Unganishwa

Search the region

23445 stories

Uncategorized · Jamhuri Media

Magumu: Umaskini, maumivu yanayomkabili mtoto mwenye Siko Seli Tanzania

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Mob justice has no place in a law-abiding society

DAR ES SALAAM: THE recent deadly clashes between farmers and herders in Ruvuma Region serve as a painful reminder that…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

VIONGOZI WA TNCM, WAPOKEAJI WA RUZUKU NA WATEKELEZAJI WA PROGRAMU ZA MFUKO WA DUNIA WANOLEWA KUIMARISHA ULINZI WA WANANCHI

Na. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wadau wa sekta ya afya wapewa mafunzo ya siku nne jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 26 hadi 29 Oktoba, 2026, yaliyolenga kuwajengea uelewa kuhusu Kinga Dhidi ya Unyonyaji, Ukatili wa Kingono na Unyanyasaji (Protection from Sexual Exploitation, Abuse and Harassment – PSEAH) ili kuendelea kulinda haki, utu na usalama wa wananchi wanaonufaika na huduma za afya. Warsha hiyo inalenga kuimarisha mifumo ya ulinzi, uwajibikaji na maadili katika utekelezaji wa programu zinazofadhiliwa na Mfuko wa Dunia wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) na ni sehemu ya juhudi za kujenga uwezo wa taasisi kuzuia vitendo vya unyonyaji, ukatili na unyanyasaji wa kingono, kuweka mifumo madhubuti ya kuripoti matukio, na kuhakikisha manusura wanapata msaada unaozingatia mahitaji yao. Serikali, kwa kushirikiana na Mfuko wa Dunia, inaendelea kuimarisha usimamizi, uratibu na uwajibikaji katika utekelezaji wa programu hizo, huku ikihakikisha zinazingatia viwango vya juu vya uadilifu na maadili. Maeneo makuu yaliyotiliwa mkazo wakati wa warsha hiyo ni pamoja na kuimarisha uwezo wa viongozi na wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Uratibu wa Mfuko wa Dunia (TNCM) katika usimamizi, utawala unaozingatia maadili, na uwajibikaji katika utekelezaji wa PSEAH na sehemu ya pili inahusisha Wizara ya Fedha kama Mpokeaji Mkuu wa Ruzuku (Principal Recipient – PR), Wizara ya Afya kama Mpokeaji Kiongozi wa Ruzuku Ndogo (Lead Sub-Recipient - LSR), pamoja na wapokeaji wengine wa ruzuku ndogo, kwa lengo la kuimarisha mifumo ya ulinzi ndani ya taasisi zao. Vilele, inajikita katika utekelezaji salama wa programu, hususan kutathmini na kupunguza hatari za unyonyaji, ukatili na unyanyasaji wa kingono katika ngazi ya utoaji huduma. Miongoni mwa viongozi walioshiriki warsha hiyo ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mwenyekiti wa TNCM, Dkt. Jim Yonazi, Makamu Mwenyekiti wa TNCM, Godlisten Moshi, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Prof. Tumaini Nagu, Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI, Dkt. Adam Mrisho na Katibu Mtendaji wa TNCM, Kent Pius.

Wed, 28 Oct 2026 07:05:40 +0000
Uncategorized · Daily News

First VP urges blend of religious, secular education

ZANZIBAR: ZANZIBAR First Vice-President Othman Masoud Othman has urged parents, teachers and guardians to combine religious and secular education to…

Recently
Uncategorized · Daily News

Govt recruits 6,450 nurses, pledges more hiring

DODOMA: THE government recruited 11,198 health workers, including 6,450 nurses, during the 2024/25 and 2025/26 financial years, pledging to continue…

Recently
Health · Daily News

Isles step up disease surveillance

ZANZIBAR: ZANZIBAR is strengthening health surveillance at its ports and airports to prevent the possible spread of infectious diseases, with…

Recently
Business · Issa Michuzi

MKUYU AFRICA YASHIRIKI MKUTANO WA RUSSIA–AFRICA NCHINI URUSI

Na Mwandishi Wetu, Moscow KAMPUNI ya Mkuyu Africa ni miongoni mwa wadau wa sekta binafsi kutoka Tanzania walioshiriki katika mazungumzo ya uwekezaji na biashara yaliyowakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na wawekezaji wa Urusi jijini Moscow. Mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Hoteli ya Four Seasons, pembezoni mwa Mkutano wa Russia–Africa Summit, yalilenga kukuza ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi, hususan katika sekta za nishati, kilimo, madini, ujenzi na miundombinu. Akizungumza baada ya mkutano huo, Mkurugenzi wa Mkuyu Africa, Juneid Othman, alisema ushiriki wao umetoa fursa ya kujenga mahusiano ya kibiashara, kubadilishana uzoefu na kukutana na wawekezaji wanaoweza kusaidia kukuza shughuli za kampuni hiyo. “Tumefurahi kushiriki katika mkutano huu kwa sababu umetupa nafasi ya kukutana na wafanyabiashara mbalimbali, kujifunza kutoka kwao na kujenga mahusiano yatakayoweza kutusaidia kupanua wigo wa biashara zetu,” alisema Juneid. Mkuyu Africa inajihusisha na uuzaji, upangishaji na ujenzi wa majengo ya makazi na biashara nchini Tanzania, ikiwa na miradi katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, yakiwemo Kariakoo, Masaki, Msasani, Kawe, Mbezi na Mikocheni. Kwa upande wake, mfanyabiashara kutoka Kenya, Peter Omong, alisema mikutano ya kimataifa ya uwekezaji ni fursa muhimu kwa wafanyabiashara, hususan vijana, kupata washirika na kubaini fursa mpya za kukuza biashara zao. Omong alisema kupitia mkutano huo amepata mahusiano mapya ya kibiashara, ikiwemo fursa katika biashara ya mafuta mazito na mbolea, hatua aliyoieleza kuwa muhimu katika kupanua mtandao wake wa biashara. Aliongeza kuwa majukwaa hayo yanaweza kuchochea ukuaji wa biashara kwa kuwaunganisha wafanyabiashara na masoko, mitaji, teknolojia na washirika wapya. Ushiriki wa wafanyabiashara wa Tanzania na nchi nyingine za Afrika katika majukwaa ya kimataifa unaendelea kutoa fursa za kujenga ushirikiano, kutafuta masoko mapya na kuvutia uwekezaji katika sekta mbalimbali za uchumi.

Wed, 28 Oct 2026 06:48:57 +0000
Uncategorized · PML Daily

ELISON TWINOMUGISHA: The changing face of financial fraud and how to stay safe

Financial fraud is becoming harder to detect as more people use mobile phones, cards and digital platforms to access financial services. Fraudsters are also changing their methods, using fake websites, social...

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Flavian Zeija’s November 21 celebration: A spectre on our national conscience

In Rukungiri, three sons of the same soil tell different stories about Uganda. Flavian Zeija sits at the top of the Judiciary. Kizza Besigye has…

Recently
National · Daily News

Govt seeks public views on EAC draft constitution

DODOMA: THE government has launched a nationwide public education campaign on the draft constitution for the proposed East African Community…

Recently
Uncategorized · Daily News

Milestone as Government City ready for launch

DODOMA: TANZANIA is set to mark a major milestone in the transformation of its capital, Dodoma, as President Dr Samia…

Recently
National · HabariLeo

Serikali kuimarisha huduma kwa watoto wachanga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Land disputes claim 54 lives in six months, experts demand reforms

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Sunday: A Ugandan Samurai in Japan and other tales of Uganda at 64

Born in 1970, Sunday Bamweyana is one of 60 children. And that might be the least remarkable detail about Sunday. Sunday, like millions of Ugandans,…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Sheila Wegesha murder suspect Bambo detained

The investigating officer told the court that detectives were yet to complete several critical aspects of the probe, including obtaining and analysing forensic

Recently
Uncategorized · Iwacu

L’odyssée de Nyange : dix chapitres pour comprendre Yussuf Ndayishimiye

Il a eu 28 ans ce mardi 27 octobre 2026. Lui qu'on appelle Nyange, la grue couronnée qui ne baisse jamais la tête. De Saint-Augustin à l'OGC Nice, de la poussière de Mukaza aux lumières du Parc des Princes, Yussuf Ndayishimiye n'a pas eu une carrière, il a eu une traversée. En dix fragments, voici l'histoire d'un enfant devenu capitaine.

Wed, 28 Oct 2026 06:27:46 +0000
Uncategorized · The Observer Uganda

Dear Gen. Saleh, an apology to Dr Besigye and the country will suffice

Dear Gen. Saleh, for the last couple of weeks, the government newspaper, The New Vision has published stories about negotiations to release Dr Kizza Besigye…

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

👨🏿‍🚀TechCabal Daily – Safaricom cleans house

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

'A very sad day': Arteta despair as Arsenal stunned by Fleetwood

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Bakou 2026 : l’enfance du monde et le Burundi au cœur du festival

Invité par la FIFA pour la toute première coupe du monde et festival U15, le Burundi ne fait pas de la figuration à Bakou. Entre défaites formatrices contre le Portugal et le Pays de Galles et victoires affirmées face aux Fidji et au Bangladesh, les Intamba U15 ont validé leur présence et s'apprêtent à défier le Togo en seizièmes de finale. Récit d'une qualification qui n'est pas un exploit, mais une évidence.

Wed, 28 Oct 2026 06:18:15 +0000

Page 593 of 1173 · 23445 stories