Search the region
23122 stories
Zurcher: Democrats tear up Trump's political map on historic night
Two Senate races that a year ago were thought to be battlegrounds turned out to be slam-dunks for the Democrats.
RecentlyScholarships must deliver more than degrees as Kairuki challenges beneficiaries to drive national development
UK: International scholarships should be measured not only by the academic qualifications recipients acquire but also by the practical solutions…
RecentlyAmbassador invites Algerian investors to explore Tanzania’s expanding opportunities across key economic and industrial sectors
ALGERIA: Tanzania is seeking to translate its longstanding friendship with Algeria into stronger commercial partnerships, inviting Algerian companies to explore…
RecentlySuivez les résultats des élections de mi-mandat aux États-Unis
Read the full report from the original source.
RecentlyNarok man gets life imprisonment for defiling 10-year-old daughter
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya commits to end cataract blindness by 2045
The government said eliminating avoidable vision impairment was critical to improving people's livelihoods and national development
RecentlyDC intervenes to restore peace in Arumeru
ARUSHA: ARUMERU District Commissioner Neema Lugangira has overseen the return of 52 livestock taken during a peace-breaking incident involving two…
RecentlyChina reaffirms commitment to strong, accountable leadership, national development
CHINA: The strength of a nation is measured not only by its economic achievements, natural resources or technological progress, but…
RecentlySERIKALI YAENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA MAKALI YA BEI ZA MAFUTA NCHINI
Na Mwandishi Wetu Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguzaathari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi. Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja nachangamoto zinazoendelea katika soko la dunia, wananchi wanaendelea kupata mafuta kwa uhakika nakwa bei himilivu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), bei za mafuta nchinizimeongezeka kwa mwezi Novemba 2026 kutokana nakuongezeka kwa gharama za usafirishaji na bima, kulikosababishwa na kuendelea kwa mgogoro waMashariki ya Kati, ambako Tanzania huagiza sehemukubwa ya mafuta yake. Hali hiyo imejitokeza licha ya bei za mafuta yaliyosafishwa katika soko la dunia kupungua kidogo mwezi Oktoba ikilinganishwa na Septemba 2026. Katika kukabiliana na changamoto hizo, Serikali imefanya jitihada za kuweka ruzuku kwa lengo la kupunguza mzigo wa gharama kwa watumiaji wa mafuta na uchumi kwa ujumla, huku ikiendelea kuchukua hatua za kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa bidhaa hizo nchini. EWURA imetangaza bei kikomo za mafuta zitakazoanza kutumika tarehe 4 Novemba 2026, ambapo kwa Dar es Salaam, petroli itauzwa kwa bei isiyozidi Shilingi 4,083 kwa lita, dizeli Shilingi 4,128 na mafuta ya taa Shilingi 4,117. Licha ya ongezeko hilo, bei za mafuta hayo nchini ziko chini zikilinganishwa na baadhi ya nchi jirani katika ukanda wa Afrika Mashariki (EAC) na zile za Kusini mwa Afrika (SADC). Serikali imeeleza kuwa itaendelea kufuatilia mwenendo wa soko la mafuta duniani na kuchukua hatua za kupunguza athari zake kwa wananchi na shughuli za uzalishaji, usafirishaji na uchumi kwa ujumla. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, kipaumbele cha serikali ni kuhakikisha mafuta yanaendelea kupatikanakwa uhakika nchini, huku gharama zake zikiendeleakuwa himilivu kwa wananchi na uchumi.
Wed, 04 Nov 2026 08:47:46 +0000STAKABADHI ZA GHALA ZAWEZESHA MAUZO YA KOROSHO YA SH BILIONI 682 NDANI YA WIKI TATU
ZAIDI ya tani 175,000 za korosho ghafi zimeuzwa kwa thamani ya Sh.bilioni 682 ndani ya wiki tatu za minada ya msimu wa 2026/27, huku zaidi ya tani 200,000 zikiwa zimekusanywa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, ameyasema hayo leo, Novemba 3, 2026 jijini Dodoma kwenye Maonesho ya kuelekea uzinduzi wa sera ya maendeleo endelevu ya viwanda ya mwaka 2025 na sera ya maendeleo ya wajasiriamali wadogo na wa kati ya mwaka 2003 toleo la mwaka 2025 Bw. Bangu amesema tangu kuanza kwa msimu huo Oktoba 12, mwaka huu hadi leo minada 20 ya korosho imefanyika kupitia mfumo huo ambao umeendelea kuwaunganisha wakulima na wanunuzi, kurahisisha upatikanaji wa masoko na kuwezesha biashara ya mazao kufanyika kwa uwazi na ushindani. "Hadi Novemba 1, 2026 tani za korosho 175,000 zenye thamani ya zaidi ya Sh.Bilioni 682 zimeuzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za ghala kati ya tani 200,000 ambazo zimekusanywa kwa kipindi hicho,"amesema. Aidha, ameeleza kuwa mafanikio mengine ya mfumo huo yameendelea kuonekana pia katika mazao mengine ambapo ndani ya miezi minne kuanzia Julai mosi, 2026 mfumo huo umewezesha kupokelewa na kuuzwa kwa tani 217,000 za mbaazi, zaidi ya tani 164,000 za dengu, zaidi ya tani 26,000 za ufuta, tani 8,700 za kahawa na tani 8,252 za kakao. Amesisitiza kuwa mfumo huo una mchango mkubwa katika kuchochea maendeleo ya viwanda nchini kwa kuwezesha uhifadhi wa mazao katika ghala zenye leseni, usimamizi wa ubora na usalama wa bidhaa.
Wed, 04 Nov 2026 08:49:22 +0000TOTALENERGIES YATOA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA VILAINISHI NA GESI KWA WANANCHI.
Kampuni ya TotalEnergies imeendelea kutoa elimu kwa watumiaji wa bidhaa za nishati na vyombo vya usafiri kuhusu matumizi sahihi ya vilainishi, gesi ya kupikia na mifumo ya malipo ya kidijitali, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu huduma hizo. Elimu hiyo inatolewa kupitia banda la kampuni hiyo katika Maonesho ya Viwanda na Biashara yanayoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC), jijini Dodoma, kuelekea uzinduzi wa sera ya maendeleo ya viwanda na sera ya Jasiriamali ndogo na za Kati ya mwaka 2003 Toleo la mwaka 2025, ambako wananchi wanapata fursa ya kufahamu aina mbalimbali za vilainishi na matumizi yake kulingana na aina ya injini, vilainishi vinavyotambulishwa ni Quartz kwa magari yanayotumia petroli, Rubia kwa magari ya dizeli na Hi-Perf kwa pikipiki. Akizungumza katika maonesho hayo, Meneja Masoko wa TotalEnergies, Caroline Kakwezi, amesema matumizi ya vilainishi vinavyoendana na aina ya injini ni muhimu katika kuhakikisha vyombo vya usafiri vinapata huduma inayostahili, huku akieleza kuwa kampuni hiyo pia inasambaza gesi ya kupikia ya kilo sita na 13 kupitia vituo vyake na mawakala walioidhinishwa. Katika eneo la huduma za malipo, Kakwezi amesema TotalEnergies imeboresha mifumo yake ya kidijitali inayowawezesha wateja kufanya miamala kwa kutumia kadi, namba za simu na misimbo ya OTP, pamoja na programu ya Mobility, mifumo hiyo inalenga kuongeza urahisi katika kufanya malipo na kupanua njia ambazo wateja wanaweza kutumia kupata huduma. Amesema ushiriki wa kampuni hiyo katika maonesho hayo unatoa nafasi ya kukutana moja kwa moja na watumiaji wa bidhaa na huduma zake, kupata maoni yao na kubaini mahitaji yanayopaswa kuzingatiwa katika kuboresha huduma, ameongeza kuwa ushiriki wa sekta binafsi katika majukwaa hayo ni muhimu katika kuimarisha uhusiano kati ya wazalishaji, watoa huduma na wananchi. Maonesho hayo pia yanatoa fursa kwa wananchi kuuliza maswali na kupata ufafanuzi kuhusu bidhaa zinazotumika katika maisha ya kila siku, hususan matumizi ya vilainishi na gesi ya kupikia pamoja na njia za malipo, elimu hiyo ni muhimu katika kuwawezesha watumiaji kufanya maamuzi sahihi wanaponunua na kutumia bidhaa hizo.
Wed, 04 Nov 2026 08:44:32 +0000Rigathi: Why I took Probox to Wamunyoro
The former Deputy President says he avoided publicity and travelled from JKIA to his Wamunyoro home in an ordinary car to evade alleged threats to his life.
RecentlyChina tightens anti-corruption drive, leadership discipline, sets course ahead of 2027 party congress
DAR ES SALAAM: The Communist Party of China (CPC) has adopted a new resolution aimed at strengthening internal party governance,…
RecentlyQui est Abdul El-Sayed, le premier musulman élu au Sénat américain ?
Le démocrate Abdul El-Sayed a remporté mardi le siège vacant du Michigan au Sénat américain, selon les projections des médias, devenant ainsi le premier musulman élu à cette chambre
RecentlyInternational Rock Icon Jack White Is Set To Bring His Electrifying Live Show To Nairobi
Entertainment · 4 hours ago
RecentlyMuturi Accuses IEBC of Delaying 2027 Election Preparations, Demands Recall of Key Officials
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyWATCH LIVE: Joint Parliamentary Committees review Public University Staff CBA Implementation
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania risks more measles outbreaks unless children complete both recommended doses of vaccine
MWANZA: Tanzania must strengthen routine immunisation services and ensure that every eligible child receives both recommended doses of the measles-containing…
RecentlyRAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHAMWINO LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Mhe. Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wed, 04 Nov 2026 08:35:39 +0000Fuel prices rise across Tanzania, piling pressure on consumers
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 415 of 1157 · 23122 stories