Search the region
23388 stories
MBUNGE KAMPALA AIOMBA SERIKALI KUWEKA MIKAKATI ZAIDI KUDHIBITI MMOMONYOKO WA MAADILI
Na Janeth Raphael - MichuziTv Bungeni Mbunge wa Jimbo la Katavi, Thomas Kampala Maganga, ameitaka Serikali kueleza mikakati na hatua inazochukua kukabiliana na mmomonyoko wa maadili katika jamii, akitaja vitendo vya ushoga kuwa miongoni mwa changamoto zinazohitaji kushughulikiwa. Akizungumza leo, Oktoba 30, 2026, bungeni jijini Dodoma, Mbunge huyo amesema pamoja na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali kudhibiti hali hiyo, bado kuna ongezeko la vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili katika jamii. Kutokana na hali hiyo, ameitaka Serikali kuweka wazi mikakati zaidi itakayotumika kukabiliana na changamoto hiyo, pamoja na namna itakavyoshirikisha jamii katika kulinda misingi ya maadili. Akijibu hoja hiyo, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Maryprisca Mahundi, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa mitaa, vijiji na kata pamoja na maafisa maendeleo ya jamii kuimarisha malezi na kukabiliana na changamoto za mmomonyoko wa maadili, hususan miongoni mwa vijana. Amesema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na mmomonyoko wa maadili umeanza, huku akisisitiza kuwa mafanikio ya juhudi hizo yanahitaji ushirikiano wa karibu kati ya Serikali na wananchi. Mahundi amebainisha kuwa jukumu la kulinda maadili si la Serikali pekee, bali linapaswa kuwa la jamii nzima kwa kusimamia mila, desturi na tamaduni zinazojenga malezi bora. Aidha, amewataka wazazi kutimiza wajibu wao kwa kuwapa watoto muda wa kutosha, kuzungumza nao mara kwa mara na kufuatilia mwenendo wao, badala ya kujikita katika shughuli za kutafuta kipato na kusahau malezi.
Fri, 30 Oct 2026 17:39:31 +0000Perezida Kagame yakiriye indahiro z'abayobozi bashya abibutsa guharanira gukora neza
Read the full report from the original source.
RecentlySaleh: I Found Besigye Almost Dead in Prison, Moved Him to JCRC for Treatment
Read the full report from the original source.
RecentlyKabanda Threatens to Expose Secrets Behind Namyalo’s Security Withdrawal After Museveni’s Intervention
Read the full report from the original source.
RecentlyRead more about Yaga chez la ministre de la Communication : jeunesse, numérique et image du Burundi au menu
Armel Uwikunze, président et représentant légal d’AJEBUDI, et Spageon Ngabo, directeur exécutif de Yaga Burundi, ont été reçus en audience, le 19 octobre, par la ministre de la Communication et des Médias, madame Evelyne
RecentlyRead more about Le Président qui mua en seigneur de guerre : le parcours atypique de Joseph Kabila
Un ancien président, Joseph Kabila de la RDC, condamné à mort, prend la tête d’une rébellion. Les hommes politiques qui tombent en disgrâce, ce n’est pas seulement chez notre grand voisin. Chez nous aussi, des cadors de
RecentlyRead more about Marie Josée Niyinyitoreye, chantre de la protection de l’environnement
Sur les hauts plateaux de Gitega, une voix féminine se démarque dans la lutte pour la protection de l’environnement. À la fin de ses études universitaires, plutôt que d’aller grossir les rangs des chômeurs, elle choisit
RecentlyRead more about Le défi de l’application des mesures locales : décider ne suffit pas
Les mesures administratives sont censées améliorer le quotidien des citoyens. Pourtant, au Burundi, certaines interdictions perdent leur effet faute de suivi, tandis que des promesses de développement tardent à se concré
RecentlyGuerre Russie-Ukraine : Les cris de détresse des veuves et parents de jeunes Camerounais enrôlés par la Russie
Des dizaines de familles camerounaises ont manifesté mercredi devant l'ambassade de Russie à Yaoundé. Elles réclament le rapatriement de dépouilles de leurs proches morts au front en Ukraine.
RecentlyLinda Mwananchi unveils leadership team
The proposed leadership team will be presented for approval at the movement's National Delegates Convention on November 13.
RecentlySpain transport minister says he won't resign over high-speed rail disaster
Puente told a news conference in Madrid he had "nothing to hide" while repeating the government's vow to get to the bottom of the disaster.
RecentlyBESIGYE CASE BOMBSHELL: Gen. Saleh Sets 6-Month Deadline For Possible Breakthrough
Read the full report from the original source.
RecentlyBusinesses urged to strengthen emergency response plans ahead of heavy rains
Read the full report from the original source.
RecentlyOpération ville-morte à Uvira contre le FRN qui approche
Read the full report from the original source.
RecentlyTennessee woman Christa Pike describes pain after failed execution
Read the full report from the original source.
RecentlyLa détenue américaine Christa Pike affirme s'être réveillée « confuse et souffrante » après l'échec de son exécution
Il s'agit de la première déclaration publique de Pike depuis qu'elle a survécu à une tentative d'exécution par injection létale en septembre.
RecentlyAlien Skin Faces Eviction Notice Over Shs36m Rent, Water Bill Arrears
Singer Patrick Mulwana, popularly known as Alien Skin, has been issued a 30-day notice to vacate rented premises in Sempa Zone, Makindye Division, Kampala, over alleged accumulated rent and water…
RecentlySugarcane farmers to elect board representatives on November 24
The Elections Committee has published the final voters’ register ahead of the November 24 polls.
RecentlyTwaha Mwaipaya: Kenyan High Court Orders Police to Produce Missing Tanzanian Activist or Explain His Detention
Read the full report from the original source.
Recently‘Mark your territory’: Gachagua challenges Sifuna over Farouk, Atwoli attacks
Latest · News
RecentlyPage 524 of 1170 · 23388 stories