Unganishwa

Search the region

23208 stories

Uncategorized · Capital FM

Uganda arrests former army deputy chief stripped of military rank

Africa · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

KenGen appoints John Mosonik as new board chairman

Business · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

PLAZA PREMIUM GROUP YAFUNGUA LOUNGE YAKE YA KWANZA TANZANIA, UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE

Plaza Premium Group (PPG), kampuni ya kimataifa inayotoa huduma za ukarimu viwanja vya ndege, imefungua rasmi Plaza Premium Lounge yake ya kwanza nchini Tanzania, katika Terminal 3 ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam. Lounge hiyo, iliyopo karibu na Lango la 6 katika eneo la safari za kimataifa, ina ukubwa wa mita za mraba 336 na uwezo wa kuhudumia wageni 86 kwa wakati mmoja. Inatoa sehemu za kupumzika, kuoga, huduma za chakula na vinywaji, maeneo ya kufanyia kazi, intaneti na sehemu za kuchaji vifaa vya kielektroniki, pamoja na vyumba vya ibada. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Makamu wa Rais wa Biashara wa Plaza Premium Group, Kanda ya EMEA, Anis Jmour, alisema kuanzishwa kwa lounge hiyo nchini Tanzania ni hatua muhimu katika upanuzi wa kampuni hiyo Afrika Mashariki, huku kukiwa na fursa ya kuleta uzoefu wake wa kimataifa wa huduma za ukarimu karibu na wasafiri wanaotumia JNIA. “Ufunguzi wa Plaza Premium Lounge nchini Tanzania ni hatua muhimu katika upanuzi wetu barani Afrika. Tunaona umuhimu wa soko la Tanzania katika kuunganisha safari za kikazi na mapumziko, na tunalenga kuwapa wasafiri huduma zinazokidhi mahitaji yao kabla ya kuendelea na safari,” alisema Jmour. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Bertha Bankwa, alisema ujio wa Plaza Premium Lounge unazidi kuonesha ukuaji wa sekta ya usafiri wa anga nchini Tanzania na umuhimu wa kuendelea kuboresha huduma zinazotolewa kwa abiria kadiri mahitaji ya usafiri yanavyoongezeka. “Ujio wa huduma hii unaonesha jinsi sekta yetu ya usafiri wa anga unavyoendelea kukua na kuvutia wawekezaji wanaoleta huduma mpya kwa wasafiri. Kadiri idadi ya abiria inavyoongezeka, ni muhimu pia kuendelea kuboresha uzoefu wao wanapotumia uwanja wetu wa ndege, ili kuhakikisha wanapata huduma zinazokidhi mahitaji yao,” alisema Bankwa. Ukuaji huo unaonekana pia katika takwimu za usafiri wa anga. Kwa mujibu wa ripoti ya Tanzania in Figures 2025 ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), iliyotumia takwimu za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), idadi ya abiria wa ndani na wa kimataifa katika viwanja vya ndege nchini ilifikia takribani milioni 8.11 mwaka 2025, kutoka milioni 7.38 mwaka 2024. JNIA pekee ilihudumia takribani abiria milioni 2.92 katika kipindi hicho. Ukuaji wa usafiri wa anga nchini Tanzania unaendana na umuhimu wa nchi kama moja ya vivutio vikuu vya utalii na eneo la fursa za biashara. Kutoka Serengeti na Mlima Kilimanjaro hadi Zanzibar, Tanzania inaendelea kuvutia wageni kutoka sehemu mbalimbali duniani, jambo linaloifanya huduma inayotolewa kwa wasafiri wanapowasili au kuondoka nchini kuwa sehemu muhimu ya uzoefu wao wa safari. Ni katika mazingira haya ambapo Plaza Premium Group inaleta uzoefu wake wa kimataifa nchini Tanzania. Kwa takribani miaka 30 katika sekta ya ukarimu viwanja vya ndege, kampuni hiyo ilianzisha dhana ya lounge huru ya uwanja wa ndege mwaka 1998. Kwa sasa, inafanya shughuli zake katika viwanja vya ndege zaidi ya 600 katika nchi zaidi ya 150, ikihudumia zaidi ya abiria milioni 30 kila mwaka. Hata hivyo, huduma za ukarimu zinapopelekwa katika soko jipya, kuzingatia utamaduni na utambulisho wa eneo husika ni sehemu muhimu ya uzoefu unaotolewa. Kupitia mkakati wake wa Proudly Local, Plaza Premium Group inalenga kuunganisha viwango vyake vya kimataifa na ladha za Kitanzania. Katika lounge yake ya Dar es Salaam, hilo linaonekana kupitia menyu inayojumuisha vyakula na vitafunwa vya Kitanzania pamoja na baadhi ya bidhaa zinazopatikana nchini. Kwa wasafiri wanaotaka kutumia huduma hizi, Plaza Premium Lounge Dar es Salaam inafunguliwa kila siku. Nafasi zinaweza kuwekewa mapema kupitia www.plazapremiumlounge.com au tiketi kununuliwa moja kwa moja wanapofika kwenye lounge hiyo. Sherehe rasmi ya uzinduzi wa Plaza Premium Lounge mpya imefanyika katika Jengo la Tatu la Abiria (Terminal 3), Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, tarehe 2 Novemba 2026. Ukumbi huo unawapatia wasafiri eneo maalumu la kupumzika, kupata huduma za chakula na vinywaji pamoja na kujiandaa na safari zao kabla ya kupanda ndege. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo ni Mhe. Kiema Kilonzo, Mjumbe wa Bodi ya Plaza Premium Lounge Africa (kushoto), akiwa pamoja na Anis Jmour, Makamu wa Rais wa Biashara wa Plaza Premium Group, Kanda ya Ulaya, Mashariki ya Kati na Afrika (EMEA) (kulia).

Tue, 03 Nov 2026 02:00:00 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Necta yatangaza matokeo darasa la saba, 31 wafutiwa

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · Capital FM

Former senator Poghisio dumps KANU for ODM in West Pokot governor race

Latest · News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Instagram users tell Winnie to join Linda Mwananchi

Winnie’s Instagram poll gives the Sifuna-led movement a commanding lead as ODM grapples with internal divisions and shifting political alliances

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenya fertility rate falls to 3 children per woman from 4 in 2022 – KNBS

Latest · Capital Health

Recently
Uncategorized · Daily News

TPA backs expansion of port’s railway infrastructure to bolster cargo transportation

DAR ES SALAAM: THE Tanzania Ports Authority (TPA) has pledged to cooperate with institutions operating railway infrastructure within ports to…

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

La première Dame de la République du Burundi prend l’avion à destination des Emirats Arabes Unis

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Gachagua holds talks with Ngilu at Wamunyoro over possible 2027 coalition

News · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Teenage Pregnancy Declines to 11.9% in Kenya, New KNBS Survey Shows

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua hosts Charity Ngilu at Wamunyoro

The meeting is part of Gachagua’s ongoing consultations with opposition leaders as he pushes for a single presidential candidate ahead of 2027

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Lancement des activités de la chaîne de valeur maïs, dans le cadre du projet BRIDEP

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

LDC : un Bayern Munich diminué défie l'Atletico Madrid

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

424 tonnes d’engrais FOMI disponibles en commune Muhanga sur le besoin de 4 368,3 tonnes

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

5 ways to end a bad relationship

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Masaka Coffee Farmers Pledge Support for President Museveni After Receiving Free Fertiplus Fertilizers

By Brian Mugenyi [email protected] MASAKA | Coffee farmers in Masaka City, alongside local government officials, have commended President Yoweri Kaguta Museveni and the NRM administration for supporting the agricultural

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Police Arrest 14 Over Illegal Fuel Siphoning

KAMPALA – Police have arrested 14 suspects during an intelligence-led operation targeting individuals allegedly involved in illegally siphoning fuel from motor vehicles and selling it to unsuspecting motorists in Kampala

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Paradise Island Resort Nears Opening as Premier Destination Wedding Venue on Lake Victoria

KAMPALA — Uganda’s luxury tourism sector is set for a major boost as Paradise Island Resort, the Ruparelia Group’s exclusive private-island retreat on Lake Victoria, prepares to open its doors,…

Recently
Uncategorized · Capital FM

EACC recommends charges against Taita Taveta County official over forged degree

Business · 4 hours ago

Recently

Page 447 of 1161 · 23208 stories