Search the region
23181 stories
Women Parliamentarians urge Great Lakes region to fast track implementation of UN Resolution 1325
DAR ES SALAAM: PARTICIPANTS at the Women Parliamentarians’ Forum of the International Conference on the Great Lakes Region (FP-ICGLR) have…
RecentlySouth Africa’s AGOA troubles could reach beyond exporters to its startups
Read the full report from the original source.
RecentlyTwo helicopters collide near Everest base camp
The helicopter company said one of its vehicles was involved in the collision and that another passenger and the helicopter's captain had been injured.
RecentlyTanzania uses the CHOGM platform to cement its diplomatic, development ties with Uganda
ANTIGUA: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mahmoud Thabit Kombo, has held talks with Uganda’s Prime…
RecentlyL'attaquant de Tenerife, De Miguel, décède des suites d'une collision sur le terrain
L'attaquant de Tenerife, Jesus de Miguel, décède à l'âge de 30 ans des suites d'une collision survenue sur le terrain lors d'un match de deuxième division espagnole.
RecentlyBaba alivyomuaga mwanaye kwa picha akiwa kitandani
Read the full report from the original source.
RecentlyHuyu hapa kocha mpya Yanga
Soma zaidi hapa...
RecentlyWorld News in Brief: healthcare crisis in Yemen’s Taiz and Afghanistan, Western Sahara mission's phased closure
Read the full report from the original source.
RecentlyAsilimia 85 wafaulu darasa la saba
Read the full report from the original source.
RecentlyRC NYONGO: “HAKUNA WA KUIINUNUA SERIKALI YA DKT. SAMIA”
Na Khadija Kalili, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Nyongo, amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga, kuhakikisha zinaundwa kamati za usuluhishi na utatuzi wa migogoro baina ya wakulima na wafugaji ili kuimarisha mahusiano na kudumisha amani katika maeneo yenye changamoto hizo. Amesema kamati hizo zitakuwa na jukumu la kusikiliza pande zinazohusika, kusuluhisha migogoro na kutafuta ufumbuzi wa kudumu, sambamba na kuweka utaratibu wa kuchukua hatua stahiki dhidi ya wanaokiuka makubaliano na taratibu zilizowekwa, kwa lengo la kuhakikisha makundi hayo yanaishi kwa maelewano na kuheshimiana. Mhe. Nyongo ametoa agizo hilo Novemba 2, 2026, wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Mtakuja, Kata ya Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, ulioitishwa kufuatia mgogoro baina ya wakulima na wafugaji wa jamii ya Wamang’ati katika eneo hilo. Katika mkutano huo, amewataka wafugaji kuacha mara moja tabia ya kuingiza mifugo katika mashamba ya wakulima na kuheshimu maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji, ili kila kundi liweze kutekeleza shughuli zake kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa. Aidha, amewataka wakulima kuepuka kujichukulia sheria mkononi kwa kuwadhuru wafugaji au mifugo yao, akisisitiza kuwa migogoro inapaswa kutatuliwa kupitia vyombo na mifumo halali badala ya kutumia nguvu. Akizungumzia madai ya baadhi ya wafugaji kuwa wameinunua Serikali, Mhe. Nyongo amekemea vikali kauli hizo na kusisitiza kuwa Serikali haiko chini ya mtu au kundi lolote, hivyo haitasita kuwachukulia hatua wote watakaobainika kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani na kusababisha vurugu. “Naomba niwashukuru kwa taarifa mlizonipatia. Nitazifuatilia moja baada ya nyingine, na nikibaini kuna kiongozi yeyote anayehusika na vitendo hivyo, nitamshughulikia ipasavyo. Ninachotaka ni wananchi waishi kwa amani,” amesema RC Nyongo. Akizungumzia suala la ulinzi na usalama, Mkuu huyo wa Mkoa amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi, hususan wanapohitajika kutoa ushahidi mahakamani, ili kuhakikisha kesi zinazohusu migogoro hiyo zinafuatiliwa hadi zinapotolewa maamuzi kwa mujibu wa sheria. “Ikipelekwa kesi mahakamani, hakikisheni mnaifuatilia kwa kutoa ushirikiano unaostahili hadi pale kesi itakapomalizika. Hatuwezi kujenga amani kama wananchi wenyewe hatutakuwa tayari kushiriki katika kuhakikisha haki inatendeka,” amesisitiza. Katika hatua nyingine Mhe. Nyongo amemtaka Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani kuhakikisha askari wanaokiuka maadili na wajibu wao wanachukuliwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa taratibu za Jeshi hilo. Pia, amemtaka kuimarisha Kituo cha Polisi Kiwanga kwa kuongeza idadi ya askari wa doria ili kuimarisha ulinzi na usalama na kudhibiti vitendo vinavyoweza kuvuruga amani katika maeneo hayo. Vilevile, amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kutekeleza wajibu wao kwa kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili wananchi badala ya kuwa chanzo cha migogoro na mifarakano katika jamii. “Sitavumilia kiongozi au mtu yeyote anayehatarisha usalama wa wananchi. Sitaki kuona wananchi wanakosa amani,” amesisitiza Mhe. Nyongo. Ameongeza kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inatambua amani kuwa msingi muhimu wa maendeleo, hivyo kila mmoja ana wajibu wa kulinda utulivu, kuheshimu sheria na kushiriki katika kutatua changamoto zinazojitokeza katika jamii. Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Salim Morcase amewataka wananchi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi, hususani katika hatua za uchunguzi na uendeshaji wa kesi Mahakamani, akieleza kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa wakisita kutoa ushahidi wanapohitajika. Amesema ushirikiano wa wananchi ni muhimu katika kuhakikisha wanaohusika na vitendo vya uvunjifu wa sheria wanachukuliwa hatua stahiki, hatua itakayosaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika jamii.
Tue, 03 Nov 2026 13:20:13 +0000Mesach Semakula to Celebrate 50 Years of Greatness
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice Arrest 14 Suspects in Crackdown on Illegal Fuel Trade
Read the full report from the original source.
RecentlyGreat Lakes Peace Needs Women at the Table, says Oboth
Read the full report from the original source.
RecentlySafaricom, Airtel face upfront spectrum fee payments in proposed changes
Read the full report from the original source.
RecentlyUCSAF yajenga minara 2,199 kuboresha mawasiliano nchini
Read the full report from the original source.
RecentlyTAIFA GROUP YAGEUZA ZAWADI ZA MASHINDANO YA MBUZI KUWA FURSA YA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAZINGIRA MAGUMU
KAMPUNI ya Taifa Group imekabidhi zawadi zote ilizoshinda katika Mashindano ya Mbuzi (Goat Races) yaliyofanyika Septemba 2026 kwa Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oysterbay, kwa ajili ya kusaidia watoto na vijana wenye mazingira magumu nchini kupata fursa ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Uamuzi huo unalenga kugeuza ushindi uliopatikana kupitia burudani kuwa fursa ya kujenga maisha ya baadaye kwa watoto na vijana wa Kitanzania. Hafla ya makabidhiano ya zawadi hizo imefanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa kila wiki wa Klabu hiyo uliofanyika katika Kahawa Café, Masaki. Zawadi hizo zilikabidhiwa na Deborah Kaluzi, Mtaalamu wa Masuala Endelevu kutoka Vodacom Tanzania, ambayo ilikuwa mdhamini mkuu wa Mashindano ya Mbuzi ya mwaka 2025. Kwa niaba ya Taifa Group, zawadi hizo zilipokelewa na Kemilembe Mugangala, Mkuu wa Chapa na Mawasiliano. Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa Klabu hiyo, akiwemo Paul Muhato, Rais wa Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oysterbay; Benoit Ducarme, Makamu wa Rais; Rashida Nabulime, Rais Mteule; pamoja na Bhavesh Bhatt, mwanachama wa klabu hiyo. Akizungumza baada ya kupokea zawadi hizo, Mugangala aliishukuru Vodacom Tanzania pamoja na Klabu ya Rotary kwa kuandaa jukwaa linalounganisha jamii, burudani na dhamira ya kusaidia wengine. "Kwa niaba ya Taifa Group, tunajivunia sana kuwa sehemu ya jambo hili. Mashindano ya Mbuzi si utamaduni unaopendwa na wengi pekee, bali pia yanatukumbusha umuhimu na nguvu ya kurudisha kwa jamii," alisema. Alisema kwa kuzingatia kaulimbiu ya Rotary isemayo Huduma Kabla ya Maslahi Binafsi (Service Above Self), Taifa Group imeamua kurejesha zawadi zote kwa jamii, akisisitiza kuwa hakuna mtoto anayepaswa kunyimwa fursa ya kupata elimu ya juu kutokana na mazingira aliyozaliwa au hali ya familia yake. "Huko Taifa, hatufanyi biashara nchini Tanzania pekee, bali tunashiriki pia katika kujenga Tanzania. Ikiwa ushindi wetu unaweza kumsaidia mtoto mmoja kufikia ndoto yake ya kujiunga na chuo kikuu, basi huo ndio ushindi wa kweli," alisema. Aidha, aliishukuru Vodacom Tanzania kwa kuwezesha jambo hilo na Rotary Oysterbay kwa kazi wanayoendelea kuifanya kwa manufaa ya jamii. Kwa upande wake, Paul Muhato, Rais wa Rotary Oysterbay, aliipongeza Taifa Group kwa uamuzi huo wa kurejesha zawadi kwa jamii, akibainisha kuwa fedha zitakazopatikana zitaelekezwa moja kwa moja katika mpango wa klabu wa kusaidia elimu nchini. Mashindano ya kila mwaka ya Mbuzi, yanayodhaminiwa na Vodacom Tanzania, hukutanisha kampuni mbalimbali, familia na wadau wengine kwa lengo la kuchangisha fedha zitakazosaidia kufanikisha shughuli mbalimbali za kijamii na misaada ya kibinadamu katika maeneo tofauti nchini.
Tue, 03 Nov 2026 13:07:19 +0000Kenyan websites suffer blow as hackers exploit AI
Read the full report from the original source.
RecentlyAirtel Africa Half-Year Profit Rises 20.5% to $452m on Strong Data and Mobile Money Growth
KAMPALA – Airtel Africa has reported a 20.5% increase in profit after tax to US$452 million for the six months ended September 30, 2026, driven by strong growth in data…
RecentlyGachagua: I'm opposition's most committed leader
The Democracy for the Citizens (DCP) leader says his return from a two-month US tour has revived opposition politics and mobilisation.
RecentlyAfande Muhoozi, Help Us Resolve Gen Elwelu’s Issues to Enable PLU Members to Conduct Free Mobilisation in Teso
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 438 of 1160 · 23181 stories