Search the region
23080 stories
TIMU YA NGORONGORO KAMA DOUMBIA
Timu ya Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro imeagwa leo tarehe 4 Novemba, 2026 kuelekea mkoani Morogoro kushiriki mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) ambapo imesafiri ikiwa na ari ya kurudi na ushindi mnono kupitia michezo ya mpira wa Miguu, Netbali, Vollebal, Kamba na Michezo ya Jadi na Kuahidi kurudi na vikombe. Akizungumza kwa niaba ya kamishna wa Uhifadhi wakati akiwaaga wachezaji hao, Naibu Kamishna huduma za Shirika, Bw. Aidan Makala , amewaasa washiriki kuzingatia nidhamu ya hali ya juu katika kipindi chote cha mashindano, akisisitiza kuwa nidhamu, umoja na ushirikiano ni msingi muhimu wa mafanikio katika michezo. “Mnapoenda kushiriki michezo mnaitangaza Ngorongoro kupitia utalii wa michezo, ni mategeo yangu kuwa mtakuwa mabalozi wa Ngorongoro, kuzingatia nidhamu, maadili na sheria za nchi na kuhakikisha kuwa timu yetu inarudi na vikombe vya kutosha”amesisitiza Makala.
Wed, 04 Nov 2026 13:45:50 +0000Tanzania pledges to provide subsidies to protect consumers affected by rising fuel prices
Read the full report from the original source.
RecentlyAudio — "Les Africains perçoivent positivement l'influence de l'UA"
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya sets December deadline for drug makers to adopt global tracking standards
Kenya · 4 hours ago
RecentlyReal Madrid reach verbal agreement to sign Gabriel
Latest · football
RecentlyPalace's Mateta banned for three games after red card appeal fails
Read the full report from the original source.
RecentlyTrump takes aim at Republicans but says Democrats did a ‘good job’
USA: US President Donald Trump has taken aim at Republicans and conceded that the Democrats have done “a good job”…
RecentlyTanzania reaps gains from ISA Assembly, holds productive talks with solar energy firms
NEW DELHI: TANZANIA has continued participating in global discussions aimed at promoting solar energy use at the Ninth Assembly of…
RecentlyMWANRI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ETHIOPIA
Na Mwandishi Wetu, Addis Ababa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Aggrey Mwanri, ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia, jijini Addis Ababa, leo Novemba 4, 2026, na kusaini kitabu cha wageni. Akiwa ubalozini hapo, Mwanri alikutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa ubalozi kuhusu masuala mbalimbali ya uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia, pamoja na nafasi ya Tanzania katika kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa. Katika mazungumzo hayo, aliipongeza ofisi ya ubalozi kwa juhudi zake za kudumisha uhusiano wa kidiplomasia, urafiki na ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Pia alisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha shughuli za kidiplomasia na ushirikiano wa kimataifa na kikanda kwa manufaa ya nchi hizo. Mwanri yupo nchini Ethiopia kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, katika Mkutano Maalumu wa Vyama vya Siasa Barani Afrika na Taasisi za Kimataifa, unaotarajiwa kufanyika jijini Addis Ababa kuanzia Novemba 5 hadi 7, 2026. Mkutano huo unawakutanisha viongozi wa vyama vya siasa na wadau kutoka taasisi mbalimbali za kimataifa kujadili mustakabali wa Afrika, utawala bora, ushirikiano wa kisiasa na fursa za kukuza maendeleo ya kiuchumi barani humo.
Wed, 04 Nov 2026 13:41:38 +0000Tanzania, JICA explore collaboration in improving solid waste management in Dar
DAR ES SALAAM: THE Permanent Secretary in the Vice-President’s Office, Dr Richard Muyungi, has held talks with a delegation from…
RecentlyAir raid alerts and attacks on schools: the devastating face of education in Ukraine
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy Kakumiro Voters Demand to Meet President Museveni Over Minister Byamukama
Read the full report from the original source.
RecentlyGo for gold or go home? Lionesses sharpen claws in readiness for Africa 7s glory hunt
Latest · Rugby
RecentlyWetang’ula: Oburu working from home after discharge
Oburu was discharged from hospital on October 19 and is recovering at home, with Wetang’ula assuring Kenyans he continues performing his Senate duties remotely.
RecentlyUhuru to Ubumwe: Freedom and history through African cuisine
Read the full report from the original source.
RecentlyEAC bloc urged to work closely in preparedness for El Niño-related threats
NAIROBI: EAST African Community (EAC) Partner States have been urged to strengthen regional cooperation and take urgent measures to mitigate…
RecentlyCRDB KUUNGANISHA MASOKO, KUFUNGUA FURSA NA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI DRC
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori, na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdulmajid Nsekela, wameongoza ujumbe wa Benki ya CRDB katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mhe. Judith Suminwa Tuluka, yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo ni sehemu ya juhudi za kimkakati za Benki ya CRDB katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda, kuunganisha masoko na kufungua fursa mpya za biashara, uwekezaji na maendeleo kati ya Tanzania na DRC, na kwa upana zaidi, katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Mhe. Judith Suminwa Tuluka ameeleza utayari wa Serikali ya DRC kushirikiana na Benki ya CRDB katika maeneo mbalimbali ya kimkakati, akitambua nafasi ya sekta ya fedha katika kuharakisha maendeleo, kurahisisha biashara na kuchochea uwekezaji wenye tija kwa wananchi wa nchi hizo mbili. Kwa upande wake, Uongozi wa Benki ya CRDB umesisitiza dhamira ya Benki kuwa mshirika wa kimkakati katika utekelezaji wa ajenda za maendeleo ya kikanda, ikiwemo kutumia fursa zinazotokana na Ushoroba wa Kati na Ushoroba wa Lobito kuimarisha biashara, uwekezaji na miunganiko ya kiuchumi. Juhudi hizi pia zitalenga kupanua wigo wa uwezeshaji kwa vijana, wanawake na biashara ndogo na za kati (SMEs). Sambamba na hilo, Benki imethibitisha dhamira yake ya kuendelea kuwekeza nchini DRC na kupanua wigo wa huduma zake nje ya Lubumbashi na Kinshasa, hatua itakayoiwezesha kuwafikia wateja wengi zaidi na kushiriki kikamilifu katika fursa zinazochochewa na ukuaji wa uchumi wa nchi hiyo. Kupitia uwepo wake Tanzania, Burundi na DRC, Benki ya CRDB inazidi kujijenga kama taasisi ya kifedha yenye mtazamo na ushawishi wa kikanda, inayokwenda zaidi ya kutoa huduma za kibenki na kuchukua nafasi ya kuunganisha mitaji, biashara, wawekezaji na fursa za maendeleo katika Afrika Mashariki na Kati. Kwa CRDB, mipaka si kikwazo cha fursa, bali ni daraja la kuunganisha uchumi, masoko na mustakabali wa maendeleo ya kikanda. #CRDBBank #MshirikaWaKimkakati
Wed, 04 Nov 2026 07:00:00 +0000Tanzania banks on its environmental transformation drive to generate 25,000 new jobs by 2030
DODOMA: THE Tanzania Sustainable Environmental Transformation Programme towards Vision 2050 is expected to generate more than 25,000 employment opportunities by…
RecentlyRead article: ISBAT University team wins Centenary Bank cybersecurity hackathon
Read the full report from the original source.
RecentlyRead article: DR LAWRENCE MUGANGA: Uganda needs more pharmacists
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 404 of 1154 · 23080 stories