Search the region
23203 stories
Tennis sensational Okutoyi breaks new ground with historic WTA debut in Africa
Latest · Sports
RecentlyKihara Kariuki: Jurist whose words flowed like poetry
He was a man of precision, both in his words and appearance, often seen in impeccably tailored pinstriped suits that reflected his understated sense of style
RecentlyMWIGULU, MKUYU AFRICA WAWATAKA VIJANA KUIJENGA TANZANIA
Na Mwandishi Wetu, Moscow WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuwa wazalendo na kupenda nchi yao kwa vitendo, hususan kwa kutumia maarifa, ujuzi na fursa mbalimbali katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya kiteknolojia nchini. Dkt. Mwigulu alitoa wito huo wakati wa Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika na Urusi (Russia–Africa Summit), uliofanyika jijini Moscow, Urusi, ambapo alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika mkutano huo, Waziri Mkuu alipata nafasi ya kukutana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Tanzania walioshiriki mkutano wa kibiashara kati ya Tanzania na Urusi, uliofanyika pembezoni mwa mkutano huo kwa lengo la kukuza ushirikiano wa biashara na uwekezaji katika sekta za nishati, kilimo, madini, ujenzi na miundombinu. Aliwataka wafanyabiashara hao kutumia maarifa, teknolojia na fursa walizozipata nchini Urusi kuchochea maendeleo ya Tanzania na kujenga uchumi imara unaowezesha vijana kujitegemea badala ya kutegemea ajira pekee. Miongoni mwa wafanyabiashara vijana walioshiriki mkutano huo ni mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa MKUYU Africa, Juneid Othman, ambaye anaendelea kuwekeza katika maono ya kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza katika maendeleo ya majengo ya kisasa na miji yenye miundombinu bora barani Afrika. Juneid ni miongoni mwa vijana wa Kitanzania wanaotumia majukwaa ya kimataifa kutafuta maarifa, teknolojia na washirika wa kibiashara kwa lengo la kukuza uwekezaji na kuchangia maendeleo ya sekta ya ujenzi nchini. Akieleza mipango yake, Juneid amesema kupitia ushirikiano na wabia mbalimbali katika sekta ya nyumba na ujenzi, wanatarajia kujenga zaidi ya nyumba 3,000 za kisasa kwa ajili ya kuuza na kupangisha katika miji mbalimbali nchini. Amesema maono yake ni kuona miji ya Tanzania ikipiga hatua katika kuwa na majengo ya kisasa ya makazi na biashara yanayoweza kushindana na miji mikubwa duniani, ikiwemo Dubai, huku yakichangia upatikanaji wa makazi bora na kuboresha mandhari ya miji. Mbali na sekta ya ujenzi, Juneid amekuwa akishiriki pia katika kupanua fursa za uwekezaji kupitia jukwaa la MILIKI MALI, linalotoa elimu kuhusu mali isiyohamishika na masuala ya fedha, pamoja na Tanzania Brokers Association Board (TBAB), linalolenga kuimarisha taaluma ya udalali na uwazi katika sekta hiyo. Akizungumza kuhusu ushiriki wake katika mkutano huo, Juneid ameishukuru Serikali kwa kuwapa vijana fursa ya kushiriki majukwaa ya kimataifa kupitia uratibu wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amesema ushiriki huo umewapa fursa ya kujifunza matumizi ya teknolojia mbalimbali zinazoweza kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, pamoja na kujenga mahusiano na wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali ambao wanaweza kuleta mitaji na kuchochea ukuaji wa uchumi nchini. Chini ya uongozi wa Juneid, MKUYU Africa inalenga kuwa miongoni mwa kampuni zinazoongoza Afrika Mashariki katika ujenzi wa miradi mikubwa ya makazi na majengo ya biashara yenye miundombinu ya kisasa. Mkurugenzi wa MKUYU Afrika Juneid Othman (wa Tatu kushoto) akiwa katika picha Ya pamoja na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba baada ya mkutano
Tue, 03 Nov 2026 10:19:55 +0000EXCLUSIVE: Shs 348m Fuel Scandal Rocks Uganda Export Authority
Read the full report from the original source.
RecentlySpooky Season Wrapped: The Best Celebrity Halloween Looks Of 2026
Latest · Entertainment
RecentlyKihara Kariuki: Jurist whose words flowed like poetry
He was a man of precision, both in his words and appearance, often seen in impeccably tailored pinstriped suits that reflected his understated sense of style
RecentlyTazama matokeo ya mtihani darasa la saba 2026
Read the full report from the original source.
RecentlyMchungaji Msigwa amkosoa Lema, amtaka kujitathmini
Soma hapa...
RecentlyRIB yataye muri yombi abantu bakekwaho kwiba insinga z’amashanyarazi
Urwego rw’Igihugu rw’Ubugenzacyaha (RIB) rwerekanye abantu 11 bakekwaho kugira uruhare mu bujura bw’ibikorwaremezo, by’umwihariko insinga z’amashanyarazi, zirimo izo mu bwoko bwa copper, bivugwa ko zingana na toni imwe n’igice (1.5), zifite agaciro ka miliyoni 20 z’amafaranga y’u Rwanda.
Tue, 03 Nov 2026 12:07:39 +0200Government targets 1,198 households in Sh93.99m electricity expansion
More than 1,000 households in Budalangi Constituency, Busia County, are set to benefit from a Sh93.99 million electricity expansion programme targeting 1,198 households.
Tue, 03 Nov 2026 11:42:04 +0300DKT Launches Nationwide Sexual and Reproductive Health Caravan to Boost HIV Awareness, Safe Sex Education
Read the full report from the original source.
RecentlyOver 20 injured in Nile Star bus accident in Arua
More than 20 people have been injured in an accident involving a Nile Star bus along the Arua-Nebbi road in Arua district. The accident occurred…
RecentlyFinland offers free all-expenses paid trips to 16 singles in search of love
Read the full report from the original source.
RecentlyFamily moves to court over alleged abduction of Nairobi lawyer Abshir Abdi
Read the full report from the original source.
RecentlyWATCH LIVE: Ugenga MP David Ochieng-led MDG Party Receives ODM Defectors
Read the full report from the original source.
RecentlyKane would trade Ballon d'Or for Champions League trophy
Read the full report from the original source.
RecentlyWATCH LIVE: DCP Leader Gachagua hosts delegation from his Nyeri home county
Read the full report from the original source.
RecentlyMystery dog poisoning raises burglary fears in Kerugoya estate
Read the full report from the original source.
RecentlyWest Ham sack head coach Nuno after poor start to Championship season
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya traces all 135 contacts of first Ebola patient, CS Duale says
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 445 of 1161 · 23203 stories