Search the region
23422 stories
Babu Owino dismisses Mosiria's claim of having secret wife, abandoning child
Read the full report from the original source.
RecentlySh1.16bn needed to aid Ethiopians fleeing war to Kenya
Many of those fleeing the violence, it said, are women and children, raising concerns over the growing humanitarian needs in areas receiving the new arrivals.
RecentlyMUST Graduates Record Historic 49 PhDs as 1,670 Receive Degrees
Read the full report from the original source.
RecentlyKenGen upgrades Olkaria geothermal plant in bid to ease electricity imports
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt orders Bolt to return Toyota Sienta to fleet
Read the full report from the original source.
RecentlyLa CVR entend approfondir les enquêtes sur les massacres de 1972 et les conflits fonciers
Read the full report from the original source.
RecentlyIndia increases growth forecast for fiscal year
Read the full report from the original source.
RecentlyExclusive: Museveni Signals Readiness to Step Down in 2031, Explains Why Muhoozi Should Succeed Him
Read the full report from the original source.
RecentlyMWANRI: MAJENGO YA KISASA MTUMBA YAENDANE NA HUDUMA BORA KWA WANANCHI
Na Janeth Raphael – MichuziTV Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Ndugu Agrey Mwanri, amewataka watumishi wa Serikali wanaofanya kazi katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, kuhakikisha uwekezaji katika majengo na miundombinu ya kisasa unaendana na utoaji wa huduma bora, zenye ufanisi na zinazokidhi mahitaji ya wananchi. Mwanri ametoa wito huo leo, Oktoba 29, 2026, wakati wa ziara ya kutembelea baadhi ya majengo ya wizara na taasisi za Serikali zilizopo Mtumba, akisisitiza kuwa majengo ya kisasa pekee hayatoshi bila uwajibikaji na utendaji bora wa watumishi. Amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika miundombinu hiyo unapaswa kuonekana kupitia huduma zinazotolewa kwa wananchi, hivyo kuwataka watumishi kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uadilifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma. Aidha, amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kupewa kipaumbele kwa kusikilizwa, kuhudumiwa kwa heshima na kupata huduma kwa wakati, kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa. Ameeleza kuwa mazingira bora ya kufanyia kazi yanapaswa kuwa chachu ya kuongeza tija na ufanisi katika utendaji wa Serikali, badala ya kuishia katika mwonekano mzuri wa majengo na miundombinu pekee. Ziara hiyo ni sehemu ya kutembelea majengo ya wizara na taasisi za Serikali zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, huku msisitizo ukiwa ni kuhakikisha uwekezaji katika miundombinu unaambatana na huduma bora zinazogusa maisha ya wananchi. Mji wa Serikali Mtumba ni eneo lililotengwa kwa ajili ya makao ya wizara na taasisi mbalimbali za Serikali, kwa lengo la kuboresha mazingira ya utendaji kazi na kurahisisha uratibu wa shughuli za Serikali.
Thu, 29 Oct 2026 15:59:18 +0000DKT. MWIGULU APIGIA CHAPUO NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA
* Asema ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali walipe kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito. Ametoa wito huo leo (Alhamisi, Oktoba 29, 2026), wakati akitoa hotuba kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kikao kilichofanyika Ikulu ya Kremlin, jijini Moscow, Urusi. Waziri Mkuu amewaeleza wakuu wa nchi waliohudhuria mkutano huo kwamba suala hilo linapaswa kupewa kipaumbele muhimu kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan amejitolea kutetea jambo hilo katika bara lote la Afrika. “Hii ni sababu muhimu ambayo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amejitolea kutetea katika bara lote la Afrika. Tukiamua kushughulikia changamoto hii siyo tu tutakuwa tunakidhi hitaji la mazingira; bali ni kipaumbele muhimu cha maendeleo ambacho kinaokoa maisha ya mamilioni ya watu, kinawezesha na kukomboa wakati ambao unatumiwa na wanawake, na zaidi ya yote tutakuwa tunalinda mifumo yetu ya ikolojia ya misitu isiyoweza kuundwa upya pindi ikiharibiwa,” amesema. Ametumia fursa hiyo kuwakumbusha viongozi hao kuhusu Azimio la Nishati la Dar es Salaam la mwaka 2025 ambalo lilikuja na mpango kabambe unaolenga kutoa umeme wa kuaminika kwa Waafrika milioni 300 ifikapo 2030. “Ili kufikia malengo haya ya kikanda, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakaribisha kwa dhati ushirikiano wa kimkakati katika matumizi ya amani ya nishati ya nyuklia, ikitumia utaalam wa Urusi unaotambulika duniani kote katika teknolojia ya hali ya juu ya nishati.”
Thu, 29 Oct 2026 16:31:34 +0000Féminicides au Cameroun : avocats et ONG réclament une loi spécifique
Read the full report from the original source.
RecentlyTenue du conseil des ministres avec douze points à l’ordre du jour
Read the full report from the original source.
RecentlyMan nabbed after wife’s body exhumed from shallow grave
DCI said a farmhand allegedly told investigators that his employer had killed the woman before instructing him to help bury her body.
RecentlyUgandan Veterinarian Gladys Kalema-Zikusoka Named Among Top 5 CNN Heroes of 2026
Read the full report from the original source.
RecentlySafaricom dismisses 118 staff for fraud, four times the 2021 level
Read the full report from the original source.
RecentlyAmerika yahamije icyaha umunyarwanda umaze imyaka myinshi ahisha uruhare rwe muri Jenoside
Eric Nshimiye yashinjwe kubeshya inteko y'abacamanza kugira ngo yikingire ndetse anakingire mugenziwe wagize uruhare muri jenoside.
RecentlyUganda, IACO Push for Greater African Control of Coffee Value Chain
Read the full report from the original source.
Recently“It has to touch the lives of people”: the Gates Foundation’s challenge to Africa’s AI builders
Read the full report from the original source.
RecentlySerap Güler : « L’Allemagne soutient une paix régionale inclusive et durable »
Read the full report from the original source.
RecentlyMuseveni, EU Envoy Discuss Peace and Security in Great Lakes Region
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 550 of 1172 · 23422 stories