Unganishwa

Search the region

23444 stories

Uncategorized · The Star Kenya

News Brief: Ruto beefs up security cash by Sh59bn

President William Ruto’s administration is proposing a significant increase in security spending ahead of the 2027 General Election.

Recently
Uncategorized · The Nile Post

Uganda Eyes Medical Drones to Cut Emergency Transport Costs in Kalangala

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Nile Post

Men Dying by Suicide as Social Pressure Keeps Them Silent, Experts Warn

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Japan yafadhili miradi Tabora, Ubungo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

CLEOPATRA CASINO YAZINDULIWA KIBAHA

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kibaha Dkt Nicas Mawazo amezindua Casino ya Kisasa inayofahamika kana CLEOPATRA iliyopo maeneo ya stendi ya zamani. Akizungumza katika uzinduzi huo Dkt. Mawazo ambaye amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani Stanslaus Nyongo, amewapongeza uongozi wa CLEOPATRA kwa kuongeza ajira kwa vijana ndani ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani. Amesema hawa waru nimuhimu sana katika Mkoa wetu wa Pwani na nchi nzima kwa ujumla sababu wanaleta ajira za uhakika kwa vijana wetu. Aidha Mstahiki Meya amesema kuwa akiwa meza kuu Mkurugenzi Mtendaji wa CLEOPATRA CASINO Juma Mlali amemweleza kuwa anatamani wapate eneo ili waweze kuwekeza kwa kujenga Kiwanda . "Niseme ukweli ni kwamba nimefurahishwa na nia njema aliyonayo hivyo nawakaribisha sana ofisini ili tuweze kuelewana zaidi na hata kama hawana pesa sisi tutawakopesha na kuwapa eneo. "Manispaa ya Kibaha tunataka wawekezaji vijana na wenye maono namna hii tunajivunia kuwa na watu wa namna hii sisi tupo na Mwekezaji yeyote anayetaka kuwekeza aje tunayo Kongami ya Viwanda ,kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Stanslaus Nyongo anasema karibuni Pwani ni tulivu na kuna usalama wa kutosha" amesema Dkt. Nicas. Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya uzinduzi huo Mkurugenzi Mtendaji wa CLEOPATRA amesema kuwa wanajivunia kwa kutoa ajira kwa vijana wengi katika mikoa yote nchini. "Tuna matawi nchi nzima nantumetoa ajira 400 na kwa upande wa uwekezaji tutaanza kujenga Kiwanda cha vinywaji mbalimbali" amesema Mlali.

Tue, 27 Oct 2026 19:09:38 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Controversial Islamic cleric shot dead in Nigeria

Two assailants arrived on a motorcycle and shot Yahaya Masussuka in the town of Dutsin-Ma as he was saying goodbye to visitors on Monday evening.

Recently
Sports · Azam TV Videos

Highlights | Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 27/10/2026

#NBCPL: Wafungaji upande wa Yanga ni Peter Shalulile na Clement Mzize na upande wa Mashujaa FC ni Crispin Ngushi. FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSMashujaaFC #YangaSC #MashujaaFC

2026-10-27T18:44:10+00:00
Uncategorized · UN News Burundi

Women and girls’ share of civilian war deaths doubles since 2021

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

West Bank: Hebron crackdown displaces thousands, Türk warns of ethnic cleansing

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

DP Kindiki warns Mt Kenya residents against tribal politics

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Historia yaandikwa Mnazi Bay, Waziri Homera atangaza ugunduzi gesi asilia wa futi za ujazo bilioni 223

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

South Africa’s FirstRand eyes Kenya bank buyout

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

666: ‘Devil’s number’ nearly costs learner exams

The mother told officers she had confined the child because her assessment number contained the digits 666, which she associated with the devil.

Recently
Uncategorized · Rwanda Development Board News

Rwanda Launches InteGo! National Lottery to Support Public-Benefit Initiatives

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WAREMBO Kuchuana Katika Fainali za Kumpata Mrembo wa Kanda ya Mashariki Novemba 6 , 2026

Na Mwandishi wetu, Mkuranga WAREMBO watachuana katika fainali za kumpata Mrembo wa Kanda ya Mashariki Novemba 6 , 2026 shindano lililopangwa kufanyima Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani. Mkurugenzi wa Miss Eastern Zone Yusuf Hassan amesema mrembo atavikwa taji atapata zawadi ya gari na tiketi ya kushiriki fainali za kumpata Miss Tanzania 2026. Kambi ya warembo itakuwa boza katika kisiwa cha Kuruti kilichopo Mkuranga zawadi mbalimbali zitatolewa kwa washiriki wengine. Mkurugenzi Yusuph amesema hayo leo tarehe 27 Oktoba 2026 alipozungumza na Waandishi wa Habari Mkuranga Mkoa wa Pwani. Amesema warembo hao wanatarajiwa kuungia kambini hivi karibuni ambapo watatumia usafiri wa bahari wakitokea Sea Cliff Masaki Jijini Dar es Salaam na kwenda hadi Kisiwa cha Vikuruti kilichopi Mkuranga. Mkurugenzi Yusuph ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Idara ya Utamaduni na Michezo na kuhakikisha vijana wanafaidika na mikopo ya makundi maalumu. Aidha shukrani zingine zimfikie Mkuu wa Mkoa wa Pwani Stanslaus Nyongo kutokana na maelekezo aliyowapatia pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga. Wasanii nyota mbalimbali wanatarajia kutumbuiza akiwemo msanii wa Lebo ya WCB D-Voice ,Isha Mashauzi,Yammy Tz ,Dogo Parten, wasanii wazawa wa Mkuranga na Mkoa wa Pwani Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheriakwa ujumla na wengine wengi . Amesema anamshkuru mdau mkubwa wa shindano hilo BOSS BOSS, Adey na wengine wengi. Amesema tayari wameanza kuuza tiketi ambapo zinapatikana kwa njia ya mtandao na kawaida zinazouzwa kwa shilingi 20,000, 50,000 (VIP) na 100,000 (VVIP) tiketi hizo zinauzwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Halmashauri ya Mkuranga na ofisi zote za utamaduni Mkoani hapa. Sehemu zingine zinazouzwa tiketi hizo ni Parachichi,BOSSBOSS Vikindu na Samaki Sport Morogoro.

Tue, 27 Oct 2026 18:34:30 +0000
Uncategorized · Business Daily

The young Kenyan making big finance calls at Amazon

Read the full report from the original source.

Recently
Business · The Star Kenya

Ruto heads to Russia, seeks trade deals, investment

Ruto will advance Kenya's economic and strategic interests, focusing on market access, investment and partnerships to support economic transformation.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Edouard Bamporiki yagarutse mu nshingano, Uwacu Julienne muri Guverinoma

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

HOMERA ATANGAZA MAPINDUZI YA UMEME VITONGOJINI, AIPONGEZA REA KWA UTEKELEZAJI

WAZIRI  wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amepongeza juhudi za Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini, huku akitangaza kuongezwa kwa kasi ya operesheni ya kuwasha umeme katika kila kitongoji nchini. Waziri Homera amesema operesheni hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuhakikisha huduma ya umeme inawafikia wananchi katika maeneo yote nchini, sambamba na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hususan katika maeneo ya vijijini. Akizungumza wakati akiwasha umeme Kitongoji cha Lindi B, Wilaya ya Namtumbo, na Kitongoji cha Nakanyonyo, Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, amesema Wakuu wa Mikoa wataendelea kushiriki katika kuwasha umeme kwenye miradi iliyokamilika ili kuhakikisha wananchi wanaanza kunufaika na huduma hiyo kwa wakati. Ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuongeza kasi ya matumizi ya miundombinu ya umeme iliyokamilika, huku Serikali ikiendelea kutekeleza miradi mipya katika vitongoji ambavyo bado havijafikiwa na huduma hiyo. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa umeme mkoani Ruvuma, Waziri Homera amesema mkoa huo una jumla ya vitongoji 3,691, ambapo vitongoji 2,235 tayari vimefikiwa na umeme, sawa na takribani asilimia 61 ya vitongoji vyote. Amesema Serikali imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 224.7 katika miradi mbalimbali ya umeme inayotekelezwa na REA mkoani humo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupanua wigo wa upatikanaji wa nishati hiyo kwa wananchi. Kwa mujibu wa Waziri Homera, vitongoji 799 vipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya kuviunganishia umeme, huku vitongoji 657 vikiwa bado havijafikiwa na huduma hiyo na havipo katika miradi inayoendelea kutekelezwa. Amefafanua kuwa kukamilika kwa miradi inayoendelea kutasaidia kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme katika vitongoji vya Mkoa wa Ruvuma kutoka asilimia 61 ya sasa hadi takribani asilimia 82. Amesema ongezeko hilo linatarajiwa kufungua fursa zaidi za shughuli za kiuchumi, ikiwemo biashara, uzalishaji mali na utoaji wa huduma za kijamii, hivyo kuboresha maisha ya wananchi wa maeneo ya vijijini. Aidha, Waziri Homera amewataka wananchi kuendelea kuiombea Wizara ya Nishati ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha azma ya kufikisha umeme kila kitongoji inafikiwa. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy, amesema kasi ya utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini imeendelea kuongezeka na kwamba Wakala hautarudi nyuma katika kutimiza dhamira ya Serikali ya kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma ya umeme. Mhandisi Saidy amesisitiza kuwa Wakala utaendelea kuongeza juhudi za kusogeza huduma ya umeme katika maeneo ambayo bado hayajafikiwa, sambamba na kufungua fursa mpya za kiuchumi, kuongeza uzalishaji na kuboresha ustawi wa wananchi wa vijijini.

Tue, 27 Oct 2026 18:20:43 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

Meridianbet Imekuja na TSh Bilioni 3 Za Mystery Multiplier

MSISIMKO wa kasino mtandaoni unaendelea kupanda huku Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni, ikiandaa fursa ya kipekee kwa wapenzi wa burudani kupitia kampeni ya Mystery Multiplier. Hii ni promosheni inayowaletea wachezaji nafasi ya kupata zawadi za pesa taslimu wanaposhiriki michezo ya kasino ya Wazdan. Fikiria ukiwa umeingia kucheza mchezo unaoupenda, halafu ghafla unakutana na zawadi ya pesa taslimu. Huo ndio msisimko unaoletwa na Mystery Multiplier, kampeni inayofanya kila mchezo kuwa na mvuto wa kipekee. Kinachofanya Mystery Multiplier kuvutia zaidi ni ukubwa wa zawadi zilizowekwa mezani. Kampeni hii ina jumla ya Mystery Boxes 4,000, huku thamani ya jumla ya zawadi za pesa taslimu ikifikia hadi TSh bilioni 3. Kila kisanduku kinaweza kuwa na zawadi ya TSh 750,000, TSh 300,000, TSh 75,000, TSh 30,000 au TSh 15,000. Hii ina maana kuwa wachezaji wana nafasi ya kukutana na zawadi tofauti kulingana na matokeo ya kampeni. Jambo la kuvutia ni kwamba kiwango cha dau si kigezo cha ukubwa wa fursa hii, kwani dau lolote linalokidhi masharti linaweza kukupa nafasi ya kupata zawadi. Kampeni hii ilianza Oktoba 23 na itaendelea hadi Novemba 1, 2026, ikiwa sehemu ya juhudi za Meridianbet kuwapa wateja wake burudani yenye promosheni zinazovutia. Kampuni hii pia imeweka wazi dhamira yake ya kutoa zawadi zenye thamani ya zaidi ya TSh bilioni 12. Hii inaifanya Mystery Multiplier kuwa sehemu ya msimu wenye msisimko kwa wapenzi wa kasino wanaotaka kuchunguza michezo mbalimbali na kufurahia promosheni zinazopatikana kwenye jukwaa hilo. Meridianbet haiishii kwenye Mystery Multiplier pekee, bali inawaletea wapenzi wa michezo jukwaa lenye chaguo mbalimbali za kasino na michezo ya kubashiri ya soka na ligi tofauti. Kwa mashabiki wanaopenda kufuatilia mechi huku wakichambua matokeo yanayowezekana, Meridianbet inatoa nafasi ya kuchunguza masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na burudani ya kasino. Mystery Multiplier inalenga kuongeza msisimko kwa wachezaji wa michezo ya Wazdan wanaoshiriki kampeni hii, huku zawadi zake zikiweka mvuto wa ziada kwenye uzoefu wa kasino. Sasa, kwa wapenzi wa kasino mtandaoni wanaotaka kushiriki Mystery Multiplier , Meridianbet inawaalika kutembelea tovuti yake ya meridianbet.co.tz, kupakua app au kupiga *149*10# ili kujisajili . Ukiwa mpenzi wa michezo, unajua kuwa msisimko mara nyingi huanzia kwenye matarajio, lakini maamuzi bora huanzia kwenye maamuzi sahihi.

Tue, 27 Oct 2026 06:11:00 +0000

Page 599 of 1173 · 23444 stories