Unganishwa

Search the region

23445 stories

Health · The Nile Post

Baryomunsi Calls for Integrated Approach to Tackle Diseases

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Netanyahu's bloc leading Israel polls but short of majority

With 85% of ballots counted, Netanyahu's Likud party and its far-right and ultra-Orthodox Jewish allies were on track to win 53 seats in the 120-seat Knesset.

Recently
Health · The Nile Post

Atwine Calls for Unified Action Against Communicable and Non-Communicable Diseases

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

VETA, TBL partner to train 300 youths in farm machinery

DAR ES SALAAM: THE Vocational Education and Training Authority (VETA) has partnered with Tanzania Breweries Plc (TBL) to train 300…

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Adaptation Fund approves nearly US$35 million to advance locally led climate resilience across the Horn of Africa and Rwanda

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily Africa

Kenya takes more than half of African ClimateTech funding

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

MAKAMU WA RAIS ATAKA VIJANA WASIWE WATAZAMAJI SEKTA YA GESI NA MAFUTA

DAR ES SALAAM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, ameiagiza Wizara ya Nishati kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuandaa mpango mkakati utakaowawezesha vijana na kampuni za Kitanzania kunufaika na fursa za ajira, zabuni na uwekezaji katika miradi ya mafuta na gesi asilia nchini. Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati wa hafla ya utiaji saini wa leseni nne za utafutaji wa mafuta na gesi asilia katika vitalu vya Mnazi Bay North, West Songo Songo, Eyasi - Wembere na Lindi- Mtwara, iliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuhakikisha Watanzania, hususan vijana na wanawake, wanapewa kipaumbele katika ajira, mafunzo, teknolojia na zabuni, huku kampuni za ndani zikiwezeshwa kushiriki kikamilifu katika mnyororo wa thamani wa sekta hiyo. Aidha, ameitaka Wizara ya Nishati kuimarisha mifumo ya tathmini, ufuatiliaji na usimamizi wa leseni hizo, sambamba na kuhakikisha kunakuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha, uwajibikaji na ongezeko la mapato ya Serikali kupitia kodi, mrabaha na mgao wa faida. Ameielekeza TPDC kushirikiana na wawekezaji wenye uwezo wa kifedha, ujuzi na teknolojia ili kuongeza tija katika shughuli za utafutaji na uendelezaji wa mafuta na gesi asilia, huku akiwataka wadau kutanguliza uzalendo kwa Tafa, uadilifu, uchapa kazi na maslahi ya Taifa mbele. Makamu wa Rais amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji, yanayozingatia uwazi, kutabirika kwa mifumo ya kisheria, ushindani wa haki na ulinzi wa maslahi ya Taifa. Makamu wa Rais amesema, pamoja na lengo la kukuza pato la Taifa kufikia dola za Marekani trillioni 1 kama iliyoainishwa kwenye dira ya Taifa ya 2050. Matarajio mengine ya leseni hizo katika ugunduzi wa mafuta na gesi asilia ni ongezeko la mapato ya Serikali kupitia mrabaha, kodi na mgao wa faida. Amesema uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi unatarajiwa kuchangia uzalishaji wa Megawati 70,000 (zitakazohitajika ifikapo 2050), na kukuza ujuzi, teknolojia, kuongeza ajira na kupanua fursa kwa kampuni za Tanzania zinazotoa huduma katika sekta hiyo. Ametaka uwepo wa usimamizi madhubuti, nidhamu ya matumizi ya fedha na uwajibikaji. Ametoa rai kwa taasisi zote zinazohusika na uwekezaji huu kuhakikisha Watanzania, hususan wanawake na vijana wanapewa fursa za ajira, mafunzo, teknolojia na zabuni. Vilevile, ni muhimu kuimarisha ushiriki wa kampuni za Kitanzania katika mnyororo wa thamani wa mafuta na gesi. Makamu wa Rais amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita ni kuanzisha Kituo cha umahiri cha kuendeleza ujuzi unaohitajika katika sekta ya mafuta na gesi asilia ili kujenga rasilimali-watu yenye ujuzi na itakayowezesha kuleta ustawi wa Uchumi jumuishi na endelevu. Awali, Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza uwekezaji katika miradi ya kimkakati ya nishati, akisema hatua ya TPDC kukabidhiwa leseni na kumiliki vitalu vyake ni mafanikio makubwa katika kuimarisha uwezo wa Taifa wa kutafuta na kuendeleza rasilimali za mafuta na gesi. Amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha gesi asilia inayoendelezwa inatumika katika shughuli mbalimbali, zikiwemo matumizi ya majumbani, usafiri, uzalishaji wa umeme na viwandani, huku wananchi na kampuni za ndani zikinufaika na uwekezaji huo. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mhandisi Mussa Makame, amesema vitalu vinne vilivyohusika katika utiaji saini viko katika hatua mbalimbali za utekelezaji, ikiwemo ukusanyaji wa taarifa za mitetemo kwa ajili ya shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia. Amesema shirika hilo litahakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu, kampuni za ndani zinapewa kipaumbele kulingana na uwezo na utaalamu wao, pamoja na kutekeleza miradi ya uwajibikaji kwa jamii (CSR) ili uwekezaji huo uwe na manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi.

Wed, 28 Oct 2026 18:41:51 +0000
Sports · Azam TV Videos

Magoli | Azam FC 4-0 Mbeya City | NBC Premier League 28/10/2026

#NBCPL Chuma zote nne hizi hapa... Wafungaji ni Iddy Seleman, Feisal Salum, Hassan Mubiru na Kipre Emmanuel. FT: Azam FC 4-0 Mbeya City LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #AzamFCVSMbeyaCity #AzamFC #mbeyacityfm

2026-10-28T18:33:45+00:00
Sports · Azam TV Videos

Highlights | Azam FC 4-0 Mbeya City | NBC Premier League 28/10/2026

Azam TV

2026-10-28T18:40:57+00:00
Uncategorized · DW Afrique

En RDC, le FRN de Joseph Kabila tente de reprendre Uvira

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

“We Cannot Continue Losing Revenue” ICT Minister Lumumba Vows Action Against Illegal Internet Businesses

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Rwanda’s Prime Minister is in Moscow for Third Russia–Africa Summit

Read the full report from the original source.

Recently
Entertainment · PML Daily

THE MITH builds on award-winning album with So UG Experience

KAMPALA - Award-winning Ugandan hip-hop artist THE MITH is extending his celebration of Ugandan identity from recorded music to the stage with a live cultural experience planned for November 14 in...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua opens up on US trip, private meetings

Gachagua claimed the meetings were held off camera and described them as useful, but did not identify the officials he met.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

ASAS DAIRIES YASHIRIKI MKUTANO WA 49 WA KISAYANSI NA MKUTANO WA 50 WA TSAP IRINGA

Asas Dairies imeshiriki Mkutano wa 49 wa Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 50 wa Mwaka wa Jumuiya ya Wataalamu wa Uzalishaji wa Mifugo Tanzania (TSAP), unaofanyika mkoani Iringa kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Mkutano huo umefunguliwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ukiwakutanisha wadau kutoka sekta ya umma na binafsi kwa lengo la kubadilishana maarifa, kujadili matokeo ya tafiti, kuangazia ubunifu na kuimarisha ushirikiano katika kukuza sekta za mifugo, uvuvi na ufugaji wa viumbe maji nchini. Aidha, mkutano huo unatoa fursa kwa wadau kutathmini maendeleo yaliyofikiwa, kujadili changamoto zinazoikabili sekta na kuweka mikakati ya kupata suluhisho endelevu yatakayochangia kuongeza uzalishaji na kuboresha maisha ya wananchi. Kwa upande wake, INADES-Formation Tanzania imetambuliwa miongoni mwa wadau muhimu wanaodhamini mkutano huo kwa kushirikiana na Brooke East Africa, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendeleza ustawi wa wanyama, uzalishaji endelevu wa mifugo na kuboresha maisha ya jamii. Ushiriki wa Asas Dairies katika mkutano huo unaweka kampuni hiyo miongoni mwa wadau wanaoshiriki jukwaa hilo muhimu la sekta ya mifugo.

Wed, 28 Oct 2026 18:36:12 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

NEWZ ALERT : RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI NA UTENGUZI WA VIONGOZI

Wed, 28 Oct 2026 18:28:15 +0000
Uncategorized · Business Daily

Succession and legacy: The rules that saved Sarova family empire

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Un collectif dénonce les recrutements de Camerounais par l'armée russe

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Brigadier General Karuretwa urges public servants to deliver citizen-centred services

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Museveni to EU: Only Political Dialogue will Save Congo

Read the full report from the original source.

Recently

Page 573 of 1173 · 23445 stories