Search the region
23444 stories
Kagame Co-Chairs Global Commission Pushing for AI Benefits to Reach Everyone
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda’s Post-Genocide Recovery Offers Lessons for Youth, PM Tells Russia–Africa Forum
Read the full report from the original source.
RecentlyBolsonaro lands in US, declares himself 'leader' of Brazil
Read the full report from the original source.
RecentlyRecord heat-related deaths in 2023, WHO-partnered report finds
Read the full report from the original source.
RecentlyUN human rights chief urges better protection of civilians in conflicts
Read the full report from the original source.
RecentlyIllegal Cabinet: Ruto disobeys court order on gender rule, risks losing Cabinet
On the day his Cabinet was staring at dissolution, President Ruto announced the date of Talanta Stadium opening with a match being played by European giants Bayern Munich against Ajax Amsterdam.
Thu, 29 Oct 2026 00:00:00 +0300Le Burundi appelle à un partenariat économique gagnant-gagnant
Read the full report from the original source.
RecentlyBolsonaro lands in US, declares himself 'president elect' of Brazil
Read the full report from the original source.
RecentlyLe président burundais élevé au rang de Docteur Honoris Causa par l’Université RUDN
Read the full report from the original source.
RecentlyHOW DID A P4 DROPOUT BECOME AN MP? THE NAMBAZIIRA FLORENCE SCANDAL IN SSEMBABULE
The question on every street in Ssembabule today is simple: How did Nambaziira Florence, a woman who by her own…
RecentlyReclaiming Decentralisation: The Fight to End Local Corruption and Restore Public Service Delivery
By Brian Mugenyi Open Uganda’s Local Governments Act (Cap. 138), and you will find a clear blueprint for grassroots governance. The law outlines the duties of local administrative units, sets…
RecentlyHow Aya Investments is supporting employment, develop local supply chains, expand productive capacity and creating opportunities for Ugandans
As Uganda pursues industrialisation, private-sector expansion and job creation, indigenous enterprises have an important role to play in translating investment into economic opportunities. Among the business groups assoc
RecentlyHealth Experts Warn of Limited Reproductive Health Services on Lake Wamala Islands
Read the full report from the original source.
RecentlyMoscou réaffirme son soutien à l’Afrique comme pôle de puissance mondial
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat would a new Israeli government mean for Arab neighbors?
Read the full report from the original source.
RecentlyMTUMBA KUWA KITOVU CHA HUDUMA ZA KIDIJITALI, MSIGWA AFUNGUKA
Na Janeth Raphael - MichuziTv Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma umejengwa kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi kupitia mifumo ya kisasa ya serikali mtandao (e-Government), kuongeza ufanisi wa watumishi wa umma na kuweka mazingira bora ya kufanyia kazi. Msigwa ameyasema hayo wakati wa ziara ya kutembelea majengo na miundombinu ya Mji wa Serikali Mtumba iliyowahusisha wahariri wa vyombo vya habari, wanafunzi wa vyuo vikuu na wadau mbalimbali, kwa lengo la kujionea maendeleo ya mradi huo na uwekezaji uliofanyika kuelekea uzinduzi wake. Amesema mradi huo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha matumizi ya teknolojia ya kidijitali katika utoaji wa huduma za umma. Hata hivyo, amesisitiza kuwa wananchi wanaohitaji kupata huduma ana kwa ana wataendelea kuhudumiwa katika ofisi husika, sambamba na huduma zinazotolewa kwa njia za kielektroniki. Akizungumzia jengo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Msigwa amesema usanifu wake umezingatia mahitaji ya sekta zilizo chini ya wizara hiyo, ikiwemo michezo kama mpira wa miguu, netiboli, mpira wa kikapu, futsal na tenisi. Aidha, amesema kuna maandalizi ya maeneo yenye skrini za kidijitali zitakazotumika kuonesha kazi za wasanii wa filamu na muziki pamoja na matukio mbalimbali ya michezo, kwa lengo la kutangaza na kukuza kazi za wabunifu wa Kitanzania. Msigwa amewataka wahariri, wanafunzi na wadau walioshiriki ziara hiyo kutumia fursa waliyoipata kufahamu maendeleo ya Mji wa Serikali Mtumba na kuwafikishia wananchi taarifa sahihi kuhusu miundombinu yake na huduma zinazopatikana. Amesema ushiriki wa makundi hayo ni muhimu katika kuongeza uelewa wa umma kuhusu uwekezaji uliofanyika na malengo ya mradi huo. Kwa upande wake, Mhariri Balile amepongeza usanifu na mpangilio wa miundombinu ya Mji wa Serikali Mtumba, akieleza kuwa unaweza kuwa mfano wa kuigwa na miji mingine nchini, hususan Dar es Salaam. Amesema baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam yana nyaya za umeme zinazoning’inia, hali inayoweza kuhatarisha usalama wa wananchi, hasa wakati wa mvua, hivyo akasisitiza umuhimu wa kupanga miundombinu kwa kuzingatia usalama na mahitaji ya watumiaji. Balile amewapongeza wahandisi na wataalamu walioshiriki katika ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Serikali za Awamu ya Tano na ya Sita chini ya marais Dkt. John Pombe Magufuli na Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji uliofanyika. Amesema uzoefu wa Mtumba unapaswa kutumika kama somo katika upangaji na utekelezaji wa miradi ya miundombinu katika miji mingine, ili kuboresha mandhari ya miji, kuimarisha usalama na kuweka mazingira bora ya kazi na utoaji wa huduma kwa wananchi.
Wed, 28 Oct 2026 20:40:15 +0000Ending conflict is ‘number one thing’ to reduce world hunger, new WFP chief says
Read the full report from the original source.
RecentlyTTCL YAZINDUA KAMPENI BUREE KABISAAAA ,SASA HUDUMA ZA INTANETI BILA MALIPO YA ZIADA KWA MTEJA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua kampeni ya Bureee Kabisaaa inayolenga kuwawezesha wateja kupata huduma za intaneti ya nyumbani, simu ya mezani, ruta, laini tatu za simu za mkononi na burudani bila malipo ya ziada, kwa kuzingatia masharti ya ofa hiyo. Kampeni hiyo inalenga kupanua matumizi ya teknolojia ya kidijitali nchini na kuimarisha mawasiliano ya kifamilia kwa kuwawezesha wateja kupata huduma mbalimbali kupitia kifurushi kimoja cha Triple Hub kinachoanzia Sh70,000. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 28, 2026, Mkurugenzi wa Biashara wa TTCL, Vedastus Mwita, amesema kampeni hiyo inalenga kuwawezesha Watanzania kupata huduma za intaneti kwa gharama nafuu na kuendelea kuwasiliana na familia zao kwa urahisi, wakiwa nyumbani au safarini. Amesema kampeni hiyo imebuniwa kukidhi mahitaji ya wateja wanaohitaji huduma za intaneti zinazowawezesha kuendelea kuwasiliana bila usumbufu, bila kulazimika kununua vifurushi tofauti vya simu za mkononi. “Tunatambua wateja wetu wanahitaji mawasiliano yasiyokatika, si tu wanapokuwa nyumbani bali hata wakiwa nje. Ndiyo maana tumezindua Triple Hub ili kurahisisha matumizi ya intaneti kote nchini,” amesema Mwita. Ameeleza kuwa huduma hiyo inategemea mfumo wa Fiber Mlangoni Kwako, huku Triple Hub ikiunganisha intaneti, simu na burudani katika kifurushi kimoja. Kwa mujibu wa Mwita, wateja watakaokidhi masharti ya kampeni hiyo watapatiwa simu ya mezani pamoja na ruta bila malipo, vitakavyowawezesha kutumia huduma za mawasiliano kulingana na kifurushi walichojiunga nacho. Aidha, amesema kila mteja atakayekidhi vigezo atapata laini tatu za simu za mkononi kwa ajili yake na familia yake, zitakazomwezesha kutumia huduma za intaneti za TTCL hata anapokuwa nje ya nyumbani. Mbali na huduma hizo, wateja watanufaika na T-Burudani, inayowawezesha kutazama filamu, tamthilia na maudhui mengine ya burudani kupitia vifaa vyao. Mwita amesema wateja wapya wanaotaka kunufaika na kampeni hiyo wanapaswa kujaza fomu ya maombi ya kuunganishwa na huduma ya Fiber Mlangoni Kwako na kuchagua kifurushi cha Triple Hub cha Sh70,000 au zaidi. Kwa upande wa wateja waliopo, amesema wanachotakiwa kufanya ni kuboresha vifurushi vyao vya sasa kufikia Sh70,000 au zaidi ili kunufaika na ofa hiyo kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa. Amewataka wateja kutembelea maduka au ofisi za TTCL wakiwa na namba zao za huduma kwa ajili ya uhakiki na kukabidhiwa vifaa vinavyotolewa kupitia kampeni hiyo. Kampeni hiyo inapatikana katika maeneo yenye mtandao wa TTCL, yakiwemo Dar es Salaam, Arusha, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Iringa na Unguja. Mwita amewahimiza Watanzania kuchangamkia fursa hiyo ili kuimarisha mawasiliano ya kifamilia na kunufaika na huduma za intaneti ya kasi kuelekea mwisho wa mwaka. “Tumezindua rasmi kampeni yetu ya Bure Kabisa ili wateja wafurahie huduma zetu za TTCL,” amesema.
Wed, 28 Oct 2026 20:32:29 +0000BLOG: Why the Law Society’s Opinion on the PLU Misapplies the Constitution, Statute and Comparative Practice
Read the full report from the original source.
RecentlyProtecting the storytellers: Women journalists on the frontline of conflict
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 571 of 1173 · 23444 stories