Unganishwa

Search the region

23365 stories

Uncategorized · DW Rwanda

Massive Gen Z protests sweep cities across Germany

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Sifuna rallies opposition leaders to unite against Ruto in 2027

The movement officially opened its new Kwale County office as part of a push to build county-level structures ahead of the 2027 General Election.

Sat, 31 Oct 2026 19:00:00 +0300
Uncategorized · DW Rwanda

Ukraine news: Oleshky evacuees reach Kyiv-held territory

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Chelsea beat Man United, deepen Carrick’s struggles

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Court orders Nairobi Water employee to pay Ksh.7.5M over forged KCSE certificate

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Gov't protests Saudi Arabia's Ebola-related travel restrictions

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

ABDI APONGEZA KASI MAENDELEO MKOANI KATAVI

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar na Mlezi wa Mkoa wa Katavi, Ndg. Abdi Mahamoud Abdi, amewapongeza viongozi wa mkoa huo kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuimarisha maendeleo na kutekeleza maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali. Ndg. Abdi ametoa pongezi hizo leo, Oktoba 31, 2026, alipotembelea mabanda ya Maonesho ya Wiki ya Mwanakatavi 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya Mizengopinda, Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi. Akiwa katika ziara hiyo, Ndg. Abdi amewasilisha salamu kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku akipongeza juhudi za maendeleo zinazotekelezwa katika mikoa mbalimbali nchini, hususan Katavi. Amesema ameridhishwa na namna maonesho hayo yanavyowezesha wananchi kupata huduma mbalimbali, kuwasilisha kero zao kwa wahusika na kupata ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili katika maisha yao ya kijamii na kiuchumi. Aidha, ameupongeza ubunifu wa kuanzishwa kwa Kituo cha Huduma kwa Pamoja (One Stop Center), kinachorahisisha upatikanaji wa huduma za usajili na nyaraka kwa wafanyabiashara kupitia halmashauri. Vilevile, amegusia umuhimu wa ubunifu unaolenga kuboresha maisha ya nyumbani, kuimarisha afya na kudumisha usalama wa mazingira.

Sat, 31 Oct 2026 15:52:08 +0000
Uncategorized · The Standard

Judge declines to bar Sonko from serving as NEDP party leader

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Government urges civil society organisations to safeguard national unity

DAR ES SALAAM: THE government has called on civil society organisations to remain vigilant and avoid being used by individuals,…

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Missing NUP Member Kibalama Was Shot Dead And Buried At SFC Barracks – Kakwenza Confirms

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Kenya seeks review of Saudi travel restrictions over Ebola

The Ministry of Foreign Affairs argues that the travel restrictions imposed by Saudi Arabia could disrupt pilgrimages, employment, education and trade between the two countries.

Recently
Uncategorized · The Standard

ODM demands deputy president's post in return for backing broad-based deal

The leaders who are here, dont we have anyone who is fit to become a Deputy President? he asked.

Sat, 31 Oct 2026 17:31:39 +0300
Uncategorized · CEO East Africa

Absa, Stanbic and dfcu Raise Lending Rates as Uganda Shilling and Inflation Pressures Deepen

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

ODM leaders clash over written deal with Ruto as Oburu urges party discipline

News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Ruto faces ODM demand for Deputy President position ahead of 2027

Latest · News

Recently
Business · Issa Michuzi

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI YA UKUAJI WA UCHUMI KUNUFAISHA WANANCHI.

Na. Asia Singano, WF – Dodoma. Serikali imeeleza mikakati mbalimbali ya kuhakikisha ukuaji wa uchumi unawanufaisha wananchi kupitia ongezeko la fursa za ajira, kipato, mikopo na huduma za kijamii, sambamba na kuimarisha udhibiti wa michezo ya kubahatisha na kuboresha mfumo wa usimamizi wa mali ambazo hazijadaiwa. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati akijibu swali la Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Clayton Revocatus Chipando, aliyetaka kujua mpango wa Serikali wa kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaonekana katika kipato cha wananchi. Alisema hatua zinazotekelezwa ni pamoja na kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa sekta binafsi, kuwekeza katika miundombinu ya kiuchumi na kijamii, kutoa ruzuku ya mbolea na pembejeo za kilimo na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki katika uwekezaji na biashara. “Kufuatia jitihada hizo, ukuaji wa uchumi nchini umeendelea kuimarika na kufikia asilimia 5.9 mwaka 2025 ikilinganishwa na asilimia 5.6 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6.3 mwaka 2026” alisema Mhe. Mhandisi Munde. Akifafanua namna ukuaji wa uchumi unavyoweza kuonekana katika kipato cha wananchi, Mhe. Munde alisema ushiriki wao katika shughuli mbalimbali za uzalishaji na huduma ni miongoni mwa njia zinazowawezesha kunufaika na ukuaji huo. “Kipato cha mwananchi kinaweza kuonekana kupitia ushiriki katika shughuli hizo ikiwemo kilimo, ujenzi, uzalishaji viwandani, uchimbaji madini na huduma za kijamii zinazotolewa na Serikali, zikiwemo elimu, afya na maji’’ alisema Mhe. Mhandisi Munde. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Husna Juma Sekiboko, kuhusu udhibiti wa michezo ya kubahatisha inayotumia mashine za slot machines, maarufu kama madubwi, Mhe. Munde alisema Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imesitisha utoaji wa leseni mpya kwa waendeshaji wa kigeni ili kutathmini athari za michezo hiyo kijamii na kiuchumi na kuimarisha udhibiti. Alisema Bodi hiyo pia inakusudia kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kusimamia michezo hiyo, hasa vijijini, na imeanza mchakato wa kuweka mfumo wa kiteknolojia wa kufuatilia uendeshaji wa mashine hizo. Aliongeza kuwa Serikali, kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka za Serikali za Mitaa, imekuwa ikifanya operesheni dhidi ya waendeshaji haramu ambapo mashine 1,702 zimekamatwa na kuharibiwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita huku Bodi pia ikiendelea kutoa elimu kwa umma, hususan vijana, kuhusu madhara ya matumizi holela ya michezo hiyo na umuhimu wa uchezaji unaowajibika (responsible gaming). Katika hatua nyingine, akijibu swali la Mbunge wa Makete, Mhe. Festo Richard Sanga, aliyetaka kujua mpango wa Serikali kuanzisha mamlaka maalumu ya kusimamia mali za kifedha ambazo hazijadaiwa (Unclaimed Financial Assets), alisema Serikali imeanza mchakato wa kuboresha mfumo wa kisheria wa usimamizi wa mali na fedha ambazo hazijadaiwa na wamiliki wake halali. Alisema kwa sasa mali hizo zinasimamiwa chini ya sheria mbalimbali za sekta ya fedha kupitia taasisi zikiwemo, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania. Alieleza kuwa Serikali imeandaa andiko dhana la mapendekezo ya kuboresha mfumo wa kisheria wa usimamizi wa mali hizo, huku Wizara ya Fedha ikiendelea kufanya uchambuzi wa kina na kukusanya maoni ya wadau wa Serikali na sekta binafsi. Hatua hizo zinaakisi jitihada za Serikali za kuimarisha ukuaji wa uchumi, kupanua fursa za wananchi, kudhibiti uendeshaji haramu wa michezo ya kubahatisha na kuboresha ulinzi wa mali za wamiliki halali. Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akijibu maswali ya Wabunge, Mhe. Clayton Revocatus Chipando, Mbunge wa Kigoma Mjini, Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Husna Juma Sekiboko pamoja na Mbunge wa Makete, Mhe. Festo Richard Sanga, bungeni jijini Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Msoma vijijini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo, akichangia kuhusu Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika Muda wa Kati (2026/27 – 2028/29), uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Profesa Kitila Mkumbo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Mussa Khamis Omar (Mb), Oktoba 28, 2026, bungeni jijini Dodoma. Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Clayton Revocatus Chipando, akiuliza swali kuhusu mpango wa Serikali wa kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaonekana katika kipato cha wananchi, na kujibiwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb).

Sat, 31 Oct 2026 15:29:44 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

‘Support, not isolation’: Duale hits out at Saudi Ebola travel ban

The Health CS says Kenya has contained the outbreak within one cluster, with no evidence of community transmission.

Recently
National · Mwananchi

Sakata la mashangingi, Bunge labebeshwa zigo, wadau wataka sheria

Wadau wa masuala ya sheria na utawala bora wamelitaka Bunge liweke msingi wa kisheria wa kudhibiti ununuzi na matumizi ya magari ya kifahari kwa viongozi wa Serikali, wakisema hatua hiyo...

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Chinese Ambassador Gao attends closing ceremony of women’s empowerment training program

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Beauty, Confidence and Self-Esteem: Why Taking Care of Yourself Is an Investment, Not a Luxury

Read the full report from the original source.

Recently

Page 508 of 1169 · 23365 stories