amesema Chimagi. Kwa upande wao, baadhi ya wanawake walionufaika na kampeni hiyo, akiwemo Judith Mwasha, wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha kampeni hiyo, wakisema imekuwa mkombozi katika kuwasaidia wananchi kupata haki zao na kutatua changamoto zinazowakabili. Naye Eva Ombela, ambaye anakabiliwa na changamoto ya kutelekezwa na mume wake akiwa na watoto watatu, amesema ana matumaini kuwa kampeni hiyo ya awamu ya pili itamsaidia kupata haki zake za msingi. Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, awamu ya pili, ilizinduliwa rasmi mkoani Pwani Oktoba 28, 2026, na Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, ikiwa na lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za kisheria zinazowakabili wananchi.
Wed, 04 Nov 2026 15:49:37 +0000Le Coranisme : son origine, ses croyances et son influence au Nigéria
"L’émergence de cette nouvelle forme d’exégèse coranique dans le nord du Nigéria représente un changement significatif dans la pensée islamique, car elle remet en question la structure du savoir islamique qui s’est const
RecentlyTabitha Keroche removed as Senate Deputy Majority Leader, Veronica Maina takes over
Read the full report from the original source.
RecentlyBarca's Rodri misses Atletico visit with hamstring injury
Read the full report from the original source.
RecentlyKanyonyo Weighbridge boosts compliance on Garissa Road network
Latest · Kenya
RecentlyIbintu bibaye ubwa mbere mu mateka y'amatora yo muri Amerika
Bwa mbere mu mateka Amerika hatowe abantu mu byiciro bitandukanye bidasanzwe mu nteko ishinga amategeko ndetse no muri sena
RecentlyBayern, Ajax seek 5,000 tickets for Kenya-bound fans
Sports PS Elijah Mwangi said the clubs had asked organisers to set aside 5,000 tickets, which they intend to purchase for their supporters.
RecentlyBurunga : Burunga : la stabulation permanente, un levier d’amélioration de la production agricole
Read the full report from the original source.
RecentlyThe plumbing behind the apps: Why Africa’s next fintech leap belongs to national switches
Read the full report from the original source.
RecentlyTusker Malt backs Kenya-Nigeria polo showdown as title sponsor of Simon Kuseyo Tournament
Latest · Polo
RecentlyOver 3,000 delegates head to Arusha for maiden HortiLogistica Africa 2026
Read the full report from the original source.
RecentlyWorkers earning over Sh32,333 pocket Sh2,000 more in review
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda Senate raises concerns over misuse of public funds, waste and irregular payments
Read the full report from the original source.
RecentlyUNEP warns developing countries face widening climate adaptation funding crisis
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyUmujyi wa Kigali wafunze by'agateganyo inyubako 10 zituzuje ibisabwa mu kwirinda inkongi
Ubuyobozi bw’Umujyi wa Kigali bwatangaje ko bwafunze inyubako 10 by'agateganyo zitari zujuje ibisabwa mu kwirinda inkongi, mu rwego rwo kurengera ubuzima bw’abantu n’imitungo yabo.
Wed, 04 Nov 2026 17:20:59 +0200WAKISO: Woman Who Returned From Saudi Arabia Murdered, Body Stuffed in Travel Bag
Read the full report from the original source.
RecentlyFive reasons why Republicans lost so badly
From angry voters to an unpopular president, here are five reasons why the Republicans lost so many seats.
RecentlyDeath rumours made me stronger, says ODM leader Oburu
ODM leader and Siaya Senator Oburu Oginga has said rumours about his death while he was admitted to hospital only strengthened his determination to overcome his illness.
Wed, 04 Nov 2026 18:11:05 +0300Mombasa Rugby steps up Kenya Cup return bid with Ksh.4.5m boost
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 400 of 1154 · 23065 stories