Search the region
23241 stories
CBK differs with Mbadi on Sh10bn banks’ capital rule
Read the full report from the original source.
RecentlyRDC : les sanctions américaines suscitent espoir et scepticisme
Read the full report from the original source.
RecentlyTRA YAELEZA FAIDA YA SERA YA MAENDELEO YA VIWANDA KATIKA KUONGEZA WIGO WA KODI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea kutambua mchango mkubwa wa wenye viwanda na wafanyabiashara wadogo na wa Kati katika kukuza uchumi na kuongeza mapato ya Serikali, hivyo itaendelea kushirikiana nao kwa kuweka mazingira rafiki yatakayowezesha biashara kukua na kuimarika Akizungumza leo Jijini Dodoma Novemba 2, 2026, katika maonesho yanayoelekea uzinduzi wa Sera ya Maendeleo ya Viwanda na sera ya Maendeleo ya Jasiriamali ndogo na za kati, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wa TRA, Paul John Walalaze, amesema maendeleo ya viwanda na ukuaji wa biashara ni miongoni mwa mambo muhimu yatakayochochea ongezeko la mapato ya Serikali. Walalaze amesema kuwa Serikali imeendelea kuweka mazingira mazuri ya ufanyaji biashara nchini kupitia maboresho mbalimbali yanayolenga kurahisisha shughuli za biashara, kuimarisha sekta ya viwanda na kuwezesha wafanyabiashara wadogo kupata mitaji na fursa za kukuza shughuli zao. Amesema mwaka wa fedha 2025/26 ni wa kwanza katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050, ambayo imeweka msisitizo katika maendeleo ya viwanda na sekta binafsi kama nguzo muhimu za kufikia malengo ya uchumi wa taifa. Bw. Walalaze ameeleza kuwa kuimarika kwa mazingira ya biashara kutaiwezesha TRA kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato na kuchangia kufikiwa kwa azma ya Tanzania kuwa na uchumi wenye thamani ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Amesema TRA ina lengo kuu la kukusanya Shilingi trilioni 42 katika mwaka wa fedha 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka Shilingi trilioni 37 zilizokusanywa katika mwaka wa fedha uliopita, huku ikiendelea kuimarisha ushirikiano na sekta ya viwanda na wafanyabiashara ili kukuza mapato ya Serikali. Aidha, amewataka wafanyabiashara wote nchini kuhakikisha wanatoa risiti za mauzo kwa wateja wao, huku wananchi wanaonunua bidhaa katika viwanda na kwa wafanyabiashara wadogo wakihimizwa kudai risiti kila wanapofanya manunuzi. Amesisitiza kuwa risiti ni sehemu muhimu ya utambuzi na usimamizi wa kodi za Serikali, hivyo matumizi yake sahihi yatachangia kuongeza mapato yanayotumika kugharamia huduma za kijamii na miradi ya maendeleo nchini.
Mon, 02 Nov 2026 18:31:17 +0000Merz says next German president 'must be a woman' — report
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Kawempe Muslim Stun AS FAR in Historic Champions League Debut
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Junior Golf Programme Produces National Team Prospects
Read the full report from the original source.
RecentlyEthiopia’s Abiy Puts Cabinet Ministers Through Military Training
ADDIS ABABA: Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed has put cabinet ministers and senior government officials thr..
RecentlyGeneric HIV prevention injection moves closer to 120 countries after FDA approval
Capital Health · 5 hours ago
RecentlySix in seven journalist killings remain unresolved, UNESCO warns
NATIONAL NEWS · 5 hours ago
RecentlySGA security takes customer appreciation and health outreach across Tanzania
DAR ES SALAAM: SGA Security has stepped up its commitment to customer satisfaction and community wellbeing through a series of…
RecentlyAu Cameroun, l'assassinat de Martinez Zogo n'est toujours pas élucidé
Read the full report from the original source.
RecentlyFighting returns to Kherson region after longest Ukraine war ceasefire
The ceasefire - the longest since the start of Russia's full-scale invasion in 2022 - allowed hundreds of people trapped in the Russian-occupied Ukrainian town
RecentlyBean prices surge by 78% in Gulu amid supply shortage
The prices of cereals across major markets in Gulu City have risen sharply in recent weeks amid dwindling supplies and increased prices charged by suppliers…
RecentlyRising Lionesses devour hosts Senegal at Dakar Youth Olympics rugby 7s encounter
Latest · Rugby
RecentlyFrance: Petition to ban TV channel gets over 500,000 signatures
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania yajipanga kuvutia uwekezaji mkubwa wa nishati duniani
Read the full report from the original source.
RecentlyAudio — Journal 17hTU (02.11.26)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyLa Guinée peut-elle profiter de son or raffiné localement ?
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice probe comedian Kapere’s sudden death
The police have launched an investigation into the death of popular comedian Yokana Mbuuse, alias Kapere Lufotose, who collapsed at his daughter’s school after complaining…
RecentlyFormer Raila aide Silas Jakakimba rejoins ODM
Jakakimba announced his return to ODM on Monday, saying the decision followed consultations within the broad-based political arrangement
RecentlyPage 460 of 1163 · 23241 stories