Search the region
23337 stories
Do not let social media raise children
DAR ES SALAAM: CHILDREN’S safety must not be sacrificed at the altar of technological convenience. As social media becomes increasingly…
RecentlyUkweli wa mgogoro Simba
Soma zaidi hapa
RecentlyDar seeks gains from women’s conference
Read the full report from the original source.
RecentlyGovernment Launches E-Waste Collection Campaign, Plans Cleanliness Competitions
Read the full report from the original source.
RecentlyAkii-Bua Stadium Reaches 84.5% Completion Ahead of AFCON 2027
Read the full report from the original source.
RecentlyUkweli wa mgogoro wa Simba
Soma zaidi hapa
RecentlyNo, thank you! Kalonzo says on joining government
Kalonzo dismissed reports suggesting that he was being sought to join the government, insisting that he would remain in the opposition.
RecentlyIT’S TIME! How Mariah Carey Turned Nov 1 Into A Global Pop Culture Phenomenon
Entertainment · 5 hours ago
RecentlyGachagua: There is no rift between me and Uhuru
Latest · News
Recently129 years of Juventus: legacy that continues
ON November 1, 2026, Juventus will celebrate their 129th anniversary by facing Napoli, one of their fiercest rivals in Italian…
RecentlyTRADE EXPANSION: Tanzania eyes new export markets
Read the full report from the original source.
RecentlySimba, Yanga kwenye mtego wa panya
Soma zaidi hapa
RecentlyMTN, CBS partners to promote Buganda heritage, business
MTN Uganda and Central Broadcasting Service (CBS FM) have signed a three-year partnership aimed at promoting cultural participation, audience engagement and business opportunities within communities.…
RecentlyArusha to host 300 climate scientists as El Niño raises concerns over extreme weather in Tanzania
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice arrest five suspected of stealing phones during ODM Jacaranda rally
Read the full report from the original source.
RecentlyNyong’o vows to guard Baby Pendo Park from grabbers
Nyong’o said the county would not surrender the approximately 3.4-acre public facility, which was transformed from a dumpsite into a recreational park
RecentlyMADIWANI SIMANJIRO KUFUATILIA MAPATO YA MADINI
Na Mwandishi Wetu, Simanjiro MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, wameazimia kufuatilia kwa karibu mapato yatokanayo na shughuli za uchimbaji wa madini ili kuhakikisha yanachangia ipasavyo maendeleo ya wilaya hiyo. Azimio hilo limefikiwa katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika makao makuu ya wilaya hiyo, yaliyopo Orkesumet. Katika kikao hicho, madiwani wamemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo kuiwezesha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango kukutana na Afisa Madini Mkazi wa Mirerani (RMO), George Kaseza, kwa lengo la kupata taarifa sahihi kuhusu mapato yatokanayo na madini ya graphite na madini mengine. Diwani wa Kata ya Ngorika, Albert Msole, amesema kuwa mbali na kufuatilia mapato hayo, madiwani wanataka kuhakikisha kampuni za uchimbaji madini zinatimiza wajibu wao wa uwajibikaji kwa jamii (CSR) kwa kuchangia shughuli za maendeleo katika wilaya hiyo. Msole amesisitiza kuwa kampuni zinazoshindwa kutekeleza wajibu huo zinapaswa kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria na taratibu zinazotawala sekta ya madini. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Kaleya Melita Mollel, amesema suala la uwajibikaji kwa jamii kwa kampuni za uchimbaji madini linapaswa kupewa kipaumbele ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali zilizopo katika maeneo yao. "Tutakwenda kwa RMO Mirerani na kupatiwa taarifa sahihi za mapato yatokanayo na graphite na madini mengine ili kufuatilia uwajibikaji kwa jamii kwa wachimbaji," amesema Mollel.
Sun, 01 Nov 2026 13:20:24 +0000CS Ruku, MP Barasa and comedian Eric Omondi scoop awards
Read the full report from the original source.
RecentlyDPR Korea: Isolation deepens even as the country changes, says UN rights official
Read the full report from the original source.
RecentlyWAZIRI MKUU AAGIZA MPANGO WA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI KATIKA ELIMU
▪️︎ Asema Serikali inathamini mchango wa taasisi za dini katika maendeleo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, kuandaa mpango wa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na taasisi za dini katika elimu, kwa kuzingatia uzoefu wa ushirikiano uliopo katika sekta ya afya. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumapili, Novemba 1, 2026), wakati akimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya uzinduzi wa nyumba mpya ya ibada ya Bethel ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nshara, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro. “Mheshimiwa Waziri, utaenda ukae na wenzako. Kaa na Waziri wa Afya,” amesema. Dkt. Mwigulu ameelekeza wataalamu wa wizara hizo kuangalia namna ya kuimarisha ushirikiano katika elimu na kuandaa mpango utakaowasilishwa kwa Mheshimiwa Rais kwa ajili ya kupata ridhaa ya Serikali. Maelekezo hayo yamefuatia maelezo kuhusu ujenzi wa kampasi ya Machame ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo), kinachomilikiwa na KKKT, Dayosisi ya Kaskazini, pamoja na ombi la kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Kanisa katika kutoa elimu. Akifikisha salamu za Mheshimiwa Rais, Waziri Mkuu amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa taasisi za dini katika maendeleo ya Taifa na itaendelea kushirikiana nazo katika kutoa huduma kwa wananchi. Amesema historia ya maendeleo ya Tanzania haiwezi kutenganishwa na mchango wa Kanisa, hususan katika elimu na afya, ambako taasisi za dini zimekuwa zikihudumia wananchi bila kujali imani zao. “Hauwezi ukayataja maendeleo ya nchi yetu hii kwa ustadi wowote ule bila kutaja mchango wa Kanisa,” amesema. Dkt. Mwigulu amewapongeza washarika wa Nshara, viongozi wa Kanisa, kamati ya ujenzi na wadau wote waliofanikisha ujenzi wa nyumba hiyo ya ibada, akisema wamefanya kazi kubwa inayostahili kupongezwa. Kuhusu mazingira, Waziri Mkuu amehimiza wananchi kuchukulia kwa uzito utunzaji wa miti na athari za mabadiliko ya tabianchi. Amemwelekeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, kufuatilia hoja ya ukataji miti iliyowasilishwa katika ibada hiyo, kwa kushirikiana na viongozi na wadau husika. Aidha, amemwelekeza Mkuu wa Mkoa kufanyia kazi ombi la kufungwa taa za barabarani katika eneo la kanisa na kufuatilia hoja za miundombinu zilizowasilishwa na Mbunge wa Hai. Kwa upande wake, Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, amewapongeza washarika na wadau waliofanikisha ujenzi huo, huku akisisitiza umuhimu wa malezi bora, mazungumzo katika familia na upatanishi katika jamii. Naye Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo, ameomba ushirikiano wa Serikali na Kanisa katika elimu na afya uendelezwe. Amesema uzoefu huo ni msingi wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), unaolenga kutoa huduma kwa wananchi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Ujenzi, Mjumbe wa Kamati hiyo, Freeman Mbowe, amesema wananchi walitenga eneo la ekari 50 kwa ajili ya maendeleo ya elimu na kulikabidhi kwa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini. Ameeleza matarajio yao ya kuona chuo hicho kinatoa elimu bora inayozingatia sayansi na teknolojia. Kwa mujibu wa risala ya Usharika wa Nshara, nyumba hiyo ya ibada imejengwa kwa zaidi ya miaka kumi kwa gharama zinazokadiriwa kufikia Sh. bilioni 6.5 na ina uwezo wa kuketisha waumini 2,000 kwa ibada. Ibada ya uzinduzi na kubariki nyumba hiyo imeongozwa na Askofu Dkt. Shoo, huku Askofu Dkt. Malasusa akitoa mahubiri.
Sun, 01 Nov 2026 13:01:55 +0000Page 494 of 1167 · 23337 stories