Search the region
23337 stories
FAHIM MUYINGO: African Youth Day 2026: Reflecting, Reimagining and Repositioning The African Youth Charter- A Call to Action for a More Empowered African Generation
Every 1st of November, Africa celebrates African Youth Day, a moment to recognise the energy, creativity, resilience and immense potential of its young population. It is also an opportunity to…
RecentlyBalaam Barugahara Likens Himself to John the Baptist After Securing Continental Award
Nairobi/Kampala – Uganda’s Minister of Local Government, Hon. Balaam Barugahara Ateenyi, has framed his recent continental recognition through biblical humility, drawing parallels between his leadership journey and that
RecentlyIran designates Britain's navy as "terrorist, hostile"
The decision, effective Sunday, was based on a resolution adopted by Iran's Supreme National Security Council, the ministry said in a statement
RecentlyMbowe challenges Mwigulu over Hai development projects as Malasusa calls for reconciliation
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania to transform Arusha city in Sh64.5 billion plan ahead of AFCON
Read the full report from the original source.
RecentlyNHC unveils Sh64.5bn plan to transform Arusha city centre ahead of AFCON 2027
Read the full report from the original source.
RecentlyBurundi / Génocide contre les Hutu de 1972-1973 : le président Ndayishimiye blesse les Barundi
Le président Ndayishimiye (CNDD-FDD) refuse de signer un décret de reconnaissance du génocide contre les Hutu du Burundi en 1972-1973, pourtant reconnu par le Parlement depuis 2024. Bujumbura, 21/10/2026 (BdiAgnews) — Les Hutu au Burundi, au sein de l’Ubumu, soit l’Économie-Tambour (le...
Sun, 01 Nov 2026 12:38:55 +0000LONDO AWAAGA KUNDI LA TISA LA TANZANIA KUELEKEA CHINA MAONESHO YA CIIE 2026
📌 Awaasa kutumia fursa za maonesho hayo kufungua masoko, uwekezani na teknolojia; 📌 Tanzania kutangaza bidhaa za kilimo, madini, uvuvi na utalii nchini China; DAR ES SALAAM Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb), amelitaka kundi la Tanzania litakaloshiriki Maonesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (9th China International Import Expo – CIIE) kutumia jukwaa hilo kutafuta fursa za masoko, kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kuvutia uwekezaji wenye tija kwa uchumi wa Taifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga washiriki hao iliyofanyika katika Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China jijini Dar es Salaam, Mhe. Londo amesema ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo ni fursa muhimu ya kuitangaza nchi kimataifa, kuonesha maendeleo yaliyofikiwa katika uzalishaji wa bidhaa zenye ubora na kuimarisha nafasi ya Tanzania katika biashara ya kimataifa. Amesema Maonesho ya 9 ya CIIE yanayotarajiwa kufanyika Novemba 5 hadi 10, 2026, jijini Shanghai, China, yatatoa fursa kwa Tanzania kushiriki katika maonesho ya nchi, biashara na kampuni, pamoja na vikao vya kuunganisha wafanyabiashara, majukwaa ya uwekezaji na shughuli za kubadilishana uzoefu. Kupitia jukwaa hilo,. Tanzania inalenga kutangaza mazingira wezeshi ya uwekezaji yanayojengwa na amani, utulivu na nafasi yake ya kimkakati kama kitovu cha biashara kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati na kuongeza kuwa itatumia maonesho hayo kutangaza bidhaa zake zikiwemo kahawa, chai, korosho na viungo, pamoja na fursa zilizopo katika sekta za madini, uvuvi na utalii, Aidha Mhe Londo alisema kuwa soko la China lenye zaidi ya watumiaji bilioni 1.4 lina fursa kwa bidhaa bora zinazozalishwa nchini, hivyo ni muhimu kwa washiriki kutumia muda huo kuanzisha mawasiliano na wanunuzi na wawekezaji wa kimataifa. Akitoa maelekezo kwa wajumbe wa kundi hilo kushiriki kikamilifu katika mikutano ya kibiashara kati ya kampuni na kampuni (B2B), kujenga mahusiano na wanunuzi na wawekezaji, pamoja na kuhakikisha wanawasilisha bidhaa za Tanzania kwa weledi, ubora na uadilifu na amewahimiza kutumia maonesho hayo kujifunza teknolojia za kisasa za uchakataji, viwango vya vifungashio na usimamizi wa mnyororo wa ugavi ili kuongeza thamani ya malighafi zinazozalishwa nchini. Mhe. Londo ameishukuru Serikali ya China kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania kwa ushirikiano na msaada uliotolewa katika maandalizi na usajili wa kundi hilo ma kusema kuwa ushirikiano huo unaonesha namna uhusiano wa kihistoria na kimkakati kati ya Tanzania na China unavyoendelea kuimarisha biashara, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizo mbili. Ameongeza kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na China katika kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kibiashara, huku akiwataka wajumbe wa delegesheni hiyo kurejea na matokeo yatakayochochea mikataba ya kibiashara, ushirikiano mpya wa uwekezaji na fursa za ajira kwa Watanzania.
Sun, 01 Nov 2026 12:37:52 +0000Build for Nigeria’s worst day, says OPay COO Dotun Adekunle
Read the full report from the original source.
RecentlyOld Mutual rewards top agents for retaining Shs 12.36bn in investments
Old Mutual Investment Group (OMIG) has rewarded 16 agents and 10 units for their contribution to customer retention, investment mobilisation and financial literacy during the…
RecentlyBayern, Ajax to field senior teams in Nairobi stadium opening match
News · Quick read
RecentlyGachagua warns Ruto allies against poaching Kalonzo
Latest · News
RecentlyTFS YASHIRIKI JUKWAA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA BANDARI NA USAFIRISHAJI
Na Mwandishi Wetu. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeshiriki Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Bandari na Usafirishaji (PMAESA Ports and Maritime Investment Forum & Exhibition 2026), uliofanyika kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026, katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam. Ushiriki wa TFS katika mkutano huo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha mifumo ya ukaguzi wa mizigo bandarini, udhibiti wa shehena zinazopita nchini kwenda nchi nyingine (Transit Cargo) na utekelezaji wa mikataba ya kimataifa inayohusu biashara ya rasilimali za misitu, ikiwemo Mkataba wa Kimataifa wa Biashara ya Wanyama na Mimea Pori iliyo Hatarini Kutoweka (CITES). Akizungumza katika mkutano huo, Afisa Uhifadhi Mkuu (SCO), Reuben Magandi, aliyewakilisha TFS, alisema wakala huo utatumia fursa na maarifa yaliyopatikana kuboresha mifumo ya usimamizi na udhibiti wa shehena za mazao ya misitu zinazopitia katika bandari za Tanzania. Mkutano huo uliandaliwa na Jumuiya ya Usimamizi wa Bandari za Afrika Mashariki na Kusini (PMAESA) na kuwakutanisha wawakilishi wa wizara, taasisi zinazotoa huduma bandarini na mipakani, mawakala wa forodha, wadau wa sekta ya usafirishaji pamoja na nchi wanachama. Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni uwekezaji katika miundombinu ya bandari, matumizi ya teknolojia za kisasa, kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa mizigo, biashara endelevu na kuimarisha ushirikiano wa kikanda. Aidha, washiriki walijadili fursa za uwekezaji katika miundombinu ya usafirishaji, ikiwemo barabara zinazounganisha nchi wanachama, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wa mizigo, kupunguza ucheleweshaji na kuboresha utoaji wa huduma katika minyororo ya biashara ya kikanda na kimataifa. Mkutano huo ulihusisha nchi na maeneo wanachama wa PMAESA, zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Afrika Kusini, Angola, Botswana, Burundi, Comoros, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Djibouti, Ethiopia, Eswatini, Malawi, Msumbiji, Namibia, Zambia na Zimbabwe, miongoni mwa nyingine.
Sun, 01 Nov 2026 12:28:57 +0000MASHIRIKA YA KIJAMII YATAKIWA KUONGEZA NGUVU KATIKA UWEZESHAJI WA WANAWAKE, MALEZI NA MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI
Taasisi za kijamii zimehimizwa kuongeza juhudi za kuwawezesha wanawake na vijana kiuchumi na kielimu sambamba na kuimarisha mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili ili jamii iache kuvificha badala yake itoe taarifa kwa mamlaka zinazohusika kwa hatua zaidi za kisheria. Wito huo umetolewa na mwanahabari mkongwe Bi Idda Mushi, aliyekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa Shirika la Wanawake Katika Elimu (SWE), yaliyofanywa mjini Morogoro kwa ushirikiano na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Kanda ya Mashariki. Idda Mushi, mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 25 katika tasnia ya habari ambaye pia ni Mwenyekiti wa bodi ya Uongozi wa Shirika lisilo la kiserikali linalohusika na malezi ya watoto wenye uhitaji la Kulea Childcare International, Tawi la Tanzania, amesema vitendo vya ukatili wa kijinsia, ukatili dhidi ya watoto na watu wenye ulemavu havipaswi kufichwa kwa sababu ya hofu, aibu au kulinda mahusiano. Amesema jamii inapaswa kutambua kuwa kupinga ukatili ni jukumu la kila mtu, likiwahusisha majirani, wazazi, viongozi wa mitaa na vijiji, viongozi wa kata pamoja na viongozi wa dini. Ameeleza kuwa kunyamazia matukio hayo kunaweza kuongeza madhara kwa waathirika, hivyo amewataka wanaokumbana na vitendo vya ukatili au wanaovishuhudia kutoa taarifa kupitia Dawati la Jinsia na Watoto la Jeshi la Polisi na mifumo mingine ya mamlaka husika. Amesisitiza kuwa jamii inapaswa kuwa sehemu ya ulinzi wa watoto, wanawake na watu wenye ulemavu kwa kuhakikisha waathirika hawatelekezwi wala kunyimwa nafasi ya kupata msaada. Akizungumza katika maadhimisho hayo, mwakilishi wa Jeshi la Polisi, Sajini Sajini Aziza Itonye, kutoka Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto, Manispaa ya Morogoro, amesema dawati hilo limekuwa likipokea zaidi ya matukio 20 kwa siku yanayohusishwa na vitendo vya ukatili. Itonye ametaja matukio ya ubakaji na vipigo kuwa miongoni mwa vitendo vinavyoripotiwa, akisema jamii inapaswa kuendelea kuelimishwa kuhusu namna ya kukabiliana na vitendo hivyo. Amesisitiza umuhimu wa wananchi kuelewa kuwa taarifa za matukio ya ukatili zinapaswa kufikishwa kwenye mamlaka zinazohusika ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa. Katika maelezo yake, Idda Mushi pia amehusisha mapambano dhidi ya ukatili na umuhimu wa malezi bora, akisema elimu ya mtoto haipaswi kuishia kwenye masomo ya darasani pekee, bali inapaswa kuambatana na maadili, heshima na uwajibikaji. Amesema baadhi ya kauli za matusi na vitisho zinazoonekana kwenye mitandao ya kijamii zikifanywa na baadhi ya mabinti wadogo zinapaswa kupokewa kama changamoto kwa wazazi, walezi na jamii kutafakari nafasi yao katika malezi. Hata hivyo, amesisitiza kuwa si sahihi kuwahukumu vijana wote kutokana na matendo ya baadhi yao, bali ni muhimu kutambua wajibu wa kuwaongoza na kuwajengea misingi mizuri ya maisha. Amesema malezi ni jukumu la baba na mama kwa pamoja, likihitaji pia ushiriki wa walimu, viongozi wa dini na jamii kwa ujumla. Mbali na masuala ya malezi na ukatili, Mushi ameyataka mashirika ya kijamii kuweka malengo yanayopimika na kuyatekeleza kwa vitendo ili kuchangia juhudi za Taifa kufikia Dira ya Maendeleo 2050. Amesema malengo ya SWE ya kuwawezesha wanawake, wasichana na vijana kupitia elimu, ujasiriamali, ujuzi wa kidijitali na ubunifu yana uhusiano na matarajio ya maendeleo ya Taifa kuelekea mwaka 2050. Ameeleza kuwa taasisi kama SWE zina nafasi ya kuchangia katika safari hiyo kwa kuandaa programu zinazowajengea wananchi uwezo wa kujitegemea, kushiriki katika shughuli za kiuchumi na kutumia maarifa kutatua changamoto zinazowazunguka. Hata hivyo, amesisitiza kuwa kuwa na malengo mazuri kwenye maandishi pekee hakutoshi, bali shirika hilo linapaswa kuweka viashiria vya kupima mafanikio yake, ikiwemo idadi ya wanawake na vijana wanaopata mafunzo, wanaoanzisha shughuli za kiuchumi na wanaonufaika na programu zake. Kwa upande wake, mwanzilishi wa Shirika la Wanawake Katika Elimu, George Lukoa, amesema shirika hilo limekuwa likipambana kusaidia wanawake na wasichana kujikimu kiuchumi sambamba na kuwapatia elimu katika maeneo mbalimbali. Amesema programu za shirika hilo zinahusisha elimu ya ujasiriamali, ubunifu, stadi za kidijitali, ulinzi wa mtoto, uongozi na utawala bora, na kwamba hadi sasa limefikia zaidi ya wanawake 5,000. Lukoa amesema SWE ilianza shughuli zake mwaka 2013 ikiwa na dhamira ya kukuza elimu, uwezeshaji wa wanawake na maendeleo ya jamii. Maadhimisho hayo yamefanyika kwa ushirikiano wa pamoja na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro pamoja na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Kanda ya Mashariki, yakilenga pia kuangazia nafasi ya elimu, uwezeshaji na ushiriki wa jamii katika kuboresha maisha ya wanawake, watoto na vijana.
Sun, 01 Nov 2026 12:26:05 +0000Malala renews push for Kalonzo to back Sifuna's bid
DCP deputy leader insists Nairobi Senator Edwin Sifuna represents generational change and urges Kalonzo Musyoka to support his presidential bid
RecentlyLema: Alute and Tundu Lissu court battle never broke their brotherhood
Read the full report from the original source.
RecentlyGachagua dismisses Uhuru reconciliation calls, says 'we are one team'
Former Deputy President Rigathi Gachagua has dismissed calls for mediation between him and former President Uhuru Kenyatta.
Sun, 01 Nov 2026 14:51:43 +0300How to care for your baby's ear infection
Parents may be advised to monitor symptoms for 48 to 72 hours, while tracking the baby’s temperature and watching for changes in behaviour.
RecentlyAlima Jaw Jobe : "J'aime bien Uta Abe, mais je veux faire plus qu'elle"
Sélectionnée pour les Jeux olympiques de la jeunesse (JOJ 2026) prévus à Dakar du 31 octobre au 13 novembre, la jeune judokate gambienne Alima Jaw Jobe a l'ambition de remporter la médaille d'or, mais aussi de dépasser s
RecentlyThank you, but please, no! - Kalonzo rejects calls to work with Ruto
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 495 of 1167 · 23337 stories