Search the region
23236 stories
President Chapo: We consider relations with other countries of South–South Cooperation extremely important
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania Yaalika Uwekezaji wa Kilimo Kutoka Algeria
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amezialika kampuni za Algeria za teknolojia ya kilimo, ufugaji na usindikaji wa mazao ya chakula kuja nchini kuona fursa zilizopo za biashara na uwekezaji. Akizungumza na vyombo vya habari vya Algeria kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini Algiers, Balozi Matinyi alisema Serikali ya Tanzania imeweka mkazo kwenye uboreshaji wa sekta ya kilimo na uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na kwamba utaalam na uzoefu wa kampuni za Algeria unahitajika Tanzania. Akielezea maendeleo ya ushirikiano baina ya Tanzania na Algeria kwa mwezi Oktoba, Balozi Matinyi alisema Ubalozi ulialikwa kwenye maonesho ya kilimo na pia kufanya ziara kwenye viwanda vya kusindika bidhaa za kilimo na ufugaji na kutumia fursa hiyo kuzialika kampuni mbalimbali za Algeria kuja nchini. Balozi Matinyi alisema kwamba mbali ya juhudi katika sekta ya kilimo, Serikali ya Tanzania inatekeleza pia miradi ya ujenzi wa mji mkuu wa Dodoma, inapanua sekta ya dawa na nishati, inafufua viwanda na inaimarisha miundombinu ya uzalishaji na usafirishaji ili kukidhi mahitaji ya kitaifa na kikanda. “Kufanya biashara na kuwekeza Tanzania kutaimarisha ushirikiano wa kiuchumi uliopo baina ya nchi zetu mbili rafiki na kuchochea ukuaji wa biashara barani Afrika,” alidokeza Balozi Matinyi mbele ya vyombo hivyo vya habari. Awali Balozi Matinyi alimshukuru Waziri wa Biashara ya Nje na Uhamasishaji wa Mauzo ya Nje, Mhe. Kamel Rezig, kwa kumwalika kwenye Maonyesho ya Biashara ya Chakula na Kilimo yaliyoandaliwa na wizara hiyo na kufanyika mjini Blida tarehe 17 Oktoba, 2026 huku yakivutia washiriki zaidi ya 100. Balozi Matinyi alitaarifu kuwa katika maonesho ya Blida na mengine ya jijini Annaba na Constantine, Ubalozi ulizielezea fursa zilizopo Tanzania na kuzikaribisha kampuni nyingi zikiwemo za usindikaji nyama na mazao ya kilimo, teknolojia ya ufugaji, uzalishaji chakula cha mifugo na mbolea, umwagiliaji na ufungashaji wa bidhaa za chakula. “Mbali ya Blida tulipata fursa ya kuongea na kampuni kadhaa tarehe 13 jijini Annaba kwenye maonesho ya Agri Tech Expo na tarehe 28 jijini Constantine kwenye maonesho ya Agrest Expo na zote tumezialika zije Tanzania kuona fursa zilizopo na namna ya kushirikiana na Watanzania,” alisema Balozi Matinyi. Balozi Matinyi aliongeza, “Tulifanya pia ziara mjini Blida tarehe 21 Oktoba kuona teknolojia ya juu ya usindikaji nyama ya kuku kwenye kiwanda cha Groupe Bellat na pia kushuhudia teknolojia ya usindikaji nyanya na pilipili kwenye kiwanda cha Groupe Amour na tumewakaribisha waje kuona fursa zilizopo Tanzania”. Aidha, Balozi Matinyi pia alikuwa mgeni wa heshima kwenye maonesho ya sekta ya ujenzi jijini Constantine mnamo tarehe 14 Oktoba na siku iliyofuatia Ubalozi ulifanya ziara kwenye kiwanda cha dawa za tiba cha Physiopharm ili kukivutia kije kuwekeza nchini. Kampuni ya TANOIL ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) nayo ilituma ujumbe wake uliongozwa na Kaimu Maneja Mkuu, James Sanawa, kuhudhuria Maonesho na Mkutano wa Nishati na Haidrojeni wa Afrika Kaskazini na Mediterania, uliofanyika kuanzia tarehe 5 hadi 7 Oktoba jijini Oran, Algeria. TANOIL ambayo husambaza bidhaa za gesi na petroli nchini, ilipata fursa ya kujadiliana namna ya kushirikiana kiufundi na kampuni mbalimbali likiwemo Shirika la Algeria la Gesi na Mafuta (Sonatrach) na kampuni yake tanzu ya usambazaji ya Naftal. Ukiwa jijini Oran, Ubalozi pia ulifanya ziara tarehe 6 Oktoba kwenye kiwanda cha Tapidor kinachotengeneza mazulia ya nyuzi zitokanazo na kemikali za petroli kwa lengo la kukivutia kuanzisha biashara nchini Tanzania na kulenga soko kubwa zaidi ya kikanda. Kadhalika, Mamlaka ya Taifa ya Bidhaa za Dawa ya Algeria (ANPP) ikiambatana na kampuni ya serikali ya dawa ya Saidal Group na baadaye kampuni binafsi ya dawa ya Frater Razes nazo zilifanya ziara nchini Tanzania ili kuanzisha ushirikiano wa kiufundi, kibiashara na kiuwekezaji katika sekta ya afya.
Mon, 02 Nov 2026 19:12:15 +0000Perezida Kagame yagaragaje imyumvire ikwiye guhinduka ku ishoramari muri Commonwealth
Read the full report from the original source.
RecentlyRetired UPDF General Peter Elwelu Arrested in Soroti as Military Announces Prosecution
Read the full report from the original source.
RecentlyBrief: How Nairobi-Nakuru jams are set to end
These are the stories making the headlines in your free copy of the Tuesday Star; get in from a vendor near you, countrywide
RecentlyMilioni 6 Za Expanse Reel Warriors Zawasubiri Mashujaa Wa Sloti
MASHABIKI wa michezo ya kasino mtandaoni wana sababu nyingine ya kuongeza msisimko kupitia Meridianbet, baada ya mashindano ya Expanse Reel Warriors kuanza rasmi Oktoba 27, 2026. Huu ni wakati wa kuingia kwenye ulimwengu wa michezo ya sloti, kujaribu bahati yako na kushindania sehemu ya zawadi nono za jumla ya TZS 6,000,000. Mashindano haya yanawaleta pamoja wachezaji wanaopenda msisimko wa kila raundi, huku nafasi ya kupanda kwenye orodha ya washindani bora ikiongeza ladha ya ushindani. Kupitia Expanse Reel Warriors, Meridianbet inakupa fursa ya kushiriki mashindano yanayojumuisha michezo 15 tofauti ya sloti kutoka Expanse Studios. Kila mchezo una upekee wake, na wachezaji wanaweza kuchagua michezo wanayoipenda huku wakifuatilia nafasi zao kwenye msimamo. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jisajili leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Miongoni mwa michezo inayopatikana kwenye mashindano haya ni Pia Premium, Wild White Whale, Meridian Scatter Whale, Wild Icy Fruits, God of Coins na Zombie Apocalypse, pamoja na mingine mingi. Kila jina linakualika kugundua mazingira tofauti ya burudani ya sloti kupitia jukwaa la Meridianbet. Ukiwa na michezo 15 ya kuchagua na zawadi 20 zinazotarajiwa kutolewa, mashindano haya yanaweka burudani na ushindani katika safari moja ya kidijitali. Mashindano haya yalianza Oktoba 27 na yataendelea hadi Novemba 8, 2026, hivyo bado kuna muda wa kushiriki kabla ya pazia kufungwa. Kiwango cha chini cha dau ni TZS 1,000 kwa kila mzunguko, na wachezaji wanapaswa kuelewa namna ya kushiriki, kukusanya pointi na kupanda kwenye msimamo. Kwa hiyo, ikiwa unapenda michezo ya sloti na unatafuta burudani yenye ushindani, Expanse Reel Warriors kupitia Meridianbet inakupa nafasi ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha zawadi za milioni 6. Chagua mchezo unaoupenda kati ya michezo 15 inayoshiriki, cheza na ufuatilie msimamo hadi mwisho wa mashindano, Novemba 8.
Mon, 02 Nov 2026 07:03:00 +0000Muturi faults Gachagua’s tactics in opposition, cautions against 2027 coalition fragmentation
DP leader accuses the former Deputy President of promoting divisive political tactics and calls for a united national movement ahead of the 2027 polls.
RecentlyCAR officers and other ranks complete basic special operations force training in Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania broaden its public awareness campaign on EAC Draft Constitution to Mtwara residents
MTWARA: THE Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation has continued to educate the public on the Draft Constitution…
RecentlyNewcastle na Everton Kwenye Vita ya Pointi Tatu EPL!
NEWCASTLE United wanatarajia kuwa wenyeji wa Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza utakaochezwa Jumatatu, Novemba 2, 2026, saa 23:00 usiku, katika dimba la St James’ Park. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na umuhimu wa pointi tatu kwa kila timu. Newcastle wataingia uwanjani wakiwa na dhamira ya kutumia vizuri faida ya kucheza nyumbani. Kikosi hicho kitahitaji kuanza mchezo kwa kasi, kutengeneza nafasi za kufunga na kutumia makosa ya wapinzani wao. Ushirikiano kati ya viungo na washambuliaji unaweza kuwa miongoni mwa mambo yatakayosaidia wenyeji kupata matokeo wanayoyahitaji. Kwa sasa, Newcastle wanaonekana kuwa na silaha muhimu katika safu ya ushambuliaji, huku Harvey Barnes akiwa miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuleta tofauti kutokana na uwezo wake wa kutengeneza nafasi na kufunga mabao. Everton, kwa upande mwingine, wanaweza kutegemea Thierno Barry na Kiernan Dewsbury-Hall kuongoza mashambulizi yao. Hata hivyo, hali ya utimamu wa baadhi ya wachezaji inaweza kuathiri mipango ya makocha kabla ya mchezo. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa ujumla, pambano hili linatarajiwa kuwa la kuvutia huku Newcastle wakitaka kutumia uwanja wao kupata ushindi, wakati Everton wakilenga kurejea kwenye matokeo mazuri baada ya vipigo vya hivi karibuni. Uwezo wa timu hizo kutumia nafasi za kufunga na kudhibiti mchezo katikati ya uwanja unaweza kuwa na mchango mkubwa katika kuamua mshindi. Mashabiki wanasubiri kuona ni timu gani itakayoweza kuondoka na pointi zote tatu katika mchezo huo. Odds kubwa zipo, machaguo ni mengi, sasa ni zamu yako! Pata mchezo huu kupitia Meridianbet, jisajili leo na uingie kwenye burudani ya kubashiri na ushindi.
Mon, 02 Nov 2026 06:56:00 +0000Magoli | Simba SC 3-2 Namungo FC | NBC Premier League 02/11/2026
Ilikuwa ni funga nikufunge, Simba ikitangulia, kisha kutokea nyuma na kushinda mechi dhidi ya Namungo FC, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Anicet Oura amefunga mawili huku lingine likifungwa na Rushine de Reuck kwa penati wakati magoli mawili ya Namungo yakitoka kwa Raymond Lulendi. Tazama magoli yote matano...
2026-11-02T18:44:17+00:00CS Ogamba: 2026 national exams largely seamless
The Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) examinations began on Monday, November 2, with 1,048,355 candidates expected to sit the examinations.
RecentlyTANESCO completes preps for the construction of a 44.62bn/- power project in Manyara
DODOMA: THE Tanzanian government, through the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), has completed preliminary preparations for the construction of a…
RecentlyImpact Ink summit challenges young people to create their own content
Africa · 4 hours ago
RecentlyRiruta tenants allowed back Into condemned building to collect belongings
Read the full report from the original source.
RecentlyCBK differs with Mbadi on Sh10bn banks’ capital rule
Read the full report from the original source.
RecentlyRDC : les sanctions américaines suscitent espoir et scepticisme
Read the full report from the original source.
RecentlyTRA YAELEZA FAIDA YA SERA YA MAENDELEO YA VIWANDA KATIKA KUONGEZA WIGO WA KODI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea kutambua mchango mkubwa wa wenye viwanda na wafanyabiashara wadogo na wa Kati katika kukuza uchumi na kuongeza mapato ya Serikali, hivyo itaendelea kushirikiana nao kwa kuweka mazingira rafiki yatakayowezesha biashara kukua na kuimarika Akizungumza leo Jijini Dodoma Novemba 2, 2026, katika maonesho yanayoelekea uzinduzi wa Sera ya Maendeleo ya Viwanda na sera ya Maendeleo ya Jasiriamali ndogo na za kati, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wa TRA, Paul John Walalaze, amesema maendeleo ya viwanda na ukuaji wa biashara ni miongoni mwa mambo muhimu yatakayochochea ongezeko la mapato ya Serikali. Walalaze amesema kuwa Serikali imeendelea kuweka mazingira mazuri ya ufanyaji biashara nchini kupitia maboresho mbalimbali yanayolenga kurahisisha shughuli za biashara, kuimarisha sekta ya viwanda na kuwezesha wafanyabiashara wadogo kupata mitaji na fursa za kukuza shughuli zao. Amesema mwaka wa fedha 2025/26 ni wa kwanza katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050, ambayo imeweka msisitizo katika maendeleo ya viwanda na sekta binafsi kama nguzo muhimu za kufikia malengo ya uchumi wa taifa. Bw. Walalaze ameeleza kuwa kuimarika kwa mazingira ya biashara kutaiwezesha TRA kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato na kuchangia kufikiwa kwa azma ya Tanzania kuwa na uchumi wenye thamani ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Amesema TRA ina lengo kuu la kukusanya Shilingi trilioni 42 katika mwaka wa fedha 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka Shilingi trilioni 37 zilizokusanywa katika mwaka wa fedha uliopita, huku ikiendelea kuimarisha ushirikiano na sekta ya viwanda na wafanyabiashara ili kukuza mapato ya Serikali. Aidha, amewataka wafanyabiashara wote nchini kuhakikisha wanatoa risiti za mauzo kwa wateja wao, huku wananchi wanaonunua bidhaa katika viwanda na kwa wafanyabiashara wadogo wakihimizwa kudai risiti kila wanapofanya manunuzi. Amesisitiza kuwa risiti ni sehemu muhimu ya utambuzi na usimamizi wa kodi za Serikali, hivyo matumizi yake sahihi yatachangia kuongeza mapato yanayotumika kugharamia huduma za kijamii na miradi ya maendeleo nchini.
Mon, 02 Nov 2026 18:31:17 +0000Merz says next German president 'must be a woman' — report
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Kawempe Muslim Stun AS FAR in Historic Champions League Debut
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 459 of 1162 · 23236 stories