Unganishwa

Search the region

23092 stories

Uncategorized · The Observer Uganda

Should Victoria University be allowed to teach more pharmacy students?

A bitter dispute over pharmacy education in Uganda has exposed a fundamental tension between regulatory oversight and the government’s push to expand science education. Social…

Recently
National · The Star Kenya

Ruto: New airport to be ready in 18 months

He acknowledged that the timeline had become a subject of public debate, with critics initially questioning whether the project was achievable before shifting

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Democrats Seize US Congress in Midterms as Trump Suffers Defeat

Read the full report from the original source.

Recently
Technology · Chimpreports

Centenary Bank Rewards Uganda’s Next Generation of Cybersecurity Talent at Inaugural University Hackathon

Read the full report from the original source.

Recently
National · Jamhuri Media

Elimu kwa wote, Serikali yaimarisha mikakati kuwafikia watoto wenye mahitaji maalumu

Read the full report from the original source.

Recently
National · Jamhuri Media

Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa shamba la TVLA Mivumoni

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · The Observer Uganda

Uganda’s AFCON bet aims to turn football fans into lifelong tourists

Uganda is aiming for a historic economic and cultural windfall, using the upcoming 2027 Africa Cup of Nations to position itself as a premier global…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TAKUKURU YAREJESHA MILIONI 7.8 ZA MAKUSANYO YA NDANI RUKWA

NA JANE MWAKYOMA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imefanikiwa kurejesha Sh milioni 7.8 zilizotokana na ubadhirifu wa mapato ya ndani ya halmashauri na fedha za fidia ya mradi wa umeme, katika kipindi cha Aprili hadi Septemba 2026. Fedha hizo zimerudishwa kufuatia hatua za ufuatiliaji na uchunguzi uliofanywa na taasisi hiyo baada ya kubaini matumizi yasiyo sahihi ya fedha za umma katika baadhi ya maeneo, ikiwemo Halmashauri za Manispaa ya Sumbawanga na Wilaya ya Kalambo. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Sumbawanga, Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Rukwa, James Mbungano, alisema miongoni mwa fedha zilizorejeshwa ni Sh milioni 4, zilizokuwa sehemu ya Sh milioni 12.29 zilizolipwa kama fidia kwa mradi wa ujenzi wa njia ya umeme katika Shule ya Sekondari Makuzani, Manispaa ya Sumbawanga. Alisema pia Sh milioni 1.365 zilizokusanywa kupitia mashine za POS na kutowasilishwa benki na aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Mpwapwa, Paschal Saanne, zimefanikiwa kurejeshwa. Fedha hizo zilihusisha kipindi cha Julai 2025 hadi Januari 2026. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, TAKUKURU iliwezesha kurejeshwa kwa Sh milioni 2.44 zilizokusanywa kupitia mashine za POS lakini hazikuingizwa benki. Kati ya fedha hizo, Sh 898,600 zilihusishwa na ubadhirifu wa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kalemsha, Tarcisius Victor, katika kipindi cha Novemba 2019 hadi Januari 2023, huku Sh milioni 1.54 zikihusishwa na Afisa Kilimo Msaidizi wa Kijiji cha Mikonko, Hamis Mkenda Hamis, katika kipindi cha Februari 2024 hadi Mei 2026. Kuhusu fedha za fidia za Shule ya Sekondari Makuzani, Mbungano alisema baadhi ya viongozi wa shule walizitumia kwa manufaa binafsi baada ya fedha hizo kulipwa na TANESCO kupitia Serikali ya Kijiji. Alisema TAKUKURU inaendelea kufuatilia urejeshaji wa fedha zilizobaki katika akaunti ya shule na kwamba hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya watuhumiwa. Katika hatua nyingine, alisema taasisi hiyo ilifanya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika miradi 13 ya maendeleo yenye thamani ya Sh bilioni 3.19, ambapo ilitoa mapendekezo 34 kwa taasisi husika na yote yalipatiwa majibu. Alisema mafanikio mengine ni kuongezeka kwa wananchi waliofikiwa na elimu ya mapambano dhidi ya rushwa kutoka 4,887 katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/2026 hadi 17,355 ndani ya kipindi cha miezi sita, kupitia semina 48, mikutano ya hadhara 58, maonesho sita, uimarishaji wa klabu 147 za wapinga rushwa, kuanzishwa kwa klabu moja mpya na vipindi 14 vya redio. Aidha, TAKUKURU ilipokea malalamiko 120 katika kipindi hicho, ambapo 68 sawa na asilimia 57 yalihusu rushwa na 52 sawa na asilimia 43 hayakuhusu rushwa. Malalamiko yasiyohusu rushwa yalishughulikiwa kwa kuwashauri walalamikaji, huku uchunguzi ukiendelea kwa yale yanayohusu rushwa. Katika upande wa mashauri ya mahakamani, Mbungano alisema kesi mpya tatu zilifunguliwa, kesi nne ziliendelea kusikilizwa na kesi mbili zilitolewa maamuzi, ambapo Jamhuri ilishinda kesi moja. Alisema pia taasisi hiyo ilifanya uchambuzi wa mifumo mitatu katika sekta za afya, elimu na miundombinu, ikiwemo mfumo wa utoaji huduma za afya kwa makundi maalumu katika vituo vya umma wilayani Sumbawanga. Alifafanua kuwa uchambuzi huo umewezesha kuboreshwa kwa mifumo ya kupokea malalamiko na mrejesho wa wananchi kupitia uanzishwaji wa namba maalumu za simu pamoja na kuboreshwa kwa masanduku ya maoni yatakayokaguliwa na timu huru nje ya idara husika. Kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2026, alisema TAKUKURU imeweka mikakati ya kuendelea kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo, kutoa elimu kwa umma, kushirikisha wadau na kuchunguza vitendo vya rushwa ili kuhakikisha wanaohusika wanachukuliwa hatua za kisheria. Alitoa wito kwa wananchi kuepuka vitendo vya rushwa na kuendelea kutoa taarifa kwa TAKUKURU ili kulinda rasilimali za umma na kuhakikisha fedha za maendeleo zinawanufaisha wananchi.

Wed, 04 Nov 2026 11:56:19 +0000
Uncategorized · Burundi Forum

Burundi / Belgique – AGENDA : 7/11/2026, Charleroi : Belle Africa célèbre les talents burundais

À Dampremy, près de Charleroi, l’ASBL Belle Africa organise une journée culturelle réunissant tambour burundais, danses traditionnelles, littérature et animations musicales, avec DJ Sevy. L’entrée est gratuite. Charleroi (Belgique), 04/11/2026 – Dans une ambiance annoncée festive et fraternelle, Belle Africa ASBL, Centre...

Wed, 04 Nov 2026 11:49:35 +0000
Uncategorized · The Ankole Times

GARUGA ESTATE ROW: Court Commands Agaba Maguru, Henry Nganwa To Present Self In The Dock Or Face Warrant Of Arrest

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAKAMU WA RAIS APIGA KURA JIMBO CHA LA CHAMWINO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki katika zoezi la kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chamwino, katika Uchaguzi mdogo unaofanyika leo tarehe 04 Novemba 2026. Makamu wa Rais amepiga kura katika kituo namba Tano kilichopo Ofisi ya Kijiji cha Chamwino Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Awali,Mheshimiwa Deogratius Ndejembi, alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo, kabla ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwezi Agosti 2026.

Wed, 04 Nov 2026 11:50:47 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

US midterms: Democrats win House and Senate from Republicans

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Rallying: Ambrose Byina ‘Omunyeto’ targets 2027 resurgence

After more than seven years away from competitive rallying, Ambrose Byona, popularly known as ‘Omunyeto’, is preparing to make a return to the cockpit, targeting…

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania yafanya mazungumzo na kampuni za kimataifa za nishati jua nchini India

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

"That's PR, nobody cares": Mututho faults govt over counterfeit alcohol crackdown

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US midterms: Democrats win House and Senate from Republicans

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

NYOTA targets 600K youth in Sh300bn tender drive

More than 600,000 entrepreneurs will receive training to help them access government tenders reserved for youth, women and persons with disabilities.

Recently
Business · Jamhuri Media

Serikali yafungua milango ya uwekezaji sekta ya nishati kwa kampuni binafsi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Uganda women’s handball team targets TZ triumph

Uganda’s national women’s handball team is targeting continental qualification at the IHF Women’s Trophy Zone V Championship, which started yesterday, November 4, in Kibaha, Tanzania,…

Recently
Uncategorized · KBC

Gachagua misleading Kenyans on Rironi-Mau Summit project costs – Mbadi

Treasury CS says changes to highway's design and concerns over commercial risks informed govt's decision to terminate contract with French firm

Recently

Page 408 of 1155 · 23092 stories