Unganishwa

Search the region

23342 stories

Uncategorized · Radio Publique Africaine

Suisse : le corps démembré d’un demandeur d’asile burundais retrouvé dans le fleuve Rhin

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Five arrested as police over 582kg of bhang seized in three counties

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Govt engaging Uganda for permanent solution to harassment in Lake Victoria, PS Omollo says.

County News · Quick read

Recently
Uncategorized · Capital FM

Police seize 582kg of cannabis in nationwide crackdown

County News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Sifuna’s Linda Mwananchi takes campaigns to villages following party formation

2027 KENYA ELECTIONS · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Law enforcement agencies tracking exam cheats, Omolo warns

County News · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenya to push Africa’s financial reform agenda at CHOGM 2026

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Judge orders Trump administration to stop threatening US election officials

The ruling comes days before the midterm elections, which will determine which political party controls the US Congress for Trump's last two years

Recently
Uncategorized · Capital FM

New episode of Kandanda House power struggle series in offing as FKF calls for NEC meeting

Latest · football

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MIXX YALENGA KUONGEZA FURSA ZA KIPATO KWA MAWAKALA ZAIDI YA 270,000

-Kampuni yapanga kupanua huduma na kuimarisha matumizi ya huduma za kidijitali ili kusaidia mawakala kukuza biashara zao Mixx Tanzania inapanga kupanua huduma zinazopatikana kupitia mtandao wake wa mawakala zaidi ya 270,000 nchini, ili kuwaongezea fursa za kipato nje ya kamisheni wanazopata kutokana na miamala ya kuweka na kutoa fedha. Mipango hiyo ni sehemu ya dhamira ya kampuni kuimarisha ushirikiano na mawakala wake kwa kupanua fursa za biashara, kuimarisha mawasiliano na kuongeza matumizi ya huduma za kidijitali katika shughuli zao za kila siku. Akizungumza katika hafla ya ‘Mixx Wakala Brunch’ iliyofanyika Dar es Salaam leo iliyoadhimisha miaka 16 ya ushirikiano na mawakala, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx Tanzania, Bw. Louis-Olivier Favot, alisema mtandao huo sasa unawahudumia Watanzania takribani milioni 28. “Tangu enzi za Tigo Pesa hadi leo Mixx, ninyi ndio mmetusaidia kujenga biashara hii. Mnafungua biashara zenu mapema na kufunga usiku, mkiwahudumia wateja kila siku. Mnahakikisha fedha taslimu, salio na chenji vinapatikana, huku jamii ikiendelea kuwaamini,” alisema Favot. Alisema kampuni inapanga kuongeza huduma katika vituo vya mawakala ili kupanua vyanzo vyao vya mapato na kuwawezesha kukidhi mahitaji zaidi ya kifedha ya wateja. “Tunapanga kuongeza huduma kupitia vituo vyenu ili muweze kupata kipato, nje ya kamisheni za kuweka na kutoa fedha,” alisema. Upatikanaji wa fedha taslimu na floti unaendelea kuwa muhimu katika shughuli za mawakala. Upungufu wake unaweza kuwazuia kukamilisha miamala, hivyo kuwakosesha kamisheni na kuwalazimu wateja kutafuta huduma katika vituo vingine. Kupitia huduma ya Bustisha Wakala, iliyoanzishwa kwa kushirikiana na Benki ya KCB Tanzania, zaidi ya mawakala 7,000 tayari wanapata msaada wa kuongeza salio la kuendeshea biashara zao kila siku. Favot aliwahimiza mawakala wengi zaidi kutumia huduma hiyo ili kuimarisha uwezo wao wa kuwahudumia wateja. Kampuni pia iliangazia App ya Mixx Wakala, inayowawezesha mawakala kusimamia miamala na kufuatilia mwenendo wa biashara zao kidigitali kupitia simu. Favot alisema Mixx itaendelea kuboresha huduma zake kwa kuzingatia maoni ya mawakala na kuwasaidia kunufaika zaidi na huduma zinazopatikana. Katika mipango yake kuelekea mwaka 2030, Mixx inalenga kuwawezesha mawakala wengi zaidi kutumia zana za kidijitali kusimamia biashara zao na kuwahudumia wateja wengi zaidi. Aidha, Favot alisema kutakuwa na mikutano ya mara kwa mara kati ya mawakala, yeye mwenyewe na timu ya uongozi wa kampuni. Mikutano hiyo itawapa mawakala nafasi ya kuwasilisha changamoto, kupendekeza maboresho na kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano wao na Mixx. Kampuni pia itakuwa ikipitia mara kwa mara masharti ya biashara na ushirikiano wake na mawakala ili kuhakikisha pande zote zinanufaika na juhudi za mawakala zinatambuliwa ipasavyo. Favot aliwataka mawakala kuendelea kutoa maoni kuhusu uzoefu wao, changamoto wanazokutana nazo katika vituo vyao na huduma zinazohitajika na wateja, ili kusaidia kampuni kuboresha huduma zake. Kwa upande wake, John Mkwizu, wakala wa Mixx anayefanya shughuli zake eneo la Magomeni, Dar es Salaam, alieleza umuhimu wa upatikanaji wa salio na matumizi ya zana za kidijitali katika biashara yake. “Wateja wanatutegemea kupata fedha zao wanapozihitaji. Ninaposhindwa kukamilisha muamala, wanalazimika kutafuta wakala mwingine, nami ninakosa kamisheni. Upatikanaji wa salio la uwakala unaniwezesha kuendelea kuwahudumia, huku App ya Mixx Wakala ikinirahisishia usimamizi wa miamala yangu ya kila siku. “Kama wakala, nataka kutoa huduma za kuaminika, kuwafanya wateja warudi tena na kupata kipato cha kutosha kukuza biashara yangu,” alisema Mkwizu. Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx Tanzania, Louis-Olivier Favot, akizungumza na mawakala wa Mixx (hawapo pichani) wakati wa hafla ya Mixx Wakala Brunch iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Hafla hiyo iliadhimisha miaka 16 ya ushirikiano na mawakala, ambapo kampuni ilitangaza mipango ya kupanua huduma kupitia mtandao wake wa mawakala zaidi ya 270,000 ili kuwaongezea fursa za kipato. Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Njia mbadala za Kidigitali na Usambazaji - Mixx Tanzania, Bw. Innocent Mosha.

Sun, 01 Nov 2026 04:00:00 +0000
Uncategorized · Capital FM

Kabras Sugar boss to take over as new national 15s head coach after Paarwater departure

Latest · Rugby

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WAZIRI MKUU AWASILI KILIMANJARO KWA UZINDUZI WA KANISA LA KKKT NSHARA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Kilimanjaro leo, Jumapili, Novemba 1, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ibada ya uzinduzi wa jengo jipya la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nshara, wilayani Hai. Waziri Mkuu amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu. Baadaye, alipowasili kanisani, amepokelewa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, pamoja na Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo.

Sun, 01 Nov 2026 09:14:44 +0000
National · DW Rwanda

Donald Trump loses allies after elections in Serbia and Brazil

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WALISEMA HAMPATI MBONA KAMPATA NGORONGORO?

Vifijo, nderemo na shangwe zilisikika mara baada ya Emilian Ngatunga na Witness Mshigeni kuhitimisha sherehe za ndoa yao ndani ya hifadhi ya Ngorongoro. Wawili hawa ilikuwa chaguo lao la kipekee kwa ajili ya kuanza safari mpya ya maisha yao ya ndoa kufanya sherehe yao ya harusi katika eneo hili lenye mandhari ya kuvutia ambapo kuliifanya siku yao kuwa ya pekee zaidi, yenye furaha na kumbukumbu zisizosahaulika ambazo watazithamini maisha yao yote. Wakielezea furaha yao, maharusi hao wameonesha kufurahishwa na uamuzi wao wa kuchagua Ngorongoro kuwa sehemu ya kufungia ndoa yao, wakieleza kuwa walipata uzoefu wa kipekee na usioweza kusahaulika. “Kiukweli Ngorongoro ni sehemu ya pekee kuhitimisha harusi, mapenzi yetu yamekuwa moto moto kwa kufika hapa ni raha juu ya raha, mahaba juu ya mahaba”, walisema wapendao hao. Ngorongoro inajulikana sana kutokana na historia yake hasa chimbuko la binadamu wa kale na wengine husema kwamba kutokana na historia yake inawezekana tunda la mti wa kati lililiwa katika eneo hilo.

Sun, 01 Nov 2026 09:05:11 +0000
National · Watchdog Uganda

Government Signs Shs232 Billion Contract for Kabalega Airport Passenger Terminal

Government has signed a Shs232 billion contract with Egypt's SAMCO National Construction Company Ltd for the construction of a passenger terminal at Kabalega International Airport in Hoima District, as Uganda…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

KIWALA CAROLINE TAHIR: Beyond Hon. Balaam’s Anti-Corruption Call: Why District Leaders Must Put Service Above Self

Following the timely and patriotic call by Hon. Balaam Baruhagare to expose and fight corruption in public service, I have taken time to reflect deeply. This is not just a…

Recently
Uncategorized · KBC

Brace for above-average rainfall in November – Kenya Met

KMD warns of possible flash floods, landslides and transport disruptions, with warmer-than-average temperatures forecast across the country.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

FBI says North Korea behind $6 billion crypto theft from Binance

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Kaka wa Tundu Lissu afariki dunia

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Agnes Kagure abandons Nairobi for Nyeri governor’s seat

The KPP leader, who contested the Nairobi governorship in 2022, has begun positioning herself for a fresh political battle in her home county.

Recently

Page 499 of 1168 · 23342 stories