Search the region
23252 stories
DPP secures Ksh21M fines, 13-year sentence against Waititu in money laundering case
The Director of Public Prosecutions (DPP) has secured fines totalling Ksh 21 million against former Kiambu Governor Ferdinand Waititu in a money laundering case involving Ksh 25.6 million, with default…
RecentlySamia sends condolences to families of three students killed in Arusha
Read the full report from the original source.
RecentlySuisse : sept mille signatures contre le renvoi des demandeurs d’asile burundais
Read the full report from the original source.
RecentlyWami/ Ruvu wajenga mabirika kunyweshea mifugo kuimarisha uhifadhi vyanzo vya maji
Read the full report from the original source.
RecentlyWabunge waibana Serikali upotevu, uhaba wa maji
Read the full report from the original source.
RecentlyUPDF Troops Begin Withdrawing from Somalia After 20 Years
Read the full report from the original source.
RecentlyJuicyway pitches connected capital markets to finance African growth
Read the full report from the original source.
RecentlyWatendaji uchaguzi watakiwa wasisitizwa uadilifu
Read the full report from the original source.
RecentlyBONANZA LA MAHAKAMA
Azam TV
2026-11-02T13:43:57+00:00Alute Lissu, Veteran Constitutional Lawyer and Tundu Lissu’s Brother, Dies After Long Illness
Read the full report from the original source.
RecentlySerikali kuajiri walimu, waliokaa mtaani kipaumbele
Amesema kutokana na mahitaji hayo, Serikali imekuwa ikiendelea kuajiri walimu kila mwaka ili kupunguza upungufu huo.
RecentlyArmed UPDF and Military Police Flood Kampala Streets as Security Concerns Emerge Amid Muhoozi-Elwelu Tensions
Read the full report from the original source.
RecentlyUNEB Warns Against Exam Malpractice as 920,833 Candidates Begin PLE
Read the full report from the original source.
RecentlyORCI yasogeza huduma za uchunguzi wa saratani kwa wanawake katika mkutano wa kimataifa
Read the full report from the original source.
RecentlyNBAA calls on candidates to prepare adequately for its November 2026 exams
DODOMA: THE candidates sitting for the November 2026 examinations of the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) have been…
RecentlyIGP, DCI kikaangoni sakata la Mwaipaya kutekwa
Read the full report from the original source.
RecentlyCoca-Cola Rewards 26 University Content Creators in Student Campaign
Read the full report from the original source.
RecentlyHow US man Kimani used fake papers to defraud banks
Kimani Bracey operated websites selling counterfeit financial and employment records used in fraudulent loan applications
RecentlyDC KIBAHA AIFUNGIA KATOROSIA SEKONDARI KWA KUKIUKA MAAGIZO YA SERIKALI
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha MWENYEKITI wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kibaha, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Fadhil Emmanuel Nkurlu, ameifungia shule binafsi ya sekondari ya Katorosia, iliyopo Kata ya Pangani mkoani Pwani, kutokana na kukosa vigezo vinavyotakiwa pamoja na kukaidi maagizo ya serikali yaliyotolewa Julai 25, 2025. Shule hiyo ilielekezwa kufungwa kutokana na mazingira hatarishi na yasiyoridhisha kwa wanafunzi kuishi, ikiwemo hali mbaya ya mabweni, uchafu wa vyoo na maeneo ya kulala, vitanda vibovu pamoja na majengo chakavu. Aidha, shule hiyo iliyosajiliwa kutoa elimu ya kutwa, imebainika kuwa mmiliki alikuwa akilaza wanafunzi shuleni, huku wanafunzi wa kike na wa kiume wakilala katika mabweni yaliyotajwa kutokuwa na mazingira salama na yanayokidhi mahitaji ya wanafunzi. Nkurlu alifanya ziara ya kufunga shule hiyo November 2,2026 akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya pamoja na maofisa Idara ya Elimu Sekondari ya Manispaa ya Kibaha. Akizungumza wakati wa hatua hiyo, Nkurlu alisema shule hiyo imekiuka na kukaidi maagizo ya serikali pamoja na maelekezo ya Udhibiti Ubora wa Shule, licha ya kupewa muda wa kufanya marekebisho. Alisema maagizo hayo si mapya wala ya dharura, hivyo mmiliki alipaswa kuyatekeleza na kuhakikisha wanafunzi hawaendelei kuwepo shuleni. Aliongeza kuwa kufungwa kwa shule hiyo ni salamu kwa wamiliki wengine wa shule wanaokiuka taratibu, miongozo na maelekezo ya sekta ya elimu, akisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya hivyo. Kwa upande wake, Ofisa Elimu Sekondari wa Manispaa ya Kibaha , Theresia Charles alisema shule hiyo ilisimamishwa usajili mwaka 2025 kutokana na kukosa sifa za kudahili wanafunzi. Alisema pia shule hiyo imekuwa na changamoto za utoaji wa elimu, ikiwemo walimu kutotoa majaribio ya mitihani na kutofundisha wanafunzi ipasavyo. Alieleza kuwa madai ya mmiliki kuwa shule imefungwa tangu Ijumaa iliyopita hayana msingi, kwa kuwa shule nyingine hazijafungwa na hakuna sababu ya shule hiyo kusitisha shughuli zake kabla ya muda. Naye Mtendaji wa Mtaa wa Mtakuja, Evena Michael, alisema mmiliki wa shule hiyo amekuwa mkaidi, akieleza kuwa licha ya viongozi kutoa maelekezo, alikuwa akiendelea na shughuli zake mara baada ya viongozi kuondoka. Alisema mazingira ya shule hiyo hayakuwa salama kwa wanafunzi kusomea na kuishi, hivyo hatua ya kuifunga ilikuwa muhimu kwa ajili ya kulinda usalama na afya za wanafunzi. Kwa upande wake, mmiliki wa shule hiyo, Emalieza Sekwao Chilemeji, alisema shule hiyo ilianza mwaka 2013 na kusajiliwa kama shule ya kutwa, huku akikiri kukiuka maagizo ya serikali kuhusu mazingira ya shule na afya za wanafunzi, pamoja na kuigeuza kuwa shule ya bweni. Chilemeji alisema amepokea maagizo yaliyotolewa na serikali na kuahidi kutoruhusu mwanafunzi yeyote kuendelea kuwepo shuleni kuanzia sasa.
Mon, 02 Nov 2026 13:35:25 +0000COMESA partners seek stronger geospatial planning to accelerate electricity access in Africa
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 467 of 1163 · 23252 stories