Search the region
23425 stories
Le bétail errant considéré comme sans propriété
Read the full report from the original source.
Recently“It has to touch the lives of people”: the Gates Foundation’s challenge to Africa’s AI builders
Read the full report from the original source.
RecentlyDuale hands over newly equipped wards at KNH
Duale said the government remained committed to positioning KNH as a centre of specialised treatment, medical innovation, research and training.
RecentlySagini apongeza hospitali Mbeya kwa ubunifu
Read the full report from the original source.
RecentlySix kiosques avec des marchandises partis en fumée au centre Rubona, en commune Mugina
Read the full report from the original source.
RecentlyTinubu to 'pray for Nigeria' during Saudia trip
The visit would provide Tinubu with an opportunity for "spiritual reflection, devotion and prayers for Nigeria's peace, unity, stability and continued progress"
RecentlyKilimo chachangia mapato ya serikali Kigoma
Read the full report from the original source.
RecentlyPamba Jiji 0-1 Singida BS | Highlights | NBC Premier League | 29/10/2026
Azam TV
2026-10-29T13:38:41+00:00Eight suspected gang members arrested in Kasarani
Read the full report from the original source.
RecentlyMotorist ordered to pay Sh1.1m for damaged Nairobi Expressway barriers
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya shuts avocado exports by sea
Read the full report from the original source.
RecentlyBacking for UN call to end Cuba embargo falls to 20-year low
Read the full report from the original source.
RecentlyPSC: Beware of fake appointment letters
The letters, which falsely claim to communicate appointments made by PSC, contain forged signatures, fake reference numbers and counterfeit stamps.
RecentlyUn délai de trois mois accordé aux habitants pour contribuer à l’aménagement des routes
Read the full report from the original source.
RecentlyCapital FM, Kenya Airways ink deal covering travel, lifestyle and sustainability
Latest · Aviation
RecentlyTAWLA backs Tanzania’s newly launched framework to promote healthier food choices
DODOMA: THE Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) has reaffirmed its commitment to supporting stronger nutrition policies and legal safeguards to…
RecentlyBuilding Trust in Financial Governance: FIA earns ISO Cybersecurity Standard and Unveils Client Charter
Read the full report from the original source.
RecentlyDC MWAKIBETE ATAKA TARURA KILOLO KUFANYIA KAZI MAAGIZO YA TAHADHARI YA EL NINO
Na Matukio Daima Media, Kilolo MKUU wa Wilaya ya Kilolo, Fredy Atupele Mwakibete, amefanya ziara ya kushtukiza katika Daraja la Isoliwaya–Igunga, lililopo Kata ya Ilula, Tarafa ya Mazombe, kwa lengo la kukagua utekelezaji wa agizo alilolitoa kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilolo, la kuondoa mchanga ulioziba daraja hilo. Katika ziara hiyo, Mwakibete aliyeambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya, alieleza kutoridhishwa na hali aliyokuta katika eneo hilo, akisema kuwa licha ya kutoa agizo kwa TARURA kuharakisha kazi ya kuondoa mchanga ulioziba daraja hilo, hakukuwa na shughuli yoyote iliyokuwa ikiendelea wakati wa ukaguzi huo. Mkuu huyo wa wilaya alisema alikuwa ameelekeza TARURA kuanza kazi hiyo Oktoba 28, mwaka huu, kutokana na umuhimu wa daraja hilo kwa shughuli za kiuchumi na kijamii za wananchi wa Kata ya Ilula na maeneo yanayolizunguka. Kutokana na hali hiyo, Mwakibete alitoa agizo jipya kwa TARURA kuhakikisha kazi hiyo inaanza kabla ya Oktoba 30, 2026, akisisitiza kuwa hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kuondoa changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa msimu wa mvua. Alisema maandalizi ya kukagua maeneo hatarishi wakati wa mvua ni sehemu ya maelekezo yaliyotolewa na Makamu wa Rais, na kwamba Wilaya ya Kilolo tayari imebaini maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua na imeanza kuchukua hatua za kukabiliana na changamoto hizo. Alisisitiza kuwa ni muhimu kwa TARURA kutekeleza agizo hilo kwa wakati ili kuhakikisha wananchi wanaotumia daraja hilo hawaendelei kupata usumbufu, hasa mvua zitakapoanza kunyesha kwa wingi. Mwakibete alisema Serikali inaendelea kutekeleza majukumu yake kwa kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi, ikiwemo miundombinu ya barabara na madaraja, ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa na huduma muhimu. Aliongeza kuwa hatua za kuimarisha miundombinu hiyo ni muhimu katika kulinda usalama wa wananchi na kuendeleza shughuli za kiuchumi, hususan maeneo ya vijijini ambako barabara na madaraja ni kiungo muhimu cha kufikia masoko, huduma za afya, shule na maeneo mengine ya uzalishaji. Kwa upande wao, baadhi ya wananchi wa Kata ya Ilula wamepongeza hatua ya Mkuu wa Wilaya ya Kilolo ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake kwa kutembelea eneo hilo na kujionea hali halisi ya daraja hilo. Wananchi hao walisema wamekuwa wakikabiliwa na changamoto katika daraja hilo kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano, hali ambayo imekuwa ikiwapa usumbufu katika shughuli zao za kila siku, hasa wanapotaka kusafiri na kusafirisha bidhaa zao. Wamesema wana matumaini kuwa agizo lililotolewa litatekelezwa kwa wakati ili kuondoa changamoto hiyo na kuwawezesha kuendelea na shughuli zao bila vikwazo vinavyoweza kusababishwa na hali ya daraja hilo. Wananchi hao pia wameitaka TARURA kuhakikisha inatekeleza maelekezo yaliyotolewa kwa haraka, ili eneo hilo liwe salama na liweze kupitika kwa urahisi wakati wote, hususan katika kipindi cha mvua. Ziara hiyo inaonesha umuhimu wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa maagizo ya Serikali kwa taasisi zinazohusika na miundombinu, ili kuhakikisha hatua zinazochukuliwa zinakwenda sambamba na mahitaji ya wananchi na kuzuia changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa msimu wa mvua.
Thu, 29 Oct 2026 13:39:05 +0000Pamba Jiji 0-1 Singida BS | Goli | NBC Premier League | 29/10/2026
#NBCPL Alama tatu ni za Singida BS FT: Pamba Jiji 0-1 Singida BS Inafuata Fountain Gate vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #PambaJijiFCVSSingidaBS #PambaJijiFC #SingidaBS
2026-10-29T13:22:11+00:00Sky Captain takes off with Ksh.1 million win for Baba Dogo garage worker
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 554 of 1172 · 23425 stories