Search the region
23249 stories
Breaking the silence in Mexico’s barracks
Read the full report from the original source.
RecentlyKey corruption cases in court this week
At least seven corruption cases involving former government officials and public officers are scheduled for hearings and judgements in Kenyan courts
RecentlyWadau waililia Tume Huru ya Haki za Binadamu
Read the full report from the original source.
RecentlyWANASAYANSI WA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIANCHI DUNIANI WAKUTANA ARUSHA
WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema kuwa Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wataalamu wa mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi duniani ni ishara ya dhamira ya nchi hiyo kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutumia sayansi katika kujenga maendeleo endelevu. Amesema athari za mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi si tishio la siku zijazo pekee, bali tayari zinaonekana duniani kote, hasa katika nchi zinazoendelea zikiwemo za Afrika na visiwa vidogo. Mbarawa amesema hayo leo Novemba 2, 2026 wakati akiwasilisha hotuba ya ufunguzi kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, katika ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wataalamu wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (IPCC), jijini Arusha. Aidha, amesisitiza umuhimu wa matumizi ya lugha sahihi na inayozingatia unyeti wa kisera katika mawasilisho ya kisayansi ya IPCC, akieleza kuwa waandishi wanapaswa kuchagua maneno kwa umakini ili kuhakikisha taarifa zinabaki kuwa sahihi kisayansi, zinaaminika na zinachangia katika michakato ya maamuzi na sera za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi. Mkutano huo umeanza leo Novemba 2 na utamalizika Novemba, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha PAPU jijini Arusha, ukiwakutanisha wataalamu bingwa wa sayansi ya mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi kutoka nchi 75 duniani. Lengo la mkutano huo ni kuimarisha mchango wa Kikosi Kazi namba Moja cha Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi katika kuandaa Tathmini ya Saba ya IPCC kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi. Mkutano huo umeandaliwa na IPCC kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TMA, ukiwa na lengo la kutoa fursa ya kuimarisha ushirikiano kati ya wanasayansi wa Tanzania, Afrika na wa kimataifa, pamoja na kuongeza ushiriki wa Afrika katika mchakato wa IPCC.
Mon, 02 Nov 2026 15:53:18 +0000Kachapin calls for disbandment of NCIC over failure to curb hate speech
Read the full report from the original source.
RecentlyKagame: Investment Risks Are Everywhere, Not Just in Developing Nations
Read the full report from the original source.
RecentlyNew fridge cyberattack hits Belgium stores
Read the full report from the original source.
RecentlyTANZANIA YAPONGEZWA KWA MCHANGO WAKE KATIKA KUBORESHA MIFUMO YA UFUATILIAJI NA TATHMINI AFRIKA
DODOMA, Novemba 2, 2026 Tanzania imeendelea kutambuliwa kwa mchango wake katika kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji, tathmini, utendaji na uwajibikaji kwa umma, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha utawala na utendaji wa Serikali barani Afrika. Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, kupitia Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini, leo Novemba 2, 2026, imewasilisha tuzo maalumu kwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Dkt. Jim Yonazi, iliyotolewa kwa Tanzania kutokana na mchango wake katika kuboresha utawala barani Afrika kupitia ushiriki wake katika mtandao wa TWENDE MBELE. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini, Bi. Sakina Mwinyimkuu, ikitokana na matokeo ya kikao kazi cha TWENDE MBELE kilichofanyika jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Utambuzi huo unaonesha mchango wa Tanzania katika kuendeleza mifumo ya ufuatiliaji na tathmini inayosaidia kuboresha utendaji wa Serikali, kuimarisha uwajibikaji na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa mipango na programu za maendeleo. Katika hatua nyingine, Bi. Mwinyimkuu amemkabidhi Dkt. Yonazi tuzo ya uongozi bora katika kuendeleza ufuatiliaji, tathmini na ujifunzaji nchini Tanzania. Tuzo hiyo ilitolewa wakati wa Kongamano la Tano la Wiki ya Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza (MEL) 2026, lililofanyika jijini Arusha. Tuzo hizo ni sehemu ya utambuzi wa mchango wa Tanzania na uongozi katika kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji, tathmini na ujifunzaji, ambayo ni muhimu katika kupima matokeo ya utekelezaji wa mipango ya Serikali, kubaini changamoto na kuweka mikakati ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Mon, 02 Nov 2026 15:42:28 +0000AFCON 2027 YACHOCHEA MAPINDUZI YA HUDUMA ZA AFYA JKCI
TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Global Medicare, imewekeza zaidi ya Sh bilioni nane katika kuboresha miundombinu, teknolojia na vifaa tiba vya kisasa katika Hospitali ya JKCI-ALMC (Selian ya Mjini), Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya huduma za afya kuelekea mashindano ya AFCON 2027. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge, amesema uwekezaji huo unalenga kuimarisha huduma za dharura, tiba za michezo (Sports Medicine), vifaa vya uchunguzi na huduma za kibingwa na kibobezi. Amesema ushirikiano na Global Medicare umechangia maboresho ya miundombinu na teknolojia, huku baadhi ya vifaa vipya vikiwa katika hatua za kuwasili na kufungwa hospitalini hapo. Dkt. Kisenge amesema uwekezaji huo unahusisha ukarabati wa miundombinu, ununuzi wa vifaa tiba, kuimarisha huduma za mifupa na kuandaa vyumba maalumu vya VIP vinavyoweza kubadilishwa kuwa vyumba vya wagonjwa mahututi (ICU) kulingana na mahitaji. Amesema lengo jingine ni kuifanya hospitali hiyo kuwa Smart Hospital, ambapo teknolojia itatumika katika usajili wa wagonjwa, vipimo na ufuatiliaji wa hali zao, huku madaktari wakisaidiwa na mifumo ya kompyuta yenye akili unde (Artificial Intelligence). Aidha, hospitali hiyo inatarajia kuongezewa vifaa vya kisasa vya MRI, CT Scan na Cardiac Catheterization Laboratory (Cath Lab) kwa ajili ya kuimarisha uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali, hususan ya moyo. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Hospitali ya JKCI-ALMC, Dkt. Tatizo Waane, amesema hospitali hiyo imejiandaa kutoa huduma kwa wananchi, wachezaji na wageni watakaofika Arusha wakati wa mashindano ya AFCON 2027. Amesema hospitali imeimarisha huduma za dharura na wodi, pamoja na kuandaa maeneo maalumu kwa ajili ya kuhudumia wanamichezo watakaopata majeraha ya mifupa, viungo, ubongo na mishipa ya fahamu. Dkt. Waane amesema hospitali hiyo tayari inatoa huduma za kibingwa katika magonjwa ya moyo, upasuaji wa ubongo, mifupa, tumbo, watoto, macho na masikio, pamoja na magonjwa ya ndani. Ameongeza kuwa hospitali hiyo pia inatoa huduma kwa watoto chini ya miaka 18, watoto wachanga na njiti, huku ikiwa na maabara na vifaa mbalimbali vya uchunguzi.
Mon, 02 Nov 2026 15:44:42 +0000Former TV host Regina Re detained over mother's murder
A court has allowed police to detain former quiz show host Regina Wambui Gitau and three relatives for 10 days as investigators probe her mother's killing in Loresho, Nairobi.
Mon, 02 Nov 2026 17:57:28 +0300Somalia faces test of sustaining state-building gains as UN political mission closes
Latest · Africa
RecentlyWANAWAKE WAPEWE NGUVU YA MAAMUZI KULINDA AMANI MAZIWA MAKUU – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, amezitaka nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu kuwapa wanawake nafasi yenye ushawishi katika maamuzi, mazungumzo ya amani na utatuzi wa migogoro, huku akisisitiza maazimio yaambatane na hatua zinazotekelezeka na kupimika. Ametoa wito huo alipomwakilisha Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufungua Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Wabunge Wanawake wa Ukanda wa Maziwa Makuu, unaofanyika Novemba 2–5, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam. Mhe. Ndejembi amesema wanawake ni viongozi, wapatanishi na wajenzi wa amani, hivyo ni muhimu kuondoa mila kandamizi, ubaguzi na vikwazo vya kiuchumi vinavyopunguza ushiriki wao. Amesisitiza kuwa Tanzania inaendelea kuwawezesha wanawake kupitia fursa za uongozi, elimu, masoko, mitaji na mikopo yenye masharti nafuu. Rais wa Jukwaa la Mabunge la Ukanda huo na Spika wa Bunge la Angola, Adão de Almeida, amesisitiza ushiriki kamili wa wanawake katika kujenga amani ya kudumu. Kwa upande wake, mwenyeji wa mkutano, Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametaka mahitaji ya wanawake na wasichana yazingatiwe katika sheria, sera na bajeti. Mkutano huo unahudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwamo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Judith Suminwa Tuluka; Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Huang Xia; Dkt. Gertrude Mongella na Spika mstaafu Anne Makinda. Pia unawakutanisha maspika, wabunge, mawaziri, mabalozi, wawakilishi wa mashirika ya kimataifa, washirika wa maendeleo na asasi za kiraia. Kauli mbiu ya mkutano ni “Ukanda wa Maziwa Makuu Wenye Amani na Maendeleo.”
Mon, 02 Nov 2026 10:09:42 +0000Muteti summons IG Kanja after State fails to produce missing Tanzanian activist
Latest · Africa
RecentlyDC ARUMERU AUNGANA NA NABII Prof. GEORDAVIE KUPAMBANA NA UKATILI
Na. Vero Ignatus, Michuzi Tv- Arusha Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira, amelitaka Kanisa la Ngurumo ya Upako kushirikiana na Serikali pamoja na wadau wengine katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia, hususan vinavyoelekezwa kwa wanawake na watoto wilayani hapo huku akisisitiza kuwa jukumu hilo ni la kila mwanajamii. Lugangira ametoa wito huo Novemba 1, 2026, wakati akitoa salamu za Serikali katika Ibada Maalum ya awamu ya kwanza ya ujenzi wa madhabahu iliyofanyika katika Kanisa la Ngurumo ya Upako, Chuo Kikuu cha Manabii, lililopo Kisongo wilayani Arumeru, Arusha. Katika salamu zake, Lugangira amesema Serikali inatambua mchango wa Nabii Mkuu Prof. Geordavie katika jamii, akibainisha kuwa huduma zake zimevuka mipaka ya nchi na kuchangia pia katika kukuza sekta ya utalii kutokana na wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaofika nchini kwa ajili ya ibada zake. "Kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan, tunatambua kazi kubwa anayofanya Nabii Mkuu, kazi yake imevuka mipaka mpaka kwenye utalii, maana wageni wengi wanakuja nchini kwa ajili ya ibada zake," amesema Lugangira. Amesisitiza kuwa mapambano dhidi ya ukatili yanahitaji ushirikiano wa viongozi wa dini, Serikali na jamii kwa ujumla, huku akilitaka kanisa kushiriki pia katika juhudi za kutangaza utalii na michuano ya AFCON. Kwa upande wake, Nabii Mkuu Prof. Geordavie ameahidi kuendelea kushirikiana na viongozi wa Serikali katika shughuli mbalimbali zinazolenga kuleta maendeleo na ustawi wa jamii, akieleza kuwa kanisa litaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali. Ametoa ahadi hiyo baada ya kupokea salamu za Rais na pongezi kutoka kwa viongozi wa Serikali waliohudhuria ibada hiyo, huku akimshukuru Mkuu wa Wilaya ya Arumeru kwa ushirikiano na nidhamu aliyoonyesha kwa watumishi wa Mungu. Naye Mbunge wa Arumeru Magharibi, Dkt. Johannes Lukumai, ameishukuru Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua za kusamehe madeni ya baadhi ya taasisi za dini na kupunguza kodi kwa mashirika ya dini, akisema hatua hizo zimeleta faraja kwa wananchi. "Nampongeza Nabii Mkuu kwa kazi kubwa anayofanya hapa nchini na duniani. Hakuna kitu muhimu kama amani, naomba uendelee kutangaza amani, kuiombea nchi yetu na kumuombea Rais wetu aendelee kuwa na afya njema," amesema Dkt. Lukumai. Ibada hiyo imehudhuriwa na maelfu ya waumini pamoja na wageni kutoka mataifa mbalimbali, yakiwemo Canada, New Zealand, Afrika Kusini, Chile, Bulgaria, Mexico, Marekani, Poland, Sweden, Denmark, Urusi, Uruguay, Argentina, Korea Kusini, Vietnam na Uganda, jambo linaloonesha mwitikio wa kimataifa wa huduma hiyo.
Mon, 02 Nov 2026 15:33:22 +0000Hali ya hewa itakavyokuwa kwa siku 10
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri vipindi vya mvua vinavyoambatana na ngurumo za radi katika baadhi ya maeneo ya Kanda ya Ziwa na magharibi mwa nchi, huku maeneo ya Pwani ya...
RecentlyKipngetich retires from Jubilee Holdings after 9 years
Read the full report from the original source.
RecentlyDes barricades pour l’engrais, la révolte des paysans
La distribution des engrais organo-minéraux de la société Fomi ravive les tensions et le désarroi chez les agriculteurs. Entre files d’attente, quotas jugés dérisoires et hantise de pénuries passées, des agriculteurs désespèrent. Certains, notamment ceux de Matongo, manifestent leur colère dans la rue.
Mon, 02 Nov 2026 15:26:25 +0000Ichung’wah dismisses Rigathi’s three-region alliance
The Majority Leader says Mt Kenya cannot win a presidential election on its own, urging the region to build alliances with other communities
RecentlyPanic Grips Corrupt Officials as Anti-Corruption Crusader Balam Plans Lango Region Tour
Read the full report from the original source.
RecentlyWorld Bank, UN to fund Sh10bn KenGen battery storage facilities
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 464 of 1163 · 23249 stories