Search the region
23395 stories
Seven casinos threaten closure in Uganda over 15% tax on gambling winnings
Read the full report from the original source.
RecentlyLinda Mwananchi Movement unveils party offices in Lavington
The unveiling of the Lavington headquarters marks a new phase in Sifuna's push to position himself as the opposition's joint presidential candidate.
RecentlyGender ministry urges bigger turnout ahead of Saturday’s clean-up
Uganda's National Cleaning Day is leading to cleaner towns, better sanitation and improved public health, the Ministry of Gender, Labour and Social Development has said. In a letter dated 28...
RecentlyMbadi eyes first 2026/27 mini budget in November amid spending pressures
Read the full report from the original source.
RecentlyAirtel Kenya pays Sh8.4bn for 5G spectrum
Read the full report from the original source.
Recently'We expected a rescue plan, not a football match announcement'; Sifuna faults Ruto
If you ever find yourself in the problems that our bothers in the Ukrainian detention camps are in, my assurance if you agree for me to become president, I will come for you personally, said Sifuna.
Fri, 30 Oct 2026 15:35:52 +0300L'intelligence artificielle menace-t-elle les emplois des femmes ?
Comment l’intelligence artificielle influe-t-elle sur les opportunités des femmes sur le marché du travail ? La crainte de voir certains emplois disparaître s’accompagne de l’émergence de nouvelles opportunités ; grâce à
RecentlyDriver guilty of dragging head teacher to his death
Richardson was also convicted of dangerous driving and will return to Manchester Minshull Street Crown Court to be sentenced on Monday.
RecentlyIsraël : la majorité reste hors de portée après le décompte final
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto: Why Bayern v Ajax in Nairobi is perfect tribute to former PM Raila Odinga
Latest · football
RecentlyMwisho wa enzi, San Siro kubomolewa, mrithi huyu hapa
Klabu kongwe za soka Italia, AC Milan na Inter Milan, zimetoa picha za awali za Uwanja wao mpya utakaogharimu mabilioni ya fedha, huku uamuzi wa kubomoa Uwanja wa San Siro ukikaribia kutekelezwa.
RecentlyBayern kuvuna Sh14 bil kucheza Kenya
MABINGWA WA Ujerumani, Bayern Munich inatarajiwa kuingiza Euro5 milioni(takribani Sh14 bilioni) kupitia mechi yake ya kirafiki dhidi ya Ajax Amsterdam utakaopigwa Januari 5, 2027, jijini Nairobi,...
RecentlyJumapili ni Liverpool, Arsenal pekee
Read the full report from the original source.
RecentlyTwo DR Congo Army Generals, Over 600 Soldiers Defect to Kabila-Led Rebels
Read the full report from the original source.
RecentlyBLOG: Social Media Insurgents, Strawman and the Search for Common Ground
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt Upholds Shyam Tanna’s Tororo Municipality MP Victory, Dismisses Ofwono Petition
Read the full report from the original source.
RecentlyRAIS SAMIA AMUENZI MAGUFULI KWA KUTIMIZA NDOTO YA NYERERE YA KUHAMIA DODOMA
Na Janeth Raphael - MichuziTv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempongeza mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kusimamia na kuendeleza utekelezaji wa mpango wa kuhamishia makao makuu ya Serikali jijini Dodoma, akisema hatua hiyo imekuwa sehemu muhimu ya kutimiza ndoto ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ya kuwa na makao makuu ya nchi katikati ya Tanzania. Amesema mafanikio yaliyofikiwa katika kuifanya Dodoma kuwa makao makuu ya Serikali ni matokeo ya maono na juhudi za viongozi mbalimbali waliotangulia, hivyo ni muhimu kwa Watanzania kutambua na kuthamini mchango wao katika safari hiyo ya kihistoria. Rais Samia ameyasema hayo wakati akizindua Mji wa Serikali wa Mtumba jijini Dodoma, mradi mkubwa wa kimkakati uliojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Bilioni 700, ukiwa na majengo ya ofisi za wizara na taasisi mbalimbali za Serikali pamoja na miundombinu wezeshi. Amesisitiza kuwa hatua ya kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma ilikuwa na lengo la kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, kurahisisha upatikanaji wa huduma za umma na kupunguza gharama ambazo wananchi walilazimika kuzitumia kufuata huduma hizo katika maeneo mbalimbali. Hata hivyo, Rais Samia amebainisha kuwa kuhamia kwa makao makuu ya Serikali Dodoma hakumaanishi kuwa wananchi wote wanapaswa kusafiri hadi jijini humo ili kupata huduma za Serikali, akieleza kuwa Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika utoaji wa huduma. Amesema matumizi ya mifumo ya kidijitali yanaendelea kupanuliwa ili kuwawezesha wananchi kupata huduma za Serikali wakiwa katika maeneo yao, bila kulazimika kufika Dodoma, hatua inayolenga kupunguza usumbufu, muda na gharama za wananchi. Uzinduzi wa Mji wa Serikali wa Mtumba unaweka hatua nyingine muhimu katika safari ya kuimarisha Dodoma kama kitovu cha shughuli za Serikali, huku ukiakisi mwendelezo wa maono yaliyoasisiwa na viongozi waliotangulia na kuendelezwa na Serikali zilizofuata kwa manufaa ya Taifa.
Fri, 30 Oct 2026 13:13:09 +0000VIWANJANI | Simba yazidi kujiimarisha kileleni baada ya kuzichukua alama tatu mbele ya Fountain Gate
Mchambuzi wa soka, @ramadhanimbwaduke2806 anaeleza kuwa Simba ya sasa ina rekodi bora ya matokeo tangu mwaka 2010, akitolea mfano ushindi wa timu hiyo pamoja na takwimu za umiliki wa mpira. Mbwaduke ametoa maoni hayo akichambua takwimu za mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Fountain Gate uliopigwa jana Oktoba 29 2026 ambapo Simba SC iliibuka na ushindi wa goli 1-0. Jabir Aziz amesema Barker amekuja katika kipindi ambacho alikuwa akihitajika zaidi na ameanza kutoa kile kilichotarajiwa na Wanasimba. Kwa upande wa Juma Abdul amesema iwapo Simba itakuwa na mwendelezo mzuri wa kiwango ina nafasi ya kutwaa ubingwa. Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoongozwa na @ibrakasuga
2026-10-30T12:51:35+00:00VIWANJANI | Kocha wa Singida BS Papy Kimoto abebeshwa mzigo kusuasua kwa kikosi chake.
Kwa mujibu wa Ramadhani Mbwaduke, utajiri wa wachezaji alionao kocha wa Singida BS, Papy Kimoto haumwachi na nafasi ya kutoa sababu za kukosekana kwa mwendelezo mzuri wa matokeo kwa timu yake. Mbwaduke amesema masuala ya saikolojia ya wachezaji na namna ya kusawazisha kikosi ni jukumu la kocha mwenyewe. #Viwanjani #SingidaBS
2026-10-30T13:00:57+00:00Myanmar’s illicit economy fuels escalating violence, with civilians bearing the brunt
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 528 of 1170 · 23395 stories